1 Tutazame kule mbele, asubuhi inakuja! Tuamini Mungu wetu, atafanya kazi yake, kufukuza mashetani, kumiliki nchi yote. Tutashinda tukiomba, Mungu anatusikia. 2 Tarumbeta linalia, tuamke wote sasa! Mungu wetu anataka sisi sote tutakaswe! Kila mtu awe safi katika kanisa lake! Uliache nung’uniko, utapata nguvu yake! 3 Imba ninyi, watu wake, Bwana yu pamoja nasi! Tutashinda majaribu kwa uwezo wake Yesu. Twende tumhudumie kwa kumpa mali yake; hata roho na akili zimtumikie Bwana! 4 Watu wengi hawajui njia yakufika mbingu, wanakuwa wamefungwa kwa mikono ya shetani. Twende tukawatafute, tuwavute kwa Mwokozi, na kuomba na kukesha hata kuja kwake Yesu!
May God bless this guy of his, Among gospel singers this Man is the first i love so so much " may the lord increase my ability so that i can still singing like this man, whole my life,,,
Eeee! my brother I thank God for your life more grace, please continue this way many people have failed our God, you're comforting the heart of our LORD Jesus Christ,
Wow I have never heard of such a song. Yesterday I was on TH-cam and I found a mix so in between there I heared this song. I am here today after long searching. Much blessings.
Jamanie Mungu awabariki sana, yaani mimi ninabarikiwa sana na hizi nyimbo na mnavyo weka viungo kama hivi yaani asiye barikiwa na kuongoka huwa na moyo mgumu
You're ministration is always a blessing...Just requesting that you moderate your background vocalist coz its kinda hard to hear what you are singing in most of your songs especially when I'm interested in learning the song..inakuwa ngumu kuyaskia maneno yako .. The Good Lord continue using you 🙏
Mungu wetu azidi kuku bariki twawomba utu leteye pia yimbo ya okovu 160 Ahadi zote zamungu zimesimama imara na zili tiwa muhuri kwa jinalake yesu. twaomba tahathali🙏🙏
Mungu akupe mwisho mzuri
Who's here in December 2024??? Give me likes and praise God together...
Baba Mungu akupa maisha marefu na pia ubarikiw
Bwana Yesu awe nawe pia akubariki ki mwili na kiroho
1
Tutazame kule mbele, asubuhi inakuja! Tuamini Mungu wetu, atafanya kazi yake, kufukuza mashetani, kumiliki nchi yote. Tutashinda tukiomba, Mungu anatusikia.
2
Tarumbeta linalia, tuamke wote sasa! Mungu wetu anataka sisi sote tutakaswe! Kila mtu awe safi katika kanisa lake! Uliache nung’uniko, utapata nguvu yake!
3
Imba ninyi, watu wake, Bwana yu pamoja nasi! Tutashinda majaribu kwa uwezo wake Yesu. Twende tumhudumie kwa kumpa mali yake; hata roho na akili zimtumikie Bwana!
4
Watu wengi hawajui njia yakufika mbingu, wanakuwa wamefungwa kwa mikono ya shetani. Twende tukawatafute, tuwavute kwa Mwokozi, na kuomba na kukesha hata kuja kwake Yesu!
Amen
🙏🙏
Jambo mukubwa utudayidiye na audio
Amen mungu akupari sana aendele kuku Vika guvu
Mungu akupe maisha marefu saana. Umekuwa ukinibariki kupitiya hizi nyimbo. Mungu akubarikisaana
Amen kubwa
Barikiwa sanaa💪💪💪👏👏👏👏👏
Nyimbo za upako n'a mafuta,zenye kurudisha watu kwenye msingi wa kikristu n'a Imani ya kudumu
nice songs , im from Rwanda
Yesu kristo akubariki sana kaka yang katika kristo
❤❤❤Amina ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo❤❤❤
Nyimbo zako za nipa faraja.Mungu aendeleye kukujaza karama ya kuimba.ubarikiwe.
Nampenda sana unavyo jitolea kuimba NYimbo za wokovu,Yesu akuzishiye baraka
Haleluya nimebarikiwa tutaahinda tukiomba mungu atatusikiya. Amina yesu wetu
Nyimbo nzuri sana mungu akubariki sana Kweli nime barikiwa
Papa unakuaga unanibariki sana mungu azidi kukuinuwa kiroho na kimwili amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I remember when I was in Africa,he used to makes me cry each time he sings, God bless you my brother
Amen
MunGuakubariki
Mungu awatiye nguvu watumishi tunawapenda saana
Courage grand napendaka nyimbo zako acha Omnipresant akuinuwe zaidi ya kawaida Amen.
Nimekuja hapa baada ya kusema kuwa wewe ndo umeimba ule wimboo wa ukichukuliwa na mashaka yako,
Glory to God
Pia mimi.....but before nione video yake nilikuwa nafikiria kuwa ni a lady
Nabalikiwa sana na uimbaji wako mtu wa MUNGU. Baba wa Mbinguni na azidi kukubariki
Amen Amen God bless you
Mungu akubariki mara dufuuuuu Mtumishi wa Bwana ......ili nyimbo ni baraka kwangu.God bless uuu
Ubarikiwe milele nyimbo zako zatufariji mno
que Dieu vous bénisse, je me souviens de mon enfance quand je cherchais a l Eglise
Tutazame kule mbele
Développement ina kuja.
Amen!
May God bless this guy of his, Among gospel singers this Man is the first i love so so much " may the lord increase my ability so that i can still singing like this man, whole my life,,,
Big up my brother. Kongwa.
Nakubali sana hii ngoma
Ubaeikiwe sana mutumishi wa Mungu
Be blessed Man of God,nakukesha na kuomba hata kuja kwake Yesu,
Eeee! my brother I thank God for your life more grace, please continue this way many people have failed our God, you're comforting the heart of our LORD Jesus Christ,
Tutashinda tukiomba🙏God Bless you brother
Exactly
Alleluiaaaaaaaaaaaaa je suis touché par ce bon chanson
Hongera ndugu yangu David
God bless you by your songs
Wawwwwww nyimbo nzuri kinyarwanda niya 21 mugakiza
Wow I have never heard of such a song.
Yesterday I was on TH-cam and I found a mix so in between there I heared this song.
I am here today after long searching. Much blessings.
Ubarikiwe sana
Wow....so wonderful🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Ubarikiwe kaka yangu
The best of the best. Deep. Be blessed
Jamanie Mungu awabariki sana, yaani mimi ninabarikiwa sana na hizi nyimbo na mnavyo weka viungo kama hivi yaani asiye barikiwa na kuongoka huwa na moyo mgumu
Amen soit Béni mon frère
Nakupenda sana!!!!!!! Mungu akujyaze nguvu za kumuimbiya, unatujyana kukumbuka wema w Mungu kwetu
This song really touch my heart ❤️🙏❤️🥰 tukishinda nakuomba 😍🙏🙏
Yoooooo 😭😭😭😭😭 tutashinda tukiomba
I remember how my mother use to sing this song😢
Unarikiwe(2020)umenibariki
God bless you
Mungu akupe balaka
Mungu wetu ni mwema sana .
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana.
God !!!this man has inspired me so much
You're ministration is always a blessing...Just requesting that you moderate your background vocalist coz its kinda hard to hear what you are singing in most of your songs especially when I'm interested in learning the song..inakuwa ngumu kuyaskia maneno yako ..
The Good Lord continue using you 🙏
Mungu ababariki Sana kwa nyimbo nzuri
Oui tuta shinda tuki omba amena amena
Amen amen
Mungu wetu azidi kuku bariki twawomba utu leteye pia yimbo ya okovu 160 Ahadi zote zamungu zimesimama imara na zili tiwa muhuri kwa jinalake yesu. twaomba tahathali🙏🙏
You raise my spirit of worship may God grant you many years to serve Him
Hallelujah Hallelujah Hallelujah 🙌 💃
Naku omba naku kesha atakuja kwake Yesu. Iyo ni kweli.
Your songs are holy ghost inspired 💕💗🙏🙏😭😭😭
Nakupendaka sana papa pasteur, MUNGU wangu Yesu kristo akubariki daima
Ooh my God u are so anointed be bless.
U have blessed me may God add you more power
Amen ,Bwana Yuko pamoja nasi hatuna hofu.
Aksante kwa nyimbo nzuri
na kuomba na kukesha hata kuja kwakwe Yesu
Ata Roho na Akili zimu tumikiye Bwana.
Napenda hii wimbo
Your songs makes one cry 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 you've blessed me.
Ndugu ubarikiwe kwanyimbo nzuri
Eeeeh🔥🔥🔥🔥... Barikiwa mtumishi
Nakupenda sana mutumishi wa Mungu!
Uliache nung"uniko utapata nguvu yake hallelujah
Hata rohoo naa akili zimutumikieee bwana
Napenda wimbo Sana ni ya Baraka Sana👏
Where can I download your songs,,,it always lift my spirit
Amen men of God, anointed song
Tuta shinda tu ki omba , mungu ata tu sikia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki Sana Kaka David!
Na kuomba na kukesha, atakuja kuni kamata
Amen AMEN. God bless you richly
Ameeeen mutumishi w mungu ubalikiweeeeeeeeee sana
Be blessed brother
Merci beaucoup pour vos chansons je suis vraiment touché, que Dieu vous soit avec vous
Amen amen tutashinda tukiomba amen ubarikiwe kaka
Mungu akubariki
Mungu apewe sifa na ubarikiwe.
😭😭😭Tutashinda tukiomba mungu atatuskiya🙏🙏
Amen kubwa baba 🙏
Jambo
Nyimbo nzuri kbs!
lovely song...
Napenda.nyibozako❤❤❤
Amen papa mungu akubariki sana
Pole sana fr❤
Nyimbo nzuli sana Mungu akubaki sana
Barikiwa Mtumish wa Mungu
Congratulations David .