BIZMAN - Chanzo Cha Kuingia Bongo Fleva Kutoka Kwenye Band - Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Tunaendelea na mazungumzo na Bizman. Hapa ametuonesha umaestro wake kwenye muziki wa Bongo na jinsi alivyohusika na vibao kibao. Tunaona pia jinsi alivyotoka kwenye muziki wa band na kuingia Bongo Flava
    #bongofleva #bizman #bongoproject #tanzania #inafrika
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 14

  • @shabani6631
    @shabani6631 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bizz Man Nakubali miaka 100

  • @kayambavitalis6426
    @kayambavitalis6426 2 หลายเดือนก่อน +3

    Legendary

  • @playbeats8960
    @playbeats8960 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sound mbovu mkuu, unajua hizi interview ni madini mazito sana na tunazipenda sana. Rekebisha sound

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali sana Bizman..ni producer na mpiga kinanda mzuri sana.

    • @bongo_project
      @bongo_project  2 หลายเดือนก่อน

      Yuko vizuri sana

  • @mshangaf1726
    @mshangaf1726 2 หลายเดือนก่อน +1

    huyu ndio bongo flava

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aminia

  • @osca_kitomari_journalist
    @osca_kitomari_journalist หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja kaka naomba kufahamu 'Indege' ni lugha gani

  • @jumazahoro3537
    @jumazahoro3537 2 หลายเดือนก่อน +2

    Halafu umtafuta mamu muuza album

  • @whitemusic1419
    @whitemusic1419 2 หลายเดือนก่อน +1

    nawambiaga watu hy jamaa alihusika karibu ngoma zote

  • @dotoeliudi7197
    @dotoeliudi7197 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nataman maswali uweke kweny subtitle halaf sauti yako isisikike, jaribu uone itatokoaje?

    • @bongo_project
      @bongo_project  2 หลายเดือนก่อน

      Poapoa. Tutajaribu siku moja