Familia zawatafuta wasichana wawili waliopotea Murang'a

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
  • Familia mbili katika kijiji cha Gakuyu kaunti ya Murang'a zimekuwa zikihangaika kwa zaidi ya juma moja kuwatafuta wasichana wao waliopotea nyumbani. Mercy Waithera na mwenzake Clarin Njeri ambao wote ni wanafunzi wa kidato cha pili walipotea nyumbani tangu juma lililopita.

ความคิดเห็น • 12