JOHARI AMCHANA SNURA KUACHA MUZIKI KISA MUNGU/MIMI SIWEZI KUACHA HADI NIKIZEEKA BIBI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • SNURA ASINGEACHA MUZIKI MUNGU YUPO MUDA WOTE NAIGIZA SABABU YA MUNGU SIWEZI KUACHA #snura #johari

ความคิดเห็น • 15

  • @najimseleman476
    @najimseleman476 2 หลายเดือนก่อน +7

    Misingi ya dini yako na uislamu ni tofauti.Naona ww dada Johar huelewi hilo,ko huyo dada Snura kuacha hicho alichokua anafanya ni sahihi.Anaweza fanya kazi nyingine ambayo italinda heshima yake.

    • @beatricejohn1659
      @beatricejohn1659 2 หลายเดือนก่อน

      Hujui chochote wewe Mungu ni spirit iliyopo ndani yako na sio mavazi waislam mmengangana na mavazi ya waarab mkidai ni ya mungu.wakati watu wa inch hizo huvaa mavazi yao ya kuwatambulisha.Wahindi,wa korea,Sasa hizo fikira zenu za kujifanya kila kitu mnahukumu wakati hiyo sio dini inavyopaswa muache.Dini ni Imani yako na bila dini pia unaweza kuongea na Mungu sababu yupo ndani yako.

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 หลายเดือนก่อน

      Awo kwao hawana halali wala haramu hawawezi kuelewa.....maana ata izo sehemu zao za ibada wanaimba miziki na kukata viuno.....ila kwetu sisi tunaona dada yetu Snura amefanya maamuzi yaliyo sahihi....Allah amuhifadhi🤲

    • @FeisalDoctor-wr8ws
      @FeisalDoctor-wr8ws 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@beatricejohn1659Yaan at unachokiongea hukielew

  • @HaliifaNgwali
    @HaliifaNgwali 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dini yako wewe na yetu siye ni tofaut

  • @safiasafiyah40
    @safiasafiyah40 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo na machizi sikuhizi wanasikilizwa sana...

  • @MunahyaMubaraka
    @MunahyaMubaraka 2 หลายเดือนก่อน +4

    Dini YETU hairuhusu mamb hayo ni haramu

  • @salumjumasaid1266
    @salumjumasaid1266 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu mdada akili hana akapimwe vizur kwqnza mana anaongea pumba mwanzo mwisho unamsikiliza maneno yake hayashikiki wala hayahamasishi

  • @AbdulIsmail-ie4hp
    @AbdulIsmail-ie4hp 2 หลายเดือนก่อน

    johari unasahau kuwa hata kipaji pia NI MTIHANI KUTOKA KWA MUNGU!!!!

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 2 หลายเดือนก่อน

    Mwehu huyu😂,akili sifuri kabisaa, shetan kajaa kichwani

  • @hamilhashir4452
    @hamilhashir4452 2 หลายเดือนก่อน

    Kwahio limekuchoma ee usimpamgie mtu Cha kufanya mbona ww mlevi

  • @Aminabakari-y5n
    @Aminabakari-y5n 2 หลายเดือนก่อน

    Dini yetu sio kama yako we mbwa tulia ubakwe

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

    Dada wwe ni kafiri una mungu gani ww hapo ulipo tuuh ni shetwani toshaa 😂😂 usilinganishe dini yako na snura, dini ya kiislamu muziki ni haramu na raana tupu! Ww hata ukisema ubaki hivyo ni sawa unaruhusiwa Sabu si kafiri

  • @salumjumasaid1266
    @salumjumasaid1266 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu mdada akili hana akapimwe vizur kwqnza mana anaongea pumba mwanzo mwisho unamsikiliza maneno yake hayashikiki wala hayahamasishi