Huu ugonjwa ni wa mateso sana wapendwa, Mume wangu ni mwaka 10 sasa yupo kwenye dialysis ila anayoyapitia kweli ni neema ya Mungu tu. Mwenyezi Mungu ampe huyu kaka nguvu
Pole sana Anania Mwenyezi Mungu akuponye.Jamani Serikali yetu igharamie haya matatizo makubwa kwa watanzania.Mama Samia tunakuomba sema neno juu ya huyu kijana mama yetu.
Allahu akibarr. Polesana Allah akuponye kwahurumawake kwani yeye anaweza ss atuwezi yeye anajua ss atujui nae nimjuzi yaliyo fichikana. Kikubwa utapona lnshaallah❤
Haki tena ukitaka kujua watu wanateseka kiasi gani tembelea Muhimbili kitengo cha figo na moyo Kuna challenge kubwa sana kwa serikali kuangalia hayo maeneo maana mie nina ndg yangu alipandikizwa figo Kwa msaada wa wanafamilia haki kila uchwao nilikuwa nikifika pale nalia mpaka kwa sauti ila nawalilia wengine mgonjwa wangu naona Kama ana afadhali vile Ee Mungu nakuomba unipe mwisho mwema katika maisha yangu
Milioni 700 juzi wamepewa watu wenye afya zao mtu anahitaji milion70 apate tiba mpka watoe walala hoi hii inch yetu ni ajabu sana bila afya hatuweji kucheza mpira,kusoma,kusomesha,kuingia bungen,kufanya mapenzi afya ndio kila kitu tunakuomben jaman wenzetu serikali muwaone hawa wenzetu 😢😢😢
Kama unasema angejulikana vp kuacha huyu kuna wangap mahosiptalun awa mayatima hawawezi saidiya wenye shida kwa kuwa wanafafuta majina na sifa wajulukane😢😢@@m404msigara7
Pole kaka Anania, pole sana! Tunakuombea kaka, Mungu anasema Yeye Bwana, Mungu wa wote wenye mwili, wala hakuna neno lolote gumu Asiloliweza!! Usitoe tumaini lako kwake!! Yeye ni Mungu Mkuu, tena mwingi wa nguvu,akili zake hazina mipaka!Akutendee tu muujiza kaka
Cyo pesa nyingi jamani Mama yetu kipenzi Mama Samia Aweza kusema neno moja tu na kaka yetu akapata hiyo pesa kwa dakika moja tu❤❤❤ Mama oyeeee tunakupenda Mama
Huu ugonjwa nyieeeeeeee kama hujapitia kuuguza mtu wa ugonjwa huuu endelea kumshukuru Mungu ,,,,nyie ni maumivu ni mateso ni gharama,,ni unaleta umasikini kwa ajili ya gharama ni hofu mpaka kwa wauguzaji ni tabuuu jamani ni tabu,, mwanangu aliumwa ghafla kwenda hospital ni figo nyieeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,,,,ila Mungu ni mwema sana mpaka naandika hapa ni Mungu,,,,,
Inauma sana mm baba wangu Ameshafariki mwaka 2020,figo zote mbili zilifeli amefanyiwa operesheni lakini bado😢😢😢😢 kumbe mtu akiwa na kisukari atakiwa kufanyiwa operesheni
kwakweli, mm naomba Mungu hizo pesa nyingi sana zinazoelekezwa kwaajili ya burudani, aguswe mheshimiwa kuwaangalia wahitaji wa afya zaidi, chakula na malazi kwa wananchi hasa wahitaji zaidi kama anania
Walipandikiza vibaya, hizi hospital ndio zinazotuua, ukiwa na Uwezo mzuri wa kifedha, please mpeleke mgonjwa wako Hospital kubwa za private, hospital za serikali ni mtihani, wengi wamekufa na kuwa walemavu kwasababu ya huduma mbovu na za hovyo za hospitali zetu
Hii ndio niliokuw nasema mim km unatk kusaidia tumia namba ya mhanga kuchangisha sio wale kina flora,nifa Yani anatk tumuamini wakat yy atumii namb za mhanga anatumia take
LA MAANA AENDE TU UGANDA KWA KAKANDE , ATAPONA SIKU HIYOHIYO. TENA ASUENDE YEYE AENDE NDUGU YAKE ACHUKUWE VYETI NA PICHA TUU, NA ATAKUWA SAWA. KAMA BADO ANATAKA KUISHI. LA SIVYO EANDELEE KUTAFUTA KUFANYA ANAVYOONA YEYE. MUNGU AMSAIDIE. .
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Link haikubal
Watanzania tuchange buku buku hakika itafika na,itazidi walala hoi husaidiana wao kwa wao❤ one love Tanzania 🇹🇿
Huu ugonjwa ni wa mateso sana wapendwa, Mume wangu ni mwaka 10 sasa yupo kwenye dialysis ila anayoyapitia kweli ni neema ya Mungu tu. Mwenyezi Mungu ampe huyu kaka nguvu
Pole sana
Pole sana
Pole sana mpendwa
Pole dada mungu awakumbuke
Pole sana kaka. Mwenyeezi Mungu akuponyeshe.
Pole sana Anania Mwenyezi Mungu akuponye.Jamani Serikali yetu igharamie haya matatizo makubwa kwa watanzania.Mama Samia tunakuomba sema neno juu ya huyu kijana mama yetu.
Pole sana mungu hakuponye
Jamani ndugu ni ndugu❤. Ona wanavyojitolea kuokoa maisha ya ndugu yao❤❤❤
Allahu akibarr. Polesana Allah akuponye kwahurumawake kwani yeye anaweza ss atuwezi yeye anajua ss atujui nae nimjuzi yaliyo fichikana. Kikubwa utapona lnshaallah❤
Mungu wewe ni mponyaji naomba umponye hyu ndugu yetu
Hakika
Haki tena ukitaka kujua watu wanateseka kiasi gani tembelea Muhimbili kitengo cha figo na moyo
Kuna challenge kubwa sana kwa serikali kuangalia hayo maeneo maana mie nina ndg yangu alipandikizwa figo Kwa msaada wa wanafamilia haki kila uchwao nilikuwa nikifika pale nalia mpaka kwa sauti ila nawalilia wengine mgonjwa wangu naona Kama ana afadhali vile
Ee Mungu nakuomba unipe mwisho mwema katika maisha yangu
Ukitaka kujuwa watu wanashida tembelea field uone unaweza kupata afadhali kwa kuona wengine wanavo shida kubwa zaid
Milioni 700 juzi wamepewa watu wenye afya zao mtu anahitaji milion70 apate tiba mpka watoe walala hoi hii inch yetu ni ajabu sana bila afya hatuweji kucheza mpira,kusoma,kusomesha,kuingia bungen,kufanya mapenzi afya ndio kila kitu tunakuomben jaman wenzetu serikali muwaone hawa wenzetu 😢😢😢
Unafkir wanaoumwa ni wangapi! Je ingejulikana vip kama mtu huyu anashida kwa alietoa m700?, unahisi angeomba msaada kwenye hizo ngaz za juu angekosa?
Kama unasema angejulikana vp kuacha huyu kuna wangap mahosiptalun awa mayatima hawawezi saidiya wenye shida kwa kuwa wanafafuta majina na sifa wajulukane😢😢@@m404msigara7
@@m404msigara7Acha kutetea wagonjwa kibao wanateseka pesa wanapewa wacheza mpila
Yaani acha tu 😢
Umeongea fact sana aise!!Mungu amponye Amen🙏
Mungu muonyeshe mama samia huyu kaka amsadie atakufa huku anajiona
Pole kaka Anania, pole sana! Tunakuombea kaka, Mungu anasema Yeye Bwana, Mungu wa wote wenye mwili, wala hakuna neno lolote gumu Asiloliweza!! Usitoe tumaini lako kwake!! Yeye ni Mungu Mkuu, tena mwingi wa nguvu,akili zake hazina mipaka!Akutendee tu muujiza kaka
Cyo pesa nyingi jamani Mama yetu kipenzi Mama Samia Aweza kusema neno moja tu na kaka yetu akapata hiyo pesa kwa dakika moja tu❤❤❤ Mama oyeeee tunakupenda Mama
Pole Sana ndugu Mungu akupe uponyaji
Huu ugonjwa nyie achen tuu,mama angu hadi alishaikubali hali Kwa wiki anaenda dialysis mara tatu ni garama jaman acheni😢😢😢
Aisee pole sana boss wangu Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi🥺
Daaah jamniii pole sanaa mungu akjalie afya njema
Pole sana naamin Allah atakuaaf inshallah
Huu ugonjwa nyieeeeeeee kama hujapitia kuuguza mtu wa ugonjwa huuu endelea kumshukuru Mungu ,,,,nyie ni maumivu ni mateso ni gharama,,ni unaleta umasikini kwa ajili ya gharama ni hofu mpaka kwa wauguzaji ni tabuuu jamani ni tabu,, mwanangu aliumwa ghafla kwenda hospital ni figo nyieeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,,,,ila Mungu ni mwema sana mpaka naandika hapa ni Mungu,,,,,
Inauma sana mm baba wangu Ameshafariki mwaka 2020,figo zote mbili zilifeli amefanyiwa operesheni lakini bado😢😢😢😢 kumbe mtu akiwa na kisukari atakiwa kufanyiwa operesheni
Hatariiii
Pia mchele hutakiwi kula
Pole Sana
Allah awajalie shifaa wote mnaosumbuliwa na marathi
Mungu atakuponya Anania tupo nawewe
Mungu baba tunakuomba umponye ndugu yetu huyu.Amina
Jamani mbona professor Jay Alisaidiwa na serikali 😢Kwanini Huyu ndugu asisaidiwe au Kwa viler siyo msanii 😢
Weka namba tumchangie mTanzania mwenzetuuu
Sana sana😢
Wazo zuri sana
Namba tiyar imewekwa mbona
Umoja ni nguvu
Yes ivo ndo inavotakiwa tuonyeshe kweli tumeguswa acha kugusa watu taasisi au serikali anza wewe mwenyewe
Pole sana dah haya magonjwa yasiyoambukizwa ni mtihani
kwakweli, mm naomba Mungu hizo pesa nyingi sana zinazoelekezwa kwaajili ya burudani, aguswe mheshimiwa kuwaangalia wahitaji wa afya zaidi, chakula na malazi kwa wananchi hasa wahitaji zaidi kama anania
pole ndugu zaidi tuwasiliane nikwelekeze ujalibu mitishamba binadamu wanatibu mponyaji Mungu nawapona kabsa mama yetu mdogo ashapona mwaka unaenda wa6
Naomba unielekeze Hy mitishamba
Kaka weka namba yako simu
Pole sana Mungu akufanyie wepesi
Pole sana kaka Mungu ni mwema atakupnya hakuna utajiri mkubwa duniani kama afya njema
Pole sana Mungu akuponye
Pole sana kaka Anania Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi🙏🙏
pole sana Anania Lohay. jina la mwisho nafikiri ni Lohay siyo Yohana.
Hekima imtume yule mwenye uwezo wa kutoa 700milion kwa ajili ya burudan akamsaidia Anania
Mungu akusaidie kaka ukae sawa upate matibabu
Pole sana Anania.mungu atakuponya
Mungu. Akufanyie. Wepes inshaallah❤
Pole sana kaka mungu anasaidia upate msaada utibiwe 🤲
Mwenyezi Mungu akupoke Kaka... Kweli binadamu sis sio chochote.. Mwenyez Mungu akutetee
Pole sana kaka mungu atafanya wepesi ombilako litafika mbali na Inshaaalah watakuchangia
Walipandikiza vibaya, hizi hospital ndio zinazotuua, ukiwa na Uwezo mzuri wa kifedha, please mpeleke mgonjwa wako Hospital kubwa za private, hospital za serikali ni mtihani, wengi wamekufa na kuwa walemavu kwasababu ya huduma mbovu na za hovyo za hospitali zetu
Pole sana kaka MUNGU atakuponya
Pole sana kaka anguu Mungu yu pamoja na wewe
Serikal mko wap jaman. Mnatoa pesa kwenye clab za mipira masikin mwenzetu anateseka naomba mumsaidie jaman
Yaan,
Pole sana kaka .Mungu yupo atakusaidia
Pole mungu atakuponya2 amin2 yaan
Pole ndugu Mungu akuponye
Afunguwe tik tok aeke no yake awe live achangishe pesa
Serikali saidia huyu jamaaa
Mungu akufanyie wepes🤲
mungu akufanyie wepesi ishaalah yeye ndio mjuzi juu ya kila jambo .
Pole sana Mungu atakusaidi😭🙏
Allah akufanyie wepes insha'Allah
Pole sana
Dah pole sana
Mungu akuafu kaka tunapamban kwa chochote mungu atachotubariki tuta gawana
Professor jay yuko wapi si alichangisha hela kwa watu wenye matatizo kama hayo
Pole sana mungu yupo utapona
Mwenyezi Mungu akujalie afya kaka,
pole sana anania
bora mgonjwa wa HIV jmn magonjwa mengine ni mateso 😢😢😢
Duuh hakuna ugonjwa mzr kikubwa ni kumuomba Mungu atuepushie maradhi haya
Mungu akuponye ndugu yangu
Mungu mkubwa atakuponya mdg wangu
Mungu mguse kijana huyu mletee watu sahihi apewe msaada
Allah akufanyie wepesi
Mungu atakupa wepesi
Allah amponye kwa huruma wake
Pole sana babangu
thamani ya mwanadamu ni kubwa sana
Polee sana ndugu🫶
MUNGUNAOMBA MPONYEHUYUKIJANA.MAM SAMIA TUNAKULILIA WEWE MSAADA KWA HUYU KIJANA MAMA MSAIDIE HUYU KIJANA
Tumchangie jamani lakini asiuze nyumba😢
Poleee Sanaa jaman😢 Anania nilikupigia simu Mara ya mwisho ukaniambia upo hospital sikujua Kama unaumwa hivi jaman polee sanaa😢 jaman ndg Anania 😢
Nipe namba yake ndugu
@@mariamfaicalhassan2890namba ametaja hapo kwenye video
Pole sana ndungu
Mungu wa mbinguni akuponye kaka pore
😢😢😢😢Pole sana kaka yangu utapona kwauwezo wa mungu
Kinachoweza kusaidia ni dawa za asili tu;na wasomi wamejazwa sumu kuwa dawa za asili zina sumu ili wazungu wauze dawa zao tu.
Dada unafanyakazi nzuri Sana ,,lakini vitisho vya hawa wanasiasa juzi kariakoo vinatukatisha Sana tamaa kusaidiana😭😭
Allah akupe njia pacpo na njia
wapendwa huu ugonjwa Acha mie nilisafisha miezi 2 nikaaa vizuri huwa namshukuru
Hii ndio niliokuw nasema mim km unatk kusaidia tumia namba ya mhanga kuchangisha sio wale kina flora,nifa Yani anatk tumuamini wakat yy atumii namb za mhanga anatumia take
Dah mw MUNGU atakuponya inshaallah.
inauma sana jaman hujafa hujaumbika
Polesana
Jamani Garmo doren pole sana nilikuwa sijakujua jamani
Mungu akutetee
Alhamdulillah
Allah mwenyew anajua anapo tupa neema zake hizi Bure lakin hatuthamini
Allah ampe wepesi ampe shifaa mgonjwa
Pole san
Pole kakaetu
Allah Akuafu Inshaallah
Serikali inatuhitaji kwenye kura tu
Pole Bro😢
Kama ww ni mzima semaasante Yesu
Rais juz kawapa wazma ml700 ngoja tuone
Ugonjwa huu siyo wa mauti bali ni kwa ajili ya utukufu wa mungu
Mama,yetu,samia,msaidie
Allah Akbar
LA MAANA AENDE TU UGANDA KWA KAKANDE , ATAPONA SIKU HIYOHIYO. TENA ASUENDE YEYE AENDE NDUGU YAKE ACHUKUWE VYETI NA PICHA TUU, NA ATAKUWA SAWA. KAMA BADO ANATAKA KUISHI. LA SIVYO EANDELEE KUTAFUTA KUFANYA ANAVYOONA YEYE. MUNGU AMSAIDIE.
.
Uyo kakande uganda ndo nani, na je anatibu? Au hatujaelewa fafanua
Ina uhalisia sana
Tumchangie huyu kaka
Jaman Hilo jina msiwape watoto wenu historia ya anania kwny biblia sio nzur