MAKONDA HUYU MKUU wa WILAYA ni MUONGO "Mtoto Amelawitiwa na Kesi Haijaenda Mahakamani"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @ernestaassenga9646
    @ernestaassenga9646 19 วันที่ผ่านมา

    Makonda unauweza uongozi kabisa,kwa namna unavosaidia watu bila kubagua .Hongera sana

  • @frankwarembosaloon5316
    @frankwarembosaloon5316 22 วันที่ผ่านมา +1

    MIMI MUNGU I wangu akupe uraisi mankonda

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 23 วันที่ผ่านมา +1

    Tukubaliane tuuu, hii nchi rushwa ni kubwa sana, bora tukubaliane takukuru haijulikani inafanya kazi gani. Bora mkuu wa mkoa una huruma, wengi wakishapewa hela maskini hanaga haki.

  • @KimanguShemwaliko-ht2jr
    @KimanguShemwaliko-ht2jr 22 วันที่ผ่านมา

    Wanajuana wote ndio maana hakuna majibu sahihi,nchi ngumu sana hii,tutafika pale tu tutakapojitambua

  • @BedaKunguluche
    @BedaKunguluche 24 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda,mimi nakosaga cha kuongea kwako.Kwa jinsi unavyojali Haki za wanyonge🙏

  • @petromahenge4377
    @petromahenge4377 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kha hatari uongozi huu khaa

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 20 วันที่ผ่านมา

    Ukiona mkuu anatetea ushetani kama huuo ujue dini yao ni moja nae hufanya hivyo maana majambazi hupendana wap kwa wao! Kongole makonda

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 20 วันที่ผ่านมา

    Sliyeaminiwa na rais mwenyewe anakuwa mlaghai wa uhai wa mtu tupo salama kweli?