UNABII -- KUTAFSIRI MAONO YA KINABII (HOW TO INTERPRET PROPHETIC VISIONS)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 123

  • @NoellaBilembano
    @NoellaBilembano 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mutumishi wa mungu nimebarikiwa sana mungu akutie nguvu ni saidia na Mimi niombee ninayo shida kidogo na kimwili

  • @salomeshila3671
    @salomeshila3671 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi nakuombea neemakwa mungu napokea kupitia shuhuda

  • @acepionage23
    @acepionage23 5 ปีที่แล้ว +2

    I love you chief apostle. Hebu tukomboe kwa unabii wako. God bless your servant!

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว

      Akomboe maafa ya Mafuriko Tanzania

    • @elizabetholunga6305
      @elizabetholunga6305 4 ปีที่แล้ว

      Kama kweli, ningependa kukombolewa pia
      Niko Bahrain, nikirudi nitatafta hii church

  • @rahabuibrahim5324
    @rahabuibrahim5324 ปีที่แล้ว

    Hugee amazing prophecy

  • @JaneMaiga
    @JaneMaiga 7 หลายเดือนก่อน

    Natamani na mimi unitolee unabii Mungu akubariki

  • @gwishtztz8784
    @gwishtztz8784 2 ปีที่แล้ว

    I connect to this anointing in Almighty GOD

  • @malai_kah
    @malai_kah 6 ปีที่แล้ว +3

    You were not born, you were sent to Prophecy!!! You are an Angel!!!! Thats my mentor, my father Chief Apostle🙌🙏🙌❤️

  • @lonamicha7107
    @lonamicha7107 5 ปีที่แล้ว +5

    Prophecy ya huyo Grace wa Sweden nimefurahi coz I know her na hayo mambo kweli alikuwa anapitia chief sina lakusema than Ur the real meaning of man of God.. live long

  • @kitingikitingi8974
    @kitingikitingi8974 6 ปีที่แล้ว +2

    I receive chief Apostle in might name of Jesus

  • @priscapius2178
    @priscapius2178 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azid kukutumia kwa namna ya ajabu.......mungu akubaliki kwa mafundisho yako apostle 💪 waga sichoki kukutizama kila wakat

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen ameeen

  • @rosemarylamsy3230
    @rosemarylamsy3230 5 ปีที่แล้ว +2

    Ndiyo mana nakupendaga chief

  • @exsonnyaisanga9549
    @exsonnyaisanga9549 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba maombi nabii sina amani moyoni sina kazi pia pesa sina mke wangu kaondoka kaniambia maskini nyinyi huna hela

  • @arthurmwakanyamale7651
    @arthurmwakanyamale7651 6 ปีที่แล้ว +1

    Chief Apostle Mtalemwa Bushiri 10G
    +

  • @emmanuelmkumbo5177
    @emmanuelmkumbo5177 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @christophebomera8996
    @christophebomera8996 10 หลายเดือนก่อน

    Son of major 1

  • @joycemaige8683
    @joycemaige8683 3 ปีที่แล้ว +3

    Unakuta mtu anaongea kitu kina kuridhisha au kime kugusa unakuta mtu anashangilia lakin mtu akianza kuongea unabii wake unaanza kuzihaki maneno mengiii embu acheni kutuvunja moyo tulioko mbali

  • @priscapius2178
    @priscapius2178 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂oooooh yesssssss Yan tunao elewa hii n wachache sanaaaaa big up apostle 💪 aseeee ECG raha Sana😍😍

  • @pastorjoshuajuma8016
    @pastorjoshuajuma8016 4 ปีที่แล้ว

    Amina Mtumishi wa MUNGU

  • @recholmichael2356
    @recholmichael2356 3 ปีที่แล้ว

    Yeah

  • @NoellaBilembano
    @NoellaBilembano 8 หลายเดือนก่อน

    Nişaidienamimi nateseka

  • @gigimike7825
    @gigimike7825 5 ปีที่แล้ว

    The son of Major Provovo😘😘 prophesy chief apostle 10g+

  • @holyspiritembassychanneltz8599
    @holyspiritembassychanneltz8599 6 ปีที่แล้ว +1

    dah my Chief my Chief this is more than 10g+ oooo.
    I surrender ooo

  • @NoellaBilembano
    @NoellaBilembano 8 หลายเดือนก่อน

    Na itwa Noella na ishi marekani Bado sijakawia sina kitabulisho Nigeria kuja

  • @vickymahanga7734
    @vickymahanga7734 4 ปีที่แล้ว

    Ameeen

  • @SonofMajor1
    @SonofMajor1 6 ปีที่แล้ว

    Super powerful. We thank God of Major 1 for amazing Grace in ECG.

    • @immatarimo9554
      @immatarimo9554 6 ปีที่แล้ว

      dah hilo ni pepo la utambuz baba wa mbinguni yesu mwana wa mungu shusha fimbo yako

  • @pastorkennypauls9486
    @pastorkennypauls9486 6 ปีที่แล้ว

    I connect to that GRACE my father ...the grace is too much 🙌🏾🙌🏾😭😭

  • @NoellaBilembano
    @NoellaBilembano 8 หลายเดือนก่อน

    Ni saidia na miye nateseka watoto WANGU hawapatani mweye we na. Umwa Sana Nigoğos haina nguvu na Miguu. Naona vile una saidia watu Nami. Naamini na Mimi pia. Tapona

  • @pastorkennypauls9486
    @pastorkennypauls9486 6 ปีที่แล้ว

    Masokotoh masokotoh 🙌🏾🔥🔥 this kinda grace is Too Much

  • @paulinamwenisongole8804
    @paulinamwenisongole8804 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa baba

  • @pastorkennypauls9486
    @pastorkennypauls9486 6 ปีที่แล้ว

    Sooo POWERFUL 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 thats my Father at Work

  • @Prayerlife22
    @Prayerlife22 3 ปีที่แล้ว

    He is like as Prophet Bushiri

  • @mariamnangai8060
    @mariamnangai8060 5 ปีที่แล้ว

    Napokeaaaaa kuinukaaa Tenaaa ktk Jin LA yesuuu

  • @Prayerlife22
    @Prayerlife22 3 ปีที่แล้ว

    Bushiri kweli kweli

  • @josephineneema6117
    @josephineneema6117 6 ปีที่แล้ว +2

    Powerful son of major 1

  • @EL-GIBBHORTV
    @EL-GIBBHORTV 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana mtumishi wa MUNGU Karibu Kanisani kwangu hapa MADHABAHUNI ya EL GIBBHOR DELIVARENCE MINISTRY TABATA KIMANGA

  • @faridbatenga1372
    @faridbatenga1372 6 ปีที่แล้ว +5

    some maandiko matakatifu sio mnasubiri kuletewa maigizo hayo yataendelea mpaka lini,Mungu atusaidie

    • @joycemetili3876
      @joycemetili3876 6 ปีที่แล้ว +1

      Wewe unaona ni maigizo, SISI tunafunguliwa na kubarikiwa..tunaenda another level

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 6 ปีที่แล้ว +2

      mwisho wa maigizo umefika subirin kidoogo mtamjua MUNGU WA MAJESHI

    • @acepionage23
      @acepionage23 5 ปีที่แล้ว

      Unabii ni baraka. Wewe na machungu yako na machukizo yako unahitaji kukombolewa.

    • @piusthomas5713
      @piusthomas5713 4 ปีที่แล้ว

      corona inasafisha makanisa

  • @rosemrutu9069
    @rosemrutu9069 3 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kupanda mbegu

  • @doscarmassaba9693
    @doscarmassaba9693 6 ปีที่แล้ว

    Powerful one. Thank You Chief Apostle

  • @shirimawolfugan5402
    @shirimawolfugan5402 6 ปีที่แล้ว +3

    ngalieni kuwasema manabii wa MUNGU nilahana uwajuh siwajuh so angalieni msije pata lahana

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว

      Ebu tuipate hiyo laana kwa ajiri Bushiri na Mtoto wake huyo upofu ni kazi

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Sikuizi watu wanajinuwa kuliko mungu watu wamepotea kukosa roho wa mungu yesu alisema yumba yababa yangu siyo yabishala sikuizi kanisa nikutafuta pesa kwa watu

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Ww utabaki masikini Tu

  • @annajustine5104
    @annajustine5104 5 ปีที่แล้ว

    Mateka jamani uwiiii Yesu okoa wanao...watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!

  • @narcissilvery7178
    @narcissilvery7178 6 ปีที่แล้ว +3

    Apostle mbona utukufu unarudi kwako sio kwa jina la Yesu, mpk unamaliza sijasikia kwa jina la Yesu as your spiritual father Bushiri.

    • @erickelisa1066
      @erickelisa1066 4 ปีที่แล้ว

      Wewe shida yako NI ipi ,nadhan hata mtu akutabilie wewe utamjibu hvyo

  • @framsirona
    @framsirona 5 ปีที่แล้ว

    YAAAAAH

  • @annaboneka2509
    @annaboneka2509 6 ปีที่แล้ว

    Napokea kuinuka tena in Jesus name

  • @neylamdewilly8811
    @neylamdewilly8811 4 ปีที่แล้ว

    O9oooooh yesss daaaah

  • @prophetochuodhoisayaminist2854
    @prophetochuodhoisayaminist2854 6 ปีที่แล้ว

    THANK YOU VERY MUCH CHIEF

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha Ooooo Yes ndo mmefundishwa kuitikia Hivyooooo?

    • @meena-ol6fo
      @meena-ol6fo 5 ปีที่แล้ว

      Km vichaa wakati mungu kawapa akili

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว +1

      @@meena-ol6fo mie nashangaa tuu sielewi kulikoni

  • @noelcheyo8268
    @noelcheyo8268 6 ปีที่แล้ว +1

    Nanyanyuka tena

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Nipesa Tu yiyi niwajjga anawajoe Sana

  • @joycemaige8683
    @joycemaige8683 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani Kuna watu humu Kuna comments za ajabu mnatuvunja moyo wafatiliaji jmn tulioko mbali nje ya tz jmn

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 6 ปีที่แล้ว

    NAAPA MTAMJUA MUNGU WA MAJESHI HAMUWEZI KUTUMIA JINA LA MUNGU KUFANYA USANII MKASAVAIVI NAJUA LAZIMA MUANGAMIE

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว

      Watasavaivu kipindi hiki maana Mungu aliruhusu iwe ili wanaopotea wapotee na siku ikifika watarejea kwake Aliye Hai Mungu mkuu

    • @evalinekageha1130
      @evalinekageha1130 4 ปีที่แล้ว

      Don't don't judge the man of God mungu akunyamazishe wewe unae mnyoshea mtumishi wa mungu kidole

  • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
    @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 6 ปีที่แล้ว +2

    km hujui kupambanua roho IPI ya kweli na IPI ya uongo, ni bora ukanyamaza kimya ili usije kupata laana

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว

      HAKUNA cha Roho ya kweli hapo ni kutimiza maandiko,Asomaye na Afahamu

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว

    Yes ulishamuwekea mazingira nimetambua ,hahaha In English haha no in National Language

  • @mariamapuga1829
    @mariamapuga1829 6 ปีที่แล้ว

    Thank you Chief wa watuu

  • @madlineirenge6395
    @madlineirenge6395 6 ปีที่แล้ว

    Blessings your way Son of Major 1

  • @yasintamlowe7901
    @yasintamlowe7901 4 ปีที่แล้ว

    Nikihitaji huduma nafanyaje

  • @holyspiritembassychanneltz8599
    @holyspiritembassychanneltz8599 6 ปีที่แล้ว

    motema nanga azalakiseyawaaa😂😂

  • @meena-ol6fo
    @meena-ol6fo 5 ปีที่แล้ว

    Huvi sikuhizi hakuna ibada ni kutabiri uongo na kujitikisa na kuruka mashofa😂😂😂😂

  • @aripaliev1059
    @aripaliev1059 6 ปีที่แล้ว +2

    Upumpavu mtupu

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว

    Labda cha mziki lingala

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Lakini bona naona Kama siukuli nikama wametuwa ama wame pewa pesa motoni watu watashomeka sana

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Juu yakudaganya watu wamungu kwani watu hamna masho ya roho mjuwe niogo

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว +1

      @@janenyambura5357 macho ya kiroho ni wachache wanayo aise .umasikini na magonjwa Africa vinatesa saana ndiyo maana watu wanakwenda huku na kule

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว +1

      @@janenyambura5357 aise Africa nafikiri Kuna pepo linawapeleka watu bila kujijua wanakoelekea maana kuna vitu vingine nikiviangalia siamini kama mwanaume mwenye Akili timamu anaweza kufanya,ila kwa kuwa Hata Eva alidanganya Mwanaume basi na mwanaume mwenzao anaweza waibia akili kirahisi saana ,acha twende tutaona mwisho wake Umasikini Africa na Magonjwa na Changamoto za Ndoa nafikiri ndivyo vinawayumbisha waumini wengi

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Kabisa kanisa yingi watu wamepotea juu yakukosa roho wa mungu,kuwaogoza mm Amini ukikuwa na roho atapotea

  • @pastorkennypauls9486
    @pastorkennypauls9486 6 ปีที่แล้ว

    My Father my Father

  • @annajustine5104
    @annajustine5104 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jamani mbona tunatabiriwa kama kwa mganga..hakuna hata neno la biblia? Tusikimbilie miujiza isiyokuwa na neno LA Mungu...

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว

      Ni siku za mwisho acha tuone yaliyotabiriwa na Manabii

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna Baba ni mungu pekeake wajiga Sana yiyi munasema Baba yeye simungu kuweni nakili

  • @lightysymbo7900
    @lightysymbo7900 6 ปีที่แล้ว

    My father my father

  • @veronikashija4979
    @veronikashija4979 6 ปีที่แล้ว

    Goo deeper son if Major one

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha leo nimecheka Kweli mbwembwe za Mganga Wa Kienyeji

  • @arthurmwakanyamale7651
    @arthurmwakanyamale7651 6 ปีที่แล้ว

    10G+ n i shida

  • @mosesjonathan4586
    @mosesjonathan4586 6 ปีที่แล้ว +1

    Power

  • @gladwinramalepe4593
    @gladwinramalepe4593 5 ปีที่แล้ว

    Man of God speak English, I'm enjoying the service but I can not hear what you are saying man of God

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 5 ปีที่แล้ว

      Sorry is horible service people get ruined by preaches every day,i think is life difficulties in our continent of Africa because other continents no such foolish stuff

  • @aasrtz1796
    @aasrtz1796 6 ปีที่แล้ว

    you where not born you where sent to prophecy .so prophecy my chief Apostle Mtalemwa Bushiri

  • @Elxavier28
    @Elxavier28 6 ปีที่แล้ว

    Nanyanyuka Tena.

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Nawahulumia Sana watu wakanisai juu akili zenu aziko juu amna roho wangu ,kanisa yingi sikuizi zimejishagaya naguvu zagiza Dio wewe,Una eda kanisa kamaio uwezijuwa zinaguvu yashetani adi uwea naroho wamungu utawajuwa nautawatabuwa,utaona Kama sinema Tu wanafanya juu uko namasho yakihoho mm uwezi nidagaya juu najuwa uko mungu nikitana kwake ata nitika mara 30 30

    • @jackyunesa1840
      @jackyunesa1840 4 ปีที่แล้ว

      Lo nyinyi ndio mnachangia shida kama za Corona kwa kuchezea neno LA mungu.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 ปีที่แล้ว +4

    wajingaaaaaaaa ndioooooo waliwaoooooooo!!!
    hahaha
    the big actors

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Mungu asedia watu wake nyakatiezi juu Kira mtu Anataka baraka zamungu na,maono ati ya nabill hakuna nabill duniani walikufa wote kina Musa nawegina ,unabll uliobaki nimaniako ww ujiombea wewe Tu nauamini mungu tu utafanikiwa kwakira Jambo rako Amini tu

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Usidaganyika namakanisa kuwa mtu wamsimamo mmoja mungu atakuja natakubariki kwakusimama kwako mtu wamungu Imani ni wewe Tu nikujuwa uko mungu ,🙏🙏

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 5 ปีที่แล้ว

      Watu sikuizi wanapewa pesa wanaeda kanisani bila kuogopa mungu ,nakusema uogo kwamahabau juu nipesa jamani,ogopeni mungu juu kunakiyama kinakuja dunia aicha sijui utasema nn belea yamungu ukifa jiuliza ww,unapewa pesa ukasimamea kanisani nakusema uogo,plz tubu kwa mungu nakugojea ww utubu

    • @mrsulrichmasawe1991
      @mrsulrichmasawe1991 4 ปีที่แล้ว

      Wajinga ndio waangaliao

  • @abdashmjahid7239
    @abdashmjahid7239 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu tapeli anasikizana na watu nje ya kanisa kisha ndani y kanisa wanafanya action ya kudanganya watu yote uongo hata manabii hawKuwa kwa hawa ujinga tu

    • @gwishtztz8784
      @gwishtztz8784 2 ปีที่แล้ว

      Angalia usitoe kibanz kwenye jicho LA mwenzio ukiwa na na bolt na usimnenee mtumishi wa mungu uongoo

  • @michaelmaterego2489
    @michaelmaterego2489 4 ปีที่แล้ว

    Mwendo NI uleule wa matapeli UONGO tupu na mazingaombwe
    SIONI AIBU KUKUITA MTUMISHI WA SHETANI ASLIMIA 100%

    • @gwishtztz8784
      @gwishtztz8784 2 ปีที่แล้ว

      Sku yakikukta utamkubuka huyu mtumishi maana usitukane mamba hujavuka mto