YATAKUTOKA MACHOZI MTOTO WA DIDA "AKISALIMIANA NA MASTAA WALIOFIKA MSIBANI/JUMALOKOLE AMAPA FARAJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 45

  • @Karidodeplatnumz
    @Karidodeplatnumz 3 หลายเดือนก่อน +8

    kwenye hayaa maishaa mama nikiungo muhimu sana naelewa anacho pitia samira kwan nilimpoteza mama angu nikiwa binti mdogo niko form four kiukwel maumivu anayo yapitia huyu binti ni makali mno kiukwel mpaka nimefill hali nilio ipitia mm pindi tulipo toka kuzika ndugi walikimbilia mali na mpaka leo haijawai nitoka akilini ukizaliwa peke yako ukawa huna mtetezi kiukwel utakumbana na mengu namshukuru mungu mpka kufika hapa ni kwa neema zake tu

    • @LeylaSaria
      @LeylaSaria 3 หลายเดือนก่อน +1

      Dah pole kipnz

  • @aliciamwalimu582
    @aliciamwalimu582 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa wanafamilia wanaonekana sio wadhurumaji😂

  • @LovelyCoastline-il1lr
    @LovelyCoastline-il1lr 3 หลายเดือนก่อน +6

    Tuzaeni jaman kumuacha mtoto peke yake hana mtetezi sio poa

    • @gladnesswazir-zz9lk
      @gladnesswazir-zz9lk 3 หลายเดือนก่อน

      Wengine tuliachwa hvy tena wadogo kunamuda unahc maumiv ukiona wenzio waliozaliwa weng 😭😭😭🤲🙏 asante Mungu kwa yote

  • @ZingatiazingatiaStunda
    @ZingatiazingatiaStunda 3 หลายเดือนก่อน

    Yahn hawa wandishi wahabari kwakweri wanakazi kubwa

  • @FatumaShabani-h3n
    @FatumaShabani-h3n 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana😂😢😢😢😢

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 3 หลายเดือนก่อน +5

    Juma nfo uache biashara ya kuchamba watu km hili limekuwa km funzo ya kuwa hakuna atakayebak kwenye hii dunia,,maana km ww ukiamuwaga kukazana na kukomalia maisha ya watu hujambo!!!!unaikumbuka inshu ya dida na wolper??na ww mmbea ukiwa pemben lkn leo wolper kaja kumzika mwenzie sasa ww aisha juma endelea

    • @fransiscotsii2671
      @fransiscotsii2671 3 หลายเดือนก่อน

      😢

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 3 หลายเดือนก่อน

      We usiyekuwa mchambaji kwani hufi?​@@fransiscotsii2671

    • @Chrisscherry
      @Chrisscherry 3 หลายเดือนก่อน

      Kwanza looked anachuki na hamisa mobbetto

    • @eshymohammed8837
      @eshymohammed8837 3 หลายเดือนก่อน +1

      ndio kazi yake inayompa kula

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 หลายเดือนก่อน +8

    Baba yake yuko wapi? Huu ndio muda wa kukaa na Binti yako kumsaidia kupokea wageni wanaokuja kumfariji, na usikilize maongezi umsaidie kuelewa uzito wa kupoteza Mama

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 3 หลายเดือนก่อน

      Mchopanga

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwenye mazish alikuwepo sasa kila muda wakata awe na mtoto pesa atatafuta saa ngapi?

    • @ShaaShaa-s6b
      @ShaaShaa-s6b 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@Niget-us1npsio mchopanga ni mchopsi

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 3 หลายเดือนก่อน

      @@ruqaiamohammed345 acha sababu wahenga waliweka siku tatu saba na arobaini wana maana yake tena kwa mtoto mdogo kama huyu

    • @naomijohn6041
      @naomijohn6041 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ShaaShaa-s6byupo sahihi anaitwa mchopanga kifupi ndio walimuita mchopsi kama swagger tu

  • @Bahati47
    @Bahati47 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wa andishi wa habari wa tz mumezidi jamani dah! Mimi ningekua mwanafamilia ningezipasua hizo camera zote

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hao.waandish had kero khaaaa mtawakwaa wagen

    • @SarahTarimo
      @SarahTarimo 3 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka kama ni mazur

  • @AnjelaSabasHamaro
    @AnjelaSabasHamaro 3 หลายเดือนก่อน

    poleni

  • @sophiamunga4520
    @sophiamunga4520 3 หลายเดือนก่อน

    Wanadam unafiki ndio utaminuima pepo akiwa anachamba watu tunamsifu na kumfuatilia saa tano kamili lredio hewani na akina ,asha,isha,imu ndio wengi watuma ujumbe au nyie hamkosei eeh

  • @furahachacky235
    @furahachacky235 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mtoto nae kajaliwa moyo yaani mkavu kama anachezea movie kumbe kweli kaondokewa na mama

    • @maidaamie648
      @maidaamie648 3 หลายเดือนก่อน +6

      Ila nahis huyu kapata na bumbuwazi akitulia ndo akili itaamka kuondokewa na mzazi usikie2 kwa mwenzio

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kila mtu na alivyo kulia kwake wengine wanalia pale pale, wengine wanakua kama freezing analia baadae mwanzo anakua kama haamini ni Bumbuwazi na wengine wanakua wanalia wakifiwa lakini husikii sauti anatoka machozi tu analia ndani kwa ndani ile inauma pia inaumiza moyo

    • @MaryChiriba
      @MaryChiriba 3 หลายเดือนก่อน +3

      Msiba wake sio sasa realty yake itaanza pale atakopo kuwa pekee 😢😢

    • @afrigrowers
      @afrigrowers 3 หลายเดือนก่อน +3

      We umeshaona kuna mtoto anafiwa analia na kuzimia? Umri bado huyo jamani pia hao wakubwa hata hawatomruhusu kulia. Mtihan alioupata atalia maisha yote kila hatua ya ukuaji na steps za maisha atalia.akianza na graduation zote zilizobaki atalia tu tuliofiwa na mama tunajua na tunaliaga kisirisiri miaka yote.

    • @Sunshine-li6ef
      @Sunshine-li6ef 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa mm nalia mpaka leo​@@afrigrowers

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv 3 หลายเดือนก่อน +1

    huyo mwanamke aliye kuja shishi au mdibani na miwigi kama siyo muislam

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 3 หลายเดือนก่อน

      Nyinanyi kambe nyie ndo wasafi sana loh😂😂

    • @faridaalshabibi9226
      @faridaalshabibi9226 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa umbea mpaka unachapia kwani mastar ndio upuuzi gani au wao ndio hawatokufa asieamini kama mti kafa huyo juwa inani hana