Watu 12 wameripotiwa kufariki kwenye ajali mbili tofauti katika kaunti za garissa na machakos

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • Watu kumi na wawili wameripotiwa kufariki kwenye ajali mbili tofauti katika kaunti za garissa na machakos. Katika kisa cha kwanza, watu kumi walifariki baada ya basi walimokuwa kugonga trela iliyokuw aimeegeshwa kwenye barabara kuu ya garissa kuelekea mwingi na huko kangundo kaunti ya machakos, mama na mwanawe walifariki baada ya kukanyagwa na trela.

ความคิดเห็น • 9

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 23 วันที่ผ่านมา +1

    Innaah lillaah wainnah illahi rajion ,Allaah Awarahammuh na kuwapaa subrah watu waooo

  • @NancyOdongo-xi4gv
    @NancyOdongo-xi4gv 23 วันที่ผ่านมา +2

    Very sad

  • @NancyOdongo-xi4gv
    @NancyOdongo-xi4gv 23 วันที่ผ่านมา +1

    God help kenyans ❤😂🎉

  • @faithi7216
    @faithi7216 23 วันที่ผ่านมา

    God have mercy to our country this is too much painful

  • @nicksonomino6668
    @nicksonomino6668 23 วันที่ผ่านมา

    My condolonces

  • @JamaicahPiusNthongoni
    @JamaicahPiusNthongoni 23 วันที่ผ่านมา

    So sad😢

  • @josephmunyao5555
    @josephmunyao5555 23 วันที่ผ่านมา

    So sad😭😭😭

  • @missywonderland7156
    @missywonderland7156 23 วันที่ผ่านมา +2

    Nyie munataka barabara nawakati munapinga selekali yenu? 😂