🅻🅸🆅🅴 : WAFUASI WA MBOWE NA LISU WANYUKANA VIKALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 238

  • @mikachristopher8240
    @mikachristopher8240 วันที่ผ่านมา +4

    Gwamaka Mungu akubariki

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya วันที่ผ่านมา +5

    Gwamaka uko vizuri,unajibu vizuri na umetulia

  • @Hence2008
    @Hence2008 วันที่ผ่านมา +9

    Gwamaka for President

  • @OnesmoRichard-n5r
    @OnesmoRichard-n5r วันที่ผ่านมา +2

    Huyuu brother aliyevaa gwanda aisee ana hoja Sana
    Kudos broo🙌

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 วันที่ผ่านมา +26

    Mimi nilikuwa nafikiri yeriko ni mtu mwenye akili ,kumbe ni kichwa maji.

    • @mathewilomo8345
      @mathewilomo8345 วันที่ผ่านมา

      Tikiti maji

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา

      Yaan mtupu kama debe tupu

    • @gilbertmtoshu-gm7bt
      @gilbertmtoshu-gm7bt วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅😅😅

    • @JosephKalegea
      @JosephKalegea วันที่ผ่านมา

      Yriko umechemsha kwanikatiba yenu inakataza viongozi wadini

    • @JosephKalegea
      @JosephKalegea วันที่ผ่านมา

      Hioni busaraya tundurisu to
      a hoja chadema sio utemi

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu วันที่ผ่านมา +4

    Waanangu na wadogo zangu Lyenda na Gwamaka mko vizuri sana. Hamna dalili ya uchawa hata kidogo, hongereni saana.

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา

      👏👏👏👏na wana akili wanajadili kwa hoja

  • @Respect2087_
    @Respect2087_ 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hakuna Gwamaka wala Yericko, takriban hoja zilizojengwa kwa wote hazitokani na kujenga taasisi imara, zaidi wote wanapiga debe. Wanawazungumzia watu na wkt huu wa sasa kwny machaguo yao. Chama cha Chadema kiukweli hakihutaji haya ya sasa, unadhani wakimaliza uchaguzi watabaki salama hawa???? Uenyekiti sio harakati wala mtu aliekaa sana, ni lazima waende mbali kuangalia kwann Lissu ama Mbowe! Hamna kitu hawa wala chama sio cha kutegemea kwa sasa. Maslahi na mihemko tu.

  • @makoyethomas5012
    @makoyethomas5012 วันที่ผ่านมา +13

    Lyenda na Gwamaka mpo vzr mmepevuka kisiasa.

  • @vipikidude
    @vipikidude วันที่ผ่านมา +10

    Yericko Ni mweupe kama barafu Ni Bora akauze Magazeti yake mtaani, Ntobi Ni mzimu na kichekesho ndani ya chama Hana hoja zaidi ya vijembe na personal attacks

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา +2

      Yaan Yericko kajiaibisha sana na huyo Ntobi ndio kiazi kibovu kabisa

  • @PaulKiwese
    @PaulKiwese วันที่ผ่านมา +5

    Timu mbowe mawazo na fikra zao nikulinda matumbo yao lkn ukiwasikiliza timu lisu wanazungumzia taasisi

  • @michaelshegwando9125
    @michaelshegwando9125 วันที่ผ่านมา +4

    Kiukweli naipenda sana CHADEMA na sijawahi kuichukia hata siku moja ila kwa staili hii ya hawa Tim MBOWE mh!!. Tumuachie mungu tu chadema inakwenda kufa kwa kishindo kikubwa sana...!. Kama hakuna chama mbadala bora nirudi CCM tu.

  • @philimonkajigili-hx6ph
    @philimonkajigili-hx6ph วันที่ผ่านมา +2

    Odemba uko vizuri sana,ungeweza kuwaweka mdaaro hao watia nia ya uenyekiti ungetukonga sana watz

  • @kevinmkony9310
    @kevinmkony9310 วันที่ผ่านมา +23

    😂😂ila kweli Mbowe muda wake umeisha bahati mbaya sana anaondoka kwa aibu! Kama hawa ndo watu wake, wanamvua nguo hasa!

  • @AnoldMwambinga-kn1fi
    @AnoldMwambinga-kn1fi วันที่ผ่านมา +5

    Kilichonisikitisha timu mbowe wanawabagua wenzao hapohapo kuwa nyie siyo wapiga kula siyo vizuri

  • @emmanuelmwangwa825
    @emmanuelmwangwa825 วันที่ผ่านมา +12

    Yaani kweli mwenyekiti anapeleka Ntobi kweli nimeamini sikio la kufa halisikii dawa

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂yaan vilaza tupu ndo wanamtetea

    • @shivoly8098
      @shivoly8098 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 wanasema wanataka utamu wa mwenyekiti

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya วันที่ผ่านมา +1

    Big up Gwamaka huna jasba unajibu kwa data na utulivu ,unafaa kua kiongozi

  • @henrynjovu9147
    @henrynjovu9147 วันที่ผ่านมา +1

    Nyerere Unafedhehesha Tai.

  • @shivoly8098
    @shivoly8098 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli mwenyekiti mvumiliva,anamvumilia Ntobi kweli😂😂😂

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 วันที่ผ่านมา +7

    Hao wanao muunga mkono Mbowe Wana hoja dhaifu sana ,uwezo wao wa kufikiri mdogo sana,hawajustshiri hata kuwa viongozi.

  • @mwl.michaelsainethmlowe2641
    @mwl.michaelsainethmlowe2641 วันที่ผ่านมา +6

    Mpaka hapo debate hii tundu lisu wapambe wamewin wapo vizuri kwa kujibu hoja upande wa Mbowe ni wahuni wasio na hoja kabisa wanashindwa kujitetea kabisa kama vile wapo form one A na sio wasomi!

  • @MrMichaelHbog
    @MrMichaelHbog วันที่ผ่านมา +22

    Yaan wewe unaumizwa af unasema unataka busara. Wanachi tunataka kiongozi mwenye msimamo naye ni LISU

    • @agnettakamugisha4984
      @agnettakamugisha4984 วันที่ผ่านมา +1

      Mbona Lissu alikubali Lowassa kuwa mgombea urais Ukawa wakati alikuwa kwenye list of shame ya rushwa? Lissu hakusema chochote. Huo ni msimamo gani? Lissu anakiu ya madaraka. Hafai kuwa rais.

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa. Waache wawe wagumu kama Farao kisha wasubiri mkono wa BWANA. Wao si wanasemaga kuwa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu, sasa watamuona Mungu akiongea

  • @ciciandjojo7701
    @ciciandjojo7701 วันที่ผ่านมา +7

    Mnakuwa wapambe nuksi mpk mnasema chama kimeanza 2019! Muwe washauri wema na wenye hski kama mnavyo aminisha umma. Hongera Gwamaka na mwenzake kwa hekima zenu.

  • @callmelwizz553
    @callmelwizz553 วันที่ผ่านมา +4

    Hawa jamaa wa Lissu wana hoja heavy

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 วันที่ผ่านมา +1

    Team Mbowe hawana hoja! zaidi uchawa na kutetea matumbo yao tu!

  • @edwinayieko9517
    @edwinayieko9517 วันที่ผ่านมา +2

    Yaaani kimeanzishwa 2019 ila mwenyekiyi ana miaka 20 na chama kina umri wa miaka 30. Huyu ndio Ntombi sasa😂😂😂😂

  • @salminmayla
    @salminmayla วันที่ผ่านมา +1

    Ntobi na yeriko Nyerere ni mashushu wa ccm

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu kweli Nyerere akili anaakili izotuzo anazipataje😅😅😅

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 วันที่ผ่านมา +6

    Yaani Yeriko ameshuka akili mpaka kiwango cha Steve Nyerere. Kweli Lissu katuonyesha ujinga wa watu wengi.

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 วันที่ผ่านมา +2

      Hastahili kutumia hata jina la Nyerere maana Nyerere alikiwa kiongozi mwenye Akili kubwa sana,na huyo Jericho ana uwezo mdogo sana kiakili

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา +1

      Kajitia aibu sana ni boea angekaa pembeni kulinda brand yake kuliko alivyojidharaulisha sasa

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 วันที่ผ่านมา +3

    yaani hawa wa mbow. mm cwaelew mar wayakatae waliyosem mar wayakubali , washa changanykiw😂😂

  • @noelthomas619
    @noelthomas619 วันที่ผ่านมา +20

    Team mbowe hawana hoja za mashiko..

  • @michaelshegwando9125
    @michaelshegwando9125 วันที่ผ่านมา +11

    Mm akili sina lakini naona kabisa wapambe wa LISU wako vizuri kuliko wapambe wa MBOWE.

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา +2

      Team ya Mbowe hawana hoja kama mwenyekiti wao

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje วันที่ผ่านมา +2

    Mnajvunia kupiga kula ila kumbuken kuwa lisu ndo Kila litu njaa zenu izo kwa uyo mbowe pidid ✌️

  • @WinnesRabieth
    @WinnesRabieth วันที่ผ่านมา +1

    Badala ya kusimamia na kutetea uwezo wa kupambaniua sera chama na jinsi wagombea walivyo na uwezo wa kusimamia chama, midume mizima inaongea mipasho? Mh.Mbowe anapiganiwa na watu wenye hoja dhaifu sana. 😢😢😢😢😢

  • @osoyarabuor4920
    @osoyarabuor4920 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni wote mmenyukana vizuri sana

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 วันที่ผ่านมา +3

    Huyo jamaa aliyevaa gwanda la kaki ana akili kubwa sn

  • @benedictomabula7577
    @benedictomabula7577 วันที่ผ่านมา +3

    Katika mdahalo wako huu Chief Edwin Odemba, natoa maoni yangu washiriki wako walivyoofanya vizuri kuanzia namba 1 mpaka 4 kama ifuatavyo:- Scoring
    1) Gwamaka. ( 50%)
    2) Lienda. (30%)
    3) Yerrico Nyerere. (15%)
    4) Emmanuel Ntobi (5%)

  • @jobbybobby6902
    @jobbybobby6902 วันที่ผ่านมา +7

    Hawa chawa wa Mbowe hamna kitu...Yericko zero na huyu Ntobi ni mzigo dah

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา

      Tena mzigo mzito😂😂😂😂

  • @onesmoherman6832
    @onesmoherman6832 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona Team Mbowe wanaongea kwa kiburi sana na kejeli

  • @mikachristopher8240
    @mikachristopher8240 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yeriko Nyerere umeonesha uwezo mdogo sana

  • @KikokoBenson
    @KikokoBenson 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Team lisu muko vizuri

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 วันที่ผ่านมา +1

    Madish yapo mengi chadema .. naona Odemba anaongea na Mizimu😂😂😂

  • @ceomomtz
    @ceomomtz วันที่ผ่านมา +1

    Huyo kasema chama kimezaliwa 2019. 😂😂😂

  • @benedictomabula7577
    @benedictomabula7577 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa vijana wa Chadema wanatakiwa wajengewe Chuo cha Uongozi kwa ajili ya kupikwa naona Kuna mapungufu makubwa zana. Ila kwa namna mdahalo unavyoenda Kuna jambo la kujifunza sana. Chief Odemba midahalo hii ni muhimu sana. Endelea kuiweka live kwa maslahi ya Watanzania

  • @johnallute7543
    @johnallute7543 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Big up to Lyenda and Gwamaka.

  • @emmanuelmwangwa825
    @emmanuelmwangwa825 วันที่ผ่านมา +11

    Smart Gwamaka

    • @gdafa766
      @gdafa766 วันที่ผ่านมา

      Gwamaka

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา

      Gwamaka anaakili sana sikuwa namjua ila ni kichwa mno mno mno

  • @lucasturuka8385
    @lucasturuka8385 วันที่ผ่านมา +2

    Ccm itatawala milele kama akili zenu ndo hizi vijana wa Chadema yaan leo mnakili maneno ya Ndugai kuwa Lissu alikuwa anazurula Ubeligiji 😂😂 kwamba hata Mh Rais alipoonana Lissu akamwomba amtoe gerezani Mbowe hakufanya chochote yaani hata nyie hamwezi kumridhi Mbowe 😂😂😂😂, Ccm hoyeeeeee. Kama Lissu kavunja katiba ya Chadema mfukuzeni chama kama mlivyoofanya kwa wengine.

  • @PeterLaizer-hj3cy
    @PeterLaizer-hj3cy วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi Yuko vizuri sana kufatilia

  • @mathewilomo8345
    @mathewilomo8345 วันที่ผ่านมา +3

    Huyo Nyerere ndo mwandishi wa vitabu?

  • @josejesca3438
    @josejesca3438 วันที่ผ่านมา +11

    Hao jamaa wa upande wa Lisu wapo very smart...jamaa wa Mbowe wamefunikwa na chuki

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 วันที่ผ่านมา

      Kabisa aiaee

    • @shivoly8098
      @shivoly8098 วันที่ผ่านมา

      Wanafanya ubaguzi wazi wazi kabisaaa

  • @omarykidendey1125
    @omarykidendey1125 วันที่ผ่านมา +2

    Lisu oyeee

  • @maulidathuman1779
    @maulidathuman1779 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe chadema imeanzishwa 2019

  • @josejesca3438
    @josejesca3438 วันที่ผ่านมา +5

    Hawa jamaa wa mbowe ni aidha wamekula rushwa au washajua wataiba kura....yaani wana uhakika upi kuwa Tundu hawezi shinda

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 วันที่ผ่านมา +3

    Uyu ntobi 😅😅😅 kweli ni kibala ila mbowe umebugi kumuweka uyu akupigie kampeni

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu วันที่ผ่านมา +1

    Zito Kabwe, Chacha Wangwe, Cessil Mwambe ,Fredrich Sumaye na sasa Tundu Lissu kugusa tu form ya uenyekiti taifa shida inaanza kuna nini katika chama cha Chadema?

  • @muhsinyusuph6456
    @muhsinyusuph6456 วันที่ผ่านมา +1

    Hao waliopo hapo na wanasema ndio wapiga kura ni hasara tupu.kumbe hata wasiopiga kura hawachukui maoni yao.watu Wanamtaka Lisu.

  • @celestinekimaro8996
    @celestinekimaro8996 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu hana tofauti na mwendazake.Tunashaka na intelligence yake kwenye masuala ya kisiasa

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo วันที่ผ่านมา +1

    Nyerere unazaririsha iyo tai uliyoivaa

  • @jonathankizindo2817
    @jonathankizindo2817 วันที่ผ่านมา +7

    Huyu yerico kumbe mweupe hivi

    • @7stianPius
      @7stianPius วันที่ผ่านมา +1

      yerico kichwa pumbu kabisa,sijajua kwann odemba kamualika

    • @KilongeHenry
      @KilongeHenry วันที่ผ่านมา +1

      wewe myalu huna hoja ndenda kavune miti

    • @jobbybobby6902
      @jobbybobby6902 วันที่ผ่านมา +1

      Hana akili chuki tu hana tofauti na ignorant Ntobi

  • @ciciandjojo7701
    @ciciandjojo7701 วันที่ผ่านมา +3

    Chawa wa mbowe mnamaneno machafu lkn 😢

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi วันที่ผ่านมา +2

    Mbowe kwisha

  • @ancientkritus9142
    @ancientkritus9142 วันที่ผ่านมา +1

    Gwamaka yupo smart sana.

  • @CharlsMlaki
    @CharlsMlaki วันที่ผ่านมา +1

    Hawa wafuasi wa mboye hawana hoja za msngi

  • @sheilah2018
    @sheilah2018 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Gwamaka ndo nimemuona Leo duh jamaa ana akili sana yaani ni Rasimali mzuri sana kwa nchi yetu

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa kweli kama Chadema wakimtoa mbowe kwa staili mbovu na kutokuelewan,basi nina uhakika Lisu atapata shida mno kukimuda hiki chama kwa sababu ya aina ya uongozi wa Lisu usioweza kubadilika hata kama mazingira yanaweza kuwa yamebadilika

    • @alexmilinga
      @alexmilinga วันที่ผ่านมา

      😅

    • @alexmilinga
      @alexmilinga วันที่ผ่านมา

      Nnonono 52:12 no 52:17 no no 52:41 be

  • @JoachimKigahe
    @JoachimKigahe วันที่ผ่านมา +1

    Chadema kumbe imeanzishwa 2019 na m toka mtoto nakisikiaga kipo2

  • @vipikidude
    @vipikidude วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyekiti CDM mkoa wa Shinyanga Ni Sawa na shati lililotundikwa golini...hamna MTU mle 1:12:18

  • @yoyotv1675
    @yoyotv1675 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu naona ndo mwenye Chadema ya Maono

  • @jobbybobby6902
    @jobbybobby6902 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu's guys are very smart and competent these Mbowe's guys are just haters...omg uneducated and hatred for Lisu.

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 วันที่ผ่านมา +2

    Yeriko chawa.

  • @erickmgaya3914
    @erickmgaya3914 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa wa upande wa lisu niwatu makini sana lakini upande wa mbowe wanauchawa mwingi

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 วันที่ผ่านมา +1

    Tim lisu mko vizr

  • @nabugobafakhruddin794
    @nabugobafakhruddin794 วันที่ผ่านมา +2

    Chadema imeanzishwa 2019 alfu ina miaka 30 😅😅😅😅

  • @msofegobless8596
    @msofegobless8596 วันที่ผ่านมา +3

    Kwahiyo chadema ilianzishwa 2019? Sawa ngoja tunywe mtori tuzikute nyama chini

  • @shafii93
    @shafii93 วันที่ผ่านมา +1

    Chama kilianzishwa 2019. Mbona anajichanganya ntobi

    • @mrg9524
      @mrg9524 วันที่ผ่านมา

      Ata me nimeskia hivo mkuu😀

  • @mathewilomo8345
    @mathewilomo8345 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi Shinyanga ilikuwaje mkawa na mwenyekiti kama huyo kiazi??? Ni aibu sana

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h วันที่ผ่านมา +2

    Yeliko kawa mpumbavu hivi jamani du

  • @mwamibukulu7745
    @mwamibukulu7745 วันที่ผ่านมา +2

    chadema kushika nchi bado

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly วันที่ผ่านมา +1

    Chawaaaaaa ni hatari sana yaani mijitu anamtolea macho mbowe ili atawale milele kwer hatar

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 วันที่ผ่านมา +1

    Aise kweli Mbowe kaamuwe azeheke na chama chake.

  • @MussaGodfrey-s7k
    @MussaGodfrey-s7k วันที่ผ่านมา +2

    Ukiona watu wanajadili kwa kutoa povu ujue kuna mahala wanaahadi sehemu km hawa wakina eriko niwakutizama mara mbilmbil

  • @hamilcweed5432
    @hamilcweed5432 วันที่ผ่านมา +1

    Kimsingi watu wa mbowe wanaliogopa debe na ndio maana wanatamani lissu akatwe mapema kwa hoja zisizo na mashiko.

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 วันที่ผ่านมา +1

    Wanasema watu wenye vipara wana akili lakini hicho cha Ntobi ni cha kubeba mizigo.

  • @JosephFrank-zp3ft
    @JosephFrank-zp3ft วันที่ผ่านมา +1

    Mi jinsi ninavyoona ukilinganisha na mjadala naona tumpe lisu atuvushe

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mhehe wa mufindi Yericko nyerere ni takataka kabisa

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 วันที่ผ่านมา

    Yeriko Nyerere kibaraka na chawa wa Mbowe! Huna hoja upo tu kuteteaTumbo lako kwa mgongo wa Mbowe.

  • @MussaGodfrey-s7k
    @MussaGodfrey-s7k วันที่ผ่านมา +3

    Acha kudangaya umma unamanisha kilikufa ww usituletee ubishi wa dar huku watu tunauza kuku kufanikisha mikutano ya wilaya nyie huku mnatumiana nauli za ndege kuhudhuria kikao

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo วันที่ผ่านมา +1

    Odemba tunaomba Uandae mjadara wa lissu na mbowe

  • @benedictomabula7577
    @benedictomabula7577 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza Chief Odemba( moderator) na Mtangazaji nguli kwa kuendesha mdahalo huu, pia tunawapongeza washiriki kwa ushiriki wao mzuri kupambana kwa hoja kwa ajili ya ukuzaji wa Demokrasia ndani ya Chama Chao.

  • @MchangilaBakari
    @MchangilaBakari วันที่ผ่านมา +1

    Hawa watetezi wa Mbowe wanatia aibu sana

  • @muhsinyusuph6456
    @muhsinyusuph6456 วันที่ผ่านมา +1

    Hao Wazee wanakwepa maswali.hamna hoja

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 วันที่ผ่านมา +2

    hajatukanwa anaambiwa apunzike ! Acheni uchochezi ...

  • @serafineslaa1082
    @serafineslaa1082 วันที่ผ่านมา

    Mbowe ukishinda nafasi ya M/Kiti. chadema itabaki na machawa tu. Hamuwezi kuwashawishi wananchi kujiunga na chama.

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 วันที่ผ่านมา +1

    Naamini Kuna watu wanamwambia lipumba Bado unatosha endelea ndio akina ntobi na yerico.mkipitisha mbowe jiandaeni kumfuata lipumba alipo

  • @MussaGodfrey-s7k
    @MussaGodfrey-s7k วันที่ผ่านมา +2

    Yeriko acha kupigia upatu kitu ambacho kinalete alufu ya kilukizofixha chama,,, kwanza hatujawahi kukuona sisi tumella polini tukiwa kwenye chadema misingi

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya วันที่ผ่านมา

    Wewe Yericko na hyo mwenzako Antony siku Mbowe akishinda uwenyekiti basi hio chadema wekeni mifukoni mwenu sisi tuendelee na ccm na vyama vingine,hamna cha kutuambia kuhusu demokrasia huku mtu mmoja anaongoza mwanzo mwisho alfa na Omega, alafu yeriko na mwenako huyo mnapaniki na kuwambia wenzenu wao ndio wanapaniki

  • @thomsanga7956
    @thomsanga7956 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe ntobi hamna kitu aisee, daah!

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f วันที่ผ่านมา +1

    Wanaomtetea mbowe wanakelele saanaaa

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya วันที่ผ่านมา

    Nyinyi muongee vyote ila Lissu awe mwenyekiti, Mbowe muda umeisha asitawale milele

  • @Babamlezi2007
    @Babamlezi2007 วันที่ผ่านมา +1

    Ntobi hamna kitu. Eti hizo ni strength

  • @JohnLawei
    @JohnLawei วันที่ผ่านมา +1

    Kambi ya Mbowe ni group ya madalali ndio maana wanachama wanamuomba Heche achukue fomu ya makamo