BABA AMUUA MTOTO WAKE WA KIKE KISA MCHICHA,VURUGU ZATOKEA WAKIMTAKA MAMA WA KAMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 285

  • @suzanjoseph3683
    @suzanjoseph3683 ปีที่แล้ว +10

    Ee Mungu tujalie maisha marefu wamama tuwalee watoto wetu,pumzika kwa amani binti yangu 😭😭

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 ปีที่แล้ว +22

    Mjirani mmeniudhi sana hii ni dunia tu leo kwa mwenzako kesho kwako nyinyi piya mmechangia mtoto kuuwawa cmngemuikoa tu dah! 😭😭😭😭

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว

      Yaani niliona Hawa majirani wanaotoa ushahidi mwili una nicheza Nina hasira sana na mamuzi ya hapo Kwa hapo ,Hawa pia wamechangia kifo Cha mtoto, kama yule baba anayetoa ushadi alingia ndani kamkuta baba yake ndio ana mnyonga harafu yeye anatoka nje kisa kakosa ushilikiano wa majirani akamuwa kuondoka ! Ha! Kwanza ningekuwepo kwenye hayo mahojiano huyo mzee angestukia nimesha mjeruhi mbele ya wandishi Sasa uwanaume wake uko wapi? Ha!Mimi tu peke yangu ningeingia humo ndani asikari wangekuwa maiti tatu humo yaani ningevarangana naye japo ni mwanaume

    • @nawechi4818
      @nawechi4818 ปีที่แล้ว +2

      Point nzuri sanaaa

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 ปีที่แล้ว +1

      Ninachokiona mimi hapa majirani walichoka tu walichoamua wao ni kumuacha ajue mwenyewe akiua si wakwake atajuana yeye na serikali, msemo huo ndio umegharimu maisha ya asie na hatia masikini Mungu ampokee, yaani hao wanaojiita wazazi wakati ni wauaji hata wakisamehewa na serikali Ipo adhabu kamili wanayostahili kuipata kwa Mungu labda watubu, ila kesho yao ikifika Mungu atawauliza tu kwanini mulishirikiana kuangamiza nilichokiumba?

    • @feli6manangu182
      @feli6manangu182 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa 😭😭😭

  • @fatumasalum7973
    @fatumasalum7973 ปีที่แล้ว +6

    Duh nimeumia Sana huyu mama alivyo sema mtoto kapigwa mpaka anaomba maji du😭😭😭so Siri tumbo langu sehem alipo lala mtoto nimetikisika duh kwely amle nyama

  • @upendohalisi5763
    @upendohalisi5763 ปีที่แล้ว +9

    Nyie wamama wote hamjitambui kwakweli mtoto wa mwenzio ni wako ni bora uumie lakini umeokoa jahazi, msiendelee kuongea wakati mtoto kisha ondoka. Mlitakiwa mwingie kwa kasi mtoto mumuchukue hovyo! Majirani hovyo

  • @ommythetruth5449
    @ommythetruth5449 ปีที่แล้ว +19

    Majirani ni wanafiki Sana Yaani mtu keshafariki ndo wanaonyesha kwamba wameguswa na kuumizaa Sana na kifo Cha mtoto ,wakati Tukio linatokea walisikia na hawakuchukua hatua zozote zile zaidi ya kujifungia ndani Tu 😩😩🥺

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 ปีที่แล้ว +26

    Wamama mkikimbia ndoa msiache watoto. Mama wa kambo sio. Wengine ni majini. Hana uchungu na mwanao. Ona sasa! Bora ukale nae matembele na dagaa mbele kwa mbele. Mungu yupo atakua.

    • @halimasawa611
      @halimasawa611 ปีที่แล้ว +3

      Sio wote mama wa kambo wenye roho mbya ....me na ndugu zngu wote tumelewa n mma wa kambo

    • @lucygodfrey4871
      @lucygodfrey4871 ปีที่แล้ว

      Dah ni kwel jmn

    • @jenipharmvella5168
      @jenipharmvella5168 ปีที่แล้ว

      Sio wote ndugu

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 ปีที่แล้ว +15

    Kila kukicha arusha mauwaji kwani kuna nn uko mbona mnafanya ata ambao atujawai fika uko tuogope kuja 😭😭😭😭

    • @vaikaayagadiel520
      @vaikaayagadiel520 ปีที่แล้ว +1

      Usije

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 ปีที่แล้ว

      Ila kweli arusha inaobgoza kwa matukio hata sjui kuna siri gani..mungu awasimamie kwakweli

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 ปีที่แล้ว +20

    Kila siku namuomba Mungu anisaidie afya na uzima,nilee wanangu mpaka nione na wajukuu. Yaani tatizo ni mama hapo,inaonekana wazi huyu mama alipenda kuona huyu mtoto akipigwa kila mara. Naona kafurahi zaidi sasa,kuna watu wana roho chafu mpaka shetani pia anawashangaa..........

    • @mariyamsalalah8204
      @mariyamsalalah8204 ปีที่แล้ว +2

      😭😭😭😭😭😭Mungu atupe mwisho mwema

    • @mohameditwahili723
      @mohameditwahili723 ปีที่แล้ว

      mmm! nnavo mpenda shadya wAngu cijui nisemeje

  • @happyhousekeeper
    @happyhousekeeper ปีที่แล้ว +4

    This is sad Bure kabisa majirani, wapangaji kumbe mlikuwepo😭😭

  • @graceanthony3870
    @graceanthony3870 ปีที่แล้ว +8

    mtoto amekufa namaumivu sana jamani😭😭😭

  • @suzanbegas4139
    @suzanbegas4139 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah 🙆💔😭Ni mboga tu Hadi Mtu anapoteza uhai wa mtoto Jmn😭😭

  • @martinfrancis9808
    @martinfrancis9808 ปีที่แล้ว

    Huyo Baba msenge Sana... Afungwe

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว +2

    huyu baba na mkewe wote wafiejera🤗😭😭😭

  • @mariamswalehe3312
    @mariamswalehe3312 ปีที่แล้ว +2

    Jamani sijazaa lakini silei mtoto wa mwanamke mwenzangu, ila niko tayari nikuachie bwana uendelee naye mlee watoto wenu. Sitaki lawama za duniani.

  • @tatumakadara5793
    @tatumakadara5793 ปีที่แล้ว +18

    Inaonesha hiyo familia haina ushirikiano na majirani. Huyu mama roho mbaya hapendi watoto wa huyo baba. Inaonekana sio mara ya kwanza kuwachongea na bwana kumridhisha bibi ndio hivyo tena masaa mtoto anarudishwa kwa MUNGU. Na hakika huyo baba anajuta na hatakuwa na raha ya roho maishani mwake . Huyo mwanamke na yy kila mara roho itamsuta na hawawezi kuishi tena pamoja na huyo baba. Nyie kina baba unapopewa kesi ya mtoto kwanza chunguza au muulize kwanza sio mtandika kitanda chako kasema ww unachukua uamuzi wa hasira. Poleni wafiwa
    .

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 ปีที่แล้ว +3

      Hata kama hawana ushirikiano mie nisingekubali mtoto anapigwa ninyamaze. Hili lilishatokea mahali nilijitosa siwezi kuona mtoto anapigwa kipigo hicho ninyamaze , bora kama amemchapa fimbo mbili tatu za kumfunza bora lakini akishapitiliza hapo lazima niingilie kati

    • @tatumakadara5793
      @tatumakadara5793 ปีที่แล้ว

      @@neemamasimba2981kwanza inaonesha sio mara ya kwanza kumpiga.pengine huwa wanamuombea lkn baba anatoa vitisho kwa muombezi. Hamjasikia wanaombea ndio nao hupata kichapo au kutukanwa?
      Kwa upande wangu walichokosea majirani, kwa nini kipigo kama hiki hutokea hawaripoti ustawi wa jamii?

    • @dennymkumbala5748
      @dennymkumbala5748 ปีที่แล้ว

      Daaa mbaya san wazaz najua watoto wetu Wana mambo mengi ila mzazi ukiwa na hasira ni tatzo na mungut ndo anajua m naamin baba akuzamilia kuua ila asila daaa polen San wazaz tupuguze asila hasala R.I.P Binti mdogo mungu akupunguzie adhabu ya kabuli🙏

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +2

      Sasa Kama majirani mnatoka mnaambiwa luduni na mtoto anapigwa kwa kipigo kinaendelea mlishindwa nini kupiga cm polisi au kwenda kwa mjumbe au mwenyekiti kutoa taarifa ili serikali ifike hapo haraka na kuchukua hatua?

    • @rashidyally8715
      @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +1

      Wanyongwe ote hao mbwa Tena wanyongwe haraka Sana

  • @aishamohammedusi4989
    @aishamohammedusi4989 ปีที่แล้ว

    Poleni sana.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 ปีที่แล้ว +1

    Nyie majilani ndiyo wabaya pia,mmesikia mtoto anapigwa hamuendi kumsaidia,nyie pia mmechangia kifo cha mtoto,

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭mm wa kambo ni zaidi ya ibilisi

  • @victornjwango9683
    @victornjwango9683 ปีที่แล้ว +2

    Majirani wote wasenge tu hamna maana mmeja unafiki mlishindwa kuingilia kati mamae nyie

  • @enterenter7798
    @enterenter7798 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainna Ilayh Rajiunah,, mtihan saan ampige km mzazi kipigo mpk kuua mzazi anapiga mpk anafikia kuua duu

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭subhannalah jamani kuchelewa kurudi mtoto nakumuuwa mtoto vinahusiyana nini wafungwe maisha Yao

  • @zenabali568
    @zenabali568 ปีที่แล้ว +7

    😭😭😭😭😭Yani hata sioni haja ya maojiano hapo 😭Allah hatalipa kesho 😭😭😭.mtoto mdogo hata hajui dhambi nini 😭 subuanalla.mzazi. 😭

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 ปีที่แล้ว +2

    Kundi zima nyie mshindwe kumsaidia mtoto jamni heeee subhanallah 😭😭😭😭😭

    • @salmasaidy87
      @salmasaidy87 ปีที่แล้ว

      Inalillah wainailaih rajiun. Hata ww baba mwenye kofia ni mwanaume ulikuwa unatosha kabisa kumkabili huyo kaka anayempiga mtoto si mngevunja hata mlango kwa hiyo nyie majiran mlikuwa mnasikiliza sauti ya maumivu ya mtoto mpk mwisho? Nyie majiran nyie muwe na huruma kilio kile cha mtoto kilikuwa ni cha kuomba msaada sio kumuacha.

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +2

    Watu wa kaskazini ni wanyama huko ni wakatili sana ni kama watu wa Geita

  • @happymau2809
    @happymau2809 ปีที่แล้ว

    Ewe Mungu twaomba maisha marefu tulehe watoto wetu jmn

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 ปีที่แล้ว +3

    Huku walimu huku wazazi huku wapenzi tutapona kweli vifo vimekua km Ukraine

    • @mkaiteafetu6782
      @mkaiteafetu6782 ปีที่แล้ว +1

      Umesahau uku ugumu wa Maisha

    • @zabubamudy126
      @zabubamudy126 ปีที่แล้ว

      ugumu wa maisha ni kila mara mbaya zaidi ni haya ya mauwaji ya wapenzi wao mhh inauma shetani anafanya kazinyake

  • @bessarajabu1061
    @bessarajabu1061 ปีที่แล้ว

    Inalilahi wainalilah rajighuna,mwenyez mungu amladhe marehem mahali pema pepon amin

  • @lilianfredy6554
    @lilianfredy6554 ปีที่แล้ว

    watuonyeshe sura za hao wazazi waliofanya hicho kitendo.. inaumiza sana kiukweli

  • @elizabethjakobo279
    @elizabethjakobo279 ปีที่แล้ว

    Jamani mskubali watanzani... Wamama kututesea.. watoto.ukatili umezidi Sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainailah rajiun, kiukweli inauma sana, subhannallah.

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 ปีที่แล้ว

    uyo baba wa mtoto achunguzwe labda ana shida kichwan au ana vuta bangi

  • @mariyamsalalah8204
    @mariyamsalalah8204 ปีที่แล้ว +3

    Yesu wangu Mungu wangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢

  • @gracegladstone9593
    @gracegladstone9593 ปีที่แล้ว +2

    Arusha ina nn jmn🙌🥺

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 ปีที่แล้ว

    Jmn arusha ckuiz matukio nimengi sana shetan yupo kaxin

  • @jemamhagama4978
    @jemamhagama4978 ปีที่แล้ว

    Inauma sana machozi yananitoka. Ukatili wa hali ya juu.

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 ปีที่แล้ว +1

    Wapangaji majirani huyo mm na huyo bb wote mnaroho mbaya wanafki wakubwa mmesshinda kumuwamuwa Ata kupeleka tarifa kwa mjumbe

  • @daujohn9266
    @daujohn9266 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu naomba unijalie nidumu niwalee wanangu mwenyewe

  • @innocentchikoya5060
    @innocentchikoya5060 ปีที่แล้ว +1

    Baba na mama wakambo wote wafungwe kifungo cha amaisha hakuna cha msamaaa hapo wote wafunge jela kifungo cha maisha

  • @officialmimi269
    @officialmimi269 ปีที่แล้ว +1

    Nyie majirani mlishindwa hata kupiga sim police kama mlizuiwa kuingia kumuokoa mtoto nyie wote mashetani tuu mxiieew 😏
    Rest easy Shadia

  • @rauhiamaalim7493
    @rauhiamaalim7493 ปีที่แล้ว

    Ikraam

  • @hanifukuzenza5686
    @hanifukuzenza5686 ปีที่แล้ว

    Pole sana Inna lillah wainna ilayhi rajiuun

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 ปีที่แล้ว +1

    Allah awahid wote

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l ปีที่แล้ว

    Huyo mama wa kambo kiboko duh ata tumbo halijamuuma 🤨😭😭

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 ปีที่แล้ว +1

    Its so pain jamn . Tujifunze Sana kupitia hili tuache kabsa mambo za kujichukulia sheria katka adhab zilizopitiliza na pia majirani au wapangaji hili suala la kuskia jiran zako wakipigana wengi wetu tunachukuliaga kuwa ni suala lao . Tunatakiwa kuingilia kwa uzuri tuu kuamlia

    • @janembalinga7074
      @janembalinga7074 ปีที่แล้ว

      Ubaya unaweza ukaenda ukaambulia kufa ww

  • @husseinally3015
    @husseinally3015 ปีที่แล้ว +1

    MAMA FAHADI NA WW JIRANI NA ULUSHAONA MTOTO ANANGEO UNGETOA TAARIFA KIMYA KIMYA LEO UMAUTI UMEMFIKA NA WW NI JIRANI WA KAMOBO

  • @zubedaramadhani1289
    @zubedaramadhani1289 ปีที่แล้ว

    Hao majirani wanafiki sana

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 ปีที่แล้ว

    Jamaniii majirani muwe mnavamia na marungu

  • @testmyphone1305
    @testmyphone1305 ปีที่แล้ว +1

    Hii inaonekana kuwa baba mzazi alishazoe kumpiga na majirani walishazoe kusikia akipigwa sasa limekuwa jambo la kawaida kwa majirani
    Kosa la majirani ni kutompa taarifa mwenyekiti siku za nyuma alizokuwa akimpiga mtoto

  • @irenemichael5140
    @irenemichael5140 ปีที่แล้ว

    Mm ndo mana sipendi mazoea ...watu ni wanafki sana...hpo hasira zimewapanda kutaka kumpigia ht huyo mama na mtoto alivyokuwa akili kwa uchungu wanasema hawakuweza kufika kisa wamekatazwa sasa mbona hapo mmejaa mnafanya nini na kilio cha uchungu hamkisikii tena

  • @umunafisa7060
    @umunafisa7060 ปีที่แล้ว +1

    Majeran sio poa

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 ปีที่แล้ว +1

    HIZI TABIA ZA KUPIGA NA KUONEA WATOTO NI NANI ALIWAMBIA NDIO KULEA. INAUMA SANAAAAAAAA

  • @deboraloverness1366
    @deboraloverness1366 ปีที่แล้ว

    Uyu mama ana za kwel au tasa

  • @viviencharlz4045
    @viviencharlz4045 ปีที่แล้ว

    Majirani wanafiki wanafiki wanafiki wanafikiiiiiiiiii.........na ninyi mmeshiriki uuaji.

  • @jeremiahsanare6336
    @jeremiahsanare6336 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭 inauma sana

  • @elianaevarsty2325
    @elianaevarsty2325 ปีที่แล้ว

    Wanangu narea mwenyewe nikira are nikilara njaa nae arare!

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 ปีที่แล้ว +1

    Hili Ndio taifa la mtu anapita mtoto masaa 3 watu wote wanasikia na hakuna anayepinga simu polisi. Wala kuingilia.

  • @aminamkumba4124
    @aminamkumba4124 ปีที่แล้ว

    Waende wote Rumande,hakuna msamaha hapo.

  • @mozarashid875
    @mozarashid875 ปีที่แล้ว

    uyo mama wa kambo kama ningalikuwa karibu ningehakikisha jeneza zinatoka 2. ikimaliza ya mtoto inafata na yake. mwanaizaya asojijuwa wala asiejitambuwa yeye na uyo msenge baba.

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb ปีที่แล้ว

    Huwa nasema kila siku. Mwanamke ukiachana na mwanamme usilogwe ukamuachia watoto. I am tslking from my perslnal experience. Nashkuru Mungu nilishtuka mapema nikawachukua

    • @aishahussein4645
      @aishahussein4645 ปีที่แล้ว

      Mm ni mtanzania nimeoleka hapa Kenya, nikizaa mapacha watoto Wana myez 6 tu sa hii!! Niligombana na bwana akasema kikabila yao niondoke Tanzania niwaachie watoto!! Hiyo nayo nilimwambia Bora nife maiti kuliko kuacha wanangu

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 ปีที่แล้ว

    Lazima huyo mama lazima afungwa kwa sababu ameshudiya kuona mtoto akipigwa mpaka kufa na anashudia

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 ปีที่แล้ว

    Point ni kwamba kupishana kupo katk maisha ila wamama mkichoka ndoa muondoke na watoto, alafu majiran mmechangia kifo kutomuokoa mtoto

  • @halimaathumani3435
    @halimaathumani3435 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainalillah rajiun 😭😭😭😭😭😭

  • @maryambroce7878
    @maryambroce7878 ปีที่แล้ว

    Jaman wamama wa kambo?

  • @peterkivuyo8879
    @peterkivuyo8879 ปีที่แล้ว +1

    Majirannii pumbaavu zenu kwendeni uko mtoto anapigwa mpo

  • @farajafaraja3494
    @farajafaraja3494 ปีที่แล้ว

    Na huyo mama mnamuachaje kwa mfano naombeni acharazwe viboko

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 ปีที่แล้ว

    Mngetumia NGUVUU kumtoa mtoto majirani wote hovyoo😏NA MLIKUWA MNASIKIA PUMBAVUU KABISA NIMEKEREKWAA SANAAAA

  • @user-nw5iu8lh7e
    @user-nw5iu8lh7e ปีที่แล้ว

    Daaaah

  • @tumainimatembo8688
    @tumainimatembo8688 ปีที่แล้ว +1

    Uyu Binti nae anaongea adi anakelaa

  • @magrethmaganga1983
    @magrethmaganga1983 ปีที่แล้ว

    Pumzika Kwa Amani Shadia jmn dah inaumiza sana Kwa kweli

  • @rosemaryngendo7635
    @rosemaryngendo7635 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭 nimetokwa na machoz kweli baba ajui uchungu wa mtoto ,mungu wangu kweli 😭😭😭

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 ปีที่แล้ว

    Mngemchomoa kwenye gari uyo mama wa kambo

  • @sofiahamis
    @sofiahamis ปีที่แล้ว

    Binadamu tunatakiwa tuwe na hekima, kabla ujafanya Jambo fikiria la baadae.Makosa mengine sio ya kupiga mtoto sema nae taratibu atakuelewa tu. Maisha yamebadilika Sana,wakati tulio nao tusipige watoto kupitiliza. Ukiendekeza hasira mwisho wake mbaya. Ukiona mtoto akuelewi muombe mungu atambadilisha.

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 ปีที่แล้ว

    Alafu kumpiga Mtoto Dizaini hiyo niushamba tu alafu Alafu Jirani hajahamia hapo kwaajili yakugombelezea ugomvi wewe Mwanaume unakujaje nakumpiga Mtoto yania Jamaa Fala sana

  • @jacklineedward3827
    @jacklineedward3827 ปีที่แล้ว

    Jamani wazazi 2we na uwelewano

  • @haroldtemu28
    @haroldtemu28 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah inauma😭😭

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว +2

    Hata nyinyi hamna akili ulishindwa kuingia kwenda kumtetea mtoto kwanini hao majilani mlio fila hapo hata mkekuwa majirani wawili metoa tarifa kwa viongo au police fasta, majirani wa hapo wote mwaenda motoni niheri msingeliona Hilo tofari

    • @trifoniambilo2400
      @trifoniambilo2400 ปีที่แล้ว

      Majiran jamani uwiiii

    • @betyjoseph6812
      @betyjoseph6812 ปีที่แล้ว

      Mimi nahis huyo baba ni mkofi au anaogopeka hapo ndo maana majirani wameshindwa kutoa msaada

    • @nyangetakaliba8585
      @nyangetakaliba8585 ปีที่แล้ว

      Usiseme hivyo unaweza kuta baba ni mkorofi na anatabia yakumpiga mtoto mara kwa mara

  • @tatumajaliwa2333
    @tatumajaliwa2333 ปีที่แล้ว

    Yaan hii Arusha mnakiraana flan hiv

  • @catherinechifebe5800
    @catherinechifebe5800 ปีที่แล้ว

    Mama lea wanao mwenyewe, watoroshe ikibidi....MIE NINAO WANGU WA 4 nimekimbia nao...Mama wa kambo hasa aliyevamia ndoa huku mke wa kwanza akiwa hai..,mama huyu lazima awe na hila,na lazima mvamizi wa ndoa ya watu huyo, lazima awe ni mtu mwovu

  • @agathasemindu79
    @agathasemindu79 ปีที่แล้ว +1

    kosa kubwa nimajirani kutotoa taarifa kwa mjumbe mapema tu na mngehokoa maisha ya huyo mtoto jamani, rip mtoto mzuri

    • @hindusaid1831
      @hindusaid1831 ปีที่แล้ว

      Masikin ss amepata nini mume amemkosa..bora naye akafugwe

  • @dutchkijiko5296
    @dutchkijiko5296 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kuhojiwa wala hakuna upelelezi thats upumbavu afungww na ningekukuwa jirani huyo kuma ningempeleka kuzimu

  • @obadiajumamkaria2568
    @obadiajumamkaria2568 ปีที่แล้ว +1

    Hao wote wawili wauliwe

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 ปีที่แล้ว

    Daah imeniuma sana

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 ปีที่แล้ว

    Raisi Samia kama mwanamme na anauchungu na watoto apeleke mswada wa sheria Bungeni hakuna ruhusa kupiga mtoto. Nyumbani na mashuleni.

  • @arafahaji
    @arafahaji ปีที่แล้ว +1

    Majirani mlikua wp nanyi mulichangia

  • @laurenciamwalongo8165
    @laurenciamwalongo8165 ปีที่แล้ว

    Mungu aturehem

  • @tamemahmad9902
    @tamemahmad9902 ปีที่แล้ว

    Majirani pia hamukumtende haki mtoto. Wakati anapigwa kwann musiende kumsaidia, au tuseme hamukumsikia akilia wakati anapigwa, na km hamukumsikia mulijuwaje km kapigwa na sababu ni hiyo ya mboga. Kwa kweli panahitaji uchunguzi.

  • @mishikombowato1457
    @mishikombowato1457 ปีที่แล้ว

    Serikal ya mama Samia haina maana hata kidogo na niya kipuuzi wtz mkija kumpigia kura huyu mama mnazid kuisha mna yaani mabalaa yamezid tangu huyu mama akae serikal eti inachunguza inachunguza nn wakati ushahid upo mtoto kafa subhan Allah mwisho wa siku utasikia Hana hatia ataachiwa huru

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 ปีที่แล้ว

    UYO BABA NA MAMA WACHUKULIWE HATU

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

    Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun 😰

  • @josephmolle
    @josephmolle ปีที่แล้ว +2

    Duu wanaume

  • @mwakwelisaid3152
    @mwakwelisaid3152 ปีที่แล้ว

    Yani majirani wasenge sana yani wallh

  • @isackyohana2707
    @isackyohana2707 ปีที่แล้ว

    Majilani mna dhambi na nylue,,,namba za polisi simnazo!!!!mna roho mbaya msihojiwe kwanza

  • @aby21111
    @aby21111 ปีที่แล้ว

    Dad and step mom must be prosecuted. Let them rot in jail.

  • @omariabeid2897
    @omariabeid2897 ปีที่แล้ว

    Dah inahuzunisha sana sana

  • @shamijuma7259
    @shamijuma7259 ปีที่แล้ว

    Wanawake sie tunarohombaya sana yani unamchochea mtoto apigwe mpaka hafe?

  • @wineththomas4803
    @wineththomas4803 ปีที่แล้ว

    Arusha ni kawaida yao, yaani ukipatwa nashida hakuna anayetoka kukusaidia, utakufa unajiona, hakuna ata mtu wa kupiga kelele na Kama kuna watu wanaona basi watajificha kabisa, ila baadaye wataeleza Kila kitu kilichotokea, utashaangaa

  • @swahibasaidi4669
    @swahibasaidi4669 ปีที่แล้ว

    Mimi nina mama w kambo ila hatujawahi kuelewana aseeh mwaka tunaonana mara moja au tusijuaneee

  • @hadijahasani
    @hadijahasani ปีที่แล้ว

    Hata majirani sio watu kwann mtoto anapingwa hawatoki mpaka afe mungu anawaona

  • @mwakwelisaid3152
    @mwakwelisaid3152 ปีที่แล้ว

    Uyo mzee yani tungemtenganisha kila kiungo ak

  • @innocentchikoya5060
    @innocentchikoya5060 ปีที่แล้ว

    Mama wakambo afungwe kifungo cha maisha na Babamzazi afungwe kifungo cha maisha