Nimejifunza upendo kwamba kwenye upendo pana siri kubwa sana ndio maana shetani anajitahidi sana kufanya watu wasiwe na upendo hata makanisani kwasababu anajua siri ya upendo...somo zuri sana mtumishi!nakufatilia sana kwenye masomo yako
Haleluyah sifa utukufu na heshima ni kwa Yesu ,yeye aliyewafanya watu wa kabila zote dini zote rangi zote jinsia zote kuwa ndugu yani watoto wa baba mmoja
Kweli kabisa. Kuna kusanyiko fulani linalokusanyika kwa ajili ya mtu na si Mungu like Mwenge. Washirika wanamtetemekea Mchungaji kuliko wanavyomtaja Yesu. Mchungaji akisimama Gemini kuangalia waliochelewa utaona washirika wanaanza kukimbia kwenda kanisani hata wazee hukimbia mbio za ajabu. Kama Mchungaji hayupo Getini yupo Mungu na watu hawakimbii. Lakini akionekana Mchungaji tu watu hutimua mbio kama vichaa. Sasa hilo ni kanisa gani lenye hofu ya Mchungaji na halina hofu ya Mungu.
Hallelujah Asante kwa mafundisho hakika ECG NI mahali sahihi.
Nakupenda Sana mtumishi hodari wa Mungu napenda Sana mafundisho yako Mungu akubariki Sana
Well preached... it's time to love everyone for God is love..am so blessed
be blessed man of GOD ur ministry of preaching inspire me a lot go far n always preach the truth may GOD lead u
Amen Apostle,,
Namshukuru Mungu kwa sauti yake kupitia wewe..m blessed
Ni hakika na ni Amina. Ni kweli, hizi ndizo sifa za Kanisa la Mungu aliye hai ktk Yesu Kristo!
Thank you God of major 1for ECG church,the church of lord Jesus ,love , time , and fireeeeee that is ECG church
Ubarikiwe zaidi Baba
Amen Chief somo nzuri sana kwa kweli nilikuwa sijui haya Mungu wa baba yetu Major one aendelee kukuinua juu zaidi ❤️❤️
Amen Pastor barikiwe sana
Powerful Church
May the Name of our Lord Jesus be glorified. Watching from Kenya....
Amen Chieeeef Apostle.
Nimejifunza upendo kwamba kwenye upendo pana siri kubwa sana ndio maana shetani anajitahidi sana kufanya watu wasiwe na upendo hata makanisani kwasababu anajua siri ya upendo...somo zuri sana mtumishi!nakufatilia sana kwenye masomo yako
Iko vyema
kabisa.
So amazing message , be blessed
Apo sawa nakuelewa Sana
"Amen".
Amina mungu baba azidi kukuinua
Amina mtumishi
Haleluyah sifa utukufu na heshima ni kwa Yesu ,yeye aliyewafanya watu wa kabila zote dini zote rangi zote jinsia zote kuwa ndugu yani watoto wa baba mmoja
Wow powerful chief powerful
Kweli kabisa. Kuna kusanyiko fulani linalokusanyika kwa ajili ya mtu na si Mungu like Mwenge. Washirika wanamtetemekea Mchungaji kuliko wanavyomtaja Yesu. Mchungaji akisimama Gemini kuangalia waliochelewa utaona washirika wanaanza kukimbia kwenda kanisani hata wazee hukimbia mbio za ajabu. Kama Mchungaji hayupo Getini yupo Mungu na watu hawakimbii. Lakini akionekana Mchungaji tu watu hutimua mbio kama vichaa. Sasa hilo ni kanisa gani lenye hofu ya Mchungaji na halina hofu ya Mungu.
Hallelujah
Muongozo mzuri wa kutambua kanisa la kweli Hakika ECG ni ukweli na uhakika fireee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen apostle
I wish nikuone hata ktk ulimwengu wa roho unisaidie ktk jina la yesu
Na kwelewa baba
Upendo ni kila kitu hakika hii ni kauli kuu palipo na upendo yote yatawezekana. ECG upendo daima
AMEEN
Amen chief
Amen
Kanisa: 4 : mat.18. YESU KRISTO, NABII, MTUME, ORDER. UHUNI. NINABARIKIWA. MUNGU NI PENDO
Powerfully
Mungu Yu mwema saaaana wewe ni Apostle ,,,
Muniombee Kama hili asantee watu wawe wamoja ..
Nabii na mtumishi na mchungaji ni tafauti kwani m sielewi
Ameen
Amina
😍
Ameen Mtmsh