Ni Heche. Lena na Pambalu ni watu waliokipambania chadema sana, hapindishagi. Pambalu kwa kweli kafanya kazi kubwa sana kwa kujitolea. Sasa Naamini Mbowe alimtaka wenje akamuondoa Pambalu. Wenje hana pumzi yoyote ni bomu tupu linalongojea kupasuka. Hawa ni miamba walionyooka sana hawaimumumi maneno , wala hawampambi Samia kama hawa wa Mbowe.wanajiamini kitaaluma ndo maana tunawahitaji hawa watu.
Toka aondoke Professor Baregu, Chadema imekosa mshauri na mpatanishi. Mafahari wawili hawa wanataka kusambaratisha Chadema, ni vema angetokea Professor Baregu mwingine awashauri vizuri.
Mbowe amuachie Lissu uenyekiti kisha yeye agombee Uraisi naamini wanashinda ccm hawana dhamana ya wananchi hata kidogo. Lissu na Mbowe wakiamua kushirikiana vzr wanapata wabunge wengi na huenda wakashinda uraisi mwaka huu. Wale covid19 wawaache kabisa ndio wanaowavuruga.
Lisu na Heche
LISU Tosha
Lissu na hecheeeeeeeh!
Pamoja heche
Ni Heche. Lena na Pambalu ni watu waliokipambania chadema sana, hapindishagi. Pambalu kwa kweli kafanya kazi kubwa sana kwa kujitolea. Sasa Naamini Mbowe alimtaka wenje akamuondoa Pambalu.
Wenje hana pumzi yoyote ni bomu tupu linalongojea kupasuka.
Hawa ni miamba walionyooka sana hawaimumumi maneno , wala hawampambi Samia kama hawa wa Mbowe.wanajiamini kitaaluma ndo maana tunawahitaji hawa watu.
Sisi tunaenda na Lissu popote pale
Tundu lisu yuko juu kuliko mbowe.
Lisu na heche
Tuleteeni Lissu na Heche kwa maslahi ya taifa letu!
Toka aondoke Professor Baregu, Chadema imekosa mshauri na mpatanishi. Mafahari wawili hawa wanataka kusambaratisha Chadema, ni vema angetokea Professor Baregu mwingine awashauri vizuri.
Uchambuzi ulio shimba kabisa hendelea kupiga supana
LISU
Mbowe amuachie Lissu uenyekiti kisha yeye agombee Uraisi naamini wanashinda ccm hawana dhamana ya wananchi hata kidogo. Lissu na Mbowe wakiamua kushirikiana vzr wanapata wabunge wengi na huenda wakashinda uraisi mwaka huu. Wale covid19 wawaache kabisa ndio wanaowavuruga.
Chama kimekua kikubwa sana
Hakuna demokrasia ndani ya chadema uhuni mtupu
mkondya kama mkondya kada mtakatifu wa ccm!
Chadema inakuhusu Nini?
Lisu na heche