QUR-AN FEKI YASAMBAZWA MAMILIONI YAMWAGWA SHEIKH KISHKI AWA KIKWAZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @MteleShadia-lc6gi
    @MteleShadia-lc6gi 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah,,shekh wetu muhoro upoo sawaa kbsaa,, yaani nurdin kishik ukiona Kuna mwislam anamsema,,,vby nurdin kishik,,basi huyooo,, NI sawaa na nguruwee,,tuu anakuwa hajuw Kaz anayoifanya katik dunia,,pia anakuwa anamuonea wivu tuu,,basii,, pamoja Sana nurdin kishik popote pale ulipo Allah ,,akuandalie pepo la juu,, siku ya mwisho,,na mashekh wengne kwa ujumla

  • @Zulkamhaji
    @Zulkamhaji 5 หลายเดือนก่อน

    Lahaula walakuwwata ila billah

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs 5 หลายเดือนก่อน

    In shaallah mwenyezi mungu awashinde madui wa quran

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs 5 หลายเดือนก่อน

    Duh kwa kweli kabisa hii inasikitisha Sana in shaallah mwenyezi mungu atuongoze

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 5 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah

  • @ahmedmubaraka382
    @ahmedmubaraka382 5 หลายเดือนก่อน

    Haki masheikh mnajuhudi sana ya kuelimisha jamii Allah awape janah.....jamani tuelimisheni

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 5 หลายเดือนก่อน

    Ustadh shafi nawaombea Dua Allah awape maisha mema fii Dunia Wal akhera.. Allah humma Ameen 🤲

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Maaha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman sheikh wetu. Allah akulipe Kheir ww pamoja na Sisi

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watashndwa na tena wanazidi kujipa giza na watafukarika sana na kadri wanavyohangaika kuiharibu ndivyo Alla mwenyewe anavyzidi kuilinda na kuipa nuru zaidi wasivyoelewa na maluuni tu hwataweza na watashindwa sanaaa!!

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 5 หลายเดือนก่อน

    SubhannaAllah ! kweli Quran anaisimamia mwenyewe M'mungu (S.W.) Ostadhi M'mungu akuape umri wenye Afya kwa kufafanua wako inshaAllah . Na walokitunga M'mungu awape Laaana iwaangamize hapa duniani kabla Akhera inshaAllah .

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 5 หลายเดือนก่อน +1

    YARABI tunusuru amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin🤲

  • @HamisOman-s8h
    @HamisOman-s8h 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makafiri wanambinu ila hawamshindi Allaah hata siku moja

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hichi kitabu kitakua lazima kkmeqndikwq na muarqbu muisilamu kwa tamaa yake ya kidunia ,allah atuongoze yaarabi

  • @KarimSeleman-r4y
    @KarimSeleman-r4y 5 หลายเดือนก่อน

    Subuhanallah dah atari sana

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er 5 หลายเดือนก่อน

    Takibriiiiii Allahu akbaru

  • @mealiipafu-wg7dx
    @mealiipafu-wg7dx 5 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah Allah awalinde vizazi vyetu🙏

  • @alyumaraos
    @alyumaraos 5 หลายเดือนก่อน

    Wanataka kuizima nuru ya mungu kwa ndimi zao ila mwenyezmungu ataitimiza nuru yake hata washirikina wakichukia

  • @comarcabdall1564
    @comarcabdall1564 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hao ni wayahudi ndio wanaofanya jitihada hizo, ukiristo wameuweza sana so umebaki Uislam

  • @comarcabdall1564
    @comarcabdall1564 5 หลายเดือนก่อน

    Mm kusoma Qur-An nimefika juzuu 13 lakini hio Qur-An fake ikisomwa tu naijua😁, Allah atulinde

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 5 หลายเดือนก่อน

    Iyo so kuruani bwana ni kitabu kama cha hadithi za bunuasi kuraani tunaeijuwa sisi huwezi ibatilusha bwana usifanye mchezo na Allah bwana.

  • @abdulbonomali6548
    @abdulbonomali6548 5 หลายเดือนก่อน

    Hilo jambo naliogopa kwasababu hao watu wanamalengo ya baadae itafika wakati quruan ya kweli itapotea na itaenea hiyo feki kwakua waislamu waleo hatunamda wa kuwafundisha watoto tuchukue hatua

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 5 หลายเดือนก่อน

    Wajinga tu hao, Hakuna mjinga wowote anaeweza kuleta ata mfano mmoja wa Qur'an