NYUMBA YA MIL.1OO YAUZWA KWA KILO 38 ZA NYAMA, GWAJIMA ABEBA ZIGO LA KUMSAIDIA MZEE SANGA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 658

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 5 วันที่ผ่านมา +25

    Huyo muuza nyama ni muonevu amrudishie mzee wa watu nyumba yake
    Asante Askofu Gwajima Jasusi la mbinguni ,msaidie huyo mzee kaonewa

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 5 วันที่ผ่านมา +1

      ili swala nitamtafuna tu yeye na wengine waliousika maana haki ya mtu haipotei

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 4 วันที่ผ่านมา

      @@prophetjoelymairaministrie1778 kwanza watu wangap wanaalibikiwa vitu kutokana na kukatika umeme mbona hawapewagi fidia yoyote? Ni vip huyu Mzee akawafidie watu nyumba kwa hasara ya nyama?

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uyu jaama tapeli cz umamuombaje baba mwenye nyumba hati yake ukachukulia mkopo au unamwambia asain makalatasi ambayo ajuh yanausiana na nn yan mm ningepata dhambi ya kuuwa jaman mtu usijalibu kuja kwenye nyumba yangu anifanyie hvyo

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwanza hati walipat wap ata km mahaka so lazima muhusika atie sahihi ya makubaliano jamani bongo inanishinda

  • @leomwessa2156
    @leomwessa2156 5 วันที่ผ่านมา +21

    Kwanza kabisa huyu wa nyama na aliyenunua na hiyo mahakama na mahakimu wake wote ni MATAPERI , MH GWAJIMA WEKA NDANI WOTE HAO TUNAIOMBA SERIKALI YOTE NZIMA IMUSIMAMIE HUYU MZEE

    • @officialchicoh
      @officialchicoh 4 วันที่ผ่านมา +5

      upo sahihi mzee matapeli wote hao wawekwe ndani

    • @gaitanokamage7366
      @gaitanokamage7366 2 วันที่ผ่านมา +1

      Wote kabisaaaa

    • @sumaiyasengera9040
      @sumaiyasengera9040 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Uko saw jaman tusimame na mnyonge mwenzet tuombe mpaka haki itendeke kama serikal ni msumeno inakata huku na huku bas ikate hiyo shida ya huyo mzeee tujitahid tupost mpaka mama Samia aone wanainchi wake wanyonge wanavo nyongwa so haki wallah

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 5 วันที่ผ่านมา +8

    Huu msala unamfaa sana Zari na Gabriel wa Global TV . Ngoja waje uone kama haki haijatendeka.

    • @FilbertRobert-e4u
      @FilbertRobert-e4u 2 วันที่ผ่านมา

      Ntawapataje ndugu yangu nilihujumiwa shamba langu jamani 😢

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 5 วันที่ผ่านมา +8

    Shukran Mbunge wetu Askofu Gwajima kutusaidia sisi wanyonge wako tunavyo onewa wote wana roho mbaya tu Mungu atakulipa

  • @salimswedy6114
    @salimswedy6114 5 วันที่ผ่านมา +7

    Mzee nakufaham sana pole sana kwa matatizo mungu atakusaidia hilo litaisha tena bila shida

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 32 นาทีที่ผ่านมา

    Askofu wetu Mpendwa ubarikiwe Gwajima baba yetu Mungu alibaki kazi zote za Mikono yako Amina

  • @godfreymabula6858
    @godfreymabula6858 5 วันที่ผ่านมา +8

    😢😢😢 haki ya mtu huwa haipotei inaweza kuchelewa tu, Mungu atakusaidia.

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 5 วันที่ผ่านมา +13

    Huyu alie mfanyia hivyo huyo mzee Atalaaniwa milele tena ikiwezekana kidudu chake kipotee akose utamu miaka yote pumbavu zake pole sana mzee Mungu atasimama na wewe

    • @rqiyaabdallah840
      @rqiyaabdallah840 5 วันที่ผ่านมา

      media.tenor.com/8ST06-zWW9YAAAAM/dancing-so.gif

    • @Amanikizota
      @Amanikizota 5 วันที่ผ่านมา

      😅😅

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 4 วันที่ผ่านมา

      Ww unawaza dudu tuu

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 3 วันที่ผ่านมา

      @@samwelimoshi5614 au ndo wewe Hilo dudu lako lipotee

    • @PeterMwamwaja
      @PeterMwamwaja วันที่ผ่านมา

      Hahaha

  • @emmanuelsamwel741
    @emmanuelsamwel741 5 วันที่ผ่านมา +13

    Tunahitaji viongozi wenye moyo wa kuhurumia watu .. kama Bishop Gwajima 😢

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 5 วันที่ผ่านมา +16

    Mungu akuongoze Gwajima akupe nguvu na ujasiri ukaitetee haki ya baba huyu

  • @EmmanuelAngribert
    @EmmanuelAngribert 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mi ndio maana nawakubali makonda na lijua likali DC wa nkas Mungu awabariki sana

  • @sephaniangulo4035
    @sephaniangulo4035 5 วันที่ผ่านมา +5

    Daaahhhhh, haya maisha haya.....Mungu atusaidie

  • @Mariamu-ux1yt
    @Mariamu-ux1yt 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyew mungu umsimamie Gwajima asaidie ili jambo zuluma ipo wazi akimu muuza nyama kampun ya udalali ilio uza na alie nunua ote matapeli

  • @magrethyoseph3034
    @magrethyoseph3034 5 วันที่ผ่านมา +8

    Dunia hii ina mambo huo muuza nyama ni Jambazi na alitumwa na wenzake Majambanzi wenzake Pole Sana

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 5 วันที่ผ่านมา +5

    ALLAH TENDA HAKI,JASHO LA MTU LIREJESHE,NIMEJISKIA HURUMA SANA KWA MZEE WANGU,NYUMBA IUZWE NA JELA APELEKWE??ALLAH TUTETEE

  • @EmmanuelaMapunda-u1h
    @EmmanuelaMapunda-u1h 5 วันที่ผ่านมา +8

    Wow,Mungu akujalie afya njema ,uwe mtetezi wa wanyonge vile amekuchagua

  • @eliseeniyonkuru8173
    @eliseeniyonkuru8173 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Serekali icunge sana huyu muzehe wasije wakamuua kwabule please wamurundishiye nyumba yake thank you P s Gwanjima for your help 🙏

  • @Iam_info
    @Iam_info 5 วันที่ผ่านมา +3

    Eeh Mwenyezi Mungu ingilia Kati muonekanie baba huyu😭😭
    Mbunge Gwajima Mungu akutie nguvu ya kufanikisha hili

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 5 วันที่ผ่านมา +4

    Jmn na uzee huo watu huruma ilisha isha.yesu usiniache ili niendelee kuwa mshindi Amina

  • @FredrickSanga
    @FredrickSanga 4 วันที่ผ่านมา

    Askofu wangu, hapo panatia uchungu sana. Mungu akutie upako wa juu sana.

  • @rerisamba
    @rerisamba 5 วันที่ผ่านมา

    Askofu wetu tena ako kwa mfungo ❤❤❤ yani naelewa kabisa unapo tufunza wako mashetani katika uzao wa binadam for surely unapeleka mwenzako mahakamani kwa ajiliya nyama

    • @AllyBenta
      @AllyBenta 4 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ndio maana ya Money Speaking dhuluma Kila Kona huyo ni Mmoja wapo wengi waliodhulumiwa

  • @michaeljamesngunda5677
    @michaeljamesngunda5677 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika hakika juu ya hili mwenyezi mungu akichelewa kunilipa, nitabadili mlango mpaka kwa shetani, nakitakachotokea kuanzia mahakimu,polisi mpaka mhusika /mwenye nyama wangekuwa simulizi isiyosahaulika

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 5 วันที่ผ่านมา +17

    Mm hakuna mbwa yoyote anaye weza kulala kwenye nyumba yangu kipumbavu nanma hii na hakuna mbwa yoyote anaye weza kuuza nyumba yangu namna hii

    • @BushiriAlly-d7f
      @BushiriAlly-d7f 5 วันที่ผ่านมา

      Kwani kunambwa anaongea

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 5 วันที่ผ่านมา

      Imapoingia Serikali huwezi kushindana nayo

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 5 วันที่ผ่านมา

      @@saidsuleiman1753 kwan iliuza serikali au wahun?

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 5 วันที่ผ่านมา

      Mtu akishafanya ujinga wa namna hii sifa ya kuitwa mtu haipo tena

    • @omarymbaraj8072
      @omarymbaraj8072 5 วันที่ผ่านมา

      Ngoja ukutane na Jini Mahaba likubemende

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u 2 วันที่ผ่านมา

    Daaah! Askofu Gwajima ubarikiwe sana

  • @HENRYMATHIAS-h7e
    @HENRYMATHIAS-h7e 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mbunge Gwajima simamia baba Mungu atakufungulia lango linguine🙏

  • @Mariamu-ux1yt
    @Mariamu-ux1yt 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu asaidie mzee wa watu anapat tabu gwajima fany kitu mze e apat aki yake🎉

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 5 วันที่ผ่านมา +1

    God bless pastor and member of parliament Ngwajima to help this old man find his home

  • @beatricejames-ss9sx
    @beatricejames-ss9sx 4 วันที่ผ่านมา +1

    Duuu nimeshindwa kucomment coz watu wana roho mbaya sana

  • @Mickson-o6l
    @Mickson-o6l 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mhh hii mungu ameanza kujibu machozi ya mja wake soon yana enda kufutwa....

  • @monicaashery1
    @monicaashery1 2 วันที่ผ่านมา

    Wakati mwingine ni vizuri kujiweka kwenye shida ya mtu mwingine. Huyu muuza nyama kathamini kilo 38 za nyama kuliko utu wa mwenye nyumba wake na familia yake. Angejisikiaje yeye kama binadamu mwingine angemfanyia baba yake na mama yake waliomzaa yeye? Yote yatamrudia tu kwa kuwa Mungu hapendi ujinga na ni Mungu wa haki. Mungu akubariki ndugu yetu Sanga na kufungulie zaidi ya million 100 uliyogharimia nyumba yako. Mda unakuja uatafanikiwa kupata haki yako.

  • @MohamedFadhil-m7r
    @MohamedFadhil-m7r 4 วันที่ผ่านมา

    Dah pole sana mzee binaadam wabaya sana huyu kijana ana Tamaa anaonesha

  • @davidjohn8908
    @davidjohn8908 4 วันที่ผ่านมา

    Hyo hakimu Mungu angemhamishia kuzimu tu, AFE HARAKA

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko 3 วันที่ผ่านมา +2

    Uyo muuza bucha kazingua sana alikua anataka kujipatia pesa kwa njia sio sahii na apo ametumia pesa nyingi sana mbak kuuza nyumb ya watu bila woga wowote na ww mpangaji utalekebisha vp nyumba ambayo sio yako muuza bucha anatakiwa ahukumiwe miaka chungu nzima ili iwe fundisho kwa wapangaji wanaotaja kulekebisha nyumba ambayo ata bei ya kiwanja awaijui

    • @MgonjaFide
      @MgonjaFide วันที่ผ่านมา

      Kwanza na libucha lake siange funga mita yake mzee sio tanesco kubababeki kuna mashetqni watu huku duniani

  • @monicamaganga8681
    @monicamaganga8681 5 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa kweli Mungu yupo haki yako utapata yaani huyo kijana mwenyebucha mjeuli chek anavyomuita mheshimiwa mbunge kwa zarau achukuliwe hatua huyo mwenyebucha hana hata haya

  • @gerowadamwandika669
    @gerowadamwandika669 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo muuza nyama ni jambazi kama majambazi wengine ashughulikiwe pamoja na hiyo mahakama iliyotoa amri ya kuuzwa nyumba hiyo. Jamani watu kama hao wako wengi lakini mungu ni mwema dhuluma zao zipo ukingoni. Haki ya mtu haipotei sana sana inachelewa tu.🙏

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Askofu gwajima msaidiye na wewe Mw.mungu atakusaidiya

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana Baba gwajima

  • @bishopangetilemwalyombo8168
    @bishopangetilemwalyombo8168 วันที่ผ่านมา

    Pole Sana mzee amakweli dunia inawatu wa hovyo sana

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 5 วันที่ผ่านมา

    Inatusha umeme na mwenye Nyumba vina uhusiano gani. Mahakama Mahakama Mungu anajua. Mungu ingilia kati mja wako vitu vyote vitaisha nimejikuta nalia kweli tumefika huko. Mungu tusaidie

  • @MwinyiCamavinga
    @MwinyiCamavinga 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaah msaidien uyu mzee jmn apewe nyumba yake

  • @Mariamu-ux1yt
    @Mariamu-ux1yt 4 วันที่ผ่านมา

    Mwenyez mungu tunakuomba msimamie mh Gwajima asaidie ilo jambo mana zuluma ipo wazi

  • @shabanisaidi2490
    @shabanisaidi2490 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hii dunia ukiwa hauna pesa unazaraulika sana pole sana mzee wangu😭😭😭

  • @GodfreyBod-z2l
    @GodfreyBod-z2l วันที่ผ่านมา

    😮It has hurt me so much, I pray that this old man will get his justice

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 5 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana mzee mungu akusaidie

  • @officialslogantz4181
    @officialslogantz4181 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hizi mahakama zetu hizi zina mapungufu makubwa sana. Jaji mkuu hebu fanya kitu taasisi yako ya kusimamia haki inaonea watu kwa asilimia kubwa sana.

  • @JophasJohn-oh8zu
    @JophasJohn-oh8zu 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapa ndo mtu anakula mshale kesi baadaye kubabake yaani watu wanauza nyumba ya mtu sababu ya nyama mshindwe kabisa😢😢😢imeniuma sana hii

  • @NelbatKasekwa
    @NelbatKasekwa 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubaliki kwa moyo wa upendo mweshimiwa

  • @NeemaEvans-d5v
    @NeemaEvans-d5v 2 วันที่ผ่านมา

    Safi sana baba Mungu akutunze 🙏

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba 5 วันที่ผ่านมา +10

    Kwahiyo umeme ukikatika ni kosa la mwenyenyumba😢😢 jamani

    • @swalehaltooq5233
      @swalehaltooq5233 5 วันที่ผ่านมา

      Ujinga ujinga tu serekali ipo ipo tu

    • @RidhiwaniMrisho
      @RidhiwaniMrisho 5 วันที่ผ่านมา +1

      Alikatiwa na mwenye nyumba alikuwa anadaiwa ela ya umeme

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@RidhiwaniMrishohaiwezi kuwa sababu ya kuuza nyumba ya mtu tena ukizingatia yy ndo sababu ya kukosa umeme maana halipii

    • @mohamedisimai
      @mohamedisimai 5 วันที่ผ่านมา

      Hapo kwa jela hapana yaani amelipa nyama kisha nyumba hana na jela hapana muuza nyama awajibike kwa hali zote

    • @RidhiwaniMrisho
      @RidhiwaniMrisho 5 วันที่ผ่านมา

      @fettiemaganza1484 ni kweli

  • @AdamNdaki-n6q
    @AdamNdaki-n6q 5 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wa hovyo sana hasa sisi wapangaji kwan kma umem kukatka si angenunua umeme alaf aje aombe jinsi ya kufidiana dah asee mzee wa watu alipambana kujenga leo nyumba iuzwe 8m

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nimejjikuta nalia jamani babu Pole sana utapata hakiyako😢

  • @Kim-xr1yw
    @Kim-xr1yw 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubarikiwe baba gwajima

  • @NeemaGumbo-k5n
    @NeemaGumbo-k5n วันที่ผ่านมา

    Mungu akusimamieee

  • @fatmacharles369
    @fatmacharles369 3 วันที่ผ่านมา +1

    Yoyote aliehusika na utapeli huu alaaniwe na MUNGU KUANZIA NYWELE ZAKE MKAPA NYAYO ZAKE😢😢

  • @rahimkatwe89
    @rahimkatwe89 3 วันที่ผ่านมา

    Mwenye nyumba kawa tanesco au mimi sijaelewa alafu nimejaribu kuchunguza mahakama huwa waendesha mahakama hata ukifatria wanavyo staff hawadumu wanakuja kuugua .laana zuruma

    • @fatmacharles369
      @fatmacharles369 3 วันที่ผ่านมา

      Ndio mana watu wengi wakistaafu wanapata matatizo makubwa sana kutokana na manung'uniko ya watu

  • @bongo39
    @bongo39 5 วันที่ผ่านมา +19

    Huyo jamaa wa butcher anaonekana ana roho mbaya sana

    • @teddyhenry2579
      @teddyhenry2579 5 วันที่ผ่านมา

      Huyu atakuwa mchawi

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awatangulie na haki ipatikane🤲

  • @MichaelMahizi-r2d
    @MichaelMahizi-r2d 5 วันที่ผ่านมา +2

    Kuna watu wananyanyasika sana tz kesi ianze upya mzee apate haki yake gwajima simamia utabarikiwa zaidi

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akupe moyo wakusadia mubunge wetu na asikofu wetu mutate uyu muzee apate aki yake

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 5 วันที่ผ่านมา

      Hataiweza hii kesi. Kashaiogopa. Ataishia kumpa mzee pesa kidogo.

  • @msanzyahamisstv6184
    @msanzyahamisstv6184 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polis na mahakama mnafanya kazi nzuri na hamraumiwi jitaidini kusimamia haki penye haki na pasipo na haki simamieni vizuri? Sisi masikini hatuna wa kumtegemea zaidi ya mungu hapa duniani na nyinyi mliopewa jukumu la kutetea haki hakikisheni mnatetea haki kweli maisha yanabadilika ubaya ubwela

  • @josephsarimbo2049
    @josephsarimbo2049 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duh! Inasikitisha sana. Kikubwa haki ya mtu haipotei

  • @DottoMabula-z3h
    @DottoMabula-z3h 55 นาทีที่ผ่านมา

    Daah maisha haya

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 5 วันที่ผ่านมา

    Naukae mbali na watu.wabaya maana wasiojulikana wasije.kukupoteza Allah akusimamie kwakweri inaumiza dhulma imejaa tz kwenye maki mpaka roho za binaadam inasikitisha sana. Maisha ya dunianitu ya mudamfupi mnamuonea.mtu.kweri.Allah yupo atawalipa.waxurumaji woote🤲

  • @sizamazongera5610
    @sizamazongera5610 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu uwa pamoja na alieonewa mungu atawalipa

  • @Eric_Hackz
    @Eric_Hackz 4 วันที่ผ่านมา

    YESUUUUU,YESUUUU,YESUUUUU UONEKANE KTK HILI BWANA.MAMA SAMIA MAMA YANGU NAKUOMBA UMSAIDIE HUYU BABA.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 วันที่ผ่านมา

    Mahakama za watu waajabu sana,watu wamekosa utu!!! Ila kama unatoka gerezani unasukuma kombora aliyenunua na muuzaji wote hamna abakiaje

  • @mugapro
    @mugapro 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani Mzeee haupajui Sumbawanga, au Bariadi kuna sehemu panaitwa Gamboshi, Mtu atajuta yeye na vizazi vyake,

    • @NoorNOOR-l7h7g
      @NoorNOOR-l7h7g 4 วันที่ผ่านมา

      😆😆😆😆 nipenamba nami ninamatatizo

    • @zahranomary8953
      @zahranomary8953 2 วันที่ผ่านมา +1

      Sumbawanga mbali sana shughuli inaishia Bwawani kama unakwenda Mikese

    • @JophasJohn-oh8zu
      @JophasJohn-oh8zu 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Naomba number zako kisha tutaongea vizuri

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamaa anakiburi sana

  • @ChikondiMadaliso
    @ChikondiMadaliso 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu atutete sana uwongo siyo mzuri vijana ni wahuni

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 5 วันที่ผ่านมา

    Jamani jamani unyanya saji mpaka sasa jamani
    Watu tena awamuhogopi Mungu tena ❤

  • @issapagali1330
    @issapagali1330 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo muuza nyama achunguzwe uraia wake. Sisi wa-Tanzania hatupo hivyo.😮😮😢😢😢😢. Roho take mbaya Kama Sura lake lilivyo BAYAAA. Arudishe nyumba ya Mzee😢. PAMBAF WAHED.

  • @halimaamini8015
    @halimaamini8015 5 วันที่ผ่านมา

    Nimeumia sana aisee 😢😢😢😢hii nchi hii daaah

  • @msuntimsunti4481
    @msuntimsunti4481 2 วันที่ผ่านมา

    Dunia ina mambo hii, mungu atusaidie jamani hata kama mahakama imeamua hii ni dhulma kabisa, ila mwenyezi mungu ndio hakimu wa kweli. Inshaallah!!

  • @Samwelianaseti
    @Samwelianaseti 5 วันที่ผ่านมา +2

    Dah ki ukweli inahimiza sana isikie kwa watu ki ukweli inahumiza sana tutafute pesa kwa namna yoyote ile mana naona pesa kwa APA duniani inatupeleka pabaya sana saha

  • @TumainiMallya-x5x
    @TumainiMallya-x5x 5 วันที่ผ่านมา +1

    Haiko sawa serekali inawatu waonevu sana kiongozi askari tunawaamini lakini wanatumika kunyang'anya watu haki zao siyo sawa kabisa mmewekwa kusimamia haki ya mnyonge machozi hayo yatawarudia wanaohusika kumbuka MUNGU yupo

  • @IflahIssa
    @IflahIssa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani uyo jamaa hata nirudishiwe nyumba yangu hehe hehe awo Vijana wa mzee wamepoa sana jamaa anaongea kisenge sana

  • @SaidMahimbo
    @SaidMahimbo วันที่ผ่านมา

    Mungu msaidie

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki mweshimiwa Mbunge Gwajima huyo mpangaji hana uungwana amepangishwa halafu analeta maneno wapangaji ni shida sana

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mahaka za bongo hazina tofauti na machinjio

  • @LamaribamJumbe
    @LamaribamJumbe 5 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo Costa Jambazi Kama Majambazi Wengine na Roho Mbaya na Ushilikina Umemjaa Nyambavu Zake

  • @Ambwene
    @Ambwene 5 วันที่ผ่านมา +4

    Rushwa mbayA Sana aisee

  • @JohnMalina-k7o
    @JohnMalina-k7o 5 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu akulinde Mbunge Gwajima

  • @IssaKaduma-q6j
    @IssaKaduma-q6j 5 วันที่ผ่านมา +1

    😮Gwajima mungu akubariki 🎉sanaaa tu maneno yako huwa ni ya dhahabu

  • @KulwaMohammed-d1v
    @KulwaMohammed-d1v 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu akuongezee zaidi ya hicho

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 3 วันที่ผ่านมา

    Hyu mpangaji ni tapeli sana kapitia udhaifu wa mzee

  • @ShakiraSeif
    @ShakiraSeif วันที่ผ่านมา

    Naomba mkuu wa mkoa wetu aingiliye kati kwa sababu mkuu wetu anabusara sana

  • @MirajiKipingu
    @MirajiKipingu 5 วันที่ผ่านมา

    Nimeumia sana yani huyumuza nyama mungu naomba akupe azabu yahapa duniani

  • @ShabanKatagila-gy8tk
    @ShabanKatagila-gy8tk 5 วันที่ผ่านมา +3

    daa inauma sana jamani

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 5 วันที่ผ่านมา

    Allah atupe hki yko mzee wg

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hii dhulma ya wazi kabisaa.watu hawaogopi mungu

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 5 วันที่ผ่านมา

    Dah 😭😭😭 hii Dunia bana cjui kama zuruma itakuja kuisha!!dah😭😭😭

  • @mpajiramadhan3507
    @mpajiramadhan3507 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Gwajimaa hilo lako unaliwezaaaa mkuu

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 5 วันที่ผ่านมา

    SubhanaAllah dhambi jamani

  • @benomdaile7081
    @benomdaile7081 5 วันที่ผ่านมา +5

    Huyo jamaa ana jeuri sana cheki anavyo mjibu mbunge kidharau uwompango umepangwa walio usika wote wafatiliwe dhuruma ya wazi kabisaa gwajima Mungu akusimamie kwa ili haki ipatikane.

    • @salummsangi4645
      @salummsangi4645 5 วันที่ผ่านมา +2

      Hilo lenye Bucha lina kiburi na linaonekana ndilo lililouza

    • @benomdaile7081
      @benomdaile7081 5 วันที่ผ่านมา

      @@salummsangi4645 kabisaa alafu ana jiamini sana hajui sheria msumeno lita mgeukia ata juta.

    • @brysonbryte3717
      @brysonbryte3717 5 วันที่ผ่านมา

      Tatizo mbunge mwenyewe nae km muogaoga.

  • @DavidMasawe-l9w
    @DavidMasawe-l9w ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Da inauma san mahakim mahakam

  • @bongo39
    @bongo39 5 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa mahakimu mawakili wanatutesa na kutuonea sana sie wanyonge

  • @BabeNoera
    @BabeNoera 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nimelia sana

  • @bensongodfrey
    @bensongodfrey 5 วันที่ผ่านมา

    Pole san baba haki yako itapata

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara 5 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana baba

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 5 วันที่ผ่านมา +3

    Pole sana Mze na familia nzia ila Mungu atakusaidia hakinitapatikan 😭😭😭🙏