Wananchi wa Ngorongoro Watoa Tamko Kupinga Walichodai Kuondolewa Kwenye Daftari la Mpiga Kura

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Niserikali katili sana

  • @KasangaKalanga-vo6od
    @KasangaKalanga-vo6od 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni tuko nyuma yenu

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo haya hayana baraka za Mungu.Hamuwezi kujenga na kuimarisha uchimi wa nchi kwa kusumbua wananchi.Acheni si vyema hata kidogo.

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaeni hapo ni nchi yenu mungu atawalinda ila wafutini ipo siku yao.

  • @MaryamAbubakar-c2d
    @MaryamAbubakar-c2d 2 หลายเดือนก่อน +2

    Janani wageni wanasaniniwa kuliko wananchi wawekezaji ieseeee inasikiisha sana

    • @WakrenoSimoni
      @WakrenoSimoni 2 หลายเดือนก่อน

      Nyie ni watanzania kama walivyo wengine msibadilishe msimamo bakin nyumban kwenu ngorongoro

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwabukusi kaingia kazini subirini akabidhiwe ofisi nitmuomba aanze na sakata la Ngorongoro

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      Hiserekali inaroho mbaya sana wamasai wameishi miaka yote eti Leo unawahamisha

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 2 หลายเดือนก่อน

    Unawatoa watu kwenye aridhi Yao unamleta warabu kweli!! Nakubali namimi ni

  • @piuspanga864
    @piuspanga864 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanyama hawana uchaguzi

    • @elioimer8423
      @elioimer8423 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio sababu una jina Linaitwa panga. Siku zote usijifikirie nafasi yako Bali fikiria na ustawi wa wenzako. Tanzania inajipambanua kuwa ni nchi ya amani , utulivu na ya kistaarabu. Kwa hili sioni Kama iko sahihi.

  • @naomigodwin1001
    @naomigodwin1001 2 หลายเดือนก่อน

    RIP JPM😢😢

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chukueni Kila chenu muhamishie kule kizimkazi

  • @ProsperMwakasungura
    @ProsperMwakasungura 2 หลายเดือนก่อน

    Muulizeni Ndugai

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 2 หลายเดือนก่อน +1

    kiukweli huu ni uonevu wa hali ya juu naomba watetezi wa haki za binadamu mkishirikiana na Raisi mpya wa TLS Doctor Ajunjulile Mwabukusi wawasaidie hawa ndugu zetu wapate haki yao

  • @danielmollel8225
    @danielmollel8225 2 หลายเดือนก่อน +2

    Serikali yetu sikivu tunaomba kilio chetu cha kisikilizwe!!

    • @austorb.nyondo2708
      @austorb.nyondo2708 2 หลายเดือนก่อน

      Ingekuwa sikivu isingeandaa mpango wa kikatili kiasi hiki. Hata shetani hajawahi kuwa katili hivyo

  • @juliusbura4550
    @juliusbura4550 2 หลายเดือนก่อน

    Tls angalieni la gorongoro

  • @herrymwokozi-ku1de
    @herrymwokozi-ku1de 2 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU atawapa haki yenu

  • @LazaroMwakasege
    @LazaroMwakasege 2 หลายเดือนก่อน

    Kataeni ccm

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmenena vema shetani hakemewi kwa lugha ya upole

  • @austorb.nyondo2708
    @austorb.nyondo2708 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli ukiwa na madaraka unajiona Mungu kabisa sorry unajiona shetani kabisa maana unakosa utu na ubinadamu. Fikiria watu hawa wanateswa na serikali yao. Inauma sana sana. Mpaka hapa taifa liko yatima tu kwa haya yanayoendelea kwa viumbe hawa halali toka kwa Mungu. Mungu awatie nguvu sana na kuwafuta machozi

  • @FrancisAntto
    @FrancisAntto 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo hili lipelekwe kwa TLS kwa kuwa tumempata Rais mzalendo Mwabukusi. Hili Jambo la Ngorongoro lilianza na Marehemu Rais mwinyi kuuza Ngorongoro kwa mwana mfalme. Mwandishi wa gazeti la Mfanyakazi Stan Katabaro aliuawa kwa kashfa ya Loliondo gate. TLS kibarua ndiyo hiyo. Article 4 ya katiba yenu Sasa ifanye KAZI.

  • @AndrewShiratu
    @AndrewShiratu 2 หลายเดือนก่อน

    Dawa ni moja.hakuna kuhama nikuingia vichakani na mishare ya sumu.mshare Haina milio nikipigo Cha kimya kimya.

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 2 หลายเดือนก่อน

    Sio tume ni serekali ya chama Cha CCM

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 หลายเดือนก่อน

    yaani na hawa wamasai kuwepo hapo pia ni ALAMA ya URITHI wetu sie Tanzania. Kenya wamasai wenzao wapo..

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul หลายเดือนก่อน

    Sema baba ukweli. Mna haki yenu nyie.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 หลายเดือนก่อน

    Taifa litangaziwe wazi wazi kwamba Ngorongoro sasa ni eneo la wageni,halina tena mtanzania hata mmoja kwahiyo limefutwa,sio eneo la kupigia kura tena,vinginevyo serikali na tume waweke vituo kata zote na majina yahakikiwe katika daftari la kudumu la wapiga kura uchaguzi ufanyike kama kawaida,haki itendeke amañi itawale vichwani mwa watanzania.

  • @PartySekemi
    @PartySekemi 2 หลายเดือนก่อน

    Mwabukusi alisema tunapigania nchi kwa vita ya makaratasi dhidi ya mikataba mibovu inayoingia serikali ya ccm mwabukusi anza na hii

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 2 หลายเดือนก่อน

    Inamaana huyu mama kizimkaz hasikii hayaaa mbona inaudhi jmn ni ndugu zetu hawaa laana itawajia nyiee

  • @DorkasKamau
    @DorkasKamau 2 หลายเดือนก่อน

    Tumieni kingereza ili inje ya inch wasikie

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 2 หลายเดือนก่อน

    Mwa wa mfalume from ABDHABI SAUDIA ndo anayewatesa nyie serikali kaiweka mkononi

  • @joachimmahoo9786
    @joachimmahoo9786 2 หลายเดือนก่อน

    Fungueni vita ya maumau dhidi ya serekali ya waarabu. kama maumau ya wa kikuyu wa Kenya. Üzeni ngombe mnunue bunduki.

  • @AndrewShiratu
    @AndrewShiratu 2 หลายเดือนก่อน

    Wasonjo hata nyie ma jaah? Kweri?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      Haaa haaa kweli niakina Ajaa

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 2 หลายเดือนก่อน

    Eti unamuomba rais wakat yey ndo anasababisha matatzo yoote hayo huyu mama msimtete yy ndo tatzo

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 2 หลายเดือนก่อน

    CCM IMESHA WAUZA KWA WARABU NYINYI WATU WAMESHAPIGA ELA KM CHUKUENI MIKUKI MPAMBANE CCM HAWATAKI KUWAONA NGORONGORO CCM WAMESHA IUZA NGORONGORO KWA DP NDIO MAANA MMENYIMWA HAKI YA KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA HAO NDIO CCM HATA HAO MNAOWAELEZA NDIO WALEWALE.

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 2 หลายเดือนก่อน

    Usimtee rais hili yeye ndo anayetoa ruhusa ya wasaidizi wake wafanye hsyo