Mungu akubariki sana,hii injiri imenibariki sana ,sitakemea mtu tena mbali shetani aliye dani ya mtu,tanzania mumebarikiwa ,kumbe ndio maombi yangu inakawia kujipiwa,kwa kukemea mtu bandala ya pepo,mungu akuinue zaidi mchungaji
Shalom chief apostle kwanza namshukuru Mungu kwa ajili yako somo la kwanza nilichojifunza ninapoona tofauti kati yangu na ndugu yangu sio yeye ni shetani anamtumia kufarakanisha kwa hiyo namuona shetani ndani yake kwa hiyo sitagombana na ndugu yangu tena! Somo la pili Mimi niliumwa dalili zote za corona ila ndani yangu nikakataa kwa jina la Yesu sasa hivi ni mzima kabisa pia nilitumia tangawizi na limao namshukuru Mungu corona imeisha Tanzania Jina la bwana lihimidiwe
Tunamshukuru Mungu wa miungu ametenda..hakika vita vyetu si vya damu na nyama bali ni katika rohoo,there is power in targeting the right enemy..tunazidi kukomaa kiroho na kimwili..ECG ni FIREE
😆😆😆,hii ilikuwa kiboko, asante Yesu 🙏. Sasa kuna Ebola wanaturusha roho,mimi siwaelewi eti tukae tayari, Mara kuna wahisiwa yaani hapa ni kuanzia rohoni kumbabadua kitaeleweka.
Is only today niliweka status ya kumkomesha alietumiwa na shetani kuniumiza.......nimelia kuomba then i open my youtube nakusikia hili somo khaaa nmedelete na nampigia mazee siwezi korofishana na mtu kisa shetani😆😆 not menagain.
Apo kwa mbirizi kiboko ya magonjwa, yaani Mungu anatupenda. Wameishatengeneza wanasema madhara yatatokea Mwezi wa saba. Tuendelee na maombi na Kashwagara
Extrait de Kacou 141:Mungu anapenda China na Asia 49 Dunia ni paradiso ya wanadini na wanasiasa na ndani yake ni vita na magonjwa na magonjwa ya milipuko. Na munapofikia hatua ya silaha za nyuklia, Mungu anawatumia magonjwa ya nyuklia kama nilivyotabiri mnamo 2002. Hospitali zitafungwa na mashule na mafamilia na vijiji vitafutwa. Watu watakimbia watu kama mtu anavyokimbia wanyama wakali wa porini. Paradiso yangu haiwezi kuwa ulimwengu huu chafu, unaokaa juu ya mabomu, ulimwengu huu unaogonjwa ambao umejaa uhalifu. [Kc.3v25] 50 Mlinikataa lakini mutatoweka duniani pamoja na kumbukumbu yenu na siku moja, wajukuu wenu watashangaa kuona jinsi mulitenda. Katika miaka 100 au 200, kumbukumbu ya viongozi wenu wa kidini itafutwa kwa sababu kazi zao hazitokani na Mungu na nyote mtakwenda pamoja nao kuzimu ya milele ya Naraka. Munaonekana waaminifu na wakweli lakini nyinyi ni waongo kwa sababu ukweli unaotoka kwa Mungu ni hofu kwamba unaweza kuwa katika makosa. Wana wa Shetani hawaogopi lakini woga ya [kwenda] kuzimu hukaa ndani ya kila mwana wa Mungu. [Kc.130v21]
Kwa Mahubiri haya jmn naomba niwe member hapo kanisani 💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika Tanzania is favored 👏🏽👏🏽👏🏽
Nimechukua kitu hapo kitanisaidia sana barikiwa mtumishi
Mungu akubariki sana,hii injiri imenibariki sana ,sitakemea mtu tena mbali shetani aliye dani ya mtu,tanzania mumebarikiwa ,kumbe ndio maombi yangu inakawia kujipiwa,kwa kukemea mtu bandala ya pepo,mungu akuinue zaidi mchungaji
Shalom chief apostle kwanza namshukuru Mungu kwa ajili yako somo la kwanza nilichojifunza ninapoona tofauti kati yangu na ndugu yangu sio yeye ni shetani anamtumia kufarakanisha kwa hiyo namuona shetani ndani yake kwa hiyo sitagombana na ndugu yangu tena! Somo la pili Mimi niliumwa dalili zote za corona ila ndani yangu nikakataa kwa jina la Yesu sasa hivi ni mzima kabisa pia nilitumia tangawizi na limao namshukuru Mungu corona imeisha Tanzania Jina la bwana lihimidiwe
Tanzania nawapenda Bure Ur greatly gifted na Manabii wa Mungu...Live Long Tanzania....Wakenya Twawaenzi.
Oh oh oh oh baba na kupenda Niko Congo RDC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mimi lazima siku Moja nitafika ECG Darsalam nihudhurie ibada 🙏🙏 am soo blessed 🔥🔥
Mi huwa nakuelewagaa sanaa
Mahubili yako yananijenga kweli amen
Tunamshukuru Mungu wa miungu ametenda..hakika vita vyetu si vya damu na nyama bali ni katika rohoo,there is power in targeting the right enemy..tunazidi kukomaa kiroho na kimwili..ECG ni FIREE
Unanibariki sana nabii Mtalemwa
Kwa hakaki watazania mmebarikiwa natafute bwana mtazania be blessed man of God
Mbona huwa tunasikia wakenya mwenye pesa ndio baba?halafu wan awake Wa Kenya mnajua kupigana sana
Shalom mtumishi
Hakika umesema kweli! Kama hiyo science anacheza nayo sana! Shetani shindwa in the mighty name of Jesus 🙏
Thanks pastor for a good work God bless you
Umetisha mwanangu Mtalemwa salute Mungu anakutumia vilivyo tuko nyuma yako tunakuelewa sn mbona
Ufunuo mkubwa sanaa MTUMISHI
Asante sana mtumishi kwa ufunuo huu nimepata kitu kipya
Thank you so much Apostle, may the Almighty continue to increase you 🙏
Uko vizuri nakutakia utumishi mwema na ulio tukuka Duniani na Mbinguni.
😆😆😆,hii ilikuwa kiboko, asante Yesu 🙏.
Sasa kuna Ebola wanaturusha roho,mimi siwaelewi eti tukae tayari,
Mara kuna wahisiwa yaani hapa ni kuanzia rohoni kumbabadua kitaeleweka.
❤Namshukuru Bwana kunifunulia haya.Bwana Akusimamishe
Thank you man of God,my faith is uplifted,God bless you.praying for more anointing.
Mtumishi was Mungu aliyehai, UNANIBARIKI sanaaa, Mungu azidi kukutumia.
Nabarikiwa sana
Mungu ni mwema na anakusudi niyajue haya
You make me happy apostle mtalemwa 🤣😂👃
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
LEO NIMEPATA UPONYAJI. AMEN PROPHET.
Amina Chief Apostle powerful teachings. Ubarikiwe sana mtumishi, Mungu wa Major 1 akutunze na kukuongezea revelations.
Mungu akubariki sana mcha Mungu amen Apostle Kabwika
Baba Mtalemwa nimekuelewa vyema.asante sana umegonga kichwa cha msumari👌
Is only today niliweka status ya kumkomesha alietumiwa na shetani kuniumiza.......nimelia kuomba then i open my youtube nakusikia hili somo khaaa nmedelete na nampigia mazee siwezi korofishana na mtu kisa shetani😆😆 not menagain.
Mtumishi uje ufundishe somo la uvaaji naona wanadada wengi wemevaa suruali wamepaka brich wameshevu madenge wakemee
Apo kwa mbirizi kiboko ya magonjwa, yaani Mungu anatupenda. Wameishatengeneza wanasema madhara yatatokea Mwezi wa saba. Tuendelee na maombi na Kashwagara
Ubarikiwe mtumishi.
Unaeleweka sana mtumishi
Aliiiii aliiii Hakika kabisaaa
nimekukubali pasta. mimi nimuchristu arakini nimekutana namapasta wajaja sikukua nawakubali arakini nimekubali kweli unaneno ramungu ndio kitu napenda kusikiliza sana ubalikie namungu akujyaze nguvu
Iyeee kashagwara😅😊Powerful teachings, chief wa watu🙏am so Blessed
Wooow what a powerful message 💃💃💃💃💃u really bless me
Vimini kwa kweli mafundisho ni mazur sana ila unaowafundisha wengi safar yao si salama
Amen. Mungu akubariki kwa somozuri
Thank you Chief..
Nimejifunza kitu kinacho nisaidia katika maisha yangu...God bless you Chief!!
Barikiwa mtumishi
AMEN, am so blessed, God bless you sir 🙏
Powerful revelation,more grace man of God, I am blessed, from kenya
Woow.....am so blessed nimefrahi sana na nimebarikiwa mno....be blessed man of God
Ni kweli kabisa tatizo tunaangamia kwa kukosa maarifa
Hakika nimebarikiwa Sana! ubarikiwe Mtumishi wa Mungu!!
Glory to God for bestowing his wisdom upon Chief Apostle. Best teachings and prophecy ever
Nimebarikiwa kaka mtumishi wa mungu injili sasa imekomaa zaidi Tupevitu vya mbinguni
Moto xana
MUNGU.NAOMBA.UNITUMIE.KWA.NGUVU.ZAKO.ZOTE.HASA.KWA.ROHO.YANGU.NAOMBA.KUJUA.SIRI.YA.BINGUNI.NIWRZESHE.JEHOVA.NAOMBA.AMEN.
Duh nimebarikiwa sana na hili somo jaman
MUNGU akupe Mia la mingi,
Namshukuru Mungu kwa ajili yako mtumishi hakika nimepona.
Powerful teachings!!
Be blessed mtumishi wa Mungu,
nimebarikiwa Ameeen
Thank you Apostle
Nimebarikiwa sana 🙏
Shetani shindwa kwa jina la yesu mwana wa mungu aliye hai
What a wonderful revelations
Powerful man of God
Powerful teaching,am so blessed Chief Apostle
Neno lako ni njia kwangu,barikiwa sana mtumishi
Am blessed 🙏🏾
Great
Dah wewe baba ni hatar sana mungu akubariki sana nimepona
Nimebarikiwa mtumishi
Amina pastor hi imenigusa
Ameen
Amina mtumish
Kweli iyo asante mungu mukubwa
Nimetakasika
Amen chief
Amen mtumishi wa Mungu.
Oh yes..Chief apostle
AMEEN
Amen Amen
Good service
Nakuelewaga sana pastor
amen may that be real in the name of jesus
Nimekuelewa Chief Power
wow, just wow!
Amina baba
Powerful truth papa
Amen
Asante sana Chief kwa kutufunilia hili,hakika nimepona
Ubarikiwe sana chief umenifundisha kitu
I LIKE THIS PROPHETY
Oooh yes!!
Powerful
We thank God of Major1 for what he has done for Tz. Corona come not again!!
❤💖💖
Ameeeeeeeen
💯💯💯
Amen ameen
Nikweli kabisa Mtu wa Mungu
Extrait de Kacou 141:Mungu anapenda China na Asia
49 Dunia ni paradiso ya wanadini na wanasiasa na ndani yake ni vita na magonjwa na magonjwa ya milipuko. Na munapofikia hatua ya silaha za nyuklia, Mungu anawatumia magonjwa ya nyuklia kama nilivyotabiri mnamo 2002. Hospitali zitafungwa na mashule na mafamilia na vijiji vitafutwa. Watu watakimbia watu kama mtu anavyokimbia wanyama wakali wa porini. Paradiso yangu haiwezi kuwa ulimwengu huu chafu, unaokaa juu ya mabomu, ulimwengu huu unaogonjwa ambao umejaa uhalifu. [Kc.3v25]
50 Mlinikataa lakini mutatoweka duniani pamoja na kumbukumbu yenu na siku moja, wajukuu wenu watashangaa kuona jinsi mulitenda. Katika miaka 100 au 200, kumbukumbu ya viongozi wenu wa kidini itafutwa kwa sababu kazi zao hazitokani na Mungu na nyote mtakwenda pamoja nao kuzimu ya milele ya Naraka. Munaonekana waaminifu na wakweli lakini nyinyi ni waongo kwa sababu ukweli unaotoka kwa Mungu ni hofu kwamba unaweza kuwa katika makosa. Wana wa Shetani hawaogopi lakini woga ya [kwenda] kuzimu hukaa ndani ya kila mwana wa Mungu. [Kc.130v21]
OOh Yess!
❤❤❤❤❤
Amina 🙏🙏
AMEN mutumishiwamungu
Corona inataka AC😂😂😂😂
kdsi
Ameeen
Amen.