JINSI YA KUJINASUA NA LAANA YA UKOO || PASTOR GEORGE MUKABWA || 21/05/2023
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Gospel Teachings for soul winning Purpose.
#jrcchurch #Tanzania #jrctz
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
Mungu niondolee laana kwa jina la kristo yesu
Oh God nipe nafasi yangu
Ubarikiwe mtumishi nimeinuliwa kiroho
Na kufuatiria sana nikiwa qatar doha 🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Shalom shalom shalom
You are a blessing to me sir 🎉
Mungu akubariki sana tangu nikufuatilie naona kufunguliwa kwa maisha yangu 😭😭yameniteza sana laana ya kooo
Pastor George you are really my spiritual mentor, I have been following you from Kenya , your teachings have really changed my life
Be blessed Pastor George, I real learn a lot from your teachings
Story of my life 😭😭, hakuna ndoa hakuna masomo hakuna familia😭😭💔. Leo naacha hizi zote hapa na natoka na usemi tofauti, ndoa nzuri masomo hadi ngambo na familia ya kudumu😭🙏
Amen
Amen
Ameni
Amen😢
Kwa iman na iwe hivyo
Poster geoger mungu aendeelee kukutumia umenitoa sehemu moja kewnda sehemu nyingine ninatoka kwenye laana kwa jina la yesu
Help me oh lord😢😢😢😢
My brother George,am happy the way God almighty is using you.May God bless you brother,,Joseph Mutoro, your classmate Malava boys high school.
Hi Joseph, long time. Uko wapi?.
Asante yesu nimefunguliwe niko huru kwa jina layesu, Amen 🙏
Haya masomo yanagusa maisha yangu,na si kugusa tu,yananibadilisha kila siku,maana yananipa nguvu yakuomba,najishangaa rohoni najiona mtu mkuu,mwilini sina kitu!! Lakini nakomaa hadi nione vitu vya rohoni vinazaliwa!, Nanitakuja kutoa ushuhuda,maana masomo yako pastor yananipa hasira,hiyo hasira inanipa nguvu yakumtafuta Mungu. Barikiwa pastor
Asante paster leo natoka katika laana.
Ubalikiwee sanaaa Past!!!Nabalikiwa sanaaa kupitiya hiyi Mazababu ya Mungu!!!
Sitarudi nyuma,sita kuwa masikini tena,sita pata uharibifu tena,kwa jina la kristo yesu,sitaharibikiwa Mimi ni mshindi Mimi ni nguzo Mimi ni tajiri katika Mali za kristo ntakopesha sitakopa,nitaombwa sitaomba, baraka zote za anga,ardhi,na rohon zote ni zangu.laana za upande wa baba na mama yangu au walezi wangu wote siiiii sehem yangu🎉amen
Huyo ni mimi sasa😭😭😭😭😭
I connect myself with this sermon as I pray a prayer of Faith declaring all afflictions its over I Jesus Mighty Name
Natamani neema iliyo ndani mwako sana , God bless you and never lack,in Jesus name
Mtumishi nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia nafundisho haya. Ninaamini kupitia mafundisho maisha yangu yatabadilika
Mungu akupe nguvu zaidi ya utumishi uliotukuka kwa jina la Yesu.
I thank God for my husband, he asked me to change my lifestyle, I accepted to change,but when I came to my TH-cam channel I found pastor George preaching about muda wako mwingi umepotezea kwa vitu havina faida maishani,nikajiuliza inamaana mume wangu kaambia pastor vitu mm hufanya,then i realized that God can use anyone to change you. Am not going anywhere but I decided to follow Jesus. 🙏 🙏 🙏
Amen Mungu nakuinua juu ,unastahili ,
Mungu akubariki. You are a good teacher
Pastor George umenibariki sana na mahubiri yako nakufuatilia kutoka Kenya
Nabarikiwa sana nikikusikiliza be blessed pastor
Barikiwa mtumishi kwa somo la maarifa ya kiroho. Asante sana baba ubarikiwe. Hapa lazima nitatoka kwenye hali hii. Mbingu zangu zinaenda kufunguliwa kwa damu ya Yesu Kristo
Amina
Praise God pastor, this topic talk about me, oh God have mercy on me
Mungu ni saidie mimi na watoto wangu tutoke kwa Laana yaukoo wa Familiy ya Elibari lessia
Be blessed man of God
1:31:56 I'm really inspired by you man of God...sijakosea kukutana na hii channel...I'm really blessed. 🙏
Pastor mungu akutunze umenitengenezanakaribia kujitambua safari yangu ya mbinguni ninaona njia aleluya
😭😭😭😭😭😭😭pastor mungu akubariki na mungu akalinde mafuta yake juu yako
Amina baba😭😭😭😭😭
Nisaidie mtumishi kweli kabisa Niko kwenye laana ya ukoo Kila ninachokifanya kinaharibika ni miaka mingi sasa imepita
Asante sana Mungu akutie nguvu
Asante sana mtumishi wa Mungu mungu akubariki
Barikiwa sana postor kwa somo hili,,kuna vitu vingi sana najifunza
Barikiwa somo nzuri
Kila kaxi naandikwa nafutwa bila sababu😢😢😢😢kazi nane nimeshapoteza 😢😢😢😢kumbe ni laana😭😭😭😭😭
Niko hapa pastor nimebarikiwa Amen
Pastor mungu akubariki umenifundisha mengi familia yetu kunaraana yaokoo Ila Mimi nimeikataa kwajina layesu
You are a good teacher I gain a lot from your lessons
May God bless you a lot
Mtumishi wa mungu ubarikiwe hadi ushangae sijawahi patana na nabii kama were.nakuombea mungu xana.
Mungu akubariki sanaa, ninaamini huu ujumbe una kusudi kwangu. Naomba mungu anisaidie ninapochukua hatua. Be blessed man of God
Pst ninashukuru sana kuniubiria nimefahamu nilipo ubarikiwe sana sana
Ubarikiwe
Very strong service concerning curse
Nimefatilia sana mafundisho. Nikiwa kenya.lazima life yangu ibadilike
Nakomesha mateso juu ya maisha yangu katika jina la Yesu!
Amen nimejifunza kitu ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe pastor Kwa mafundisho mazuri..🎉
Be blessed The God's servant
Nabarikiwa sana,Mungu akulinde sana mtumishi uishi miaka tele.
Bwana Yesu asifiwe mungu akubariki mtumishi wamungu nimejifuza sana maana nilikuwa na mzigo mkubwa sana wakujiukumu sana Mimi nimetoka kwenye familia ya kimasikini sana
Pasta umenigusa katika SoMo hili🎉 Mungu akubariki sana
Mt mungu akubariki Sana
Asante Pastor😢😢😢
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa mahuburi hayo ❤
Mungu mkubwa ❤❤❤🎉🎉
Pastor nimepokeaa hii mungu akubariki saana laana yangu imevunjiiiikaaaaa
Kuanzia Leo najinazua na laana lolote ya kifamilia, nachugua neno hili iwe yangu
Kupita somo hili nimepata kitu kikubwa , Mungu akubarik Baba
Nashukuru Mungu nimekufahamu mtumishi wake nimejifunza kitu kikubwa .Mungu anisaidie kusimama na Neno na ahadi zake.
Am happy for these is what I have bin fighting with na sijui vile ningejinasua🙏🙏🙏🙏🙏
You are a good preacher
Be blessed pastor for inspiring word
be blessed mutumishi wamungu umenibariki Sana na Haya mafundisho
Ninakataa laana zinazonizunguka.kwa Jina La Yesu.utumwa sasa basi magonjwa yasiyoisha kukimbiwa na kipato manyanyaso...eeh Yesu.naomba unisaidie.
Ewe mwenyezi mungu barki familia yangu
From Kenya pressure yanializa
Asante mtumishi wa mungu
Asante baba yangu
Nimebarikiwa sana from kenya
Tunamtukuza Mungu kwa ajili yako maana neno hilo limetikisa ngome Yesu akufiche mbavuni mwako ...madhabahu n siri niliyonayo n Mungu wangu
.oh JINA LA Yesu libarikiwe
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Mungu akubarki mtumishi kwa kutulisha neno la uzima
Panda shuka mateso mashambulizi sio sehemu ya maisha yangu tangia sasa
Mungu akubariki mtumishi kwa fundisho hili lenye kututoa kwenye mateso ya laana
Ameen barikiwa sana mutumishi wa Mungu kwa kutufundisha marifa ❤
Hongera Mchungaji
Thank you so much I have understand
Leo natoka katika Laana za ukoo kwa jina la yesu
Thank you for special masage (nipata kitu)
ni kweli baba yangu
Past bwana asifiwe sana
From Kenya
My Goodness true😢😢😢
MUNGU AKUBARIKI BABA
Baba ubarikiwe
Sina cha kusema Mtumishi ila Nakuombea. Umeniponya sana sijui nisemeje
Nivue mavazi niliovaliswa ya kiuchawi ktk ulimwengu wa roho kwa jina la yesu
Really learnt alot
Ubarikiwe Sana mtumishi
Ameen mtumishi wa Mungu
Amen 🙏🙌🥰
Leo hii kiota inaenda kubomolewa kwangu kwa jina la yesu
Mungu akuongeye nguvu
Don't deny me❤❤❤❤❤
Kweli baba umetumwa na MUNGU ubalikiwe mwe nifunguliwe
Kama ulikwishaokoka, amini Bwana Yesu Kristo ulikwishakufunguliwa, wewe fanya kazi kwa juhudi na maarifa tu.
Sorry, ulikwishafunguliwa kwa Damu ya Bwana Yesu Kristo. Amini tu.
AHSANTE Mtumishi
Amen
Am blessed .Thank you pastor
Maisha yangu hayana maendeleo yeyote kwasababu ya laana