Kwa kweli hii movie ni kali yani ina full actions za kutosha,hongereni sana ,natamani muwe mnatoa kila Siku episode Ila haiwezekani sababu inachukua muda kujipanga Ila tuko pamoja
Watching al the way from kenya wapi likes zangu wale waa congo, Tanga,burundi,rwanda, naa wegineo kama unapenda showw yaa clam mostly hapo qwa mwakatobe weka likes
Mtazamo ni kwamba hii movie mbere inapoenderea wenda ikawa kuna clam wawili humu ambae wanafanya matukio tofaut tofaut au clam itakuwa kuna mtu amefanana nae yaan duplicate au ni ndugu anamsaidia clam pale anapokutana na matatizo maana ya kufikilia hivi kuna vitu naona kama ni vya tofaut na ilivyoanza nachojiuliza clam kajifundisha wapi kupigana hivi wakati anakimbia kule kwa wale majambaz alikuwa awez kupigana xaxa uyu wa saivi kipande cha 6 anajua kupigana vipo vingi tu ila huo ni mtazamo wangu wacha tuone movie itavyoenderea
Angalia tena dk ya 11 Maelezo yametolewa "ni MUASISI NA Alikua Kiongoz wa kundi hilo,akakamatwa akafungwa kisha alipotoka akaondokaga Kisha AMERUDI TENA".
Nime rudia karbu mara kumi hapo kweny mkono mkavu wa Clam nani apenda kma mm tujuane❤❤❤kwa like n tumpe maua yake vevo🎉🎉🎉
Nmechelewa lakni nmefika. Watu wangu Wa mombasa Kenya😍 🇰🇪 like tano tu inatosha🔥🙏
th-cam.com/video/_rth73hbavw/w-d-xo.htmlsi=PPh2JkaX3YAkPtNM
Tulopenda ngumi likes chache tyu ata mbili👍
Mwanangu sio Kila muvi unakuwa star wape nawengine
akupe wewe au
Hum kunawatu wanakel badala wazungumzie mve wao ni mm wakwanz mm wakwanz kam wamelogw
kuna mwana tabia ya umbea hajaacha tangu snake boy 😂😂ndomana Mwakatobe alimgeuza bubu
😂😂😂
Kwa kweli hii movie ni kali yani ina full actions za kutosha,hongereni sana ,natamani muwe mnatoa kila Siku episode Ila haiwezekani sababu inachukua muda kujipanga Ila tuko pamoja
Clam VEVO Hadi kwenye ngumi yupo vizuri hongera sana kazi nzuri
Hapa sasa kaka nimekubali show zakoooo
Usicheleweshe sana bro unapunguza utamu
We mbwela unaona malinjilinji😂😂😂 pumbavu zako...umeupigaje apo 🙌 🙌 🙌
Watching al the way from kenya wapi likes zangu wale waa congo, Tanga,burundi,rwanda, naa wegineo kama unapenda showw yaa clam mostly hapo qwa mwakatobe weka likes
Waaauuu leo nimewahi naomba lake jamani❤❤❤❤
Nyiie kwan uyu dem kuongea mpka afanyee hvo suraa jamni😅😅😅😅😅😅
Jameni much love from Burundi 🇧🇮💪❤️💪
Kazi njema ndugu zangu endeleha kupambana
Na mimi WA 10000000 naomba likes zangu please ❤❤
This is the best episode ever.. nimependa ngumiii😅
Pameanza kuchangamka sasa 😂 haya ndo mambo tunayoyataka big up vevo🎉
Kazi safi Clam, naona mambo inaanza kua 🔥🔥
Kwenye miteke umeupiga mwingi🎉🎉
Real art❤..... Clam you are on another level......let's see what you are capable don't expose through saying
UNHAMA MUINGI CLAM TEAM... MUCH LOVE FROM MOZ🇲🇿
😢th-cam.com/video/_rth73hbavw/w-d-xo.htmlsi=PPh2JkaX3YAkPtNM
Kazi nzuri Vevo nakupenda Sana Na acting yako
Oya mbwela kweli mla fegi siyo kwa kutoa moshi hivyo mzee😂😂😂
Mtazamo ni kwamba hii movie mbere inapoenderea wenda ikawa kuna clam wawili humu ambae wanafanya matukio tofaut tofaut au clam itakuwa kuna mtu amefanana nae yaan duplicate au ni ndugu anamsaidia clam pale anapokutana na matatizo maana ya kufikilia hivi kuna vitu naona kama ni vya tofaut na ilivyoanza nachojiuliza clam kajifundisha wapi kupigana hivi wakati anakimbia kule kwa wale majambaz alikuwa awez kupigana xaxa uyu wa saivi kipande cha 6 anajua kupigana vipo vingi tu ila huo ni mtazamo wangu wacha tuone movie itavyoenderea
Angalia tena dk ya 11 Maelezo yametolewa "ni MUASISI NA Alikua Kiongoz wa kundi hilo,akakamatwa akafungwa kisha alipotoka akaondokaga Kisha AMERUDI TENA".
Kwa uelewa wko kuna kitu umeniambukiza kuna wakat nilishindwa kuelewa but now napata hamasa ya kwendelea kufatilia nijue kipi kitajili much love
@@DavidMgaywa-zd5kd tuenderee kufatilia kaka clam anajua kupangilia script zake ayumbi🔥🔥
Sema akiwa anapigana sio yeye ndio maana amevaa mask , yaani ni mtu mwingine ndio anapigana then wakitulia wanamuonesha clam
Kumbuka alikuwa anaumwa Kila anapotaitiwa
Nafurahi sana kaka vevowewe ni hatari sana from RDC 🇨🇩🇨🇩
New Steven kanumba in town🙌🙌 clevo Bora umeachana n makomedy ukiigiza serious unakuwa noma sana Tanzania nzima we ni namba one Kwa sasa
Action ndio best thing ever in this series😂😂😂
th-cam.com/video/r2iEjIz-D30/w-d-xo.htmlsi=ihbQK3DIjWbRGLAI
Sisi kama wakenya tunaendelea kuongea kiingereza Kwa giza😂
iyi kali kabisa ngumi oh clam we love you❤
Mwakatobe never disappoints
Yaan katika movie zako clam huna baya lkn hii nime ikubali zaid bg up sana boy
God bless you Clam .....umepea vijana wengi kazi na kuwainua..... congratulations
Aahhh Kuna mwamba namjua hapa
Abdul mgaza 🔥 ndio septa zako baba za ngumi
Keep it up
😂😂😂😂 kumbe KINYEREZI MKOA MWINGINEEE
😂😂😂😂 duh ni hatari
VEVO na ngumii kumbe unajua na hausemii😂😂
Wakenya kumbe tupo wengi apa ebu tujuane basi❤
Kweli kram unaweza kila kitu had action uko vizuri mapigano
Daaa wew ni bondia clam unazichapa malizana na huyo nokupeleke Kwa mwakinyo mkazichape
Very talented man .. congratulations Clam be blessed always
Nakupenda Sana mbwela❤❤❤ Ila sijapenda kukuona katka Hali Na mzingira hayo
Sasa hizi ndy movie zetu CLAM VEVO utaongeza mashabiki wengi sana 👏👏👏👏
Isay kaka umetisha sanaaa mungu akiendeleze kipaji chako amiina
Izo ngumi ingekua kweli Mwakinyo tungekuw tushamsahau
Clam nimependa pambano unajua sana ngumi chukua hiyo 👉👉💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼
Hapo nayo umetisha kwa ngumi much love
VEVO balaa, Hilo Buti la spring propell round kik
Dah kumbe na mambo yang yapo ya karate ❤❤❤ , nakubali , unyama mwingi sana
Clam unajua kweli mangumi au muvi tu
Clam namba1 tanzania kwa actors much love from mwanza tz
Hili dubwashika ni kubha sana aisee 🙌🙌🙌
Utamu Utamu kazi kazi huko mbele kutakua kwa moto sana
Nakubal clam matekemia🎉🎉❤
Kazi nzuri mfano hakuna ila mnachelewesha kutoa ingine
Aah unatuweka sana vevo😅😅ila kazi nzuri 🇰🇪🇰🇪
Mzazi clam vevoo umetisha namuona kabisa kanumbaa yule soon tu ni jambo la muda tu
😅😅😅😅😅Vevoooooo...master wako Yuko vizuri baba😮😮😮....Zile ma flying side kicks ndio zimeni nice
Kazi nzuri sama clam vevo,hata hayo mapigano nimekubali
from Drc Uvira nakukubali kinoma vevo
Eh baba kumbe Ata ngumi unazichapa😂😂😂 sopoa😅😅
Mistake ni kali kinoma 🔥🔥🔥💯💯💯💪
Hongera sana claim kwa series wee ni namba mmoja ❤
Clam unazingua... mateke yote na ngumi zote no Dam😅😅😅😅😅
Akiweka damu tu Community guidelines za youtube wanazingua
Kumbe mpaka punch unagusa Safi Sana God bless you
Wao mbwelq nakukubari sanq
sikujua vevo anaweza act action, big up makuu mnafanya kazi njema
Na mkono unaweza bro Fanya utoe na mkono Tena mkono mkali
Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮 lakini nimechelewa kidogo kama unaipenda Mistake gonga like zenu hapa🍑🍑kwenye makalio yangu😂
Vevo the best sana 🙏🙏🙏🙏🙏🖐️😀🖐️😂😂😂😂
Broo ni ww uliyefight au umetumia stuntman coz ni 🔥🔥🔥👍👍
Mko fasta wadau Big up Clam kazi mzuri mno pokea maua yako 💐💐💐💐💐
😂😂Hapo kwenye Action ni Bollywood movie kabisaaa nirijua wazungu😂😂 shout out mzee
Hahaha duuh we clam ww mungu anakuona vipaji vyote ivyo vyako hee
Kwaiyo mkaona isiwe tabu mkaenda kushut standi kinyerezi😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂
Clam umenigusa hizo ndo zangu
Sema hapa mmetisha daaaaaahhh 🤜🤛💪
Best episode for me❤❤❤❤
Much love from DRC 🇨🇩❤
Sema director umezingua kinoma😅😅😅😅 heb tupeni kaz nyingine hii sijaielew
Mwanetu unapiga kweli dahh!!!!, nakukubali Kinoma, unyama mwingi⚡⚡
Waaaah...Clam weeeh mwamba..Yani adi ngumi uko saw...👌👌💪
Love you guys much love from kenya❤❤❤🎉🎉🎉
Am happy to see Sarah back. I love this lady ❤ Following from Kenya
Vevo hii ngumi kk Mbona kama mbele kkngu. Mmmmh kaka hii Kazi kubwa sana.
Clam kumbe so chapati na maharage tu kumbe hata ngumi pia upo good. Nice broo 🎉🎉
Saiv nmejua kwann unachelewaga kuachia daah!!! Unatisha sana
Clam Vevo tu es vraiment meilleures na kufata tokeya Congo
Bongo ime develop sana
Duh bonge 1 la kazi,unaangalia hadi unatetemeka km jambazi mpenda kula,big up Clamo na timu yako.🤛👊👎👍👏👏👏Respect&Salute
bro ume ticha kinyama yani good job from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😅😂clam kumbe yupo vizuri kwenye ngumi hahaha nimeipenda hio
Fire🔥♥️♥️
Clam vevo ni mwamba sana ❤❤❤
Clam we noma adi kuenhe aston
Oya bro u deserve an Oscar award bro
Wow mkono Kama India yani I love Niko hukuuuuu 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Kumbe action uzim9..good job 😮
Ngumu kama hizzo tulikua tayari tumesau
Io mchoze ya viza sipendi anyway naomba like moja Tu from Kenya