Mkibadilishiwa jeshi lazima makae, huwezi pishana na risasi ukielekea maandamano, kwa tz ni sawa na wacongo waingie wenyewe vitàni na manati kuwakabili wahasi. Tz is not a democracy country.. not it.
@@jeremiahcharles6027ipasuke tu we dont care,kama hawatwaangalii sisi wananchi wakawaida then tuko tiyari kuchoma taifa nzima tufanane ala kwani kenya ni ya matajiri pekee?kenya ni yetu zote is either watusikilize ao tutachoma inchi flat tubakishe tu nyasi then tuanze zero wote if that what those leaders want
@@parismakki177 sawa lakn isiwe kwenye msafala wa mamba kenge hawakosekani,,,Iko wazi na itabaki hivo juhudi bnafsi zinahutajika ili upate maisha standard na sio kwa kuilaumu serikari kwa Kila jambo tena kwa. kupitiliza, ,,,maendeleo na mafanikio Yako bnafsi yanaanza na ww
Point of correction. Gen z ni waliozaliwa mwaka wa 1996- 2009. We are Tribeless, leaderless and fearless. We mobilize through WhatsApp,FB and majorly through X and TikTok. We are determined to fix this country! Also note that the some millennials have been part of us in the demonstrations.
😮@@Gblock-qj6hn Who told you that lie? Kagame is more than 100% worse than Ruto and you should talk to truthful Rwandans or even congolese people! He is a servant of westerners who greatly helped him take power after jointly killing the peaceful then president Habyarimana(who had refused to be their servant) for their interest especially for stealing DRC natural ressources! As a result,millions of innocent congolese civilians have died,have been displaced,etc... caused by rebellions backed by the notorious murderer let alone killed,illegally imprisoned and exiled fellow Rwandans due to their political views!
watanzani are very good people😊, we here in Kenya have a lot of fans😅 but your problem is muna ogopa sana viongozi wenu😢, you had a very good presiden mwenye and magufuli😢, sahi muna pelekwa vibaya sana , I heard on the news hata bandari yenu iliuzwa kwa wazungu au waarabu,😢 but still mumelala😢 , naskia sahi maisha yako magumu sana Tanzania😮 please wake up and defend your rights , hawa viongozi sio wafalme wetu hawa ni watumishi wetu , wasiwa peleke vile wanataka.
Utawala mbaya umezidi nchini mwetu Kenya. Tunatia bidii kazini, tunalipa kodi lakini raisi na wabunge wake wanatuhadaa! Wanatumia kodi yetu vibaya! Hayo ndio mambo tunataka kurekebisha!
Achana na izo apa kwa viwanja jee umeona...eti watu waanze kulipa kode yet ata food kupata n shida...ikipita iyo bill kenya kutakuwa na homeless juu wataenda wapi after kushindwa kulipa tax kwa land zao...wataenda kwa streets😢imagine hao wazee wetu ambao hawana makazi na they can't work😢
GEN Z is a generation that has nothing to lose...no kids no jobs just mare students in the Universities so we really support them as kenyans no retreat no surrendering
Kizazi cha 2000 cha tanzania ni tofaut na kenya sana hichi cha tanzania ni kizazi cha hamdala kiuno wao ni kujipodoa tu kama dada zao nakuwa mashoga bas ila kizazi cha kenya awee noma sana heshima kwao vijana wa 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kenya iko na viongozi dhaifu na jeshi dhaifu matatizo haya tatuliwi kwa mabishano huo niujinga nautilus wakufikiri nakutokua nasubira kilakitu kinawekwa nakina tolewa kunahajagani watu kusumbuana hivyo, Acha mandamane sisi watanzania tutawapigia bao hapohapo wakati mnatatua migogoriyenu sisi tunawapita fyuuuu. Kengenyie
@@DM_15 hahahahaaa ndugu yangu mtanzania mwenzangu unawapita Kenya kwenda wapi wakati sisi kila siku tunapandishiwa mikodi isiyo na kichwa Wala miguu na hatuna chochote tunaongea zaidi tunalalamikia kwenye mitandao tu.wenzetu wakenya wamethubutu na wamefanikiwa
Someni katiba ya Kenya vizuri aisee (ipo mtanadaoni). Kuna jambo fiche mle ndani ... kuna kitu kitafanyika baada ya siku 14 na kimejificha ndani ya hiyo katiba!!! Vijana wameshagundua ukora tayari.
@@barakanatus5676 sasa ata wakifanya kazi watashika wangapi ao wataua wangapi?na wakiuwa wote ao washike wote watabaki kuongoza kina nani ao kulinda kina nani?cz were not baking down the only thing hapa ni watusikilize ama tuungushe kenya mzima flat tuanze zero wote ala alaaa all we know is that uhuru hauji kiurahisi ivo lazima tuupiganie and we are here to fight for it till we get it,if not everyone will go down with us
wakenya hawa yumbishiwi..anzaia Rais wao ina casscade mpgaka mtu wa mwisho kabisa...wakenya vichwa ngumu...hawanaga shida na mtu ila ukiwaleteia za kuleta ndo utajua ujasiri wao..watu wa maana sana watu hawa jmni. JIrani Mungu Awafunkie. tunapenda sana Kenya jmni
Ita weza kua sheria if not signed in 14 days , the person who presented it must Officially withdraw it , Ruto could still be playing games , it must be withdrawn in BUNGE
Ila rais kakosea sana wananchi unasubiri mpaka watu wafe ndio wafanye marekebisho inamana yupo kwajili ya maslahi yake vijana mnajielewa hamjafanya vibaya
Makerere Mengi Usomaji Gani Huo nachangia Hoja Sasa Kenya Wapo Juu Sana kisiasa Siyo Machawa Wapo kimasilahi Kwa Inch Yao siyo wa Tz Kibaya Kizr Mama Anaupiga Mwingi kama Nyinyi Amna Mama Zenu
Tanzania kama mnatukubali Wakenya 🇰🇪 like hapa ....
WaKenya WASENGE TU
😂😂😂@@mimiraia2531
@@mimiraia2531Kuma ya Nyani wewe 😂😂😂
@@mimiraia2531yaani unaonesha wazi ulivyo na ulemavu wa elimu
@@mimiraia2531 najua hio ni wivu tuu sababu ujasiri wetu hamutuwezi hata wewe mwenyewe unajua
Ule wa Mr speaker sir! Niko ndani, im inside 🙏🏿🙏🏿✊🏾✊🏾🫶🏾🫶🏾🫶🏾🇰🇪🇰🇪🇰🇪☕️🎉❤
Vijana kenya wameupiga mwingi
Struggle for revolution
Nimependa sana discussion yenu. 💜 from mombasa kenya
That's why I took my son to school in Kenya. I like the altitude boldness
Kenyans walihapa na hakuna siku watauziwa uoga😂😂😂
Mkibadilishiwa jeshi lazima makae, huwezi pishana na risasi ukielekea maandamano, kwa tz ni sawa na wacongo waingie wenyewe vitàni na manati kuwakabili wahasi.
Tz is not a democracy country.. not it.
@@ototek8037wew nyamaza we're not slaves ok😏
Ata wakituuzia hatuna pesa ya kununua bado watasalia na uoga wao
Tanzania tunaandamania chumbNi
😂😂😊@@user-qy7he6cl8w
Waambiye mzee baba hatuna kiongozi ...kiongozi ni simu tu 😂😂😂😂
Mi mkenya na nime penda hii. Keep it up.❤❤
Kabisa
Kenyan Gen zees to the 🌍 🇰🇪✊🏾💯
Msifanye kama SIfa vijana wenzangu ,,,ngoma ikilia sana hupasuka
@@jeremiahcharles6027Utapasuka wewe hii ni new generation my friend. Moto usiozimika
@@ramak.9587kwahy mtakuwa matajiri sio 😂😂😂
@@jeremiahcharles6027ipasuke tu we dont care,kama hawatwaangalii sisi wananchi wakawaida then tuko tiyari kuchoma taifa nzima tufanane ala kwani kenya ni ya matajiri pekee?kenya ni yetu zote is either watusikilize ao tutachoma inchi flat tubakishe tu nyasi then tuanze zero wote if that what those leaders want
@@parismakki177 sawa lakn isiwe kwenye msafala wa mamba kenge hawakosekani,,,Iko wazi na itabaki hivo juhudi bnafsi zinahutajika ili upate maisha standard na sio kwa kuilaumu serikari kwa Kila jambo tena kwa. kupitiliza, ,,,maendeleo na mafanikio Yako bnafsi yanaanza na ww
Point of correction. Gen z ni waliozaliwa mwaka wa 1996- 2009.
We are Tribeless, leaderless and fearless.
We mobilize through WhatsApp,FB and majorly through X and TikTok.
We are determined to fix this country!
Also note that the some millennials have been part of us in the demonstrations.
Even X are mixed in
Am tired of pretending X ndo nini😮😂😂@@wkjshsxbbsbs6392
@@wkjshsxbbsbs6392it’s actually Genx and gen z, together, but gen z is the younger population generation now, so they are going to be mentioned more.
It's 1997-2012
Gen Z - Its not a fixed year😂! It's from 90s to the recent graduands from college
Hawa commentators nikama wamebambika na hii story ya Kenya sana😂😂
Wakati sisi wakenya tulijui ipo siku nani Leo kama sio Leo ni Leo .
Nakwambia wamebabika sana
WanatuSapport,I like thatSisi na WA Tz ni Ndugu.
Pole I sana Wakenya Kwa kuwapoteza wenzenu ila wanaobaki mtanufaika MUNGU AWAREHEMU MLIOTANGULIA MBELE ZA HAKI KWA UTETWZI NA KUPAMBANIA HAKI.
🙏🙏🙏
Shukran
Amin
Ruto is imitating his friend Paul Kagame to rule by intimidation and repression. GOOD LUCK Ruto 😂 Internet is freeing Africans. CONGRATS KENYANS
Leave Mzee alone… Kagame is a good man 😂😂😂😂 well his twin Ruto is an outcast 😂😂😂
😮@@Gblock-qj6hn Who told you that lie? Kagame is more than 100% worse than Ruto and you should talk to truthful Rwandans or even congolese people! He is a servant of westerners who greatly helped him take power after jointly killing the peaceful then president Habyarimana(who had refused to be their servant) for their interest especially for stealing DRC natural ressources! As a result,millions of innocent congolese civilians have died,have been displaced,etc... caused by rebellions backed by the notorious murderer let alone killed,illegally imprisoned and exiled fellow Rwandans due to their political views!
Well said! It's about time Rwandans also woke up and brought about change!
but still. it was God's will to let Ruto be her president. sie watanzania tunamuombea Rais Ruto..
Kenyan Gen Zees are the new face of the 2nd African struggle against oppression and colonisation by our own African leaders. God bless Kenyan youth
watanzani are very good people😊, we here in Kenya have a lot of fans😅 but your problem is muna ogopa sana viongozi wenu😢, you had a very good presiden mwenye and magufuli😢, sahi muna pelekwa vibaya sana , I heard on the news hata bandari yenu iliuzwa kwa wazungu au waarabu,😢 but still mumelala😢 , naskia sahi maisha yako magumu sana Tanzania😮 please wake up and defend your rights , hawa viongozi sio wafalme wetu hawa ni watumishi wetu , wasiwa peleke vile wanataka.
Im a Kenyan Gen-Z, He never rejected he withdrew..
We still watching, Ruto Must Go
He rejected it . He signed a memorandum of withdrawal. So it's done
GEN Z 🇰🇪TO THE WORLD,🇰🇪
Kenya wanaakili sana pia wanajielewa alafu sio wanafiki.
Utawala mbaya umezidi nchini mwetu Kenya. Tunatia bidii kazini, tunalipa kodi lakini raisi na wabunge wake wanatuhadaa! Wanatumia kodi yetu vibaya! Hayo ndio mambo tunataka kurekebisha!
Hivi karibuni, Rais wa Uganda atatokea Kenya 😅😅😅😅😅😅😅 😂😂😂
The guy in red iz well informed big ups from Kenya...the yellow fella just yapping and the silent dude nikaa hashikanishi any hahahahaha
The guy in red knows what his is talking about...for real
The guy in yellow ni hypeman. The other guy didn't do his homework😂😂
Ni kweli 😂. Hiyo story nitamu kwake
Buda😂😂😂ati hanyiti
uweh na hiyo jina yako joh baana🤣 ibadilishe tu kiroho safi
Kuna muda watawala wanajisahau sana. Hawaelewi kitaa watu wanaishi vip.
Sri Lanka waliingia mpaka Parliament
Statehouse
Na tukakula lunch yao😅😅..
Wasifi acheni umbeya mbona mlimkimbia lissu
Pia sisi kenya tuliingia,tukakula,tukaingia supreme Court,tukaingia kwa County
Sema hizo kodi ziangaliwe. Mfano mkate na pad wasingeweka kodi huko
Achana na izo apa kwa viwanja jee umeona...eti watu waanze kulipa kode yet ata food kupata n shida...ikipita iyo bill kenya kutakuwa na homeless juu wataenda wapi after kushindwa kulipa tax kwa land zao...wataenda kwa streets😢imagine hao wazee wetu ambao hawana makazi na they can't work😢
We are resoanable kenyans,we are fighting over heavy taxation..
Pale kuna haki ya kuadamana tunaadamana Sote.
#werejectFinancialbill2024
Kuanzia 1997_2012 ndio generation z wadau
1995 sio1997
GEN Z is a generation that has nothing to lose...no kids no jobs just mare students in the Universities so we really support them as kenyans no retreat no surrendering
Kizazi cha 2000 cha tanzania ni tofaut na kenya sana hichi cha tanzania ni kizazi cha hamdala kiuno wao ni kujipodoa tu kama dada zao nakuwa mashoga bas ila kizazi cha kenya awee noma sana heshima kwao vijana wa 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ko.ushauri wako ni nn kama ww uko na uchungu na unajielewa chukua bango Ingia mtaani alafu sisitujifunze kwako
Kweli kabisa mana ata walipo maliza ata hatujui waliishia wapi, ila na Leo wapo mpaka kieleweke
Kenya ni Moto 🔥🔥🔥🔥🔥
haswaaaa...hawa jirani ni kiboko kwa kweli..Kenya oyeee!!!! ooyeeeeee!!!!!
Generation Z need the content.
GEN Z ni sawa na mafuriko usipotengeneza a good drainage system lazima yatakubeba
Afanye kwa vitendo hatutaki maneno, anatudanganya kwa maneno
Sisi wakenya siyo waoga , tukisema tumesema na tukiamua tumeamua😂sisi siyo waoga kama watanzania nyinyi 😊🤦
I don't think it's about TANZANIA VS KENYA by the way all the best for you our family we will always love you ❤❤❤
Nyie kama mmeamua kuingia mtaani ni kwasababu zenu nasi tutakuja kuingia kwasababu zetu msitulazimishe
Kenya nimewavulia kofia naomba tuje tuwakodisha huku Tanzania
Kenya iko na viongozi dhaifu na jeshi dhaifu matatizo haya tatuliwi kwa mabishano huo niujinga nautilus wakufikiri nakutokua nasubira kilakitu kinawekwa nakina tolewa kunahajagani watu kusumbuana hivyo, Acha mandamane sisi watanzania tutawapigia bao hapohapo wakati mnatatua migogoriyenu sisi tunawapita fyuuuu. Kengenyie
@@DM_15 hahahahaaa ndugu yangu mtanzania mwenzangu unawapita Kenya kwenda wapi wakati sisi kila siku tunapandishiwa mikodi isiyo na kichwa Wala miguu na hatuna chochote tunaongea zaidi tunalalamikia kwenye mitandao tu.wenzetu wakenya wamethubutu na wamefanikiwa
Someni katiba ya Kenya vizuri aisee (ipo mtanadaoni). Kuna jambo fiche mle ndani ... kuna kitu kitafanyika baada ya siku 14 na kimejificha ndani ya hiyo katiba!!! Vijana wameshagundua ukora tayari.
Hamna kabisa hilo lishapitwa na wakati....... Since he signed a memorandum of withdrawal, that bill cannot be gazetted
Dio maana hatutaki Mambo na finance bill, ruto must go that's what we want
Kenya the best country in the world and the most and the best interms of democracy 👏 👌
Kenya tunaogopa aruc,simu kuisha moto na mafuriko bt siku changine I'm proud to be 254
Im Proud to be a Kenyan 😂😂😂tuliwakisha🔥🔥🔥🔥
Iyo inaonyesha hakuna maelewano Kati ya rais na makamu wake
Wanajifanya tu. Hawa wawili wanaelewana vizuri
Wasafi media, kazi nzuri
Freedom comes at a cost ,watu 300 na wamekufa kwa kupigwa risasi 😢😢😢
Kenya oeee👍.......tanzania tupo njiani
Tz utakamatwa weww
😂😂😂😂😂
Peke yako
WA TZ AAAAAH WAAAPI!??? SUBUUTUUU😂😂😂😂 mtabaki na domo na story nyingi tu!!!.
Watanzania hamna kitu, ni waoga hao sijapata kuona.
Gen Z huku noma bro... Watoto ndo wanaamua huku Kenya
Tafadhali like zama Gen Z nione tuko wangapi humu pamoja n Tanzania 🇹🇿✌️😂
Ruto must go
The government underestimated thse youths, but were determined to achieve and in the best manner
The Gen-Z in Kenya, my motherland, are fighting for a common course... we are a democracy; lazima rais na wabunge wasikize malalamishi yetu.
Imagine demonstration and content at the same time 👏🏿✊🏿😂😅😅😅😅🇰🇪🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
Sasa hivi wanataka kuingia State House
Big up GEN Z
Asanteni kwa kuijulisha Dunia ukweli. Hawa wabunge tutawakimbiza kila tunapowaona
Hawa waogopa mimba tu na marriage certificate tu
*LOVE MY COUNTRY KENYA* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naoma mnatafuna maneno,wananchi kulitimua bunge tafsiri yake ni serika imepinduliwa!
l din't know kenya is the topic everywhere,To our Genzs👏👏👏
Mnajadili Kenya yetu yakwenu yaovyoovyo na niwaoga kutoa habari za watu wanavyoishi maisha mabaya huko kwenu
Watching from saudia aribia hey 👋👍
Samoa must go
Tunafata pia tanzania
sisi wajinga hatujitambui
Mh wewe bongo ni Mimi na wewe TU randa bongo Apa uandamane
Tanzania ukiwa unapanga tu hilo umeshadakwa.
Kenya usalama hawafanyi kazi
@@barakanatus5676 sasa ata wakifanya kazi watashika wangapi ao wataua wangapi?na wakiuwa wote ao washike wote watabaki kuongoza kina nani ao kulinda kina nani?cz were not baking down the only thing hapa ni watusikilize ama tuungushe kenya mzima flat tuanze zero wote ala alaaa all we know is that uhuru hauji kiurahisi ivo lazima tuupiganie and we are here to fight for it till we get it,if not everyone will go down with us
The guy in the hat is just listening 😂😂😂😂
😂😂😂😂
Tuliingia mpaka Supreme Court.
Waambie tuliingia Hadi mahakama kuu
we are Kenyans.... and that's what we do.....when you close the red line......
Gen zs na millennium tumechoka kwa utawala mbaya.lazima ruto atoke kwasababu raila kwasasa hayupo kutuwakilisha
This is revolution of África next i think next here in mozambique
wakenya hawa yumbishiwi..anzaia Rais wao ina casscade mpgaka mtu wa mwisho kabisa...wakenya vichwa ngumu...hawanaga shida na mtu ila ukiwaleteia za kuleta ndo utajua ujasiri wao..watu wa maana sana watu hawa jmni. JIrani Mungu Awafunkie. tunapenda sana Kenya jmni
nanyie kelele nyingi na unafki ndo mjifunze kua Kenya wanaume kweli sio kelele hamna kazi zingine
Sahii lengo letu ni Kumtoa Zakayo Mutoa ushuru Mamlakani
Yani Kenyans ni moto kama pasi majirani washapata content maajabu haya😂
😂😂😂😂😂 nakwambia tx wamepata content
Kenyans are different breed they can even smoke teargas 😂
Gen z Sisi ndo kusema
GEN Z WA KENYA WAMETIKISA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KOTE..WANAWEZA FANYA MAPINDUZI YA KISIASA
4:00 ukweli mtupu😅😅
#RutoMustGo
Ita weza kua sheria if not signed in 14 days , the person who presented it must Officially withdraw it , Ruto could still be playing games , it must be withdrawn in BUNGE
Kenya n both men and women are always brave
Mwenzko akinyolewa ........ Tia maji, Mwiguru umeona hiyoooo 3:22
Ila rais kakosea sana wananchi unasubiri mpaka watu wafe ndio wafanye marekebisho inamana yupo kwajili ya maslahi yake vijana mnajielewa hamjafanya vibaya
I wish mngejua katiba yetu inasema vipi, Tuko safarini kuokoa Inch Yetu..the people should be listened , all these leaders are our employees..
Watanzania elimu duni ndugu hawana moja kazi unafki na kushabikia mipira
Goodwork guys 🇰🇪
yellow ni mkuu wa soga…. 😂, red ni mchambuzi, hongera wasafi
tulikula mchele bungeni lakini nyinyi watanzania waoga nyie 🇰🇪💪
Maumau rebbelions,they didnt have leaders they came out to fight for their rights
Munongee juu ya TZ ,,,kwani hamna finance bill yenu😂😂😂
Makerere Mengi Usomaji Gani Huo nachangia Hoja Sasa Kenya Wapo Juu Sana kisiasa Siyo Machawa Wapo kimasilahi Kwa Inch Yao siyo wa Tz Kibaya Kizr Mama Anaupiga Mwingi kama Nyinyi Amna Mama Zenu
Must go🤫🤫
Legal Advisor wa Government (president) ni Attorney General so huyo naibu wa Rais ywataka ku divert attention....
Kauli mbiu ni ile ile Ruto Must Go
Viongozi wengi wa afika watapinduriwa sababu hawajari maisha bora kwa wana nchi
Ruto must goo
Ageupitisha tungemwendea hapo state
Tufike huko, tunadharauriana sana. Unalipaje kodi af unaemlipa mshahara anakunyanyasa.
Taking him from office to send strong messages to all African criminals politicians, the power belongs citizens
❤🎉tume pabana gen z 🇰🇪💪👏
Na bado
Wenzetu wanajielewa sio sisi tunaendeshwa kama manyumba,many umeamkaje, kuna freedom of speech means democracy hapa Tanzania nothing bure kabisa
ATI WALIOSHIRIKI KUUZA BANDARI ZETU NAO WANA LA KUSEMA KUHUSU GEN-Z WA KENYA
Now ruto must go hio ngamia lazima imonchoke kitini
Usama ndio maisha na kuelewana bamoja
Hando anauelewa mkubwa sana .kudos
Sisi tuuuu😂🎉
Ruto must go!!!
ndo sisi tulivyo huku kwetu..hatupangwingwi.
Tanzania huku mkataba wa bandari una idhinishwa bungeni sisi tuna kubali imesha uzwa😂