Mashekhe badilikeni nenda kwenye hoja Sasa ukianza kughani Nini maanayake mnasema naongea kifupi masaa 3 hamuelezi kitu mnaboa wakati wakughani iwe kughani naomba mnielewe Sina Maana ya kuharibu
Nyinyi masheikh mimi nawashangaa Sana Cjui ndio tuseme mnatafuta kiki au Vipi, yaani mtu unakaa mbele anaongea kitu hakieleweki,sisi tunaamini qur'an kwamba hakuja mjinga yoyote atakaeweza kuleta mfano wake ilitakiwa musimamie hapo tosha
@@user-nx7jd3cf1m sisi waislam tumefundishwa tusiwe na mashaka juu ya kitu chochote kilichozungumziwa kwenye Quran Sasa nije nipate wasi wasi au uniaminishe kua kuna Quran feki wakati Allah kasatubainishia kila kitu mimi siwezi kuacha mafundisho ya Quran nikamfata mtu anaeongea pumba.
@@SalamaKhamis-un8vn kwani mimi nimeongea kushuhulika na dini au nimesema hakuna mtu anaeweza kuleta mfano wa Quran mbona na wewe Kama ndio wale wale, Kama muislam hutakiwi kua na mashaka juu ya kitu chochote kilichozungumziwa kwenye Quran, sasa ukisapoti kama kuna Quran feki (mfano wa Quran) basi wewe itakua hujielewi.
Kishki hawezi kulinda kulinda Qur an soma 15:9 na Allah tu mkiona mnahifadhisha na mnasapotiwa na wasio waislamu jueni mnajaza maji kwenye gunia 2:120 olewetu hatutafakari 1Qur an 38:29
Suabhanallah Allah atulinde na Ailinde na Quran yetu
Jazaqallahu khayra shekhe wang
MAKAFIRI WANAJISUMBUWA TU,HAWATWEZA QUR"AN YA SAWA IPO VIFUANI MWA MAHAAFIDH WA KIISLAM
Ya Allah ya Allah ya Allah ya Allah tuhifadhie Quran yetu Yaa allah
AaaminaYaarabi😭😭😭
Mashallah sheikh msichoke kutuelimishe
Subhana ALLAH
Allah ameahidi atailinda Quran.kazi bure wanaofanya ufisadi kuhusu kitabu kitukufu.Allah atuepushie balaa za waovu
SubhanAllah😭😭😭
Mashekhe badilikeni nenda kwenye hoja Sasa ukianza kughani Nini maanayake mnasema naongea kifupi masaa 3 hamuelezi kitu mnaboa wakati wakughani iwe kughani naomba mnielewe Sina Maana ya kuharibu
Laahaula walaquata illabillah
Allah atulinde🙏
Allahu Akibar🙏
Allahu Akibar
SUB HAANALLAH.
Uwezo wenu baazi ya viongozi wa dini ni mdogo sana hivi unawezaje kuanzisha korani feki nendeni mkasome
Jina huyu Sheikh mwenye kulifaham
asa unaifundisha ili iweje
Acheni kujisumbua hakuna atakae weza kuichafua quraan
Nyinyi masheikh mimi nawashangaa Sana Cjui ndio tuseme mnatafuta kiki au Vipi, yaani mtu unakaa mbele anaongea kitu hakieleweki,sisi tunaamini qur'an kwamba hakuja mjinga yoyote atakaeweza kuleta mfano wake ilitakiwa musimamie hapo tosha
MCHE ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA. SIKILIZA UELEWE.
Nielewe nini mjomba wewe ukishindwa kuilewa Quran Uje uelewe nini apo wakati Quran imeweka wazi kila kitu
@@user-nx7jd3cf1m sisi waislam tumefundishwa tusiwe na mashaka juu ya kitu chochote kilichozungumziwa kwenye Quran Sasa nije nipate wasi wasi au uniaminishe kua kuna Quran feki wakati Allah kasatubainishia kila kitu mimi siwezi kuacha mafundisho ya Quran nikamfata mtu anaeongea pumba.
Hivi kwasababu Mungu kaahidi kuilinda kur ani unadhani ulitakiwa ukae tu bila kushuhulika na dini yako
@@SalamaKhamis-un8vn kwani mimi nimeongea kushuhulika na dini au nimesema hakuna mtu anaeweza kuleta mfano wa Quran mbona na wewe Kama ndio wale wale, Kama muislam hutakiwi kua na mashaka juu ya kitu chochote kilichozungumziwa kwenye Quran, sasa ukisapoti kama kuna Quran feki (mfano wa Quran) basi wewe itakua hujielewi.
Hakuna mjinga wowote anaeweza kuleta mfano wa Quran musiongee pumba nyinyi masheikh
MCHE ALLAH. CHUNGA MANENO YAKO.
@@user-nx7jd3cf1m yaani wewe ndio hamna kitu kabisa
Sasa kingereza Cha Nini piga kiarabu
wakati wanapewa fedha, wewe ulikuwa wapi?
Quran ifuatwe vile vile
Is he an article or a subject sheikh better speak Arabic for Islamic knowledge to clarify things this is for good purpose not criticism