Homilia ya Kardinali Pengo l Misa ya Mazishi ya Hayati Julius K. Nyerere 1999 St. Joseph
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
- Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america
Asante sana kwakumbukizi hii,M/Mungu ampumzishe kwa amani,Amina.
Thanks so much from Nairobi. Unforgettable Mwalimu. A servant of God says the Catholic church. A humble servant of Africa who liberated the whole of Southern Africa and welcomed millions of refugees.
Ee mwenyenzi Mungu takasa madhaifu ya mtumishi wako mwl Julius Kambarage Nyerere ili katika hayo na yale mema ambayo mtumishi wako ameyatenda tusimame nayo sisi wanao mbele yako kama wajukuu wake tuseme kwa pamoja Mungu Amtakase. Amina
Mungu ampe heri za milele Mtumishi wake, Mwl. Nyerere. Daima atabaki kama shujaa wa imani, na kiongozi wa mfano vizazi na vizazi
ilikuwa humilia nzuri sana na yenye uhalisia wa maisha ya Mwalimu , alifanya mengi kwa maslahi ya wengi hata shule za wakatoliki alilipatia taifa ziwe za wote
Nasikia nguvu ya Mungu ndani yangu nikisikia homilia ya kardinal
Asante Sana kwa hili kumbukumbu, kadinali Pengo alizungumza kwa kujiamini Sana, tena alikuwa na nguvu kipindi hicho
Kweli baba Pengo ulisema vyema sana
Asante sanaa ,tunaomba na ya mazishi
Pumzika kwa Amani Baba wa Taifa letu. Amina
Ikiwezekana Jugo Media siku ifaayo mtuwekee Homilia ya Cardinal siku ya Mazishi ya Hayati Askofu Anthony Mayala
Kweli
Ipo. Type tu Anthony Mayala itakuja. Very strong pia.
Cardinal kwa kweli alikuwa very strong
Sana dhaaa!
Pumzika kwa amani mpendwa wetu na baba wa taifa letu Mwl Julius Nyerere.
Mama Maria Nyerere nae alikuwa bado strong kwa kweli
Upumzike ktk amani ya Kristo Mfufuka mbinguni MTUMISHI WA MUNGU mwl. J. NYERERE
Pumzika kwa amani Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere
Pumzika kwa amani Mwalimu Raisi Julius Kambarage Nyerere
Homilia hii itaishi milele.
Mahubiri yake yataishi vizazi kwa vizazi
Huyu ndo Cardinal Pengo
God bless you 🙏
Goosebumps
alikua bado kijana 🤔🤔🤔
Anaonekana kasomaaa xana penggo
Imetulia mno
Poly cup cadinar pengo jembe,