Doto Biteko Atoa Ushauri Mzito kwa Mawakili Kuelekea Uchaguzi wa Rais wa TLS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @pastorjimsonchengula844
    @pastorjimsonchengula844 2 หลายเดือนก่อน +40

    Kama ungepewa nafasi ya kushiriki uchaguzi na ungemchagua wakili mwana sheria mwambukusi, gonga Like yako hapa.

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 2 หลายเดือนก่อน +14

    Viva Mwambukusi Allah asimame na Mwambukusi na mawakili wote vote for Mwambukusi ❤

  • @Winfrednicholausi
    @Winfrednicholausi 2 หลายเดือนก่อน

    Asante doto upo vizuri

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mwabukusi❤

  • @sylvestermshana2006
    @sylvestermshana2006 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Doto Biteko waziri kweli mh Samia alikujua uwezo wako kisiasa

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hatutaki saisa shida yetu ni Mwabukusi tuu, hatuhitaji chawa

  • @pastorjimsonchengula844
    @pastorjimsonchengula844 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mwambukusi anafiti sana kwenye uraisi huo wa Chama cha mawakili TLC na baadaye Raisi wa Tanzania au jaji mkuu au waziri wa sheria na katiba

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 2 หลายเดือนก่อน

    Una hekima kijana. Mungu akubariki sana.

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mwabhukusi tafadhali, Mwabhukusi ndio rais wa TLS ajaye kulialia kutaisha kwa mawakili na sisi wana nchi....!!!! Hatutaki siasa .....!!!! Mawakili mtuelewe!

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 2 หลายเดือนก่อน +11

    Nawaombeni wawakili tuleteeni mwabukusi

  • @GoldDolan
    @GoldDolan 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mgeni rasmi mwenyewe kateuliwa kinyume Cha sheria alaf anasisitiza maswala ya sheria, nchi hii ovyo sana 😂

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 หลายเดือนก่อน

    DOTTO BITEKO big up sana Akili nyingi sana..

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 หลายเดือนก่อน +5

    MWABUKUSI ANATOSHAAAAAA ✅✅✅✅✅

  • @barughahalejgodfrey4523
    @barughahalejgodfrey4523 2 หลายเดือนก่อน +7

    Deputy prime minister nimeipenda hotuba yako sana nadhani hapo Mwabukusi hapo anastahili nafasi hiyo

  • @pastorjimsonchengula844
    @pastorjimsonchengula844 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mwambukusi is better more

  • @johnhamli2489
    @johnhamli2489 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama anakuagiza kazi hizi kwa sababu unamwakilisha vizuri...."KUSEMA NA KUTENDA"

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mwabukusi

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa mbinguni tunakuomba usimamie huo uchaguzi ili Mwabukusi ashinde kwa utukufu wa jina lako
    Katika jina la Yesu Amen.

  • @DanielKaleya
    @DanielKaleya 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tunataka katiba mpya ndio haki ipatikane

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mwambukusi Tunaomba wasomi mtusaidie

  • @BakariMadaba
    @BakariMadaba 2 หลายเดือนก่อน

    Mh Naibu waziri mkuu mh Biteko hotuba Yako Ina matumaini hongera sana umeongea vzr sana

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 2 หลายเดือนก่อน +2

    Biteko ni Kiongozi Mnyenyekevu na Mwadilifu sana Sawa Sawa na Majaliwa Majaliwa Tunao Viongozi Wa Zuri sana

  • @matukimerchant5170
    @matukimerchant5170 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wanasheria, mchagueni mwabukusi Kanjunjumele.

  • @JuliusMowo
    @JuliusMowo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwabukusi 💯

  • @SelemanKasiba
    @SelemanKasiba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Saf kiongozi🎉

  • @rogersshembilu1412
    @rogersshembilu1412 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni mawakili tunawaombea

  • @sondajohn1371
    @sondajohn1371 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mwabukusi

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 2 หลายเดือนก่อน

    Unahekima sana

  • @joachimngereja7608
    @joachimngereja7608 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umetulia kiongozi

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mkuu wewe huna siasa za ccm wee uko poa sn

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ni mwabukus

  • @bahatijackob1967
    @bahatijackob1967 2 หลายเดือนก่อน +3

    MWABUKUSI

  • @DanielKaleya
    @DanielKaleya 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tuleteeni mwabukuzi

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambukusi tunamuombea apite MUNGU awatie nguvu 🙏

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mwambukusi oyeee

  • @AlexAbraham-w9e
    @AlexAbraham-w9e 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mwambukusi saf

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 2 หลายเดือนก่อน

    Mwambukusiiiiii!! Nikushauri Mwaisa ukipata hicho kiti tenda waliyokusudia wananchi na mawakili Wako Imani hiyo ukailinde Kwa kutenda mahitajio

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 2 หลายเดือนก่อน

    Doto unafaa kuwa President

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni hotuba nzr saaaana kiongozi

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 2 หลายเดือนก่อน

    10000 mwambukusi yeeeee

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mnyarwanda siku zitaongea

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 หลายเดือนก่อน

    NINAFURAHIA SANA KUSIKIA NENO TANGANYIKA

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    " Ili serikali ipate mdau muhimu wa kusimamia sheria nchini " busara kubwa . TLS hakika saidieni kusimamia sheria nchini.hasa kipindi cha uchaguzi tupate viongozi bora wa kusimamia uhuru, haki na amani ya kweli sio amani dola.

  • @CastroNyandindi
    @CastroNyandindi 2 หลายเดือนก่อน

    Mwabikusi ndio Rais

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    TLS wamebakiza alama ya Utanganyika na Zanzibar nako kuna chama cha Mawakili Zanzibar. Kumbe ndo maana kila mara wanasheria wengi wanadai Tanganyika. Taaluma zingine nazo zina Tanganyika na Zanzibar?

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 หลายเดือนก่อน

    Haki ni mama wa amani Tanzania haina usimamizi mzuri wa haki

  • @YOHANAASUBETH-mh6js
    @YOHANAASUBETH-mh6js 2 หลายเดือนก่อน

    namuona nyerere ajaye

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    Miaka 70 ya Chama cha Wanasheria Tanganyika sasa inakuwaje sheria hakuna Muungano na wanasheria ndio wanasaidia wananchi kutafsiri sheria inapokuwa na mkwamo wa kisheria?

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 หลายเดือนก่อน

    Serikali huwa hainavnia ya dhati kuwasikiza wataalamu hasa wanapokizana nao

  • @rogersapolo6181
    @rogersapolo6181 2 หลายเดือนก่อน

    Umeongea kwa ubyenyekevu mkumbwa, tunawqomba mawakili watuletee Mwabukusi

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chama hicho sio chama hiko, sipendi neno dogo kama hili likikosewa

    • @solomondanny-1507
      @solomondanny-1507 2 หลายเดือนก่อน

      Kikubwa umeelewa. The rest yaache yalivyo.

  • @humbimusisa-db1tg
    @humbimusisa-db1tg 2 หลายเดือนก่อน

    Mwabukusi kama namuelewa 😂

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kutoa maoni page 45 na yasichukuliwe hata moja. Ila muhimu endelea utoe maoni. Hayakuchuliwa pengine kuna mengine kwa wengine yamechuliwa bora zaidi. Swala ni je hayo yaliyochukuliwa yana ubora ama tija zaidi kuliko hizo page 45?

  • @Missionary_work
    @Missionary_work 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu muongo asifia Kila jambo

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa hawa akina Biteko ndio shida,hapa anaongea kama mtu mwema sana,Mwambukusi akishaanza kuwabana watakimbilia bungeni kutunga sheria ya kumbana mwambukusi,kiongozi mzuri ni yuke atakae leta katiba mpya,haya mengine yote ya akina biteko ni porojo tu za kufurahisha nafsi huku mwili ukiteketea

  • @matukimerchant5170
    @matukimerchant5170 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninamuona siku moja isiyojulikana Sasa, mwaka, mwezi na saa huyu Dotto atakuwa Rais wa nchii hii.

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 2 หลายเดือนก่อน

    Mwambukizi naye pia ni chawa wa watu fulani

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 2 หลายเดือนก่อน

    Mwambukizi.kwanza ni mkabila pia ni mtu mwenye jaziba

    • @sebastianmwantuge5597
      @sebastianmwantuge5597 2 หลายเดือนก่อน

      Angekuwa mkabila asingewatetea wamasai Ngorongoro

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mwabukusi