Wakaazi wa Taita Taveta waandamana kumsuta mbunge kwa kile wanachokitaja kuwa kutokuwa na imani naye

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • Wanaharakati na Wakaazi wa Taveta mpakani mwa Kenya na Tanzania kaunti ya Taita Taveta wanaendeleza maandamano ya amani wakimsuta mbunge wa Taveta John Okano Bwire kwa kile wanachokitaja kuwa kutokuwa na imani na afisi yake.

ความคิดเห็น • 10

  • @patriciaa4451
    @patriciaa4451 23 วันที่ผ่านมา +11

    Kenyans are taking back their power

  • @MrAloncyo
    @MrAloncyo 23 วันที่ผ่านมา +10

    This time round, waheshimiwa wamo taabani, people want accountability & transparency

  • @collinsokari8097
    @collinsokari8097 23 วันที่ผ่านมา +5

    glad we are waking up

  • @molotovcocktail4207
    @molotovcocktail4207 23 วันที่ผ่านมา +2

    I'm proud of my Kenyan people.We demand accountability.From the MPs, Governors and the president.

  • @user-rh8nw7xj6p
    @user-rh8nw7xj6p 23 วันที่ผ่านมา +4

    This is what Kenya needs. Tupunguze wizi wa pesa za uma. The money collected as taxes is enough for 56M Kenyans, but it goes into the pockets of a few.

    • @ngwenoh.e9725
      @ngwenoh.e9725 23 วันที่ผ่านมา +1

      Tuwache wizi wa pesa za umma!

  • @driscillahmwandawiro845
    @driscillahmwandawiro845 22 วันที่ผ่านมา

    We are saying no to bad leadership. Kudos my countyzens

  • @diedanoluoch8226
    @diedanoluoch8226 22 วันที่ผ่านมา +1

    Please Ruto should formulate Iebc we want to recall mps now

  • @miresmiraji880
    @miresmiraji880 23 วันที่ผ่านมา

    Ila kweli hata kuna vijiji havina stima

  • @chriscao9828
    @chriscao9828 22 วันที่ผ่านมา

    Gen z kazi hiyo imepatikana😅