Ubarikiwe sana kaka Joel hata mimi kuna majira nilipita peke yangu lakini hayo mazingira yalinifundisha sana kujenga uwezo wa kujisimamia mpaka leo sjawahi kurudi nyuma
Asante sana kwa sababu wakat wote nikikusikiliza nahisigi kabsa wazungumza na mm unanijenga sana na nazidi kujifunza asante mollah akubariki na akuweke sana
Ni kweri kabisa ni kitu chenye hata mimi kimenitokia kipindi najifunza pikipiki alikuwa nani fundisho brother nikiwa nae hata ikizima ananielekeza lkn siku nilipo endesha pekee Ang ndo siku niliyo jua kuendesha vzl maana niligundua niko pekee Ang na niko mbali inabidi nirudi nyumbani asante
Kutokutegemea watu,nilimaliza shule nikiwa Sina ramani ili nimepambana na ninamshukuru Mungu kwa hapa nilipofika japo safari Bado ni ndefu sana See me at the Top
Funzo *** ona kama hamna mtu WA kukusaidia,hakika utaweka JUHUDI kwenye jambo husika ***Usiwachukie watu ambao wameshindwa kukusaidia ,wakati Wanao uwezo wa kufanya hivyo ___msaada NI hiari ✊
Nimejifunza kitu kikubwa sasa😊😊nashukuru kwa hili naamin mbaka kufika hapa kwa sababu niliowategemea wanisaidie wakaniacha 😊hii ndio iliyonivusha Sitalaum kwa yeyote atakae Acha kunisupport 🙏maisha yangu yapo mikononi mwangu
Ubarikiwe sana kaka Joel hata mimi kuna majira nilipita peke yangu lakini hayo mazingira yalinifundisha sana kujenga uwezo wa kujisimamia mpaka leo sjawahi kurudi nyuma
Asante Sana nimejifunza kitu kikubwa Sana
Nimepata kitu hapa.
Nashukulu kukujua umenibadili maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana mungu akupe maisha malefu
Mungu akubariki sana kaka hakika msimamiz wa maisha yetu ni sisi wenyewe.
Asante sana kwa sababu wakat wote nikikusikiliza nahisigi kabsa wazungumza na mm unanijenga sana na nazidi kujifunza asante mollah akubariki na akuweke sana
Kaka nimekuwa nikikufatilia sana,umenisaidia sana,hta sasa nimesimama na Mungu,wanadamu niwanafki tu yaan
Mwenye Mungu akubariki sana Mr.Joel kwakwel nimejifunza kitu kikubwa kupitia story yako naami ntaafanikiwa kuishinda hofu ndani yang🙏
Asante sana bro joeli na mimi napitia wakati huu sasaivi Asante kwa kunifa maarifa Mungu akubariki
asante sana kaka joer na mungu akupemaisha marefu
Ni kweri kabisa ni kitu chenye hata mimi kimenitokia kipindi najifunza pikipiki alikuwa nani fundisho brother nikiwa nae hata ikizima ananielekeza lkn siku nilipo endesha pekee Ang ndo siku niliyo jua kuendesha vzl maana niligundua niko pekee Ang na niko mbali inabidi nirudi nyumbani asante
Ubarikiwe kaka Joel
Uko sahihi Joel
Nimejifunza kujitegemae mm mwenyewe na kuacha kutegemea watu.
Nashukuru Sana kwa mafunzo...lakini kunawakati mtu nakosa kabisa sio ati nikupenda ni kukosa nafasi kabisa kunawakati na kataa tamaa kabisa
🙏
Ubarikiwe sana🙏🙏
Amen. Be blessed
Mwalimu ❤❤
Be blessed bro🎉
Kutokutegemea watu,nilimaliza shule nikiwa Sina ramani ili nimepambana na ninamshukuru Mungu kwa hapa nilipofika japo safari Bado ni ndefu sana
See me at the Top
Kaka nashkuru asanteee nimejifunzaa🙏
Asant
Asantee sana imenisaidia
Joel ur the great person on the earth, may God help u to stay strong forever.
Asante sana
Funzo *** ona kama hamna mtu WA kukusaidia,hakika utaweka JUHUDI kwenye jambo husika
***Usiwachukie watu ambao wameshindwa kukusaidia ,wakati Wanao uwezo wa kufanya hivyo ___msaada NI hiari ✊
Exactly 🧭
Nimejifunza kutokutegemea Sana watu,mambo mengine natakiwa niyafanye mwenyewe.
Nakubal Mwamba,,upo vzr sana 🙏
Some zuri Sana coach Joel nimejifunza uko Sahihi barikiwa sana
ASANTE MENTOR ARTHUR NANAUKA JOEL 🙏🙏🙏
Najiuliza kwanini nilicheleawa kukujua your the best 🙏
Umeongea ukweli kabisa .Asante kwa kunifungua nimepata kitu.
True story about me, nimejifunza kitu
Asanteh sana kaka Joel nmejifunza kitu
Napokea
Asante sana kakaa nimejifunza kitu hapaa
Asante Kaka 🎉🎉🎉🇨🇩
Nimejifunza kitu kikubwa sasa😊😊nashukuru kwa hili naamin mbaka kufika hapa kwa sababu niliowategemea wanisaidie wakaniacha 😊hii ndio iliyonivusha
Sitalaum kwa yeyote atakae Acha kunisupport 🙏maisha yangu yapo mikononi mwangu
Kiukweli haya maisha simama na.Mungu,wanadamu ni hatari bora.mnyama
asante sana Joel mimi ni mufwasi wako wakilasiku na natamani sana venye naeza pata vitabu vyako
Nashukuru sana, karibu sana 0762 31 21 71
Mimi naomba ushauli nashindwa kujiamini nifanyeje
😅😅😅😅
Nimejifunza lakini sijaridhika na nilichojifunza. HIVI IKAWAJE BAADA YA KUJUA KUENDESHA BAISKELI? KWA RAFIKI ZAKO WALIOKUWA WANAKUCHEKA?
Asante sana
Asante sana kakaa nimejifunza kitu hapaa
Asantee Sanaa kaka