Ninachompendea tem kakoso & clam yani hata wakitucheleweshea ndan ya siku 3 wanatulete kipande kirefe halafu kinanoga zaid ya kilichopita yani mko juu zaid wapendwa mnaweza Sanaa yani hamukeriii😂😂😂❤❤❤
Hii series ni nzuri Sana Tena Sana pongezi nyingi kwa Clam VEVO anawezaaa afu msiishiee kuomba like tuu toeni na pendekezo lenu yaani badala ya kuomba like msifie kwa kazi nzurii anayoifanyaa maana some times inakupa mawazo huku ukisema itatoka saangap ikiwa umechelewa apewe maua yake afu kuomba like baadae si mmeona me hata sijaomba like
Kazi nzuri clam vevo pongezi ziwafikie wale wote mlioshiriki kuitengeneza hii movie asa Kwa director kakoso,Mzee aliyekimbia na chupa,chaupele,pashambe,Mila,Zumba na mwasi. Ongereni Sana hatimae sasa himaya ya nzoya inakwenda kukombolewa❤❤❤❤. Ila tunawaomba msitucheleweshee episode inayofuata tunawapenda Sana timu clam vevo❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 tunawatakia kazi njema huko location.🎉🎉 Salute kwako director kakoso
🧭🤳 nimechanganya vikalio kufika hapa, lakini nikawa nimchlwa sana, maana Msumbiji 🇲🇿 Mkoan Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa hadi Tanzania Dar ni safári ndefu kweli 😢😊😊 like zangu tafadhali jamani walau hamsini tu 🤲
Kwani wao wenye kuomba like ivi mtazikula au shoboo TU....mbali na ivyo kazi nzuri guys....ila naomba chaupele aje Kenya tuje tujuane nimetokea kumpenda mie😅😅😅😅😂
Am from Kenya yani siamini kua vila aliwezwa hadi kwekwa kwenye chupa na venye nilikua nimemwamini. Okay just waiting for episode 26 please like zangu hapo nikiondoka
Wa mafia gonga like my jamani tunasubili mpk tunasubili tena mbona mmekuwa MNA chukuwa sk nyingi Sana hamjalusha mpk tunasahau Leo imeisha cjui lini tena jamani 🙇♂️
Ukipitiya comment yang ukisom vizur utagunduwa kuwa sikuomb like 😂😂so ukiwa unapenda snak boy ukitokey burundii tujuwane❤❤🎉🎉🎉🎉
Niko hapa🇧🇮
Tuko hapa
Tupo apa🇧🇮
Tuko hapa bj❤
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
wow hii siku nilikua naisubir kwa ham kuludi kwa clam na villa waliokua pamoj na mm weka like
Natokea kenya jana nilipigwa tiagass ya naomba likes kumi tu jamen
Ninachompendea tem kakoso & clam yani hata wakitucheleweshea ndan ya siku 3 wanatulete kipande kirefe halafu kinanoga zaid ya kilichopita yani mko juu zaid wapendwa mnaweza Sanaa yani hamukeriii😂😂😂❤❤❤
Uyu Ugonvi wa kipara n'a zinga na upenda jameni ata like moja naupenda
Hii series ni nzuri Sana Tena Sana pongezi nyingi kwa Clam VEVO anawezaaa afu msiishiee kuomba like tuu toeni na pendekezo lenu yaani badala ya kuomba like msifie kwa kazi nzurii anayoifanyaa maana some times inakupa mawazo huku ukisema itatoka saangap ikiwa umechelewa apewe maua yake afu kuomba like baadae si mmeona me hata sijaomba like
Kazi nzuri clam vevo pongezi ziwafikie wale wote mlioshiriki kuitengeneza hii movie asa Kwa director kakoso,Mzee aliyekimbia na chupa,chaupele,pashambe,Mila,Zumba na mwasi. Ongereni Sana hatimae sasa himaya ya nzoya inakwenda kukombolewa❤❤❤❤. Ila tunawaomba msitucheleweshee episode inayofuata tunawapenda Sana timu clam vevo❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 tunawatakia kazi njema huko location.🎉🎉 Salute kwako director kakoso
Kenya 🇰🇪 saika basi kuna mahandamano🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wa kenya wezangu kesho tena twende mahandamano kama uko tiari nipeli like🎉🎉🎉ruto atoke
Zoea prezo wako mapema ndio best ❤❤❤🇰🇪
Team strong hoyeeeeeeeeee umetegea snake boy ukiwa wapi jmn mm Niko Riyadh 🇰🇪🇸🇦🥰
Damam ❤❤
Oyee watu WA Dammam kwa mpigo
Hoyeee
Mm nko Jeddah
Sajir😂😂
MNAOMKUBALI CLAM LIKE APA❤❤❤🎉🎉ila watu Huwa mnalala TH-cam jmn dkk mbili comment miatano😅😅anewey kaz nzur clam ❤❤🎉🎉🎉🎉
Like🎉🎉
sasa hivi wabongo tuko poa sana tulizoea kuyaona nigeria duuh ,big up team vevo!!!!
Uyu kiparaa anaboaaa uliee furahi kumuona ntanzi gonga likes hapo ,,,najua kimu ameuaa ndembo😂😂
Alfu alifnywa nn n zinga eti
❤
Like basii
🎉🎉🎉🎉
Wakwanza from Kenya as we reject finance bill ,likes zangu zikuje
Like yangu niyaku reject finance bill
Niko hapa we rejected finance bill
Viva
Yangu ni ya reject finance bill
#REJECT
Nmekua watano leo nimejitahid sana kila siku nakua wamwisho
Mrembo nipe like basi🎉🎉🎉nimekupeya iyo mimi🎉🎉
Waliofurahia ntanzi kurud wote like hapa 😂😂😂
❤😂
tunaopenda kukimbilia kusoma comment uku tukiangalia snake boy gonga like
Aliyefurahi kumuona Ntanziiii😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂❤❤❤❤❤
Watu wana omba like #jamanii 😅😅😅😅SI #waombe hata bando2😂😂😂😂😊
Mie hapa naomba bando 😅
@@vellah-op4ut safii wewe mtu wa maana kabisaaa
😂😂😂
😂😂wanaboa kwan zinafaida gan?
wenda ndio chakula hata maoni hamuna
😂😂😂kumbe si umbea tu unao hata uchoyo eii zinga
Kenya nawarepresent❤
kali sana, hadi Farasi wametoroka 😅😅🔥 Episode 26 msiicheleweshe
My neighbor Kenya, tupo pamoja kwa kipindi kigumu, we love you, you lost your heroes, wapumzike kwa amani mashujaa❤❤❤
👊👊👊👊👊na kesho tunakula chakula cha raisi ikulu sai network iko chini ili tusiingie mtandaon ila tunaingia hivyo
Nipe like zangu all the way from🇧🇮to🇿🇦
Acha hzo support bana
Izo likes utakunya au
Wa pili mm nimepeni like za kutosha jaman
Vp uko bize na snake boy vp maandamano kwenu yameisha
Njoo utusaidie sasa😂😁
Hii snake boy inanipamba yaaani sichoki kabisaaaaa much love clam vevo pamoja na team yako ❤❤❤🎉🎉
Nipeni like🎉🎉
Kwani m ndio siwez zipata hizo like kwanini😢 naomb jmni
Nyinyi hamna vitu vya kufanya, kila mda online eti nipe like fyooto mimi ni wa nyoko. Waaaaacha! Les congolais vous êtes là 🇨🇩 ??
Waaambie bhana wanakera
😂😂😂😂 ns y sommes mn chef 🇨🇩🇨🇩❤, kwani fyooto na nyoko ni muhimu 😅
😅😅😅😅😅😅nimecheka
On est là mon frère 🇨🇩💪
😂😂😂😂😂😂😂
Am from Kenya tulikuwa maandamano ndio kurudi ,,,like 5 tuu please
Kumbe usiku hamuandamani manalala😂😂😂
Hujakatwa sikio
@@AgnesMasoud l thank God am safe we try again in Thursday,
@@THEblack8991 yeah usiku huwezi ona teagas 🤣🤣we just relax
Reject the bill n Zakayo must go
Mimi wa mwisho naombeni like jaman hata kumi tu😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kenya mahandalano😢😢😢50 personnel's wamefariki tuna msiba tupeni like🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭
Poleni 😭😭😭
Alaa kumbe tajiri akifulia huonea wivu hadi maskni ,zinga alipeana kuku saii ananyimwa mihogo😅eti maskini akipata Kuna vitu zalia mbwata😂😂
😂😂😂😂banawe alafu ss kipara bdo anahofia kusema kw wanaimaya
Movie hii inanipatia raha🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤,,, clam Vevo na wenzako, mbalikiwe. Pak toka Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
wangap hawataki zinga uchawi wake urudi gonga like hapa
Snake boy moto🔥 wa kuotea mbali bonge la season yani haijawahi tokea pig up sana wote walio shiliki kwenye snake boy❤😊🎉
Jamani wakwanza leo like kwa vevo boy❤❤❤❤❤
Support acha mambo ya like
Mi napenda sana movies zenu mungu awabariki ,naishi burundi
Acheni uboya na ufala like like
Mtakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
🎉Umetisha san CLAM pongezi kwenu pamoja na Director KAKOSO more love for you🎉🎉🎉
Humu kila mtu anasema yeye wa kwanza na anaomba like mnawasha mtafinywa na wachawi
😅😅😅😅 ni Nomaaaa wananeng'eneka
Jamani mimi na mshangazi wangu tunawafuatilia sana na tunapenda kazi zenu
Naombeni like angalau moja
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
Wakwanza kutoka kenya wapi likes zangu jameeni
Wenzako wanaandamana wewe unamuangalia Clam
Kirui ulihata mchele ya parliament
Anapata hadi time ya kucomment
Bana Ii bleina tunapigania inchi na Iko home inawatch TU pono na youtube
@@edwardngugi3537😅😅😅😅
Mtukufu we kila muda wali maharage ya naz khaa alafu mchoyo😂😂
Acheni kuomba like kama umeifuatilia snake boy tangu mwanzo kabisa unabudi kupiga like na commenti Toka Kenya mm wa kwanza💪💪 clam VEVO nakukubali
Nimekupa like🎉🎉
Leo wa kwanza mim toka songea Tanzania nipeni maua yangu🎉
🧭🤳 nimechanganya vikalio kufika hapa, lakini nikawa nimchlwa sana, maana Msumbiji 🇲🇿 Mkoan Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa hadi Tanzania Dar ni safári ndefu kweli 😢😊😊 like zangu tafadhali jamani walau hamsini tu 🤲
Moz 🇲🇿 em Mueda
Sorry iv it like mnazoomba zinawasaidia nn
Ila hawa wazee wa kijiji wamecheza uhalisia sana dah kwa wale wanaotambua maisha y kijijni ndo wataelew
Jameni Leo nimewahi Wa kwanza Leo naombeni like zangu🇺🇸❤️🩹🫰💪🎉
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
@@kalakido9455 🤣🤣💪
Acha ufala ndo uende kula ama😂😂
Sitki mtu a like hii comment yngu juu ya mtukufu mn hii comment haiwahusu kbsa team vevo moto sana
Wale wezangu na mimi tujuwane hapa nikiwa Mozambique 🇲🇿🇲🇿
2ko pamoja 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@@NorteCarlitosJohn tamos juntos 🫂
Naona Kila mtu anadai amekuwa wa1, sasa mm ni wa katikati naombeni japo like hata 10 tu zinanitosha please guys.
Watching From War Country 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 +254 lakini najitahidi kuangalia Tamthilia pendwa Nipeni likes wadau
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
Yes move nzuri tunayoipenda klambevo tunakusap 0:15 oti moja kwa moja kabisa inatisha sana 0:22 kama unampenda clam mugongeelike hapo
Reject reject reject the bill ❤safi sana team Vevo 🎉🎉kazi imenyooka mashalah ❤❤more 💗 from kenya
Nipeni like🎉🎉
Mdau wa maana sana na shabiki mkubwa snake boy mwanzo mwisho hongereni san kwa kazi njem mko vizuri san
Ni tamu sana kabisa karibu
Ni chief khan apo naombeni like kwa wanao mpenda clam
*`kama umefurahi kuona mwakatobe a.k.a zinga anagombania chakula weka like Kwa clam na sio kwangu`*•
Mwenye amefurahia kumwona mtanzi gonga like👍👍👍
Wà kwanza Leo naombeni like kumi2
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
Wakwanza nipeni like
Like🎉🎉
Nimekupa like🎉
Kwa leo nimechelewa kidogo aina shida kama una mkubali Clam veve dondosha like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
Kaz nzuri Ila mnachelewasha vitu et
Naomba like 10 tu kwa kufungua mwanzo😂
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
Unabeigan
Hilii naloo kumbee shengee😂😂😂
Wewe ndio mwenyemov au
Zina kusaidia nini like
Wakwanza leo naobeni like zangu Moz 🇲🇿🇲🇿🇹🇿
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
Yani nime fulai kumuona ntanzi na vila apo picha ndokwanza ina zidi kupendeza zaidi kama ume fulai gonga like
Good work in town #Clam Cris, Mungu akupe maisha marefu zaidi na yenye mafanikio tele uzidi kutuletea kazi nzuri kila leo, Amen🙏
From. Windhoek Namibia 🇳🇦 nimekuwa wakwamza droop my like
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
Weeeee weeeee kipara ntakupiga konzi la icho kiutosi kama pakacha
Ila Chaupelle.unanifurahisha unavyojizuzua gafla😂😂😂😂❤
Afu clam karudi mweusi kabisa😂😂😂😂😂😂😂 anatokeya chupani 😅😅😅😂😂😂😂
Kwani wao wenye kuomba like ivi mtazikula au shoboo TU....mbali na ivyo kazi nzuri guys....ila naomba chaupele aje Kenya tuje tujuane nimetokea kumpenda mie😅😅😅😅😂
Umeka kwa chupa sana clam asante kutoka inje tena ni Professor kutoka BUSIA border Kenya teso
From MOZAMBIQUE like for vevo❤
Tuko pamoja mozambique 😊
Na Mimi jamn sijawahi kupata like japo hata sijuw Ina maan Gani ili tumpeni mauya yake clam na kikosi chake maan wanaupiga mwingi jamm❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Africa yote ni Clam VEVO Kila siku....from south Africa
.. hogera kijana chapati
Hili filamu nimelipenda kutoka kenya sijawah ona filamu tamu kama hili
Nenda kaandamane
naona kila mtu apa wa kwanza n anadaisha like,,,nongwe tuh😂😂
Naomba like5 team vevo from kigoma
Hiii tamthilia ni nzuri sana inafundisha na enalimisha imeteka Africa mashariki na kati. Kama unabisha njoo na hoja za mashiko
wa kwanza Leo bila kuchoka clam master like zake tuweke apa😂
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
Asa matusi ya nn Kaka kama hauwezi kulike pita sio matusi afu usipende kutukan mtu ambaye haumjuw haukuniwekea bado
Kwa leo like tano zinanitoxha❤❤❤
Sasa hamtupigii simu tuje kuangalia mpaka nakuwa wa 155k sijaenda 😂
Daah so happy clam ur back.... Vila mzee wa kurukutanta mantete😂😂 . snake boy mmetisha knoma nomaa🎉🎉
Léo nime wahiii gonga lake 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 niko wakwanza
Ooooh jmny nimewah sana leoo naomben na mm basy nijue utam wa like 🎉🎉ata 5
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
@@kalakido9455 shukraan ila samahan tusifikie kutukanana kwa ajili ya filam tu hatujuani pls chunga maneno yako
Perfect sana Kaka, Allah azidi kukujaalia kila la kheri
Clam cris. Kazi zako hazijawahi kufeli. You so good ❤❤🎉🎉🎉
Kumbe sio umbea tu ata uchoyo unao aya ni makof ya mwana ukome ila mwakatobe 🤣🤣🤣💔
Mbona mimi sio wa kwanza kutazama chaneli hii ya Clam-vevo napenda sana video zake kutoka Kongo 🇨🇩🇨🇩🥰🥰🥰💯💯💯🎉🎉🎉
Like🎉🎉
kusemakwel uyu jamaaa anajuwa sana ilakuna watu hawapend kazi yake hila kwangu mm haaa namkubali sana
mliokua United state like hapa
Kama unamkubali cram vevo na snake boy gonga like hapaaa
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
@@kalakido9455 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Like🎉🎉
Nili isubiri sana🎉🎉
Am from Kenya yani siamini kua vila aliwezwa hadi kwekwa kwenye chupa na venye nilikua nimemwamini. Okay just waiting for episode 26 please like zangu hapo nikiondoka
Wa mafia gonga like my jamani tunasubili mpk tunasubili tena mbona mmekuwa MNA chukuwa sk nyingi Sana hamjalusha mpk tunasahau Leo imeisha cjui lini tena jamani 🙇♂️
Watu bwana baada ya mtu andike comment yake et anasoma ya kwangu nipeni like jaman mashabiki wa snek boy
Kma hutaki isomwe usiandike
I like you @@muhsinhassan5273
Mhh
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
Himaya 😂
Ila uyu mwamba mbilikimo anapenda sana wali kubababake 😂🙌🏾
Hamjasema mpaka mseme n mtasemaaa😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
Mfaume ndio uwe joka hivyo unamtisha mshangazi jamani 😅😅🔥👏👏♥️
Tunamkubali mashambe tujuane😅😅😅😅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
DOGO UNAJUA SANAAA IPO SIKU NITAKUTAFUTA GONGA LIKE APA CLAM
Acha uboya na ufala like like
Utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii!
Tunaokubali series ya snake boy boy tujuane kwa like za kutosha...😂😂😂😂
Like🎉🎉
Mungu akuongezee ubunifu mtunzi all in all nawapenda San Kaz nzur🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Vipi pongezi za zinga ameigiza ......like
Nipeni like zangu wakwanza from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮