Siri ya Zucchetto ( kofia ya PAPA )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 เม.ย. 2023
  • เพลง

ความคิดเห็น • 4

  • @rashidsaid6313
    @rashidsaid6313 ปีที่แล้ว

    Siyo kweli Zucchetto ilivaliwa na viongozi wa dini ya kiyahudi. Kuhani mwenyewe alivaa naivera, ukatoliki umepata nguvu kuanzia 300AD. Kabla ya hapo Kanisa la kwanza lililoachwa na Yesu la mitume liliteswa na Kanisa la Rumi likipigania kurasimisha Jumapili kuwa siku takatifu ya ibada badala Sabato ya Jumamosi.

    • @juazaidi
      @juazaidi  ปีที่แล้ว

      Jua zaidi kwa kuwajuza zaidi na wengine. mchango wa kila mmoja unaweza ukatuongoza kufikia pale mbele lakini ukweli hautokani na dini fulani

  • @haphiuhru3950
    @haphiuhru3950 ปีที่แล้ว

    Sema ukweli acha kuogopa warumi wewee.

    • @rashidsaid6313
      @rashidsaid6313 ปีที่แล้ว

      Soma agano la kale lote kama utakuta neno Zucchetto, acha kushabikia mapokeo ya kidini ambayo kwenye maandiko hayamo.