Rais wa TLS ni Mwabukusi, Ataja Waliohujumu ,' Walifikiri TLS ni Kitu cha Kawaida', Amtaja Lissu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mawakili imemtangaza Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi kama Rais mteule wa Chama cha Mawakili (TLS) akipokea kijiti kutoka kwa Harold Sungusia.
    Mwabukusi ameibuka kidedea kwa kupata kura 1,274 mbele ya mgombea Sweetbert Nkuba aliyepata kura 807 Jumla ya wapiga kura wote walikuwa ni 2,206
    Uchaguzi huu wa TLS umevutia watu wengi hasa kutokana na vuta ni kuvute iliyotokea baada ya Mwabukusi kuondolewa na kamati ya rufaa ya uchaguzi mnamo Julai 05,2024, jambo ambalo alilipinga kwa kwenda Mahakamani.
    Mnamo Julai 26, Mwabukusi alirejeshwa kwenye kinyang’anyiro na Mahakama ya Tanzania.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 260

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน +12

    Nchi hii inahitaji viongozi jasiri wenye maono kama hawa.
    Asante Mungu

  • @sashawambura
    @sashawambura หลายเดือนก่อน +30

    Dhuluma imeshindwa...Haki imetamalaki...

  • @iddyekanda6456
    @iddyekanda6456 หลายเดือนก่อน +15

    Hongera Sana brother Mungu akupe hekima ktk kipindi cha uongozi wako nenda kafanye kazi kwa kumtanguliza Mungu ukaisimamie haki ukafanye mageuzi ya kweli.

  • @SauwaeliNnkoEbenezer
    @SauwaeliNnkoEbenezer หลายเดือนก่อน +25

    Hongereni Sana Mawakili Kumpata Jasiri mtetezi wa moto wa African

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 หลายเดือนก่อน

      Ati wa nini masikini na roho yako😅😅

    • @EmanuelBlassy-uz4gm
      @EmanuelBlassy-uz4gm หลายเดือนก่อน +1

      Amshaa tls TANGANYIKA

    • @DottoVales-m7p
      @DottoVales-m7p หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@hassanmfaume4522

  • @frenziangella6676
    @frenziangella6676 หลายเดือนก่อน +13

    Hongra Sana Kaka Mwabukusi umepita Sana lakini Mungu hajakuacha watanzania tulikuwa nyuma yako

  • @venancetarimo2044
    @venancetarimo2044 หลายเดือนก่อน +5

    Congratulations mh. Mwabukusi

  • @gililwise
    @gililwise หลายเดือนก่อน +8

    Tunaompenda Mh Mwambukusi tukatoe sandaka ya kumshukuru sana Mungu.msikitin au kanisan.sasa sheria zitafuatwa

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 หลายเดือนก่อน +11

    Waoh!Hongera sn Kaka.Tanzania mpya inakuja

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 หลายเดือนก่อน +24

    Hongera sanax2 Mwambukusi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa TLS
    Tumaini kwa utawala wa sheria.

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf หลายเดือนก่อน +1

      Hii ni alama ya kuja kushika nchi

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 หลายเดือนก่อน +7

    This man is tough, conglatullation Mwabukus, conglatullation TLS.

    • @anizethjoseph2914
      @anizethjoseph2914 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo TLS wameonesha ukomavu wa uchaguzi ulio wa haki na uwazi

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 หลายเดือนก่อน +5

    Mioyo ya WATANZANIA imechangamshwa❤.

  • @user-fc9km2wn3q
    @user-fc9km2wn3q หลายเดือนก่อน +3

    Hongera kaka Mwabukusi, kwa ushindi Mwenyezi Mungu akusimamie katika kutekeleza majukumu ya kujenga nchi yetu

  • @user-rt7si4kc2i
    @user-rt7si4kc2i หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sana mwabukusi nijua tu hakuna wa kukushinda kama uchaguzi ni wa haki,

  • @JosephJumanne-e5y
    @JosephJumanne-e5y หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana mwabukusi Kwa ushndi huo,usitazame kilichokufikisha hapo,Bali angalia makusudi yawewe kuwepo hapo na Nini? Timiza kusudi la Mungu hapo.

  • @consolatanjau2788
    @consolatanjau2788 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana Kaka Mwabukusi sijui sheria lakini nimefurahi sana kuchaguliwa kwako Mungu akubariki sana.

  • @GiahESayi
    @GiahESayi หลายเดือนก่อน +19

    Hongera mwabukusi na hongera kwa mawakili wote wa Tanzania kwa kuniona thamani ya Taifa hili TLS kwa awaami nyingine kupata Rais wa TLS Mzalendo mpenda haki. Ni mawakili watatu sasa niliowashuhudia wenye uzalendo 1. Tundu A. Lissu 2. Fatima S. Karume 3. Bonophace K. Mwabukusi "HAKI HUINUA TAIFA"

    • @jacksonnkaina3519
      @jacksonnkaina3519 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana mh mwambukusi

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 หลายเดือนก่อน

      Hapo muondoe fatma Karume hayumo kabisa ktk uadilifu

  • @philimonfredinandi6662
    @philimonfredinandi6662 หลายเดือนก่อน +3

    hongera sana mpambanaji Mungu akutangulie ktk majukumu mapya unayoelekea kuyatekeleza

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm หลายเดือนก่อน +14

    Hongera sana ndugu Mwakubusi. Ni wewe. Umechaguliwa na wananchi, TLS, na watanganyika wote.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 หลายเดือนก่อน +3

    Wakili msomi Mwabukusi Mungu amesikia maombi yetu na juhudi zako za kupigania haki,tutazidi kumtukuza na kumsifu Mungu kwaajili ya haki.

  • @nivvermsemo4595
    @nivvermsemo4595 หลายเดือนก่อน +9

    Kamanda hakikisha chaguzi zote zinasimamiwa na tume sio tamisemi

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l หลายเดือนก่อน +4

    Sasa Roho yangu imeridhika kumsikia Mwabukusi ni Raisi Wa TLS

  • @Piscesblair
    @Piscesblair หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana wanasheria wetu. Kazi ianze sasa kuhakikisha Haki kwa watanzania wote inasimama katika kila kitongoji kwa kufuata sheria za nchi yetu. ❤

  • @spendjulius-qz9mt
    @spendjulius-qz9mt หลายเดือนก่อน +4

    WATANZANIA TUNAIMANI SANA NA TLS.

  • @user-kg9uz2hh1y
    @user-kg9uz2hh1y หลายเดือนก่อน +5

    Furaha haina usomi, furaha ni furaha tu.
    Kama umekuwa jeshini, unajua! so ione kawaida

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi Kwa furaha niliyonayo nimeshindwa cha kuandika.......

  • @ngelellageorge8571
    @ngelellageorge8571 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera wakili Mwabukusi kushinda uchaguzi wa TLS waliosema wanakunyang'anya vyeti mungu amewadhalilisha vya kutosha-piga kazi nakuunga mkono sana,Tanzania ni yetu sote

  • @onesmokinde8854
    @onesmokinde8854 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana mawakili kwa uchaguzi uliotukukaa Hakika Mungu amewaonekania

  • @abdisalamivuai817
    @abdisalamivuai817 หลายเดือนก่อน +8

    Viva mwabukusi

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 หลายเดือนก่อน +2

    Mwambukusi woyoo woyooooooooo safi sana wapiga kura wote muliomchaguwa Mwambukusi Allah asimame na nyie

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +3

    Mwabukusi Mungu azidi kukubariki na azidi kukulinda.Hongera sana kwa ushindi.

  • @daviddsouza735
    @daviddsouza735 หลายเดือนก่อน +5

    Wanasheria mjihadhari tu na suala la umimi na ninaamini mambo yataenda vizuri.

  • @piusmdoe3200
    @piusmdoe3200 หลายเดือนก่อน +2

    Nazidi kuamini kuwa haki haibembelezwi inadaiwa kwa ujasiri mkubwa

  • @florangido202
    @florangido202 หลายเดือนก่อน +5

    Ongera Mwabukusu 🎉🎉🎉🎉

  • @user-le7ek2zs4t
    @user-le7ek2zs4t หลายเดือนก่อน +1

    Wakati wa Mungu umekuja (nuru imekuja giza limekimbia) nakupongeza mtumishi wa Mungu kazi hiyo ni ya Mungu usiogope mtumikie Mungu utaishi.

  • @timothysengo2459
    @timothysengo2459 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera rais mteule wa TLS mawakili hongereni kwakupata kiongozi mpenda haki nimefurahi sana🎉

  • @abuse542
    @abuse542 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania wamechagua jembe. Hongera sana. Sasa kumekucha.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 หลายเดือนก่อน +1

    Utamtambuaje kama Ameokoka Tutamtambua Kwa Matendo Tutaona Matendo Maneno Tumeyaona Japo Maneno Yanaweza Kununua Hata Ndege Lakini Maneno2 Tunasubiri Matendo

  • @FAMOnlineTv
    @FAMOnlineTv หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awe nawe Mwabukusi watanzania tunakutunakuamini

  • @uzalendocontentschannel3277
    @uzalendocontentschannel3277 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂 hakunaga Mwaisa Mshamba

  • @SofiaSiwale-jz2wn
    @SofiaSiwale-jz2wn หลายเดือนก่อน

    Honger sana mheshimiwa bonifasi mwambukuss

  • @JonasMathias-s6m
    @JonasMathias-s6m หลายเดือนก่อน +1

    Ndo maana ya wasomi mmechagua chaguo sahihi,kwakweli mtatufanya hata wananchi tujivunie huyu mwamba

  • @gabrielsanga5313
    @gabrielsanga5313 หลายเดือนก่อน +3

    Kama umeelewa miwani ya mama kuwa anaroho mbaya na mwambukusi gonga like

  • @user-ii7yw9ng5d
    @user-ii7yw9ng5d หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mwabukusi,hongera tls!

  • @user-cz3gk2op9r
    @user-cz3gk2op9r หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu asante sana kwa kutupatia shujaaa

  • @user-jn3nf7uw1w
    @user-jn3nf7uw1w หลายเดือนก่อน +3

    Habari ndo hiyo..nchi hii ni yetu WOTEEE..
    wa golf la mko..mnasemaje??

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 หลายเดือนก่อน +2

    Naiona bandari yetu inarudi pia naiona tanganyika yetu inapatikana ni suala la muda tu mungu

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 หลายเดือนก่อน

    Mawakili hongereni sana mmemchagua mtu sahih kwenu kwa wakati sahihi,mmeonyesha ueledi wa hali ya juu sana

  • @samuelshunashu7705
    @samuelshunashu7705 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanzo wa matumaini ya watanzania imeanza kuonekana kwa mawakili kumpata mtu sahihi Mwambukusi Sasa mwaka kesho kitaeleweka tu kumpata Rais wa inchi tunaye mtaka Hawa majizi wa rasilimali za inchi lazima watoke

  • @EmmanuelMaganga-ey4oz
    @EmmanuelMaganga-ey4oz หลายเดือนก่อน

    Hongera kk ila kua makini ktk uongozi wk mamluki wanakuaga ndani ya chama ata Yesu alixatiwa na wanafunz wk.

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 หลายเดือนก่อน +1

    ❤safisana umepambana wajina wangu.

  • @Khalfanmhen
    @Khalfanmhen หลายเดือนก่อน +1

    Haki imeshinda dhuluma

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona msoma matokeo roho yake haina furaha anapotaja jina la Mwabukusi?!,Haki imeshinda dhulma,Giza limeshindwa kuifunika Nuru!Congratulations Advocate Mwabukusi our new TLS president!.

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga หลายเดือนก่อน +1

    Itoshe tu mimi kusema kuwa,wewe ni tumaini la Watanzania waliowengi na ni SAUTI ya wanyonge,tumekutuma na tunakuamini, kafanye kazi brother.

  • @AlphonceMrewa
    @AlphonceMrewa หลายเดือนก่อน +1

    Matumaini yangu mikataba ambayo itakuwa Haina masilai kwa inchi msikubaliane nayo

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg หลายเดือนก่อน +1

    Kuna gu-DC gunaitwa gu-Julius Mtatiro gulianza kupiga kampeni mbaya kwenye mitandao ili kuwashawishi wapiga kura wa TLS wasikuchague Bwana mwambu usichukue urais

  • @user-qj2fz8uq3j
    @user-qj2fz8uq3j หลายเดือนก่อน +1

    Ungeshindwa ningeshangaa ukitoka huk gombea urais kabisa wa nchi ni mtu mwenye uzalendo na nchi yet

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 หลายเดือนก่อน

    My future president.. for Tanganyika! Mungu akuwekee Mkono wake Mtukufu, Amina.

  • @ezammwakisambwe-t8u
    @ezammwakisambwe-t8u หลายเดือนก่อน

    Congratulaaaation mwanaharakati wetu kidume Mhe Mwabukusiii😂😂😂😂💪💪💪💪💪💪

  • @VumiDavid-lo1cl
    @VumiDavid-lo1cl หลายเดือนก่อน

    Kaka yetu mwabukusi wa busokelo kwetu hongela sana kaka mungu akuongoze safali ni ndefu kaka mungu akulinde damu ya yesu ikufunike.

  • @superexpertpst255.3
    @superexpertpst255.3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwabugusi congratulations

  • @godwinabuto4695
    @godwinabuto4695 หลายเดือนก่อน +3

    Wana tls ongereni kwa maamuzi mliofanya huyu mtu anastahili napia niya njema hailogwi mwabukusi nimekuelewa

  • @SumarygeorgeSumary
    @SumarygeorgeSumary หลายเดือนก่อน

    Big up

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 หลายเดือนก่อน +1

    TUNAWASHUKURU SANA MAWAKILI KWA KUTULETEA MTU SAHIHI

  • @lucaskitomari5273
    @lucaskitomari5273 หลายเดือนก่อน

    Mzeee hongeraaaaa sanaaaaa

  • @nasramusaro
    @nasramusaro หลายเดือนก่อน +1

    Watu wengi wanakosa haki sababu ya kutokujua sheria lakini ukijua tu haki zako lazima wakuogope

  • @user-jc1do5gf3w
    @user-jc1do5gf3w หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Boni

  • @petropilla987
    @petropilla987 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba uanze kuwasaidia kesi za tume huru ya uchaguzi ili ifanyiwe marekebisho, iwe tume huru ya ukweli sio hii danganya toto

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 หลายเดือนก่อน

    Nakukibali sana mwaisa kwetu sisi haki ni kipaumbele sana

  • @bernadethahalelimana3914
    @bernadethahalelimana3914 หลายเดือนก่อน

    Amina tunamshukuru Mungu asanteni sana mawakili kwa uchaguzi makini naamini Mungu analengo

  • @amanimakombe7141
    @amanimakombe7141 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu

  • @MrA24G
    @MrA24G หลายเดือนก่อน

    Hongera kaka mwambukusi

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 หลายเดือนก่อน +1

    Mawakili upande wa BAR mmeacha uchawa,mmeonyesha kutetea fani yenu,wananchi tunataka sasa mjitoe kwetu,mjiondoe kwenye kuipendelea serikali mfanye kazi kwa kufata sheria kama wa private section...

  • @LukaBriston
    @LukaBriston หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze sana

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 หลายเดือนก่อน

    Naona watu wana Imani kubwa nawewe ,hata mm pia nina imani pia,katende haki kwa watanganyika wote na wasio watanganyika pia

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wengi sana tunakuunga,mkono.

  • @anatholypole2889
    @anatholypole2889 หลายเดือนก่อน

    Naomba na. za Mwabukusi taf.

  • @omariabeid3291
    @omariabeid3291 หลายเดือนก่อน

    Namuona mtu kama big brain @Bob Chacha Wangwe alongside Mdude Nyagali.???...safi sana

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana mawakili wenye akili nzuri

  • @hawaally2308
    @hawaally2308 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli nilipenda sana nchi iongozwe zaidi na wanasheria wasiopinda kama Mwambukusu ili watusaidie kuvuka vizuizi vyote vinavyoashiria dhulma yoyote katika Tanganyika yetu. Tanganyika ni nchi iliyobarikiwa sana haifai kuharibiwa kinamna yoyote ile. Mungu akulinde sana na hujuma zote zinazoweza kukufuata

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr หลายเดือนก่อน +1

    Tumaini tarajiwa kwa wananchi kwa utawala bora wa sheria🎉❤🎉
    Nikurubie kusema haya ni Mapinduzi kwa mwenye uoni sahihi.

  • @GoodluckLameck-nh9tq
    @GoodluckLameck-nh9tq หลายเดือนก่อน

    hongera baba

  • @alfredmwaswenya
    @alfredmwaswenya หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Boniface Mwabukusi kwa ushindi mkubwa ulioupata kweli unastahili sana Mungu wa Mbinguni akulinde akupe Afya njema na Maisha malefu.

  • @amanimakombe7141
    @amanimakombe7141 หลายเดือนก่อน

    Nmefurahi sanaaa Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Mwabukusi

  • @MohamedMngazija
    @MohamedMngazija หลายเดือนก่อน

    Big up, Advocate Mwabukusi

  • @knight6757
    @knight6757 หลายเดือนก่อน +1

    Mama nimeipenda mewani zake !!

  • @sebastianmushi6247
    @sebastianmushi6247 หลายเดือนก่อน

    uwepo wako umeongeza energy sn kwa wanasheria wenzio,tupambanie jmn wananchi tumebemendwa muda mrefu sn juu ya haki zetu

  • @ahmedsamir9814
    @ahmedsamir9814 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah

  • @MariaNyabharangeBageni
    @MariaNyabharangeBageni หลายเดือนก่อน

    Mwanangu bob nakuona hapo yaaani furaha yangu haitoshi good job

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu tunakushukuru kumchagua Mwabukusi mzalendo umjalie yale ya haki inayotamani Tazania. Uesu mfunike kwa damu yako mwepushe na mwovu yoyote yanayopangwa jui yake aweze kusaidia Tanzania

  • @ProductionWinderBulyanhulu
    @ProductionWinderBulyanhulu หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mkuu, unastahili kwa asilimia mia.

  • @uwezoseleman5530
    @uwezoseleman5530 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Jasiri na Mpenda haki ushindi wako ni wetu watanzania. Fanyeni mchakato sasa kumrejeshea haki yake Bi Fatma Karume🙏.

  • @EliyaFrancis-be9ds
    @EliyaFrancis-be9ds หลายเดือนก่อน

    Hongera sn mh mwabukus kwa ushind wa kishindo

  • @amanimakombe7141
    @amanimakombe7141 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaa

  • @matikughati5864
    @matikughati5864 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mwabukusi

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 หลายเดือนก่อน

    HONGERA SANA MWABUKUSI HUO NI MWANZO WA KUYAENDEA MAFANIKIO YA KUSHIKA UONGOZI KTK HILI TAIFA

  • @nyasiopascal1867
    @nyasiopascal1867 หลายเดือนก่อน

    TLS hongereni sana mmepata mtu katika watu muhimu sana huyu Ni jasiri sana 🎉🎉

  • @justicebridge
    @justicebridge หลายเดือนก่อน +1

    Ongera mtetezi wa nchi na rasimali zake

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh หลายเดือนก่อน

    Hongeraaaaaa tumeshinda watanzania wore tunaeapenda mawakiri woteee tanzania

  • @FredChaki-jb8zj
    @FredChaki-jb8zj หลายเดือนก่อน

    Hongera mwabukusi

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน

    Hongera saaana MWAMBA.Tulikuwa tunakutegemea saaaaana.MUNGU Aendelee kukutete asikuache AKUPE AFYA njema yakuuitetea nchi unafaa kuwa Raisi wa nchi yetu