Nimejifunza 1. Cyber bulling us real 2. Trust no body fear everybody. 3.Intelligent women have a small productive cycle of women friends . 4. You will never know a man if he is broke. 5. Peer can influence your behaviour if you are not careful you can adapt bad behaviour 6. God had plan for you 7. Never share your personal issues with other 8. Never inherit others quarrels
Jamani ujanja kuokoka kuna ufungulivu, Yesu kristo ndio jibu la maswali yote. Alipomkubali Yesu ndipo milango ilifunguka waganga walishindwa. Mwanaume ni mmoja tuu ❤ Yesu Kristo.
From Zero to Hero. Mdogo wangu Mungu aendelee kukuinua nikikumbuka ulipotoka mpaka ulipo kwa kweli sifa na utukufu umrudie Mungu. Asante kwa kushare story yangu na kuinspire wengine. Nakutakia kila la kheri kipenzi.
Mie Pia nakushukuru saana dada angu nikikumbuka uliko nitoa kwa yule mnageria na kunianza kunifundisha biashara ndio mana uwaga nasema jamani ladymacollection imetoka kwa zuri hakunaga anaye nielewa kwa ule wakati ulinisaidia mno kuwa busy na biashara pia ulinisaidia saana kumfokea yule kaka alikuwa anani treat vibaya . Watu awajui ulikuja kwenye maisha yangu kunipigania. Mie nakushukuru saana da jestina Ahsante saana sana kwa maisha yako kwa kunisimamisha kwenye maisha mengine kabisa .Ahsante saana
Mtoto wa rafiki angu aliniachia amesomea hivi. Finance, Accounting and Bank Kama kutakuwa mtu ana nafasi yoyote ya kazi nilikuwa naomba msaada ya kunisaidia mwanangu nitamshukuru saana .. . Najaribu biasharaa naona vitu havijakaa Sawa . Kichwa kinaniuma nimemwandalia passport Yaani nikipata kazi tu nje nimpeleke uyo mtoto . Yaani au Mtu anishauri ukweli unamweka mtu huru jamani Ahsanteni saana bado na fight kwa maisha ya mtoto wa to rafiki angu lazima nilipe fadhira ata kama mama yake hayupo duniani.nakumbuka msaada wake kabisa
Yaani nimekupenda unajuwa kuadisia unachekesha na umeuzurisha pale ulivyo sema msiba nimeumia sana roho yangu pole kwa yote misukosuko .na hongera kwa kupambana. Hongera Dada SHENA.
Ukiwa mke wa mzungu jifunze kujali maisha yako, mume wako, na zaidi kuwajali wazazi hapo ndipo utafanya maendeleo. Marafiki na ndugu wengine watakupa stress tu, mimi baada ya ndoa 2012, nilikata marafiki feki wote na kuanza ukurasa mpya.Hapo ndipo niliona raha ya kuolewa na mzungu.Mdogo wangu jipende na focus na maisha yako usishindane na watu na kulazimisha urafiki na mtu.watu tumetofautiana malezi, wewe unaweza kuwa umetoka kwenye familia yenye utulivu ukakutana na marafiki ambao wana tabia za ajabu hujawahi kuziona kwa umri huo stay safe.
Story ya huyu Dada yatia moyo sana. Na karibu yaani almost like mine. But nilipomrudia Mungu naona Mungu akirudisha kila kitu nilichopoteza. Marshall yake yote niko kwenye hicho kiatu.
Yes nilikuja sababu ya mdogo wangu kwa birthday ya mwanaye na yake for respect what she did to me 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼🔥🔥🔥 it was Siri ya familia but is better kuacha vitu wazi watu wajifunze makundi marafiki sio Kabisa .. saizi sitoitaji watu wasio jielewa Amen 🙏🏻
Great testimonie! Movie material❤ila Shangazi😂inabidi atubu ila pia bila.shangazi usinge mjua Mungu yaani kila kitu Mungu anaruhusu kitokee maana anamakusudi na sisi True don't trust ANYBODY
Inafundsha wadada wa tz wanaopenda wanaume wa njee😢wakijua nje ndo kwenye life maisha ya mtu upangwa n MUNGU poleee bt saah uko sawa neema ya MUNGU imekufunikaa
Pole sana dear pia Hongera sana stories imeningusa sanaaa usiwe narafiki mama yako na baba yako ndio Rafiki zako Duuuu inaumiza Sana mtatangulize mungu2 ❤❤❤❤
Kweli maisha yako ni ushuhuda wa kweli, na umetufundisha kutokata tamaa. Ndio maana wanasema ukitamani maisha ya mtu uwe na uwezo wa kuhimili changamoto lakin wengi wanatamani maisha ya watu lakini hawako tayari kuzikabili changamoto. Hivi watu wanaofanya ubaya kwa watu hua mnafaidika nini? Upendo ni kitu cha msingi, wivu haujengi jamani. Tumuogope Mungu, tupendane❤
Shena , fundisho kubwa nililolipata ktk mahojiano haya ni kutokata tamaa ktk kutafuta , kuwa msiri , kumuomba Mungu ktk kila jambo , na kuwasamehe wabaya wako pale inapobidi kufanya hivyo . Tukumbuke ya kuwa , maisha ni safari ndefu .
msaada wa kudumu kweli unaumiza na mtu ana take advantage kwa alichokusaidia na atataka uwe mtumwa wake mm nimemelelewa na mama angu mdogo lkn kanitesa sana kafika hadi ananifanyia ushirikina sababu ya msaada wa kudumu.
Lady ma nime kuelewa sana... Mimi mwenyewe nime pigwa matukio balaa. ila kitu kimoja hata farao nae alikua na mchango kwa musa. Huyo rafiki yako alie kusaidia kupata kiwanja, alie kusaidia kupata huyo boyfriend ni mungu ali waweka hapo,kumbuka uzuri huo basi mshukuru mungu sio lazima uwe karibu nao au kurudisha urafiki, wewe endelea na maisha yako, wakisema wame kusaidia so what? kuna kupunguzia nini wewe? na ina elekea hata huyo baba huja mpa moyo wako kisa mzee na ume unganishiwa na rafiki. Bado akili yako haija komaaa kuna utoto bado. Ila nime kupenda sana.
Ni kweli kabisa, mafanikio haya tafutwi kwa kikundi, kuna lazima mmoja aingiwe na roho mbaya, sisi wanadamu husema tunataka watu wafanikiwe ila wakifanikiwa ndio shida ina kuja hapo. kwani ni yeye sio mimi? yani wanadamu watakupenda mnateseka wote, ukifanikiwa tu adui yao, ndio maana matajiri wengi duniani unakuta wakisha kuwa matajiri wana chukiwa na wanajenga ukaribu na urafiki mpya na matajiri wenzao.
Kuna mtu kaniambia hii kitu jana usiku.ninataka kuanza jambo fulani nilipomwambia nataka angalau nianze na mtu. Akaniambia nianze mwenyewe nibebe maono yangu nikianza na mtu anaweza kuja kuwa mwimba. Hii comment yako imepigilia msumali..asante mno ni kama umeiweka kwaajili yangu
For sure ile part ya mwisho ya kusema umerogwa saana jiangaikie 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 uwaga namshukuru Mpaka sasa hivi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 teena anakuambia shangaz hapa mjini ana waganga 100 😂😂😂😂😂 ila namuombea saana nikimuonaga hivi Z naona bado kapigwa 😭🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 hayupo vile shangaz kaalibu family ya yule mama mno kha .family zesty hizi buana but I’m ok now Nipo ok
Waaaa
Powerful testimony keep it up my daughter
Mshike sana huyu Yesu mtenda maajabu.
NIMEKUPENDA BURE yaani mzuri African queen 👑 na mzuri hasa na hustle zako za maisha Mungu ni mwema ❤❤❤
Nimejifunza
1. Cyber bulling us real
2. Trust no body fear everybody. 3.Intelligent women have a small productive cycle of women friends .
4. You will never know a man if he is broke.
5. Peer can influence your behaviour if you are not careful you can adapt bad behaviour
6. God had plan for you
7. Never share your personal issues with other
8. Never inherit others quarrels
Story nzuri sana,amefunguka,ametufundisha vitu vingi sana.hongera Shena unatukutanisha na watu tunajifunza mambo mengi
Jamani ujanja kuokoka kuna ufungulivu, Yesu kristo ndio jibu la maswali yote. Alipomkubali Yesu ndipo milango ilifunguka waganga walishindwa. Mwanaume ni mmoja tuu ❤ Yesu Kristo.
Chezea yesu wewe yesu ndo klakitu
Asante mungu hakika umwema sku zote
Aaaaaamen
@@Judy-dy4zt. Kila kitu kweli mana katuonyesha mpaka maajabu ya Mungu kuteswa na aliowaumba, Isitoshe akafa na kuwaacha aliowaumba.
@@Fear_Allah394😂😂😂
Hongera sana Miriam kwa kumuona Mungu. Daima pigana vita vilivyo vizuri na kumbuka Waganga wanakufa ila Mungu anaishi Milele yote.
Jamani ina maana kupata maisha ni lazima kuwatumia wanaume jamani? Wanaume mna shida sana, poleni.
Karembo sana pia hongera dada una rangi nzur
Shukuru Mungu Lady Ma na utoe Sadaka kwa Mungu umepita na kuibiwa simu ilikuwa mpango wa Mungu kabisa
Pole Sana na Safari ya maisha Miriam, Marafiki siooo dear , wasikie tu kwa watu hawafaiiii hata
Mungu akupe Hekima zaidi na zaidi.
Hakikaaa
Shena hongera Sana kwa kipindi chako,tunapata shule kiwango Cha juu!!!
sawa sawa maryam ishi ivwo ivwo mungu yupo na ww maisha ya kujionesha hayafai dunia watu wengi wabaya
From Zero to Hero. Mdogo wangu Mungu aendelee kukuinua nikikumbuka ulipotoka mpaka ulipo kwa kweli sifa na utukufu umrudie Mungu. Asante kwa kushare story yangu na kuinspire wengine. Nakutakia kila la kheri kipenzi.
Mie Pia nakushukuru saana dada angu nikikumbuka uliko nitoa kwa yule mnageria na kunianza kunifundisha biashara ndio mana uwaga nasema jamani ladymacollection imetoka kwa zuri hakunaga anaye nielewa kwa ule wakati ulinisaidia mno kuwa busy na biashara pia ulinisaidia saana kumfokea yule kaka alikuwa anani treat vibaya . Watu awajui ulikuja kwenye maisha yangu kunipigania. Mie nakushukuru saana da jestina Ahsante saana sana kwa maisha yako kwa kunisimamisha kwenye maisha mengine kabisa .Ahsante saana
Mtoto wa rafiki angu aliniachia amesomea hivi.
Finance, Accounting and Bank
Kama kutakuwa mtu ana nafasi yoyote ya kazi nilikuwa naomba msaada ya kunisaidia mwanangu nitamshukuru saana .. . Najaribu biasharaa naona vitu havijakaa Sawa . Kichwa kinaniuma nimemwandalia passport Yaani nikipata kazi tu nje nimpeleke uyo mtoto . Yaani au Mtu anishauri ukweli unamweka mtu huru jamani Ahsanteni saana bado na fight kwa maisha ya mtoto wa to rafiki angu lazima nilipe fadhira ata kama mama yake hayupo duniani.nakumbuka msaada wake kabisa
Lady ma uliisha mjua Mungu anashighulika na kila kitu chako
The skin thou❤❤❤
Ss we ushajua Mungu ndo alikusaidia
Kwahiyo hata hizo biashara zako mtangulize Mungu pia utafanikisha tu
A/alaykum storry nzuri sana yakufundisha maisha uyo mschana hodari m/mungu atazidi kumfungulua milango ya khery moyo wake msafi
Duuh marafiki walikuroga usifanikiwe pole sana my dear
Story ya huyu dada imenifunza mengi, Mungu aendeleye kukubariki
Yaani nimekupenda unajuwa kuadisia unachekesha na umeuzurisha pale ulivyo sema msiba nimeumia sana roho yangu pole kwa yote misukosuko .na hongera kwa kupambana. Hongera Dada SHENA.
Lady ma umeongea vitu point sana marafiki sio maisha ya ukimya ni mazuli sana
Da Shena napenda kipindi chako, napata elimu nzuri sana.
Nimecheka unachekesha lakini kuna funzo kubwa sana. Hongera dada
Dada pole sana hivyo yote ni motihani y huku ugenini
Ukiwa mke wa mzungu jifunze kujali maisha yako, mume wako, na zaidi kuwajali wazazi hapo ndipo utafanya maendeleo. Marafiki na ndugu wengine watakupa stress tu, mimi baada ya ndoa 2012, nilikata marafiki feki wote na kuanza ukurasa mpya.Hapo ndipo niliona raha ya kuolewa na mzungu.Mdogo wangu jipende na focus na maisha yako usishindane na watu na kulazimisha urafiki na mtu.watu tumetofautiana malezi, wewe unaweza kuwa umetoka kwenye familia yenye utulivu ukakutana na marafiki ambao wana tabia za ajabu hujawahi kuziona kwa umri huo stay safe.
Kweli Na nimesave notes Asante 😍
Nimekupenda bure wewe dada pole sana kwa uliyoyapitia Mungu ni mwaminifu wewe ni jasiri sana nani mchangamfu mno I wish ungekuwa rafiki yangu wow
Mimi pia na yangu from Belgium
Pole sanaaa maryam ishi kumtegemea huyo YESU aliyekutoa matopeni yesu ndiye njia ukweli na uzima
hiyo wigi nzuri dada,Asante kwa mafundisho❤
You are so bright and humble. Be blessed.
pole sana Redima kwa yaliyo kupata na mimi pia nimuanga waayo mambo nimekuwa nimtu wakuchukiwa kila siku naomba uwe ndugu wako kwa imani
Hongera sana Ladyma husimuache Mungu kabisaa
Ulikuw mbegu ya Mungu
Story ya huyu Dada yatia moyo sana. Na karibu yaani almost like mine. But nilipomrudia Mungu naona Mungu akirudisha kila kitu nilichopoteza. Marshall yake yote niko kwenye hicho kiatu.
Safi Mungu nikila kitu. Pole kwauliyopitia nimengi namazito
Hongera sana dada mwenyezi mungu akutangulie endarea kujitambua
Munguu azidiii kukufanyiaa wepesiii mqaanaa kwenyee neemaaa hapakosiiiii husdhaaaa
Hallelujah .JESUS is LORD.
Ni baraka kubwa sana to be in CHRIST❤️❤️
Pole na hongera sana
Katika interview Leo nimejifunza sana 👏
Vzr nimekupenda
Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi. Ulipitia mapito yote ili Mungu atukuzwe
Mzuri sana Mungu kamjalia urembo waasili
Umependeza sana hilo wig lako
Umepitia mengi sanaa, history ndefu nimesikiliza mpaka nimelala nitarudia tena kusikiliza
Mama mdogo apewe maua yake 🌹
Da,nimejifunza vitu vingi kupitia kwake. Thank you for sharing🫶
Huyu lady ma ni tatizo aisee , barikiwa sana lady .
Interview nzuri sana
Waooo nic ila saivi mkwajuni ni songwee mkoa wa mbeya ume gawanyika. ❤❤ila mekupend best ata mm naishi apa mkwajuni
Da Miriam nakukumbuka dear tulisha kutana india nice dear 😘😘
Yes nilikuja sababu ya mdogo wangu kwa birthday ya mwanaye na yake for respect what she did to me 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼🔥🔥🔥 it was Siri ya familia but is better kuacha vitu wazi watu wajifunze makundi marafiki sio Kabisa .. saizi sitoitaji watu wasio jielewa Amen 🙏🏻
Mungu azid kukusimamia nakupenda bule
Nimekupenda sana
Lady Maa Interview Was 🔥🔥🔥
Great testimonie! Movie material❤ila Shangazi😂inabidi atubu ila pia bila.shangazi usinge mjua Mungu yaani kila kitu Mungu anaruhusu kitokee maana anamakusudi na sisi
True don't trust ANYBODY
Inafundsha wadada wa tz wanaopenda wanaume wa njee😢wakijua nje ndo kwenye life maisha ya mtu upangwa n MUNGU poleee bt saah uko sawa neema ya MUNGU imekufunikaa
Pole sana dear pia Hongera sana stories imeningusa sanaaa usiwe narafiki mama yako na baba yako ndio Rafiki zako Duuuu inaumiza Sana mtatangulize mungu2 ❤❤❤❤
Ooooooh hongera sana Mimi Binti yngu advice amesoma maweni chunya
Kasoma na wadogo zangu wa 3 ndio wamesomea maweni
Mimi naomba niwe dada yako,nawish ningekua na mdogo mwenye akili kama wewe mungu akubarikie super 😊
Schönen Wochenende Lad Ma jamani sisi Tupo Switzerland 🇨🇭 but OG from Tanzania 🇹🇿
Kweli maisha yako ni ushuhuda wa kweli, na umetufundisha kutokata tamaa.
Ndio maana wanasema ukitamani maisha ya mtu uwe na uwezo wa kuhimili changamoto lakin wengi wanatamani maisha ya watu lakini hawako tayari kuzikabili changamoto.
Hivi watu wanaofanya ubaya kwa watu hua mnafaidika nini? Upendo ni kitu cha msingi, wivu haujengi jamani. Tumuogope Mungu, tupendane❤
Shena , fundisho kubwa nililolipata ktk mahojiano haya ni kutokata tamaa ktk kutafuta , kuwa msiri , kumuomba Mungu ktk kila jambo , na kuwasamehe wabaya wako pale inapobidi kufanya hivyo . Tukumbuke ya kuwa , maisha ni safari ndefu .
Asanteee mnoo.
Tumejifunza sana sana
Waooow Yesu aendelee kumtunza🎉
msaada wa kudumu kweli unaumiza na mtu ana take advantage kwa alichokusaidia na atataka uwe mtumwa wake mm nimemelelewa na mama angu mdogo lkn kanitesa sana kafika hadi ananifanyia ushirikina sababu ya msaada wa kudumu.
Nimeipenda hii interview
❤❤❤Nakupenda mariamu
Hongera sana mpenzi story nzur sana ❤❤
Napenda Sana interview zako shena.
Dry fasting hiyo ni nzuri sana Mungu ni mwema
Story nzur, inahuzunisha na inachekesha, inafundisha na inatia moyo
Pole sana mdogo wangu kila mapito ukipitia mungu anakuwa na makusudi na wewe stori nzuli sana
Woow si mchezo 👏
Usrudie tena kaa kivyakovyako mhombe sana mungu
Story yako ni nzuri❤❤
Nice Story i love you two beautiful girls ❤❤
Dada yake amina 😍
😂😂😂😂
Hii interview imenigusa pole saana
Story ni nzuri na inafunza ❤❤❤
Lady ma nime kuelewa sana... Mimi mwenyewe nime pigwa matukio balaa. ila kitu kimoja hata farao nae alikua na mchango kwa musa. Huyo rafiki yako alie kusaidia kupata kiwanja, alie kusaidia kupata huyo boyfriend ni mungu ali waweka hapo,kumbuka uzuri huo basi mshukuru mungu sio lazima uwe karibu nao au kurudisha urafiki, wewe endelea na maisha yako, wakisema wame kusaidia so what? kuna kupunguzia nini wewe? na ina elekea hata huyo baba huja mpa moyo wako kisa mzee na ume unganishiwa na rafiki. Bado akili yako haija komaaa kuna utoto bado. Ila nime kupenda sana.
Mimi nitoka na kitu hapa nimejifunza kitu dada Mungu akubariki kwa kutoa mafundisho mzuri mungu akupe watoto mapacha wakike Na wakiume 🙏🏿🥰
Ni kweli kabisa, mafanikio haya tafutwi kwa kikundi, kuna lazima mmoja aingiwe na roho mbaya, sisi wanadamu husema tunataka watu wafanikiwe ila wakifanikiwa ndio shida ina kuja hapo. kwani ni yeye sio mimi? yani wanadamu watakupenda mnateseka wote, ukifanikiwa tu adui yao, ndio maana matajiri wengi duniani unakuta wakisha kuwa matajiri wana chukiwa na wanajenga ukaribu na urafiki mpya na matajiri wenzao.
Kuna mtu kaniambia hii kitu jana usiku.ninataka kuanza jambo fulani nilipomwambia nataka angalau nianze na mtu. Akaniambia nianze mwenyewe nibebe maono yangu nikianza na mtu anaweza kuja kuwa mwimba. Hii comment yako imepigilia msumali..asante mno ni kama umeiweka kwaajili yangu
mimi ni muhanga wakutafuta kwa kikundi... sasa hivi niko peke yangu na mungu tu. Nakushauri tembea peke yako na mungu wako.@@Iantussa
@@Iantussafanya mwenyewe na ukiweza kimya mshirikishe Mungu
hahahaha Miriam kamtafte Mungu huyo mganga safi sana amemaliza kila kitu,,nimecheka sana
Mungu ni mmoja tu🙌🙏
Nakipenda sana kipindi chako
Umenifunza mambo mengi sana nipo Sweden
Mmmmmmuasema, ukweli
Mungu amusaidie sana
Safi sana hongere
da shena asikwambie MTU I like her story imenibamba sana
Brava amica di Milano ❤welcome to Napoli
Kweli mwisho wa ubaya ni aibu, Shangazi kaumbukaa
😂😅 mnooo
Story nzuri sana,amefunguka,ametufundisha vitu vingi sana
Mungu ni mkuu sana❤
Pole sana Dada,niko marekani.
Ulipozungumza kuhusu Mnaigeria nikafa kwa cheko.
Weeeee siwataki aisee ..nimekoma unatafuta pesa na mtu anapata anakukataa 😂😂😂😂 Kha siijawai kuona
Lidada lisafi lizuri linapendeza❤
Sanaaa mzuriii msafii
Z apewe maua yake dem ana roho nzuri sana ❤❤❤❤❤
For sure ile part ya mwisho ya kusema umerogwa saana jiangaikie 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 uwaga namshukuru Mpaka sasa hivi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 teena anakuambia shangaz hapa mjini ana waganga 100 😂😂😂😂😂 ila namuombea saana nikimuonaga hivi Z naona bado kapigwa 😭🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 hayupo vile shangaz kaalibu family ya yule mama mno kha .family zesty hizi buana but I’m ok now Nipo ok
@@ladymacollectionpole sana Naomba namba huyo mtu aliyekuombea jaman izi vita ni kunwa
Hilo lishangaxi ni maiti ilooxa,Mungu atashughulika nalo,pole
Yaaani hapanaaaa ninachekaaa mpaka basii
Hee hy dada kapitia magum pole Sana mama yaani Dunia hii mie mwenyewe hy hy tuu yaani Sina muelekeo😮😮😮
Nimependa ngozi yake jmn
Anasikika vizuri