Natosheka na ndondondo wewe wataka chururu kunionesha vishindo hunishi nashukuru Taratibu ndio mwendo sitojifanya kunguru katie ugoro mimi nimejaaaliwa Hakuna haja mkasa na maneno kutupiwa umetega hukunasa wala hukutangaziwa kupata au kukosa yote ni majaaliwa
Pongezi sana Bin Seif,nyimbo zako ni nzuri kupita kiasi,mie si semi kitu.. Asante sana kwa mashairi mazuri.
Bin Seif Sabahlkher uko muliko sisi Mombasa Alhamdulillah
Apo umenena mpenzi Rukia. Tamu sana tu.lots of love from Muscat.
Waaaaaaaaaaw!.....Reminds me somewhere yaani wacha ....old is Gold
Maashaa Allah, kupata au kukosa yote no majaaliwa ya Allaah
Nikweli kabisa, kupata au kukosa yote ni majaliwa
Hongera zaki nyingi
Zamani raha sn namkumbuka ant yangu jamila Nahoda alikua anaipenda hii hatariii
good taarab big up bin seif
Enzi hizo znz ni znz kweli
Shukran bin Seif, Wallah unanikosha roho yangu
watukumbusha mengi bin seif
taarab ndio hizi sasa
💞🎶🎵🎤
asante sana bin seif
Wallahi taarabu murwa kabisa..
..ningependa mutuekee ngoma iko huku ya mwanahawa ali East African Melody enzi zao
Manshalah
Taarab ndio asili yetu Zanzibar lazima tujivunie
Hizi ndio taarb
Natosheka na ndondondo wewe wataka chururu kunionesha vishindo hunishi nashukuru
Taratibu ndio mwendo sitojifanya kunguru katie ugoro mimi nimejaaaliwa
Hakuna haja mkasa na maneno kutupiwa umetega hukunasa wala hukutangaziwa
kupata au kukosa yote ni majaaliwa
kupata au kukosa yote najaaliwa
Kwa mara ya kwanza kwenda tarab live ulipigwa huu wimbo Ndio unatoka wakat huu duu hatar (haile salas)
Mwimbo mtamu sana ... na sauti nzuri sana ...
Na mziki wamemtilia vzuri sana.