Nawatakia. Kila la heri wapendwa mzidi kuwa hondari katika bwana mbarikiwe sana Wana kasulu mzidii sana Mimi Niko meru Kenya nanyi niliabiwa kigoma nikaribu na mpaka wa zambia nikweli?
Hongereni sana. Mungu awabariki sana. Hope Channel Tanzania kwanini hii kwaya huwa hamuikumbuki kwenye vipindi vya uimbaji hususani siku za Jumapili ili tujifunze unabii kwa njia ya Nyimbo.
Mimi naitwa vinias kutoka meru Kenya wimbo huo umenibariki sana na mungu awabariki sana waimbaji wa kasulu Sasa swali ?mgependa kuja muhubiri Kenya? Wiki. 3 Hilo swali Niko na Imani yakwamba mtalijibu Asante mbarikiwe sana Wana kasulu nawapenda sana
CHOIR IPO WILAYA YA KASULU MKOA WA KIGOMA MAGHARIBI MWA TANZANIA. IMEPAKANA NA BURUNDI NA DR CONGO. IPO ILIPO ZIWA TANGANYIKA. KARIBU SANA@@ViniasKaberia
Naaaam! Wimbo niupendao hongereni sana Sauti ya unabii kwa kazi nzuri sanaa!!
Hallelujah hallelujah hallelujah... Nimejifunza kitu kw hii choir ya wasabato wa Mungu mkuu... ❤❤❤❤❤❤God bless your🙏
Mtatumalisa na prophecy wow. God bless you
Mungu wa Mbinguni azidi kuwajalia afya njema muendelee kutufundisha kupitia nyimbo,napenda sana nyimbo zenu❤
Wowooo nawapenda napenda kanisa rangu
First viewer,,l like the message 🎉❤
Amen hongereni sana, nyimbo nzuri sana
Barikiweni sana vop. Nikiangalia nyimbo zenu nabarikiwa sana. Mungu awape maisha marefu mzid kuhubir ukweli waneno la mungu
Mungu atukuzwe kwa uimbaji huu makini .Mzidi kutumika kwa utukufu wa Mungu.
From Kitale Kenya
Wow, what a message!
Nabarikiwa Sana na kwaya yangu❤
amazing choir may God bless you abundantly
Mbarikiwe sana vop. Mungu awe nanyi na awaongoze muzid kutunga nyimbo za unabii.
Ufunuo 12:1.....(
Nawalenda sana na wimbo huu munatuletea ni nzuli sana mubalikuwe na sisi tunawatakiya aman Ya Yesu Kritu❤🎤🎹🎹🇬🇦
Asanteni sana mbarikiwe songeni sanasana
Hii kwaya inaishi kulingana na jina lake la sauti ya unabii,nawapenda sana, Karibuni Dar es salaam
Mungu azidi kuwabariki v o p.
❤❤Barikiweni sana watumishi wa mungu
Keep going VOP, from Kenya we love you.
Best choirs I have been loving
Ooh barikiwa sana waimbaji
All the best. Mmenifudisha sana
From Kenya, God bless you. Rev 12 explain
Amina sana,Mmetubariki sana
Mungu awabariki.
Amina!! Mungu awabariki.
Mungu awabariki
Amen sana
Hallelujah I hope you guys you doing Karibuni sanaaa Kenya August camp meeting pipeline, seventh day Adventist , our guest choir
Ameen sana ujumbe mzuri❤
Mnanibariki sana nikiwa Arusha
Yani nyie nawakubari mjue barikiweni mnoo
Barikiwa sana jamani ❤
Hallelujah mbarikiwe
Mbarikiwe sana
Amin mbarikiwe
Mubarikiwe
Barikiweni
Kweli ni shauti ya unabiii🎉❤
Nawatakia. Kila la heri wapendwa mzidi kuwa hondari katika bwana mbarikiwe sana Wana kasulu mzidii sana Mimi Niko meru Kenya nanyi niliabiwa kigoma nikaribu na mpaka wa zambia nikweli?
Mungu awabariki saaana kwa ujumbe mzuuri,
Tuko ktk siku za mwisho kila kiumbe kihubiriwe kwa kila lugha wakumbukeni na viziwi nao wanahtaji kuokolewa❤
Awesome voice 🎉
Blessings Vop
Aminaaaaaaaaaa
Good message
Wapi agnetha? Barikiweni sana
Wimbo wa mwanamke
Amina
Barikiwa kwaya vop
Bless chior vop
Amen
Kazi nzuri sana na mungu awabariki
What a great message from the book of revelation, GOD bless you guys.
Nimebarikiwa Sana na ujumbe huu mzuri , mfike mbali watu wa baba❤️
Hakika hawa ni Saut Ya Unabii,Bwana azidi kuwafunulia mafunuo
Barikiweni sana nawapenda vop❤❤❤
Amen and amen , l love this choir, the dressing is really showing these are the servants of God, and the message is perfect 👍
Napenda nyimbo zenu VOP
Mungu aibariki kazi hii
Hongeraa saana, wimbo umetulia mnooi,,unabariki saana,,keep it up guy❤❤
Halellujah halellujah kwa n wimbo la maono na mafunzo mazuri,!. Mungu zaidi kuwabariki
Amakuru, VOP mnaiwakirisha Kigoma vizur sana and you deserve to be called voice of prophecy
Amen🎉🎉 sana
This song waiting Amen Amen God bless u all
Aaamen
Haleluyah.
Wow
Hongereni sana. Mungu awabariki sana. Hope Channel Tanzania kwanini hii kwaya huwa hamuikumbuki kwenye vipindi vya uimbaji hususani siku za Jumapili ili tujifunze unabii kwa njia ya Nyimbo.
Hili ni lakuzingatiwa
Mungu atukuzwe milele kupitia uimbaji wenu.
Niko Nairobi Kenya 🇰🇪
🎉🎉🎉🎉
Amen amen
blessed with this song, That Christ may be lifted through song in EAC and beyond
❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪
❤❤❤
Amina Amina AMINA. Mbarikiwe sana wapendwa.
This choir understands prophesy, i love you
I love you so much guys, the way you present God's message to us looks so real and lively at the same time, keep it up.
Mimi naitwa vinias kutoka meru Kenya wimbo huo umenibariki sana na mungu awabariki sana waimbaji wa kasulu Sasa swali ?mgependa kuja muhubiri Kenya? Wiki. 3 Hilo swali Niko na Imani yakwamba mtalijibu Asante mbarikiwe sana Wana kasulu nawapenda sana
asante saana Mr vinias kaberia bwana akubariki swalilako jibu nikwamba inawezekana kabisa kuja huko ikiwa taratibu za kanisa letu zitafuatwa
Garama kutoka uko kuja mpaka Kenya nigapi?
Niulize kigoma iko upande gani ? Nigetamani ata kufika huko
CHOIR IPO WILAYA YA KASULU MKOA WA KIGOMA MAGHARIBI MWA TANZANIA. IMEPAKANA NA BURUNDI NA DR CONGO. IPO ILIPO ZIWA TANGANYIKA. KARIBU SANA@@ViniasKaberia
Mungu awabariki sana mzd katk imani ❤❤❤
Hii kwaya inajina ziuri sana jaribu kutumia melody ya zaman kufikisha ujumbe huo
Ujumbe mzuri, mbarikiwe.
At long last wimbo umetoka much love to u all
Ephesians 5:26-27.
Si mbarikiwe mpaka mshangae
Amen!! I love you 💕💕💕
amen
jamani nyimbo nzuli sana ila muziki munao tumia sio muziki wa nbinguni'Mungu awawezeshe kutanbua hilo
Mziki wa mbinguni ni upi?
Barikiweni
From Kenya, God bless you. Rev 12 explain