SHILOLE ASIMULIA KUISHI NYUMBA MOJA NA BABA LEVO, “ALIWEKA BONDI GARI LANGU KISA LAKI MBILI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 86

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 3 หลายเดือนก่อน +7

    Shilole nakupenda sana❤❤❤

  • @user-eu5uy8vm6i
    @user-eu5uy8vm6i 3 หลายเดือนก่อน +16

    Kumbe inawezekana kaka na dada flani hivi kuwa marafiki ,kama shishi na baba levo ba.nimependa sana kwakweli ❤

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ata mimi uwa namkubali sana mimi ni mhaya uyu ni mtani wangu ila uwa yuko sawa anaga nongwa mungu atamuongoza kwenye maisha yake sio mwijaku

    • @JKQGAME
      @JKQGAME 3 หลายเดือนก่อน

      Wasibamu ota

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 3 หลายเดือนก่อน +5

    Weldone shilole & baba levo

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 3 หลายเดือนก่อน +4

    NAWAPENDA BABA LEVO NA SHISHI😂😂😂😂😂❤❤❤❤ WAKIKUTANA UTACHEKA SAFI LKN.KUMBE UPO URAFIKI WA KAKA NA DADA.et pati sriiiiii shishi😂😂😂😂😂

  • @leahmollel6589
    @leahmollel6589 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana kwa kututia moyo wapambanaji. !!!

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 3 หลายเดือนก่อน +15

    Shishi nampenda Sana kwasababu yuko really

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 3 หลายเดือนก่อน +26

    Huu ndio urafik wa kwel 😂😂😂

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 หลายเดือนก่อน +33

    Nimeamini kweli Shilole na baba levo ni washikaji

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 3 หลายเดือนก่อน

      Washakjj... Hahahabanaba

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 3 หลายเดือนก่อน +1

    Respect to shishi baby❤

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 หลายเดือนก่อน +22

    Mtu mmoja ajitokeze jaman tuishi kirafiki kama shilole na babalevo❤😂

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mm hapa😂😂😂😂

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 3 หลายเดือนก่อน

      @@hellendaniel3809na mimi hapa 😂

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 3 หลายเดือนก่อน

      Utaweza 😂​@@hellendaniel3809

    • @wilondjarama1427
      @wilondjarama1427 3 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 3 หลายเดือนก่อน

      @@hellendaniel3809 Ila usije ukanichoka 😂😂

  • @user-bu9wj5pi3t
    @user-bu9wj5pi3t 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wasela wa ukweli..shilole uko really sana

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 หลายเดือนก่อน +10

    Shilole maisha yana mitihan san ukiona mtuy kafanikiw ujuw katoka mbali san sisi sijui tutakuja kueleza itakuwaje

  • @user-mp2nk4pc8g
    @user-mp2nk4pc8g 3 หลายเดือนก่อน +8

    Daah nimefurah Sanaa nimejifunza kitu

  • @verbalverbal2019
    @verbalverbal2019 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wakasema "urudi Igunga, maisha yashakushinda"... Bora hukuwasikiliza

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 หลายเดือนก่อน +10

    Urafiki wa kweli

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hizo mike nyingine hazina kazi hapo hahaha bila mkaka wa Ayo tv tungekoma maana hao wangeuliza maswali ya uchochezi

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwan kampuni ya regina au ya prof,,mbn familia ya prof inamepatwa nakiwewe😂😂😂

  • @mtangag774
    @mtangag774 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂idea nzuri

  • @bensonelisa3225
    @bensonelisa3225 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo alishatuambia akiwa anajitafuta alishawahi kuishi na mwanamke anaeyejiuza akawa anajitibu gono kila siku inafikirisha

  • @noahlameck1564
    @noahlameck1564 3 หลายเดือนก่อน +5

    Co-CEO
    Eti maana yake Dada 😂😂😂 shishi wewe

    • @ramak.9587
      @ramak.9587 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂huyu dada aisee huezi boeka ukishii nae

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 3 หลายเดือนก่อน +2

    Eti frozen SHISHI bana😂😂😂

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 3 หลายเดือนก่อน

      Asa kakosea wap wakat ni vyakula vlivyo gandishwa

  • @sungura0
    @sungura0 3 หลายเดือนก่อน +2

    Air TANZANIA kumbe ya muda sana

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 3 หลายเดือนก่อน

      Air Tanzania tumeipanda 70s

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu msenge alikuwa anamtomba huyu dem. Na inawezekana shilole aliachana na bwana yake sababu ikiwa pamoja na babalevo. Wasituigizie kuwa ni marafiki, huyu dada anajulikana kwa kulea vibenteni so usishangae kuona alikua Dem wake.

    • @ce-08
      @ce-08 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂 sasa tumsikilize nan ww au yy

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hayo TV tuletee nyumba ya baba levo alisema mwezi wa 6 anatuonesha nyumba yakeee

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sio Hayo ni Ayoo

    • @beatricesamwel8161
      @beatricesamwel8161 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@hellendaniel3809😂😂😂😂

    • @mohamedmanga8391
      @mohamedmanga8391 3 หลายเดือนก่อน

      Mchawi

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@beatricesamwel8161😂😂😂😂

    • @josephk90
      @josephk90 3 หลายเดือนก่อน

      Siyo Ayoo ni Ayo​@@hellendaniel3809

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 3 หลายเดือนก่อน +1

    Atariii

  • @mugapro
    @mugapro 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ila Lishangazi liko poa wazee, Oyaa nalala wanangu, ikifika zamu yangu kwa shishi mnishitue

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unataka uchezewe life na wewe enheeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @صالحالصوافي-غ5و
      @صالحالصوافي-غ5و 3 หลายเดือนก่อน +2

      Vijana muwe nasubra kiramutu atamupata shishi😂😂

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 3 หลายเดือนก่อน +9

    😂 uyu demu ananichekeshaga mno alicho kisema hajuwi hata maana ya neno lenyewe.mradi alisema tu.maisha ni hadithi,haimanishi iwe mbaya ao nzuri.ila huyu shishi sio mwanamke mkorofi naisi vijana anaotoka nao ndo hawajielewi.

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ingia motoni ndio utajua speed ya maji.

  • @francemadembwe7607
    @francemadembwe7607 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kama umesikia jum kiroboto gonga like 😂

  • @ramadhanikenga274
    @ramadhanikenga274 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levol ni bonzo utaishi vipi na mwanamke mzuri si dadako wa damu alafu umuache ingekua ni mimi ningekua huyu shishi angekua amenizalia

  • @mstaraabusantiago747
    @mstaraabusantiago747 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila babalevo😂😂😂😂😂

  • @nickmoshi8243
    @nickmoshi8243 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hawa washkaji sana dah😂😂😂

  • @paulmuyanga3445
    @paulmuyanga3445 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ila shishi 😂 ati babalevo ana akili 🎉

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakuma gani

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 3 หลายเดือนก่อน +5

    mkono wa shishi shkamoo cream 😂😂😂😂

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nimeuona🤣🤣🤣🤣🤣

    • @athumanindyema2302
      @athumanindyema2302 3 หลายเดือนก่อน

      Amechora sio meusi angalia vzr

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 3 หลายเดือนก่อน

      @@athumanindyema2302 kachora nini

    • @josephk90
      @josephk90 3 หลายเดือนก่อน

      Shishi ni mweupe, huo weusi siyo rangi yake itakuwa kapaka au kachora.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 หลายเดือนก่อน +2

    Duh kwani mkono kaweka Piko??🤣🤣🤣🤣

  • @user-zd5pc5nc9c
    @user-zd5pc5nc9c 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ila huyu dada

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 3 หลายเดือนก่อน

    Shishi na ba levo hawajapiga shoo kabsa ndo maana wana bond nzur ke na me wakisha date urafiki haudumu 😂😂

  • @yousirsports7482
    @yousirsports7482 3 หลายเดือนก่อน +4

    Linex mbona hajatajwa

    • @TheBastarrrd
      @TheBastarrrd 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @sultanhamis9292
    @sultanhamis9292 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mama Anapenda kubadilisha mboga

  • @alikhamic4177
    @alikhamic4177 3 หลายเดือนก่อน +2

    baba levo mpumbavu au nimesikia vby

  • @mussamalogo5640
    @mussamalogo5640 3 หลายเดือนก่อน

    Naona crown kuzimwa hivi na 7media make crown haisikiki

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shilole frodhen tena 😂😂

  • @mwebrannia
    @mwebrannia 3 หลายเดือนก่อน

    Vido n nini lakini 😆😆

  • @SandreAlhlwah-bv1cx
    @SandreAlhlwah-bv1cx 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤

  • @user-ld3ou1jj8n
    @user-ld3ou1jj8n 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani hapo imekuwaje kafunguwa nin

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 3 หลายเดือนก่อน

      Nadhan ni online media

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 หลายเดือนก่อน +3

    Frozen 😂😂😂

  • @roberttemba7739
    @roberttemba7739 3 หลายเดือนก่อน +5

    Baba levo anakugonga inajulikanaaaa

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mmmmh

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 หลายเดือนก่อน +7

      Baba levo mwanaume na shilole mwanamke..sio ndugu wa damu.. kila moja yuko huru..tatizo nini.. waendelee kukulana.

    • @zakiakusaja8603
      @zakiakusaja8603 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unakuwaga nao?

    • @imanuelzakayo8703
      @imanuelzakayo8703 3 หลายเดือนก่อน +1

      Izo naziitaga zambi za mawazoo

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 3 หลายเดือนก่อน +4

      IQ yako inasoma single digit