Hongera sana Clam Vevo kwa kazi nzuri utafika mbali sana na unaleta mapinduzi mapya ya tasnia ya Uigizaji. Tunakuombea na kundi lako lote. Keep the spirit burning.
Ooh my God. hii kweli ni MISTAKE. Hata huyo jamaa aliekufa hapo mwisho nae kafa kwa MISTAKE. Hakutakiwa kufa maana nilikuwa napenda anavyoigiza. Ni bora angekufa mwakatobe😂
Hii movie unaweza ukajua wewe ndio wa kwanza kumbe kuna wengine kama wanakesha kusubiri hii hongera Clam ndoto za kufika alipo fika Kanumba utafika tu piga kazi
Ila huyu mbwa anajuaaaaa na hili jina limeendana kabisa na vitendo humo ndani this is MISTAKE ❤️❤️❤️❤️
Yaani move za kicheche hazieleweki kabisa aje ajifunze hapa kwa mwamba ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂 yale matusi yake nayo
Comedy na move wapi na wapi
Aki nimechelewa lakini naomba like za mkenya kuitwa heri 🇰🇪🇰🇪
Usijali
Hahaha wajinaaa
youtube.com/@Blacksontigre25?si=Jx3uKYB3EbalWOSf
th-cam.com/video/_rth73hbavw/w-d-xo.htmlsi=PPh2JkaX3YAkPtNM
Kazi nzuri sana vevo..🤝🤝🤝🤲
Mi ndo wa kwanza naombeni like tano
Umetisha
youtube.com/@R.O_FELICY?si=o0Rp6azPfAqgYdx9
❤unaweza clam
🎉🎉
zimezd ..nigawie na mimi 5 🤣🤣🤣🤣
Hongera sana Clam Vevo kwa kazi nzuri utafika mbali sana na unaleta mapinduzi mapya ya tasnia ya Uigizaji. Tunakuombea na kundi lako lote. Keep the spirit burning.
❤❤❤❤❤
❤❤❤
5o
th-cam.com/video/_rth73hbavw/w-d-xo.htmlsi=PPh2JkaX3YAkPtNM
Clam acha kulahisisha onyesha action sio mtu anakufa kizembe zembe kubari kuonyesha utofaut zaid ❤❤❤❤❤ nakukubar sana
th-cam.com/video/_rth73hbavw/w-d-xo.htmlsi=PPh2JkaX3YAkPtNM
Move kali san CLAM Ukosei mwanangu mnapaswa mpew mauwa yenu🎉🎉🎉🎉 ila vipande vifupi Clam tunaomba tuongezee kidogo
Kama wewe clam team gonga like hapo
Kwanini tusigonge kwenye channel 🤪
Kicheche bailamu Steve mweusi mbwela chibu doko kipara ingwe
Clam wewe from Kenya 🇰🇪
@@blessingselina1498OK.
SAWA clam tunakuombea duwa mungu akuzidishie Amen 🕌
Kazi kazi clam big up to all team members tupo pamoja nanyi director Kakoso kazi kwako
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sio mbaya japo nimechelewa lakn sio sana nipeni basi hapo izo like 5, Clam vevo never disappoint 🎉🎉❤
Huku clam kule kicheche pale rutaman mamaeeeeeeeeewwwww
clam anajua kumamae Yani kawapiku vibaya mnoooo 😂 ma top artists bongo movie
hakuna kazi mbovu dhid ya CLAM VEVO nakubar sana jamaa kazi zako
Unakipaji sana na ww upo Kama malehemu kanumba napenda sana kazi zako❤❤❤❤
Much ❤❤❤❤❤ from 🇰🇪 kenya.woow clam.umenifnya nacheka pkeang ka mwehu una mbio aky 😂😂😂
Ooh my God. hii kweli ni MISTAKE. Hata huyo jamaa aliekufa hapo mwisho nae kafa kwa MISTAKE. Hakutakiwa kufa maana nilikuwa napenda anavyoigiza. Ni bora angekufa mwakatobe😂
From Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 nakujimbari sana
Rwanda munaipenda kuyifatilia?
much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🔥
Umeua mwenetu tunakusupport sana
Uyu dada anapendezea kucheza jambazi Yani nampenda bule
Yaani huyu mwana dada Kim nihatari sana sana namkubali Sana
More love from 🇰🇪
Watu wote wana isha nakufa 😢😢
Kaka vevo m.niliwa shabik wa kicheche lakin Toka nimeanza kukufatia daa umeniteka kabisa unajua kaka hongela San🎉🎉
Clam my favourite comedian actor nakukubali sana❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂eti siwez kuwala
“ aah hamna mi siwezi kuwala 😂😂”
Hasa huyo jamaa wa kubandika mabango ndo Avae Jezi ya Simbaa😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂huyo gaidi umemuuwa vipi bro😂😂😂umeanza kutuletea kihindi sasa😂
Much love ❤️ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kabla ya waomba like kuvamia tumpe sifa zake clam🎉❤❤😂😂
Timu vevo mpovizuri sana chapeni kazi.🔥🔥
Unaweza ukamla mama yangu pamoja na dada zangu 😅😅😅
Hpn swez kuwala 😂😂😂😂
Wow amazing this move mistake keep going brother congratulations for season(5) 🤲😍🙏🎉🎉💯🎁
Wa pili jaman mnipe maua yanguuu🎉🎉🎉❤❤ TEAM YA USHINDI
Uyu Jamaa c km anajuw ila wanang anajuw Zaid ya sana
Mungu azidi kukupa uzima kwa kazi nnzuli
Kama uponje ya tZ na unamkubali clam ❤❤❤❤ gonga like tujuane🎉🎉🎉
Namba Moja tumsaport clam vevo
Daaaa webwana unajua kuigiza natamani sikumoja nikuone leve🎉❤❤❤
Mistake 🔥🔥🔥💪clam vevo umetisha sana kaka 👍
Naombeni laiki at Moja wakwaza
Laiki au laki
Like bwan
😂😂 million bac @@omarytajiry7913
Big🆙️ to the #Mistake team.
Wahusika wapo vizur kwenye nafasi zao.
Dah!! fire 🔥🔥🔥.
😢😢
😂😂😂❤😂m
Clam always on 🔥
Hii movie unaweza ukajua wewe ndio wa kwanza kumbe kuna wengine kama wanakesha kusubiri hii hongera Clam ndoto za kufika alipo fika Kanumba utafika tu piga kazi
Uyu mwana namkubali kinoma
Arakaze
Yani uwa akopeshi kabisa
❤ like zangu from Nairobi 🇰🇪 ,kazi nzuri clam
Uyu dem Kim anajua kuact kishua👍
Tunafuatilia sana hapa Kenya
Me wapili naombeni like zangu from china 😍😍😊
Baba kazi una ijuwa kweli
Waah filamu tamu sana ya sits itokee haraka bana
Leo nimekuwa wakwanza jamani nipeni like nawaomba sn mr clam you bing up sn
Huyu ndiye muigizaji hao wengine ni mnyaaaaa tulia niwapime sut
hii mi bdo cjaielewa vzr
Huelew nn maana ya mistake au huelew nn apo
Bonge la movie hii wewe tuliza wenge utaielewa tu mdogo mdg
Aanze upy kuangalia episode 1
Mistake kwa kiswahili makosa
Clam huyu mbwa ni balaa yeye anataka chapati na maharage😂😂😂😅
🔥🔥🔥Ila ongezeni dakika bhaan
Kazi nzuri...Story nzuri..Wasanii Wazuri...
Mwaka tobe huachi vituko unapenda misosi sana😅😅😅❤
Kuna tamthiliya zao za kiboya kule azam sinema zetu....Inabidi waje kwako wajifunze hizi kazi🔥
kitu bado iko tamuuuu❤❤❤ wapi likes za wakenya na watanzia Kwa Clam
Duuh 😂clam anaweza kabisa
Sasa huyo mzee anasikitika na kutaka kulia kwa sababu gani si ungese😂😂😂
Naifatilia❤❤❤❤kwa makin mno❤❤❤❤
ole wako utuletee mambo yako ya ndoto kaama yakule kwa Best friend🤣
😂😂😂😂😂😂 na vile niliifuatilia eti mwisho wa kwisha ilikuwa ni ndoto. Kisha kasahau aliota nn.😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂
@@sweetbabymwangi8373😂😂😂😂😂😂akatuweka njia panda aiseeee😂😂😂
Mdogo angu clamo hatari sanaaaa
Umemaliza vyema sanaaa leta mwendelezo kijana
Woi nimedani mimi ni wa kwanza 😂😂😂❤ mnipatie likes 3😂😂😮
Naombeni likes 8 to from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Emmanuel Saruni music
Jaman wewe izo zakupeleka wapi lakin
Leo Niko wakwanza naombeni like zangu clam vevo unajua kazi kijana wangu
Sending love from kenya....kazi nzuri sana
Daaah hapo kwenye namba ndo mmetupiga namba zipo 8 😂😂😂😂😂😂😁😁😁 haya bana
All Kenyans 🇰🇪 let's gather here and support our boi Clam😊
Nita tamani ni fanye na wewe kazi siku moja kaka yangu clam vevo
Hiii series uhakika unatumia hakili nyingi sana
On fire🔛🔥🔛🔥🔛🔥🔛🔥 clam like jaman
More love team Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Clam never disappoints much love bro vevo from Kenya😊
Nizuli sana kbx nineyipenda 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nishatokea jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂❤❤❤
Clam siku hizi kiukwel nakukubal unawahisha kazi saf sana
MISTAKE NI MOVIE MOJA KALI 🎉❤
th-cam.com/video/_rth73hbavw/w-d-xo.htmlsi=PPh2JkaX3YAkPtNM
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nomaaa jamaa ameshakuwa tatizo sugu 😂
Kazi safi sana. Naomba likes zenu
Much love from Malawi 🇲🇼 keep going vevo
Finally Sandra is back in the game❤😊
Mapema sana nimewai
Hakuna mkali kama wewe mr VEVO❤
Steve mweus na kicheche wawe 100 ndo clam mmoja
Mwamba amesituka wataliwa mama na wanae 😅😅😅😅😅😅
Eagerly awaiting for Big Boss season 2
Season 2 itakuwa ??
Mmmmh, tuendelee kusubir tu
Naona huyu jamaa anakuja kuziba pengo la Kanumba
Kabisa🎉
Safi sana kaka clam from ,🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ok
Hiki kipande dairecta kacheza sana nampa ongera zake siris ndoinavyo takiwa iwe ivi lazima uwe na ham ya kuangalia kipande kinacho fata
Comment Number 1, achia #link apa
Form Mozambique 🇲🇿
#sampalsa