ASKOFU MWAKIHABA WA DAYOSISI KONDE KKKT AELEZA MAZITO BAADA YA MAKABIDHIANO JUMAPILI KUSALI RUANDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @neemagodlisten2590
    @neemagodlisten2590 2 ปีที่แล้ว +1

    Uaskofu umevamiwa daah, hata utadhani mwanasiasa

  • @bumimsojo5359
    @bumimsojo5359 2 ปีที่แล้ว

    Sifa utukufu na heshima vimrudie mwenyenzi Mungu kwenye kiti chake cha Enzi.

  • @zefaniaidafa1434
    @zefaniaidafa1434 2 ปีที่แล้ว +1

    Utavuna ulichopanda Kila pando la udhalimu litavunwa sawasawa na Hilo pando

  • @mwailubikamongo9774
    @mwailubikamongo9774 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanagombea mali na vyeo kanisa la siku hiz

  • @imanimwaipopo6149
    @imanimwaipopo6149 2 ปีที่แล้ว

    Ashukuriwe Mungu wetu

  • @bongosebelo9291
    @bongosebelo9291 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema sana

  • @neemaevance80
    @neemaevance80 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante mungu wetu jina lako li tukuzwe

  • @silviarighton1306
    @silviarighton1306 2 ปีที่แล้ว

    Sifa na utukufu apewe Mungu

  • @johnmtumishi8554
    @johnmtumishi8554 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji rafiki yangu Askofu Mwakihaba Mungu akulinde .na akutunze. Ustawi ktk Jina la Bwana Yesu Kristo amina. 1samwel sura15,na16 na 1samwel sura ya 3 Ubarikiwe rafiki

    • @zefaniaidafa1434
      @zefaniaidafa1434 2 ปีที่แล้ว

      Hawezi barikiwa uaskofu umejaa walakini ndani yake lakini pia haukufuata utaratibu wa kupata askofu Mungu ni WA utaratibu

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 2 ปีที่แล้ว +2

    Mna gombaniana uaskofu nonsense! Mmerihaibisha Sana kanisa, mmetawanya kindoo! unaongea km ushindi wa chama Cha siasa! Hauonyeshi kabisa hofu ya mwemyez mungu na toba ya msamaha kwa upuuzi mlioufanya! Mje kwa waumini muwaombe radhi huo upuuz wenu sijui Pete, fimbo it's nonsense! Hamna hofu ya mungu moyoni your not deserve to be servant

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 2 ปีที่แล้ว

      Pole kwa kuuchosha moyo kwa mambo yasiyokuhusu,acha kila mtu na mzigo wake

  • @edson2450
    @edson2450 2 ปีที่แล้ว

    Askofu nilikua natamani sana Huu mgogoro uishe ila nawe unaanza kutia mashaka. Askofu kuongea kama unavyo ongea Mimi naona sio sawa, ni huzuni kupoteza kondoo sio furaha hata kidogo. Muwaombee warudi ndio iwe furaha sio utengano.