KUZAGAA MAJIKO YA KITIMOTO JIJINI MBEYA HALMASHAURI YA JIJI YATUPIWA LAWAMA, WAISLAMU WATOA TAMKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 9 วันที่ผ่านมา +3

    Unafata nini kwenye bucha za nguruwe hi ni tz tuna uhuru wa kuabudu na kuishi kitu kama huli usikitafute kwanza mbeya inajulikana imani kubwa ni ipi tuache siasa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 10 วันที่ผ่านมา +1

    hii siyo sawa,siyo mbeya tu,hata arusha na moshi naona mambo ya kutia kichefu chefu!!hata wakati wa ukoloni kulikuwa na sheria ya mabucha ya nguruwe na uchomaji wa nguruwe uwekewe sehemu maalumu!!
    hali iliendelea kufumbiwa macho na serakali itakuja kutuletea uvunjifu wa amani!!

    • @OdhiamboLazaro-y8o
      @OdhiamboLazaro-y8o 8 วันที่ผ่านมา +1

      Umejuaje kama sio mlaji

    • @chacha-255
      @chacha-255 7 วันที่ผ่านมา

      hamia Zanzibar

  • @MasoudyMichael-ox7xl
    @MasoudyMichael-ox7xl 8 วันที่ผ่านมา

    Kimeumana😅

  • @LukioMateruh
    @LukioMateruh 9 วันที่ผ่านมา +2

    Nchi aina udin na kitimoto sio dawa za kulevya mstulete story za zamzn

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 8 วันที่ผ่านมา

    Vyema serikali kuu iingilie kati hao wanaustaarabu tofauti mno

  • @michaelpetershoo1885
    @michaelpetershoo1885 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hizi hoja hazina mashiko na zinahatarisha amani.Kama hutaki kitimoto husitumie.Hii ni biashara kama biashara nyingine.ikiwekwa kizuizi kny uuzaji wa nyama wafugaji pia wataathirika na mnyororo mzima wa kitimoto. 😮

    • @issaalfani1030
      @issaalfani1030 9 วันที่ผ่านมา

      Ndugu usitumie mihemko kuamua mambo ya yanayo wajumisha wachache nguruwe inaliwa na wachache katika wengi kwamaana ngo'mbe inaliwa na binadamu wote ila nguruwe hata wasabato tu hawatumii ndiomana hata kwenye kura za ndio wengi hua wana shinda inawezekana vipi nguruwe ikauzwa kila kona inatakiwa iwe na sehemu tengefu

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 10 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo kesi ilimalizwa na Rais Mwinyi , anae taka kula nguruwe ale anae taka kula ng'ombe ale, acha kutenganisha watu.

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe unaitwa Rashidi, una maslahi kiimani

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hata kina Banji hawali nyama ya ng'ombe

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 วันที่ผ่านมา

    Mbona bia tunakunywa pamoja?

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 วันที่ผ่านมา

    Sasa kwani Kuna shida gani???

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani ikiwekwa kabisa na msikitini jilani waumini wanaingiliana

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 8 วันที่ผ่านมา

    Huo mchanyiko batili usiwepo kabsa

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 9 วันที่ผ่านมา +1

    Angalia wanao hojiwa ni kina nani wameandaliwa

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 10 วันที่ผ่านมา +2

    Kila mmoja ashinde mechi zake..

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mji umekua amkeni jaman msilete mazoea

  • @DatiusExavely
    @DatiusExavely 8 วันที่ผ่านมา

    Mbona waislamu ndio wachinjaji Ngombe machinjioni.Watu hawalalamiki . Utasikia kila kona kanisa lakini bar zikiongezeka hawalalamiki huko sio Zanzibar mmewakuta wenyeji muwaache.Kama hamuwezi njo Dar na Dodoma mbeya hivyo ndivyo vivutio vya huko.Ilimradi sio mbwa na paka ambavyo Serikali yenyewe hairuhusu.

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 10 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wanakula chura sembuse ngurue tuachieni nyama yetu Hawo waislam wameambiwa wakiwa na njaa ya kufa wale kidogo wasife chezea kitimoto wee au muislam hafi mkristo ndio anakufa

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mbeya haina dini

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna ushamba sana huko

  • @XaveryBillings-w1t
    @XaveryBillings-w1t 8 วันที่ผ่านมา

    nachoshangaa wanaohojiwa ni wale wajukuu wa ,, au baasi

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 8 วันที่ผ่านมา

    Kama vp wahame watuachie jijiletu tuko uhuru unaenda kufanya Nini kwenye bucha ya nguruwe

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 10 วันที่ผ่านมา +1

    HUU NI UBAGUZI AINA FULANI, HEBU MABUCHA YA NG'OMBE NDO YAONDOLEWE HAPO, LA SIVYO MWISHO UTASIKIA MLA NG'OMBE NA MLA KITI MOTO MARUFUKU KUSALIMIANA. ACHENI KILA MMOJA AFURAHIE MAISHA KWANI NYAMA HAIUI MTU.

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 8 วันที่ผ่านมา

    Msituingilie kwenye uhuru wetu

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 10 วันที่ผ่านมา +2

    Kuna tatizo Gani hapo! Hao waisalam wanashida Gani?

  • @christopherlionga1265
    @christopherlionga1265 10 วันที่ผ่านมา +2

    Nyama ina shida gani jamani?

  • @jemsonmwampiki8075
    @jemsonmwampiki8075 8 วันที่ผ่านมา

    wewe una matatizo