Viongozi wa ODM Busia waunga mkono mazungumzo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • Viongozi wa chama cha ODM katika kaunti ya Busia wanaunga mkono kauli ya kinara wa chama hicho Raila Odinga kuhusu mazungumzo ya kitaifa. Aidha wanamtaka Raila kuhakikisha kuwa malalamishi ya vijana yamechukuliwa kwa uzito kwenye mazungumzo hayo

ความคิดเห็น • 17

  • @josiahotiso1328
    @josiahotiso1328 23 วันที่ผ่านมา +5

    raila is not a Gen z,as a genz we are not interested na hii tabia yake ya kununuliwa pesa kila mwaka

    • @RoyKevin-f4t
      @RoyKevin-f4t 23 วันที่ผ่านมา

      Wacha ujinga kwani wewe ni nani,,,hata sisi ni gen z

  • @daveondiekaaron2204
    @daveondiekaaron2204 23 วันที่ผ่านมา +3

    WE DON'T WANT TALK. WE WANT ACTION.. 🥹😪😭💔

  • @zakayomuhindi3726
    @zakayomuhindi3726 23 วันที่ผ่านมา +3

    Is Raila a Gen Z😢😢

  • @ring-tone278
    @ring-tone278 23 วันที่ผ่านมา +1

    Yes. Fight for your Stomachs. Ruto can have talks with Raila. They will be going together.

  • @iddsadi831
    @iddsadi831 23 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna mazungumzo tunataka, Raila is not our leader.
    Tumekua na mazungumzo mingi lakini hamna matokeo

    • @RoyKevin-f4t
      @RoyKevin-f4t 23 วันที่ผ่านมา

      Wewe kwenda uko,,,ambia nyanya yako

  • @wekhoyostephen9729
    @wekhoyostephen9729 23 วันที่ผ่านมา +1

    This are the faces and voices we don't need now that raila odinga has always been paid so that anyamazie uovu this time he should not get involved achana na vijana walete mabadiliko kwa njia Zao wenyewe

  • @user-ek3hk2xr6y
    @user-ek3hk2xr6y 23 วันที่ผ่านมา

    Kenya has moved

  • @MartinOchiengLigawa
    @MartinOchiengLigawa 23 วันที่ผ่านมา

    No, desolved parliament, then call New elections that's the medicine , Baba wisdom

  • @heyzborn1719
    @heyzborn1719 23 วันที่ผ่านมา +1

    What are youuuu saayyyiiing

  • @kwobabrenda90
    @kwobabrenda90 23 วันที่ผ่านมา

    Raila were watching you!!!

  • @catherineikovwa3401
    @catherineikovwa3401 23 วันที่ผ่านมา

    Kwendeni huko Raila wa nini ujinga tu

  • @user-oy5fn8du4u
    @user-oy5fn8du4u 23 วันที่ผ่านมา

    Viongoz jmn kueni na huruma na wananchi tunaumia😢 vyanyi kwa vitendo uchumi umekua mngumu jmn watu wanakufa 😢😢 sisi tunataka mabadiliko kwenye nchi yetu Vijana wapewe kz vitu vipunguzwe bei jmn 😢😢tunaumia

  • @dennismasinde669
    @dennismasinde669 22 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi wazee endeni huko na azimio yenu, raila kufanya mazungumzo na ruto haitasimamisha msukimo wetu

  • @danielmaunga1760
    @danielmaunga1760 23 วันที่ผ่านมา

    No dialogue first tell otuoma to get development

  • @obungafelistas960
    @obungafelistas960 23 วันที่ผ่านมา

    I support the Dialogue ,