"Mtoto aliacha mlango wazi ili mama yake akirudi asimsumbue kuufungua" Majirani waeleza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Wakati wanafunzi wa darasa la saba wakianza mitihani ya kumaliza elimu ya msingi jana mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba Farida Makuya (16) ameshindwa kufanya mitihani hiyo baada ya kuuliwa na watu wasiojulikana.

ความคิดเห็น • 467