Allamdullih mm mwaka wa kwaz nilipata nyumba mby niliteseta 😭Sema subra ndo imenisaidia nikamaliza miak miwil nikabaridi nymba ila ya Sasa nainjoi Namshukuru Allah
Mashallha nimependa huyu mama kongea ukweli mtupu wa maisha ya uwarabuni pia ni bora omani unapata mda wa kupumzika lakini siyo dubei mm nilienda nikaa miezi minne tu miwili kwa boss miwili ofisini alhamdullha nimerudi omani kwa boss wangu ss mwaka na hii nyumba niko mwaka wa nane ss alhamdullha maana 2021 nilirudi tz likizo omani kulikuwa na korona kipindi hicho kwaiyo sikufanyiwa mkataba mpya ndo nikaenda dubei baada ya omani kufungiwa sina amu kabisa ya kwenda nchi nyengine pia hapa huyu mama mwarabu mswahili nakula vyakula vya tz kabisa yani akuna maneno kazi najipangia mwenyewe napata mda wa kupumzika na off natoka alhamdullha kiukweli wao kama binadamu wanachangamoto zao mm pia nina zangu muhimu kuvumilia tu
Alhamdulillah mungu awalipe pepo ya firdaus maboss zangu. Mi simkamikifu nawao pia si mkamilifu Subra haina hasara wacha niendelee kusuburi mana kila mwenye kusubiri yupo pamoja na Allah 😍
Yani warabu kwa kula ni number one 😂hawachokagi 😂Kila dakika chai gahwa hadi unachukia Kwakwel Mungu awazidishie Subra wafanya kazi warabuni na vitimbi sasa vya watoto Subhanallah 🤔 Hongerenii wanao pambania halali 🎉🎉
Alhamdulillah napika ninachojiskia mimi "nawao wanakula napata of mwezi maramoja nalala sikunzima sinakz nying ninamda wakupunzika mwing sana poleni kwa wenye shida yoyote kwamwarabu natamani kuendelea nakz lkn muda siorafiki🙏🙏🙏🙏
Kwanza mwarabu akikutaka anataka ukubali kwalizaa yko kusema kweli huwa hawapendi kukufos mimi nilikutana nayo akaanza kusema napenda mqtako makubwa kmaa yko nilimwambia nakuona kmaa babaangu siovizur kunambia kama ivo bs mpk leo tunaish kmaa familia sitengwi mie yn nakula chochte nafanya lolote jmn mungu mkubwa
Sahihi kabisa muarabu habaki mtu.Ukiona mtu katembea na muarabu basi ndio inaitwa kujiongea.Yaan kakubali kwa tamaa za pesa.Tena anakuuliza kabisa kama unataka sawa .Ina maana kama hutaki wala hakulazimishi
@@mcback4384 ndio ninjaa kwan mtu anatafta pesa yanini ww mwenyepesa umefaid nn au uyo moo mwenyewe bdo anatafta pesa kisa njaa atawaonao jiuza wanatafta pesa yakula bro bdo safar ndefu acha zarau
❤❤ alhamdulillah 🙏🏻 niko sehemu salama alhamdulillah 🙏🏻 nimetoka kwa mdgo mtu hali mbaya now nipo kwa dada mtu pia alhamdulillah 🙏🏻 naishi kama nipo home sijawahi kufokewa, walacho wao na mimi nakula🙏🏻 najipangia muda wangu wa kupiga pasi ni saa kumi laasir✌️hakuna wageni wa kuumizana kichwa ni watoto wake tu huyu mama,kazi wananisaidia,nikimaliza kazi saa nane nalala hadi saa kumi nashika pasi hadi kumi na moja yaani najipangia lisaa limoja naacha hata kama zimebaki tutakutana kesho,madhaifu wanayo na mimi ninayo yangu kikubwa naangalia amani mengne nitayaacha 😊nipo online tangu saa sita mchana✌️leo hawapo wameenda salalah😂so nipo tu kama mama mjengoo ndani ya siku nne "NA ENJOY"✌️🙏🏻,nikiumwa hospital naenda alhamdulillah 🙏🏻 mwaka jana figo zangu zilikuwa na mawe wakanipeleka hospital na nilikuja bila ya mkataba 😅staki ijaza napumzika sihabaa❤❤
Kwa mtazamo wangu mimi,sioni haja ya kwenda kuwa mtumwa kwa jina la kazi za ndani kwa nyumba za kiarabu,labda nchi nyingine yoyote sawa,lakini waarabu,mshahara huo ni mdogo sana kwa kazi za kiarabu,waarabu wana shughuli nyingi sana,na wao hawaziwezi ila wakimpata mfanyakazi anakuwa mbwa. ..na bado ni wakatili sana ,watu wanakufa na kuwa vilema kila siku. Ukikomaa bongo kufanya biashara ndogo ndogo bongo ukapata laki4 inakutosha upo kwenu una amani yako hakuna hasara. Ila kwakuwa kasema watu wasilatazwe kwenda 😂basi waende..
Unaona mtu kama huyu ana mtazamo mdogo na anakimbilia kwenye utumwa! Amesahau kuwa kazi ni uti wa mgongo na ni njia ya kupata riziki ! Huyu anatangaza chuki tu kwa kuwa imetajwa uarabuni tu lkn cha ajabu kwani mmelazimishwa kwenda huko ? Si mjitafutie kazi hapo kwenu tu kuliko kuwapa waarabu jina baya eti wanafanya utumwa!
Wanawake wa kiunguja kawaida yao maneno maneno ya chuki mbn wanachokipata huko hawawasifii waarabu? Wao ni kutoa kashfa tu lkn mafanikio wanayopata hawasemi
Umeongea kweli kabisa mi wangu nikisema tu naumwa ndio nitapewa kazi mpaka za jirani😅😅ila Alhamdulillah leo myaka 4 nimezowea na maisha yanaenda tunapambana kikubwa subra na sala
Katika watu wanaohojiwa wakaongea ukweli huyu mama ndy kaongea ukweli wengine wote pumba tu na kuzidisha chuki hongera mama kwa kuweka wazi yanayotusibu
Jamani mie binafsi nimefanya sana kazi za ndani... lakini baadhi yetu huabudu sana watu wenye nywele za kulala...lakini tukiajiriwa na watz wenzetu dharau kibao...uwongo mwingiii...oh nanyanyaswa , nateswa.........mpaka jamii ikaamini hivyo.. Siwaonei huruma wanaokwenda kufanya kazi Arabuni...acha wafe walemae utumwani...dharau kwa waafrika wwnzetu tumezidi..
Msituchanganye kuwa tuwatesa wafanya kazi mm ninae anamwaka wa nane anakuja likizo na anarudi kama ningekuwa namtesa asingekuwa anarudi nampenda na ananipenda na anapenda watoto wangu kila mwaka namzidishia mshahara pesa yake ni yake mie kila kitu namnunulia
Lugha sio shida,mishahara mikubwa saana,kweli watu wamejijenga saana..hio ni mishahara tu bado marupurupu mangapi mnapata,ldd mnazoa pesa,ngio za bure,kula vzr,,kula pazuri kuliko.simu mikononi usiku kucha...matibabu bure,japo Panadol,huitafuti
Mimi sijawahi pata bosi akanielewa nikiwa naumwa nafanya kazi tu ila mda wakupumzika ninao nikimaliza kazi asubuhi napumzika kuanzia saa 2 mpaka saa 4 na nusu naenda kupika nikimaliza kupika saa 6 naingia ndani kwangu kupumzika mpaka saa 10 tatizo la hii nyumba mda wakupumzika ni mkubwa sana sema ukiumwA hupelekwi hospitali wala kuacha kufanya kaz ila namshukuru allah ni changamoto tu zitaisha
Tz hapa kunawatu siyo wafanyakazi wa ndani ila kitanda kwao ni tabu kukipata na unaluta hakuna anachokipata ilimladi mkono ufike kinywani kazi ni kazi kila mtu na kazi inayo mpa msosi sometimes boss ni muhudumu wa bar boss anajiuza ww hujui unalalamika tu yani huyu mara vile kumve pesa anapo itoa aje kukulipa😂😂😂😂
Mazingira magumu yanatengeneza watu imara, huyu mama huwez fananisha na mama anayfanya kaz bongo ni series za kikorea asubuh mpk jion boss anaporud nae ndo anaanza kufanya kaz😅😅 hongera dada ww ni chuma tayari
Hapo kuto kuongeza mshahara kwa oman sio kweli oman ukiongeza mkataba lazima watakuongeza mshahara binafsi nipo kwa nyumba moja nina miaka 8 mshahara wangu 170
Yan huyu mama yote anayoyasema ni kwel ila changamoto zipo kila sehemu kukomaa tu wapo wengn wanapata nyumba nzur na mapumziko ypo, hata uko nyumban kuna sehemu kuna changamoto pia ktk kz, sema kupo vzr hakuna shd yoyote pesa ipo vzr na maisha yanaenda
Mm na ulaumu umasikini wangu tu sawa kuna mda wanakera nafsi inaongea inatoa maneno lasna ila naenda mbele nikilud nyuma na sema nateseka hii ni shida zangu kwaiyo acha niteseke mm ili wanangu wa enjoy wasipitie niliyo pitia mm nilikuwa na lia nacheka na piga kazi zaman ndo nilikuwa naizo zana za warabu kuwachukia sasa ivi nachukia shida zangu
MSHAHARA MDO JE KWENU MNAPATA NGAPI? MNAPATA LAKI 1.TU HAMNA SHUKRANI. SIMNAJILETA WENYEWE? KINAKULETENI NINI? HUYO MAMA MUONGO SANA TENA SANA OGOPA MUNGU. KILA MWAKA TUNAWAONGEZA MSHAHARA. KWENU HAMPEWI MSHAHARA KAMA ARABONI HUKU MWALA CHAKULA KILA NAMNA. NITAKUWAMBIENI TANZANIA UWONGO NI FANI YENU. MNAKUJA KWA KUTAFUTA KAZI 2. KUFANYA KAZI NA UMALAYA. SIKWELI KWENU MNAMSHAHARA MDOGO SANA MKIJA HUKU MNAJITIA VIHEREHERE.
Duu 😂 inaonesha we ni mwarabu mswahili ,, sio bure sio kwa matusi hayo .. halafu sio wote tunaokuja kwenye nchi yenu tunakuwa tumekuja kufanya umalaya, wengine tumekuja ili tutafute ridhiki za halali tusaidie wazazi wetu pia tufanye malengo yetu,, pia lazima mtulipe mshahara mkubwa kwa sababu huku arabuni kazi za waarab ni nyingi kutwa kuzunguka , kuangalia watoto, kusafisha nyumba, wageni , upike , upige pasi , ufue , N. k , kwa hizo Kaz zote mnataka muwe mnatulipa rial 20 ama??
Wng ana mmoja nampa mia 120 na apika na kufagia tu na hvo anaona kazi kwake sijui binaadam wakoje na mara kwanza kuingia mfanyakaz mswahil na hvo mmeletewa wng kamaliza mda wa kufua muhindi mwanaume na hvo anasema anachoka hpati kupumzika
Kwenye mshahara hujazungumza vizuri,wanafananisha mishahara ya home na huku,mbona hawafananishi na kaxi pia?sbb mfanyakaxi wa home anaingia kazini saa mbili na kutoka saa tisa.huku unaingia kazini saa kumi alfajir kutoka saa sita usiku.
Yaani,umeongea ukweli kabisa mikataba wanakeunga Bora umetuongea yaani ukweli kabisa ujadanganya hata mara moja nipo huku mwaka 8 mshahara sijaongezwa Hadi Leo navumilia tu nimalizie nyumba yangu
Mwl anaweza kukopa mpaka million 8 (huyu ni mwalimu alieajiriwa ndani ya mwaka mmoja tu) mwenye miaka 5 kazini mpaka million 15 anakopa, wewe una huo uwezo? 😂😂😂 Mwalimu anawekewa pension PSSSF, mshahara wake unapanda kila baada ya miaka mitatu wewe wanakuwekea? Bima ya afya kwa familia? Wengine nyumba za bure na hawafanyi kazi kama punda wala hawanyanyaswi na mabosi na wana uhakika wa kazi yao hata miaka 20, piganieni haki zenu achaneni na huu msemo wa kujifariji kwamba mnalipwa vizuri kuliko walimu wakati kiuhalisia huwezi lingana na mwalimu hata siku 1
@@mcback4384 uwenda kwasasa anawezakopeshwa sina akika mana Mimi ninadada angu mwalim ameajiliwa ana maisha kama yangu nimemzidi upo awezikukopeshwa iyopesa ndaniyamwaka huongo
@@MamaMama-xp4nk bado pesa za tuition kwa wanafunzi hapo bado hajauza visnacks vyake 😂😂, jumamosi na jumapili haingii kazini anaenda kuangalia biashara zake, halafu ujilinganishe nae kweli? Kwanza kitendo kwamba upo Uarabuni huishi na familia yako huwezi jilinganisha na mtu mwenye uhuru wake na familia yake 😂😂
Wengine wanaishi kama wajinga miaka nane Nina wazimu nipo huko lakini siwezi kuishi nchi za kiarabu sababu Kuna maisha baada ya hapo mabosi wengi kiarabu wahuni tunavumilia tu na Kumuomba mwenyezi Mungu lakini puuu kama hili libaba la hapa nyumbani puuu namshukulu Mungu Kwa kunirinda
Kwani wanaofanya hapa kwenu tanganyika hawapati madhila unadhani ? Au kwenu Marekani au uengereza ? Uarabuni tu ? Mtaumia na waarabu mpaka mtaingia kaburini nyinyi. Wacha mzungu akuibieni anavatak kashakusomeni kuwa nyny ni watu w kudanganywa siku zote kama wttz hamkui.😅
Usitukane kwa kujumuisha watu wote. Sio ustaarabu huo. Kila aina ya mataifa wapo watu waovu na watu wema. Hata nyinyi mnao washenzi wenu pia😂. Check utajua.
NA HAPA WANAOTESEKA KWA MABOSS SIO WASHENZI ACHA KUTUKANA WENGINE KUNA WATU HAPA PIA WANA NYANYASIKA MBONA HAMTANGAZI SABABU NI KWENU HAMTAKI KUTOA AIBU ZENU
Mimi nina miaka 7 niko kwa nyumba moja ila yakwanza nilishindwa nilikaa kama miezi 10 nika shindwa ila tangia nije kwenye hi nyumba nili kua nalipwa rial 70 ila mpaka sasa si haba mungu ni mwema nime panda dau😅😅😅😅😅😅😅 11:38
Ubarozi omani hauna msaada hakuna mapumziko habadani mkataba waalabu waomani hawàtaki shahara kila mmoja analipa Kwa mtazamo waake sasa tunaomba selikati itusaidie juu ya mkataba kama bosi hataki mambo ya mkataba bas hata mfanya kazi asipatiwe. Selikati ingefuatilia hili
Ukipita ofisini mikataba wanato sababu ni lazima Kuna ajenti na mishahara ubarozi wa Tz mfanyakazi wa ndani ni lialy 120 SEMA wengine hawafuati Sheria wanaona itawabana kwamfano ukiumwa mda wa kupumzika kufanya kazi masaa na ndio maana wengi hawatoi mikataba
Ubaloz wa Oman ni mabeberu hawatendi haki pia zile Sheria zilizopo kweny mkataba hazifatwi hata moja,, mfano kweny mkataba wameandija mshahara 120 lakin waoman wanalipa 70-80,, 90 kwa kigezo kwamba wanafata matamshi ya rais Samia kwamba ndo aliesaini tupunguziwe mishahara,, kiufupi tunazaraulika San maana hakuna haki
HAPA KWENU KUNA SHERIA ZIPI ETI SERIKALI YA TANZANIA IFATILIE NCHI ZA WENGINE TENA MNATAKA MASHARTI YENU KAA KWENU BASI DUU HATA SHUKUR HAMNA MNAENDEA NINI WEZENU HAPA MBONA WAPO MAISHA YAO YA DUNI
Tunafunguwa kwa ajili ya umbeya wetu wenyewe hatuna Shukran kazi tunafanya na mshahara tunapewa na fitna juu...
Kweli 🤣🤣🤣🤣
Heeee, Tobaaaa 😢
😂😂😂😂
Allamdullih mm mwaka wa kwaz nilipata nyumba mby niliteseta 😭Sema subra ndo imenisaidia nikamaliza miak miwil nikabaridi nymba ila ya Sasa nainjoi Namshukuru Allah
Mashallha nimependa huyu mama kongea ukweli mtupu wa maisha ya uwarabuni pia ni bora omani unapata mda wa kupumzika lakini siyo dubei mm nilienda nikaa miezi minne tu miwili kwa boss miwili ofisini alhamdullha nimerudi omani kwa boss wangu ss mwaka na hii nyumba niko mwaka wa nane ss alhamdullha maana 2021 nilirudi tz likizo omani kulikuwa na korona kipindi hicho kwaiyo sikufanyiwa mkataba mpya ndo nikaenda dubei baada ya omani kufungiwa sina amu kabisa ya kwenda nchi nyengine pia hapa huyu mama mwarabu mswahili nakula vyakula vya tz kabisa yani akuna maneno kazi najipangia mwenyewe napata mda wa kupumzika na off natoka alhamdullha kiukweli wao kama binadamu wanachangamoto zao mm pia nina zangu muhimu kuvumilia tu
Kabisa mpnz na sio wote warabu wabaya
Ushasema🙌
Kama upo oman gonga like apa
Wakwaza nipo nyonyo
@@morjanoman5181 Nakubari titi🤣😂
@@mmn7480 poa
Tuundeni grup jamen tutiane moyo
@@rhodarichard4494 poa azisheni
Alhamdulillah mungu awalipe pepo ya firdaus maboss zangu. Mi simkamikifu nawao pia si mkamilifu
Subra haina hasara wacha niendelee kusuburi mana kila mwenye kusubiri yupo pamoja na Allah 😍
Amina na ww pia inshallah
Amin yarablghalakin......
Naaam
MashaAllah mama msema ukweli ❤❤❤❤Allah akulipe kher
Kweli ameongea ukweli Dada Allah akulipe kheri
Yani warabu kwa kula ni number one 😂hawachokagi 😂Kila dakika chai gahwa hadi unachukia Kwakwel Mungu awazidishie Subra wafanya kazi warabuni na vitimbi sasa vya watoto Subhanallah 🤔 Hongerenii wanao pambania halali 🎉🎉
Hahaha😂😂 et kula
😂😂😂🙌
Yaan nahisi matumbo yao na yetu ni tofauti kila wakati midomo yao inacheza hawataki ipumzike
@@aishahazary4097African ni Asbuhi chai mchana ugali na mambog zako usiku wali inategemeya ila warabu Subhanallah 🤔 Yani sijuwi huwenda wameeandikiwa rizki nying hatujuwi kula kula kunywa kunywa😮
@@khadidjasuleiman8006ttz hiko chakukila wanacho hata ww ungekuwa km unacho ungekuwa km hawa
Masha Allah mama unaongea ukweli
Alhamdulillah napika ninachojiskia mimi "nawao wanakula napata of mwezi maramoja nalala sikunzima sinakz nying ninamda wakupunzika mwing sana poleni kwa wenye shida yoyote kwamwarabu natamani kuendelea nakz lkn muda siorafiki🙏🙏🙏🙏
Sorry oko wap mama
@@jadouhuru257hata Mimi naenjoy
@@BINTIwaKITANGAtujuane tuiale mishikaki wakuenjoy wenzangu alhamdulillah ila nyumba ya mwanzo nilikomaa😂 kimbembe
😂😂😂😂😂😂 una lala siku nzima
Mim namshkuru alalah namiaka nane hapa kwa bos moja tu nalala alihamdullah
Chukua maua yako mama yangu ❤
Watanzania wenzangu asiwambie mtu uarabun kuna kaz tena kunataka moyo warabu wanajifanya watu wa duni sana lkn washenz htr
Dada chukuwa mauwa yako 🎉🎉🎉 umeongea ukweri mtupu
Mie niseme tu Alhamdulillah ❤mama yupo sahihi ❤❤ wamezid warabuu hususani 2023 ndoo kabis na mabalozi wanawaogopa warabuu😅😅
Yaan umetusemea kweli hasaaaa.kweli weye mkongwe mwenzangu
Mashallah dd umeongea kwl allah akulinde umetungerea vzr cn ❤❤
nimekupendaaa bureee mamaangu safi sana nikweli uliyongeye yapo hayo
Hapo kwa boss kukutaka ni 😢 nilikua nna mwenzngu kaondoka kwa sbb ya boss
Umeongea pointing dada asante mwaya uko vizuri
Mama kaongea point jamani tumpe maua yake❤️❤️🙏🙏
Hapo kwenye lugha mmj ni mtihani miezi SITA sijatoa ajitokeze mtu anifundishe😂😂😂😂😂
Mabosi wa bongo mshahara elf 50 manyanyaso kibao na kipigo juu,,bora huko uarabun
Alhamdullillah naish vyema na mshahara mzuri changamoto siyo ngum ni kutokuwa na likizo
Umekubali utumwa na siku watakubaka hao waarabu
@@kabwelasutiviraka4765mna mawazo mabaya ulienda ukabakwa au kuropoka TU ,hata hawa waliopo Gulf hakuna aliyelazimishwa
@@kabwelasutiviraka4765😂😂😂😂😂
Kwanza mwarabu akikutaka anataka ukubali kwalizaa yko kusema kweli huwa hawapendi kukufos mimi nilikutana nayo akaanza kusema napenda mqtako makubwa kmaa yko nilimwambia nakuona kmaa babaangu siovizur kunambia kama ivo bs mpk leo tunaish kmaa familia sitengwi mie yn nakula chochte nafanya lolote jmn mungu mkubwa
ukirud nataka kukuoa
Sahihi kabisa muarabu habaki mtu.Ukiona mtu katembea na muarabu basi ndio inaitwa kujiongea.Yaan kakubali kwa tamaa za pesa.Tena anakuuliza kabisa kama unataka sawa .Ina maana kama hutaki wala hakulazimishi
Kila mtu anasema nakula chochote hii ina maana ni njaa zimewapeleka huko?
@@mcback4384 ndio ninjaa kwan mtu anatafta pesa yanini ww mwenyepesa umefaid nn au uyo moo mwenyewe bdo anatafta pesa kisa njaa atawaonao jiuza wanatafta pesa yakula bro bdo safar ndefu acha zarau
Kweli mtu mweupe halazimishi penzi ukikataa Wala Hana muda na wewe wengi wao wapo ivyo Yani
Weee kwanamke mwezangu nakupenda chukua maua yako mimi mwenzio bado nipo napambana navumilia
❤❤ alhamdulillah 🙏🏻 niko sehemu salama alhamdulillah 🙏🏻 nimetoka kwa mdgo mtu hali mbaya now nipo kwa dada mtu pia alhamdulillah 🙏🏻 naishi kama nipo home sijawahi kufokewa, walacho wao na mimi nakula🙏🏻 najipangia muda wangu wa kupiga pasi ni saa kumi laasir✌️hakuna wageni wa kuumizana kichwa ni watoto wake tu huyu mama,kazi wananisaidia,nikimaliza kazi saa nane nalala hadi saa kumi nashika pasi hadi kumi na moja yaani najipangia lisaa limoja naacha hata kama zimebaki tutakutana kesho,madhaifu wanayo na mimi ninayo yangu kikubwa naangalia amani mengne nitayaacha 😊nipo online tangu saa sita mchana✌️leo hawapo wameenda salalah😂so nipo tu kama mama mjengoo ndani ya siku nne "NA ENJOY"✌️🙏🏻,nikiumwa hospital naenda alhamdulillah 🙏🏻 mwaka jana figo zangu zilikuwa na mawe wakanipeleka hospital na nilikuja bila ya mkataba 😅staki ijaza napumzika sihabaa❤❤
Hongera sana
hongera mm pia nipo huru kabisa
Pole sana pia hongera
@@AbdullahOmar-fv3ld 🙏🏻🥰🥰
@@cosmasjulius 🙏🏻🥰
umeongea kweli mama angu❤❤❤❤sana
Kwa mtazamo wangu mimi,sioni haja ya kwenda kuwa mtumwa kwa jina la kazi za ndani kwa nyumba za kiarabu,labda nchi nyingine yoyote sawa,lakini waarabu,mshahara huo ni mdogo sana kwa kazi za kiarabu,waarabu wana shughuli nyingi sana,na wao hawaziwezi ila wakimpata mfanyakazi anakuwa mbwa. ..na bado ni wakatili sana ,watu wanakufa na kuwa vilema kila siku.
Ukikomaa bongo kufanya biashara ndogo ndogo bongo ukapata laki4 inakutosha upo kwenu una amani yako hakuna hasara.
Ila kwakuwa kasema watu wasilatazwe kwenda 😂basi waende..
Unaona mtu kama huyu ana mtazamo mdogo na anakimbilia kwenye utumwa! Amesahau kuwa kazi ni uti wa mgongo na ni njia ya kupata riziki ! Huyu anatangaza chuki tu kwa kuwa imetajwa uarabuni tu lkn cha ajabu kwani mmelazimishwa kwenda huko ? Si mjitafutie kazi hapo kwenu tu kuliko kuwapa waarabu jina baya eti wanafanya utumwa!
Huyu kwanza angejipatia elimu ili aondoshe chuki zake kwa uarabuni
Kufanya kazi sio utumwa wewe acha ujuha wako
Na huo mtaji wa biashara ndogo ndogo utatoka mbinguni?.Au mpaka utoe jasho upate hicho kidogo ndipo ufikirie huo mtaji mdogo
Wanawake wa kiunguja kawaida yao maneno maneno ya chuki mbn wanachokipata huko hawawasifii waarabu? Wao ni kutoa kashfa tu lkn mafanikio wanayopata hawasemi
Umeongea kweli kabisa mi wangu nikisema tu naumwa ndio nitapewa kazi mpaka za jirani😅😅ila Alhamdulillah leo myaka 4 nimezowea na maisha yanaenda tunapambana kikubwa subra na sala
Hy ndo kama bosi wangu cku nkisema naumwa nakoma ntatumwa mpk niseme nn
Ukisema unaumwa wanajuwaga unataka kupumzika weachatu😀
Kili panadol😅😅
Akili panadol 😂
Nyie jamani haya maisha 😂😂ni hatari
Katika watu wanaohojiwa wakaongea ukweli huyu mama ndy kaongea ukweli wengine wote pumba tu na kuzidisha chuki hongera mama kwa kuweka wazi yanayotusibu
Km yule aliyefungua saloon mambo ya urembo😂😂 yule ndokaua
Asante mama umeongea ukweli
Sio siri mshaara changamoto kwasababu wanaijuwa pesa yetu ya🇹🇿
yani mama angu ongera sanaaa umeongea point tupu🌹🥀💐tukiridi kwetu tutaenjoy aswaa💃💃💃💃💃
Cyo kweli hawajui Hela ya kwetu huwenda umewakuta wanao jua kiswahili ndo wanajua Hela tz ila Hawa hawajui kiswahili hajui Hela ya Tz
@@rehemaomary3493 Binafsi awa wangu wanajuwa nawazazi wawo wamekaa sanaa🇹🇿kwaiyo awo wasiojuwa niwale ambao awajuwa lugha km usemavyo
@@janethkomba4485 wangu hawajui kiswahili na pia Hela ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿 hawajui kabisa Kwa sasa nalipwa Rial 140 nashukuru MUNGU Kwa kweli
Asante mama❤
Ameongea ukweli huyu dada mungu amlipe kheri
Huwa nasikia uarabuni hakuna uzinzi maana dini iko juu
Great conclusion umetisha sana mama
Sana . Katisha
Umeongea kweli kbs upewe maua yk. Tunastahamili tu tutimize malengo
Asante mama
Umeongea sn mam haswa hapo kwenye mshahara niwachache sn na kuhusu kuhudumia pia sio wote bx t 😢😢
Jamani mie binafsi nimefanya sana kazi za ndani... lakini baadhi yetu huabudu sana watu wenye nywele za kulala...lakini tukiajiriwa na watz wenzetu dharau kibao...uwongo mwingiii...oh nanyanyaswa , nateswa.........mpaka jamii ikaamini hivyo..
Siwaonei huruma wanaokwenda kufanya kazi Arabuni...acha wafe walemae utumwani...dharau kwa waafrika wwnzetu tumezidi..
Lakin ukiwa namalengo lazima ustahamil
Swadqta
Mashaallah.umeongea.ukweli.mie.nipo.huu.mwaka.wa.saba.7.nyumbani.miaka.mitano.5.kweli
Umeongea.ukweli.mtupu
Msituchanganye kuwa tuwatesa wafanya kazi mm ninae anamwaka wa nane anakuja likizo na anarudi kama ningekuwa namtesa asingekuwa anarudi nampenda na ananipenda na anapenda watoto wangu kila mwaka namzidishia mshahara pesa yake ni yake mie kila kitu namnunulia
Asalam alaykum
Wachoyo kwa chakula
@@shuwehaharuna6309kwa chakula umenigusa wachoyo kweli
Dada Aisha huyu mfanyazi wako ashukuru Mungu kakupata wew bos mzuri ,, sababu sio waarabu wote Wana roho Kama yako
Tuko mabosi wengi tu wazuri, mimi nina mfanyakazi kutoka Bangladesh ana mtoto mdogo na tunamruhusu amlete nyumbani
Lugha sio shida,mishahara mikubwa saana,kweli watu wamejijenga saana..hio ni mishahara tu bado marupurupu mangapi mnapata,ldd mnazoa pesa,ngio za bure,kula vzr,,kula pazuri kuliko.simu mikononi usiku kucha...matibabu bure,japo Panadol,huitafuti
Umeongea point mama angu
Mimi sijawahi pata bosi akanielewa nikiwa naumwa nafanya kazi tu ila mda wakupumzika ninao nikimaliza kazi asubuhi napumzika kuanzia saa 2 mpaka saa 4 na nusu naenda kupika nikimaliza kupika saa 6 naingia ndani kwangu kupumzika mpaka saa 10 tatizo la hii nyumba mda wakupumzika ni mkubwa sana sema ukiumwA hupelekwi hospitali wala kuacha kufanya kaz ila namshukuru allah ni changamoto tu zitaisha
Allah akuafanyie wepesi katika kazi yako
Polee
Upo wapi
Mimi nimekoma kuleta wmfamyakazi wa tz
Yaani misaada twawapa kila kitu twakituma Bongo kuwasaidia Imani yote twaelekeza kwao
Lkn daima machafu wasukumiziwa warabu.nimetubu .
Umalaya mnao mwazaa ovyo mitoto haina baba.
Mahasidi wakubwa
Hasbiya Llhaa waneemal wakil
Tafuta kwenu laki sita
wew hatw usipo waleta watakuja tu wenzio tuñawaleta na pesa tunapiga
Msiwe waongo kiasi hicho muwe wakweli Mwenyezi Mungu hupenda msema kweli
Mh
Watu wanakufa huko saudi Arabia's wanawatesa sana wafanyakazi wa ndani tena ukiwa muafrika,
Asilimi 100%anayosema mm Niko mwaka WA nane changamoto Ni hizo hizo yàan daaa
Kwa hiyo Ubarozi waTanzania Nchini uarabuni inaonyesha ushirikiano wao ni mdogo.
Umeongea kweli kabisa niko oman miaka mingi
Huyo mama kaongea vizuri sana❤❤
USA 🇺🇸 Tuna raha sana, wana thamini ubinadamu, kupumzika ni lazima.
Nionganishe
Tunganishen jomon basi
Tz hapa kunawatu siyo wafanyakazi wa ndani ila kitanda kwao ni tabu kukipata na unaluta hakuna anachokipata ilimladi mkono ufike kinywani kazi ni kazi kila mtu na kazi inayo mpa msosi sometimes boss ni muhudumu wa bar boss anajiuza ww hujui unalalamika tu yani huyu mara vile kumve pesa anapo itoa aje kukulipa😂😂😂😂
Tupo good
Nkweli kabc ndungu unaongea ukwel jam😅❤❤
Mazingira magumu yanatengeneza watu imara, huyu mama huwez fananisha na mama anayfanya kaz bongo ni series za kikorea asubuh mpk jion boss anaporud nae ndo anaanza kufanya kaz😅😅 hongera dada ww ni chuma tayari
😂😂
Upo sawa mama angu❤
Hapo kuto kuongeza mshahara kwa oman sio kweli oman ukiongeza mkataba lazima watakuongeza mshahara binafsi nipo kwa nyumba moja nina miaka 8 mshahara wangu 170
Umepata bahati ndugu wengine hawaongezi
Nipo omani salala miaka 7 alhamdullila kila mtu ana mapungufu yake hata mie nina mapungufu yangu kikubwa kustaamili tu kazi iendeeeeee
Mimi nilikaa miaka mitatu
hakuna kazi rahisi hongera kutafuta riziki yako ya halali
Ukiwa umezoea kufny kz tokea nyumban bas arabuni hauwez kushindwa ila km c mfny kz tokea home ukija hku kz yyt utaona ngumu t ww
Kabisa
Kweli sio ukajifuzie uwarabuni
Ni kwel mohmed
Yan huyu mama yote anayoyasema ni kwel ila changamoto zipo kila sehemu kukomaa tu wapo wengn wanapata nyumba nzur na mapumziko ypo, hata uko nyumban kuna sehemu kuna changamoto pia ktk kz, sema kupo vzr hakuna shd yoyote pesa ipo vzr na maisha yanaenda
Mm na ulaumu umasikini wangu tu sawa kuna mda wanakera nafsi inaongea inatoa maneno lasna ila naenda mbele nikilud nyuma na sema nateseka hii ni shida zangu kwaiyo acha niteseke mm ili wanangu wa enjoy wasipitie niliyo pitia mm nilikuwa na lia nacheka na piga kazi zaman ndo nilikuwa naizo zana za warabu kuwachukia sasa ivi nachukia shida zangu
MSHAHARA MDO JE KWENU MNAPATA NGAPI? MNAPATA LAKI 1.TU HAMNA SHUKRANI. SIMNAJILETA WENYEWE? KINAKULETENI NINI? HUYO MAMA MUONGO SANA TENA SANA OGOPA MUNGU. KILA MWAKA TUNAWAONGEZA MSHAHARA. KWENU HAMPEWI MSHAHARA KAMA ARABONI HUKU MWALA CHAKULA KILA NAMNA. NITAKUWAMBIENI TANZANIA UWONGO NI FANI YENU. MNAKUJA KWA KUTAFUTA KAZI 2. KUFANYA KAZI NA UMALAYA. SIKWELI KWENU MNAMSHAHARA MDOGO SANA MKIJA HUKU MNAJITIA VIHEREHERE.
Duu 😂 inaonesha we ni mwarabu mswahili ,, sio bure sio kwa matusi hayo .. halafu sio wote tunaokuja kwenye nchi yenu tunakuwa tumekuja kufanya umalaya, wengine tumekuja ili tutafute ridhiki za halali tusaidie wazazi wetu pia tufanye malengo yetu,, pia lazima mtulipe mshahara mkubwa kwa sababu huku arabuni kazi za waarab ni nyingi kutwa kuzunguka , kuangalia watoto, kusafisha nyumba, wageni , upike , upige pasi , ufue , N. k , kwa hizo Kaz zote mnataka muwe mnatulipa rial 20 ama??
Mm Niko Saud Arabia Yani uku mateso nimengi mno mungu atusaidie tuludi sarama
mama uko sahii
Dada umeongea ukweli mtupu Allah akupe kheri changamoto ziipo
Miaka nane laki sita tu hawajakuongeza mshahara,,Mimi Nina miezi nane nalipwa laki Saba
Ongera me Nina miaka 5 nyumba moja ila nalipwa laki sita
Wng ana mmoja nampa mia 120 na apika na kufagia tu na hvo anaona kazi kwake sijui binaadam wakoje na mara kwanza kuingia mfanyakaz mswahil na hvo mmeletewa wng kamaliza mda wa kufua muhindi mwanaume na hvo anasema anachoka hpati kupumzika
@@malak-lz6kx jaman huyo atakuwa mgeni wakaza ndo maana ana shida , mmbadilishe unichukue hata Mimi nachapa Kaz na Sina malalamiko ,
@@rhodarichard4494 hio sio tatizo yy ana watot mume hna unamuhurumia kuenda kwengine unavuta subra amalize mda wke tu pengine atabadilika .
@@malak-lz6kx ana mda gan hapo nyumban kwako?? Pia sizan km atabadirika
Kwenye mshahara hujazungumza vizuri,wanafananisha mishahara ya home na huku,mbona hawafananishi na kaxi pia?sbb mfanyakaxi wa home anaingia kazini saa mbili na kutoka saa tisa.huku unaingia kazini saa kumi alfajir kutoka saa sita usiku.
Miaka 8 iliyopita.mshahara ulikuwa mdogo sana
Hapo kunapaswa kuangalia hizo changamoto
Mmm Hilo la mshahara jaman
Poleni me nakula Bata nipo omani 😂😂😂😅😅💯💯🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Mpenz niunganishe namimi nipate bos mzur Nile Bata kam wew ,, pasipot ninayo nisaidie
Umeongea kweli
Kiukweli tunapata cangamwoto sana unaweza kuumwa hawagupereki hospital
Yaani,umeongea ukweli kabisa mikataba wanakeunga Bora umetuongea yaani ukweli kabisa ujadanganya hata mara moja nipo huku mwaka 8 mshahara sijaongezwa Hadi Leo navumilia tu nimalizie nyumba yangu
Pole mie nilipo maliza tuu miaka 2 tuu nikawaambia wameniongeza
Upo hm
Kweli kabisaa
Tz. Mwalim washule alipwi mshaara kama tunaolipwa Sisi tunaefanyakazi za ndani
Ni kweli 😂😂😂
Mwl anaweza kukopa mpaka million 8 (huyu ni mwalimu alieajiriwa ndani ya mwaka mmoja tu) mwenye miaka 5 kazini mpaka million 15 anakopa, wewe una huo uwezo? 😂😂😂 Mwalimu anawekewa pension PSSSF, mshahara wake unapanda kila baada ya miaka mitatu wewe wanakuwekea? Bima ya afya kwa familia? Wengine nyumba za bure na hawafanyi kazi kama punda wala hawanyanyaswi na mabosi na wana uhakika wa kazi yao hata miaka 20, piganieni haki zenu achaneni na huu msemo wa kujifariji kwamba mnalipwa vizuri kuliko walimu wakati kiuhalisia huwezi lingana na mwalimu hata siku 1
@@mcback4384 uwenda kwasasa anawezakopeshwa sina akika mana Mimi ninadada angu mwalim ameajiliwa ana maisha kama yangu nimemzidi upo awezikukopeshwa iyopesa ndaniyamwaka huongo
@@mcback4384umeongea point alafu mwalim ana likizo na akistaafu ana mafao yake😅😅
@@MamaMama-xp4nk bado pesa za tuition kwa wanafunzi hapo bado hajauza visnacks vyake 😂😂, jumamosi na jumapili haingii kazini anaenda kuangalia biashara zake, halafu ujilinganishe nae kweli? Kwanza kitendo kwamba upo Uarabuni huishi na familia yako huwezi jilinganisha na mtu mwenye uhuru wake na familia yake 😂😂
Na Mimi niko oman changamoto zipo kwa kweli
Nchi zinatofautiana kweli duuh , South Africa matibabu ni BURE kwa wote wageni na wazawa . huko ghali mmmh
Marekani unalipwa kwa masaa, lisaa limoja dollar 17 mala masaa utakayo fanya kazi
Nikweli Kaz kibao lakin kustahamili
nikweli kabisa dada umeongeya vizuri
Mama ❤❤❤
Afadhari umetuongolea 😅😅 nipo huku mwaka wa 8 sasa 🥲🥲 nyie haya maisha 🙏😰
Mungu akufanikishe hitaji la moyo wako
Vipi Boss Wako hajakuchombeza chombeza😂😂😂
Ni utumwa huko umekubali kuwa mtumwa na kufanyiwa mambo ya ovyo na waarabu umepoteza utu wako wote ni wabaguzi sana hao watu
Hata kama nishida siwezi ishi miaka hio yote
Wengine wanaishi kama wajinga miaka nane Nina wazimu nipo huko lakini siwezi kuishi nchi za kiarabu sababu Kuna maisha baada ya hapo mabosi wengi kiarabu wahuni tunavumilia tu na Kumuomba mwenyezi Mungu lakini puuu kama hili libaba la hapa nyumbani puuu namshukulu Mungu Kwa kunirinda
Kwani wanaofanya hapa kwenu tanganyika hawapati madhila unadhani ? Au kwenu Marekani au uengereza ? Uarabuni tu ? Mtaumia na waarabu mpaka mtaingia kaburini nyinyi. Wacha mzungu akuibieni anavatak kashakusomeni kuwa nyny ni watu w kudanganywa siku zote kama wttz hamkui.😅
Kweli mama umeongea kwelu kabisa warab wapo ivo
WARABU WASHENZI WANAJULIKANA DUNIA NZIMA
Usitukane kwa kujumuisha watu wote. Sio ustaarabu huo.
Kila aina ya mataifa wapo watu waovu na watu wema. Hata nyinyi mnao washenzi wenu pia😂. Check utajua.
NA HAPA WANAOTESEKA KWA MABOSS SIO WASHENZI ACHA KUTUKANA WENGINE KUNA WATU HAPA PIA WANA NYANYASIKA MBONA HAMTANGAZI SABABU NI KWENU HAMTAKI KUTOA AIBU ZENU
ACHENI KWENDA ZAMAN WALIKUA HAWACHUKUI TANZANIA WALIKUA WAHINDI WAFILIPINO
Nyumba yngu yakwanz nilitamani kufa😢😢lkn nilimaliza nanikahama sai niponyumba nyingne mwakan nikimaliza ramadhani narud kwetu
Upo wap aisha
Upo wapi
@@nasibuabdi7450 sweki
@HalimaMaiko-vn8ss kwan tumekuomb msaada we maray mdangaji si heli yetu sie tunatfta kipato kwajasho letu we enderea kutiwa vidole km ubuyu
@HalimaMaiko-vn8ss Bs kama kuuza kuma kunafaida iv nitauza miaka yote mpk nakufa vp naww muuza mkundu umepta faida gn?mimi mtt wandani yandoa ndomaana najuakutafta cha halali sio ww unatokwajasho lakuma kwakupewa buku mpk mashavu yachi yamebemendeka
Pesa zao wanasijua wenyewe!mn huku kila paka akiumwa anampeleka hosport hy ukirudi wengine wako uwahudumie paka na kupikia
Embassy wenyewe walaji tu
Yan umeongea ukweli mtupu si tupo uku na ukipiga cm ubalozin hawapokei
Bc musiwalaumu waarabu Ni sisi wenyewe hatupendani
Haswaa ubaloz hawajal tatizo lamtu ndokwanza ukienda ubaloz unakuta wanakwambia km uhela utajilisha mwenyewe chakula au km unahe bas wanakukatia kitek kwahiyo hela yko utur home, ckuihiz ubaloz hakuna time nakusikza shida zetu 😢😢wako namaslah Yao tuu wanakwambia utajijua mwenyewe siulkuja mwenyewe 😢
@@aishahasan7722 bc ss mwenyewe watanzania au waafrika hatupendani sio waarabu
Mimi nina miaka 7 niko kwa nyumba moja ila yakwanza nilishindwa nilikaa kama miezi 10 nika shindwa ila tangia nije kwenye hi nyumba nili kua nalipwa rial 70 ila mpaka sasa si haba mungu ni mwema nime panda dau😅😅😅😅😅😅😅 11:38
Wajinaaaa maua yako🎉pokea
Watatulipa haki zetu kwa Allah 😢❤
Kw nm
@@AbdullahOmar-fv3ld haqi
@@Muslim-gs6rn bosi wako anakudhulimu
@@AbdullahOmar-fv3ld sana t
Sana namm pia nitalipwa
Ubarozi omani hauna msaada hakuna mapumziko habadani mkataba waalabu waomani hawàtaki shahara kila mmoja analipa Kwa mtazamo waake sasa tunaomba selikati itusaidie juu ya mkataba kama bosi hataki mambo ya mkataba bas hata mfanya kazi asipatiwe. Selikati ingefuatilia hili
Ukipita ofisini mikataba wanato sababu ni lazima Kuna ajenti na mishahara ubarozi wa Tz mfanyakazi wa ndani ni lialy 120 SEMA wengine hawafuati Sheria wanaona itawabana kwamfano ukiumwa mda wa kupumzika kufanya kazi masaa na ndio maana wengi hawatoi mikataba
Ubaloz wa Oman ni mabeberu hawatendi haki pia zile Sheria zilizopo kweny mkataba hazifatwi hata moja,, mfano kweny mkataba wameandija mshahara 120 lakin waoman wanalipa 70-80,, 90 kwa kigezo kwamba wanafata matamshi ya rais Samia kwamba ndo aliesaini tupunguziwe mishahara,, kiufupi tunazaraulika San maana hakuna haki
HAPA KWENU KUNA SHERIA ZIPI ETI SERIKALI YA TANZANIA IFATILIE NCHI ZA WENGINE TENA MNATAKA MASHARTI YENU KAA KWENU BASI DUU HATA SHUKUR HAMNA MNAENDEA NINI WEZENU HAPA MBONA WAPO MAISHA YAO YA DUNI
Nice
Ukiwa mtu mweusi hata uwe muislam unakua mtumwa kwenye nchi za warabu. Warabu huwabagua watu weusi sana