Clam ni ushauri 2 cnow mnapata veaws nyingi kiufupi mpo juu kiasi Fran.... Bs jmn mpendezesheni huyo dada kdg awe nakamuonekano fran hivi!!!! Km wale wadada wa Mr big big
Kweli Wanawake dhaifu warahisi kudanganyika na hivyo ndivyo Hawa alidanganyika akaleta Dhambi duniani ona alikuwa Kesha danganyika akataka kufungua chumba sasa Kama kungekuwa na mzimu humu ndani ungefanyaje
Kila kitu kina sababu hio ilikua n sababu tu,ilikua ni mipango ya mungu awalete duniani Ili tuzaane na ndo mana ukazaliwa na wewe, bila ya huyo Hawa kuteleza wewe usingekupe na kuanza kukoment Leo hii
Vp man,naombeni hata likes Kumi tu🙏🙏🙏🙏🙏🏿🙏🏿
Pesaaa weee tafuteni jasho lenu pesa za haki yenu sio majini
Nakushukuru kwa kazi zako kutoka DRC 🇨🇩 eloko ya makasi mbok'elengi nchi ya Fally Ipupa icon ya nchi yangu
Mwendelezo jamani
Clam ni ushauri 2 cnow mnapata veaws nyingi kiufupi mpo juu kiasi Fran.... Bs jmn mpendezesheni huyo dada kdg awe nakamuonekano fran hivi!!!! Km wale wadada wa Mr big big
Unashauri mzimu uwe na bwana upate raha😂😂😂sijapenda
MAASHAALLAH, vizuri sana❤,
Ahahahaa et awe nabwana😂😂
Shadow mwana yanga mwenzetuu👏👏😘😘💚💚💚💛💛💛 nakupenda sanaaaa babaaaa Pga Kaz
Man one love
Mlinzi ni Mwenyezi Mungu tu si jini au kiumbe chochote.
Eti itabidi uwe na bwana 😂😂😂😂😂mme wangu angekuona ww iclamu kauzu ww one love from kenya nawapenda wabongo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Very top atafute mzee aawache kuharimbia wengine ❤
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 nakubali kazi kabisa wa ndugu zangu ila Allah aendelee kuwapa nguvu zaidi
kazi zuri sana from kenya 🇰🇪
Clam unanifrahixha xan 🇹🇿🇹🇿🔥
Nakubali Clam Vevo nipe like zangu 🇨🇩🇨🇩
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 anataka kuuponza🙌🙌
😂😂😂😂😂😂😂clam waaa kazi nzuri broo yani nmecheka
Mlinzi mwenyewe hata kutembea vizuri hawezi eti analinda analinda nn😂😂😂
Ninoma sana hili duu msukule ata fute bwana kweli aise
Umeskia clam Huyu mtoto wa mwanza nampenda🙈
Clam vevo umetisha mwanangu nakukubali kishenzi
😂😂😂😂 balaaa!
Muigizaji mahiri, 💪💪💪
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka jamani asanten sana
Uyu jini ni jini mahaba 😁🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Eti atafute bwana wake,hahahahaha🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉.
Duh clam kiboko nakupenda bila ela
Aki amungu 😂 umenifanya nimecheka kifala kwer 😂
Clam Vevo natoa saluti baba from Burundi
Oya nakubali😂😂😂😂😂😂😂
Kweli Wanawake dhaifu warahisi kudanganyika na hivyo ndivyo Hawa alidanganyika akaleta Dhambi duniani ona alikuwa Kesha danganyika akataka kufungua chumba sasa Kama kungekuwa na mzimu humu ndani ungefanyaje
Muheshimu Sana HAWA Kama unavyo mueshim mama yako hawa alitimiza tu andiki la Mungu
Kila kitu kina sababu hio ilikua n sababu tu,ilikua ni mipango ya mungu awalete duniani Ili tuzaane na ndo mana ukazaliwa na wewe, bila ya huyo Hawa kuteleza wewe usingekupe na kuanza kukoment Leo hii
Wamama hudanganya wenzao.. Tusiskize wake wenzetu tukiwa kwa ndoa
Nashukuru kwa kazi unacho kifanya, 🇨🇩🇨🇩
Ongela kaka kwa kazi nzur
Clam na shadow muko talented jaman😂
Good job 👍 👌
Keep it up,, mko vizuri mtafika mbal
🤣🤣 Eti atafute bwana na yeye we Clam wewe unaniumiza mbavu uku😂😂
Bwana mwenyew ndo uyu😂😂😂
Team clam VEVO mko yuu Allah awazidishie na wambenda buree
Utajiri wa magumashi ni shida tu,kwa stlye hiyo ya kuishi na misukule duuuh.😜😜
Nakubali sana kazi yako. Niko 🇲🇿
Mshaara wa dhambi Mauti mmesahau ama.
Very good😢
Big love ❤️
Nzuri sana
Utauponza🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂😂
jamani VEVO nimecheka mpk tumbo linauma na uyo msukule wako❤❤❤❤
Dogo mm nakukubali sana nakufuatilia tangia mtoto nakukubali sana
Alafu huyo dame anaitwa nani huyo mwenye anaigiza Kama mkewe clam???
@@luckydavesimba9548 kim
🤣🤣🤣🤣 Utajiri wa majini unasumbua sana 🤣🤣🤣
❤❤❤❤❤❤😊
VIZURI❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu dada kuigiz anajua sana😅😅😅😅😅
😂😂😂😂nakukubary sana!!!!!
Jini anafungua mlango ananyata😀😀😀
Leo niwai kidogo nice 😂😂😂
😅😅😅😅nzuri Sana hongera Sana
Clam Kwa saivi mmeendelea ila na huyu dada asuke jamani mana kidogo hapendezi
Wewe ndio hovyo Sasa kumbe, yuko natural vizuri sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 utakomaa mturiki kunajoka hukoo
Very talented boys
Mr clam nos te seguimos muito estamos a pedir presente🎁tupe sawadi bana SI tuna kusapote ujuwe?
🎉🎉🎉🎉😂😂
😄😄😄 Msukule utafute bwana
Mlinzi analinda nn sasa😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 nakubali blo
Atauponza 😂😂😂😂
Kali sanaa 🤣 nme enjoy
We Naijuwa iyooo😂😂😂
Good work guys
Ziwa uhakk 🤪
😂😂😂😂et anasema analinda nahata kutembea kwenyewe hawezi analinda nn😂😂😂😂😂😂🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣jin hapate bwana anyanduane🙌
🙄😄😀😂🤣🤣🤣🏃🏃🏃
😂😂😂😂😂we cram umenishinda tabia msukule apate bwana😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂sana kwa kweli
Hiki kideme cheusi ni pisi kali hatariiiiii
😂😂😂 Jini anaingia kwa kufungua mlango halafu ana rembua
Jin Kabula 😂😂😂
Jin gan Hy😂😂😂
Jini wa mchongo huyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ety bwana wa kaz gani🤣🤣
Bongo bhana...Jini anafungua mlango
Clam màmbo? Nakupenda sana, nikol ama uniflash
Hahaha ala alaaa
kazi juuu ya kazi
Uta uponza🤣
😀😀😀😀😀hii kali jamani nimecheka mmmh eti kwasabu tu navuta bangi siogopi anajikaza tu
❤
❤❤❤❤
Acheni usengerema mnawezaje kutwa uchawi mizimu acheni usengerema fanyeni kazi, hamna aidia nyingine ni moja tu uchawi kuma-- maliza matatizo
😂😂😂mmekutana pipa na mfuniko we clam huy mkeo😂😂🙌🙌
🤣🤣🤣🤣🤣utauponza kutamani za bure
Vevo mo nakusaluti kutoka kenya
Yani nimecheka hapo ulipokuwa anataka kwenda chooni hicho kichambo cha mzimu et atafute bwana😂😂😂nakirudiarudia🤣🤣wallah
🤣🤣🤣🤣🤣👉
Like wise
😂😂😂😍😍
@@rajabkitonyo5641 mbbvvvv
Huyu jAmaaa WA ovyo hahahahaha
Clam sujaa huogop 😂😂😂😂😂😂
Hahaha 😀 😀 eti inabidi uwe na bwana yako 😀😀😀
Bonge moja la movie
Aisee nime furahi sana comedy interested
Noma San
Safi shadow 😂
atafute bwana😂😂😂😂😂❤🎉🎉🎉
Katisha sana
Atafute bwana🤣🤣🤣
Atafute bwana🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂ety jini apate bwana jaman clam noma
Endeleza kipaji unatisha😆😆😆😆
Naipenda sana 🎉❤