Nawashukuru sana Agalus TV, naona kama ndo naanza kufuga sasa, nilikata tamaa ya kuendelea kufuga, baada ya vifaranga wangu wengi kufa, hawa wa Sasa nimewanunulia chanjo zote lakini na chakula pia, nimenunua Clumble stater, leo wana siku 29 lakini ni wakubwa tofauti kabisa na mwanzo Mungu awabariki
Mimi kuku wangu wakifikisha miezi 2 wanapungua uzito kwa kasi sana wanashindwa kula hatimae wanaanza kufa kwa siku unapata vifo zaidi ya viwili na chanjo nawapa nikiuliza naambiwa hio ni minyoo, je nakosea wapi
Kumbe Ndio maana vifaranga vyangu vimekufa...hizi dalili zote walikuwa nazo ila elimu sikuwa nayo. Nashukuru nimejifunza.
Barikiwa sana Ndugu. Tupo pamoja
Asante sana kwa maarifa...naomba ratiba ya chanjo za kuku.
Kuhusu chanjo zote za kuku SOMO ni hilil
th-cam.com/video/uakD0dx61Rg/w-d-xo.html
Asante kwa mafunzo haya.Nivizuri kufungua ile chupa ya Vaccine kama imezama kwa maji .
Noted ✍️🤝🙏🏿
Asante kwa elmu, je kifaranga wa miezi 3 anakula Kia's gan
Kwa cku au
Asante sana
Tupo pamoja ndugu
Daa Mimi kwenye chanjo nimeshachelewa,Wana miezi 3,sijui nifanyeje
Pole bt basi
🙏🙏
Pamoja
Je change ya newcastle ni baada masaa mawili yatolewe bandan yamwagwe?
Ndio maji yatakayo bakia yamwangwe ktk choo au shimo kubwa
Asante
Karibu
Karibu
Karibu
Je unaweza kuchanja hiyo dawa ya gumboro kabla ya kideri
Apo Jifunze ratiba nzima ya chanjo
th-cam.com/video/uakD0dx61Rg/w-d-xo.html
Habari naomba mwongozo na maelekeso na vipimo fya kuchanganya Chakula Chakuku wamiezi2 kilomia naweka vitugani Mimi mgeni
OK noted ✍️👍
gomboro anawezakuchanjwa akiwana miezi 5 ikiwajukuchanja?
No ni ndani ya siku ya 14 na 28 tu
je inawezekana kumbadilshia kuku dawa endapo utagundua kuwa dawa uliyoanza kumpa siya ugonjwa anaougua?
Ndyo inawezekana
Vifaranga wanaishiwa nguvu miguuni na kushindwa kusimama tatizo ni nini?
Wana umri gani
Kama tayari vifaranga wameshapata ugonjwa nawatibiaje
Apo ni kuAsiadia kwa antibiotics tu
Vifaranga wanapototolewa siku 7 za kwanza wapewe chanjo IPI?
Newcastle au mdondo/kideri
@@AGALUSTV Kwa hiyo naweza kuanza na yeyote kati ya hizo baadaye nawapa gomboro siku ya 14?
Yes
@@AGALUSTV Thanks. Stay blessed
Amen🙏🏿
endapo sijawapa iyo chanjo ya gombolo na wameshusha mabawa wanamiez miwili je nikiwaanzishia iyo vhanjo ya gombolo watapona,naomba msaada
Apo basi ndugu. Haina haja watakua Sawa. Chanjo ni Kinga tu japo c lazima upate uo ugonjwa utegemea kuna wkt hauumwi kabisa
Gumboro kitaalamu inaitwaje?
Infectious. Bursal disease
Iwapo nina friji naweza kununua dawa na kuitunza nyumbani bila madhara?
Zingatia maelekezo ya CHANJO husika. Zingine zinahifadhika bt Zingine haziwez
Gomboro inachanjwa wiki ya ngapi?
Ya 2 na 4
Habari naweza kuwapa na kuku wakubwa?
Hapana
Nimenunua chanjo zote, Gumboro, Newcastle, na Ndui Gumboro ya pili inagongana na Ndui yaani tarehe ni moja nafanyaje hapo
Pishanisha wiki 1
@@AGALUSTV sawa, asante
Ok
Nawashukuru sana Agalus TV, naona kama ndo naanza kufuga sasa, nilikata tamaa ya kuendelea kufuga, baada ya vifaranga wangu wengi kufa, hawa wa Sasa nimewanunulia chanjo zote lakini na chakula pia, nimenunua Clumble stater, leo wana siku 29 lakini ni wakubwa tofauti kabisa na mwanzo Mungu awabariki
Amina tupo pamoja ndugu
Kama kuku wamehugua na kupona, ikiwa sikuwapiga chanjo, naruhusiwa kuwachanja?
Hapana Usifanye hivyo. Watazid KUFA. Wape vitamins na antibiotics
Iwapo sijawapa Dawa hiyo siku ya 14 Yaaan nimechelewa nafanyaj ili wasizurike? Save us please
Basi and wape ndani ya mwezi
Asantee. Mfano wa dawa hizo
Asantee. Mfano wa dawa hizo
Siku ya 28 wape chanjo ya Kideri na Chanjo ya Gumboro
Wape chanjo ya Newcastle na Gumboro siku ya 28
Mimi nazingatia chanjo zote vizuri lakini kuku hufa sana Kwa kipindi Cha baada yaiezi miwili ninashida Gani?
Kuku anamagonjwa mengi Sana. Cha kuzingatia kwa sasa chunguza Dalili za kuku wako ili kujua ugonjwa gani hasa kuku wako ushambuliwa Sana nao
kama washaanza kuumwa inakuaje
Basi usiwape chanjo aina yeyote wasaidie tu kutibu maambukizi kwa dawa zingine lakini chanjo
Kuku wangu ni 200 je hayo majani ya mwembe natengeneza kiasi gani
Wapi Hapaeleweka kwenye somo LA kuandaa majani ya mwembe AU hujalipata
Mimi kuku wangu wakifikisha miezi 2 wanapungua uzito kwa kasi sana wanashindwa kula hatimae wanaanza kufa kwa siku unapata vifo zaidi ya viwili na chanjo nawapa nikiuliza naambiwa hio ni minyoo, je nakosea wapi
Pole Sana ndugu apo vp mabawa wanashusha au
Ndio wanashusha mabawa na akishusha ujue haponi sasa ni minyoo au gombolo,
Shida itakua Yawezekana ni typhoid
Tyfod inatibiwa na dawa gani?
Zipo nyingi kama vile ESB3,
Nidawa gani unayo tumia kuchanja
Ya CHANJO YA GUMBORO
Jina la chanjo new castle au nyingine?
🤝
Kuna shida ukiwapa hiyo chanjo kabla ya siku 14?
Tufuate maelekezo ya wataalam. Kitaalam inasema ivyo kwni uku nyuma utakua umeanza na chanjo zingine
Samahani niko nje ya mada je unaweza kuwa hawa kuku chotara alovera na vitu vingine vya asiri?
Tena vizuri sana kwao wape tu
Naomba kujua inawezekana kutumia chanjo yandui kabla ya gumboro?
Kwa vifaranga wanaolelewa na mama yao Vipi akinywa na mama yao?
Mmmmh hatujakupata vizuri fafanua zaidi
Kwa vifaranga vilivyo na mama Yao kwa maana ni kuku WA kienyeji iyo chanjo ukiwapa kwanza mama Yao mtoe
@jumakhamis5053 yes tupo pamoja sana ndugu. Asante kwa kutusadia kusaeneza elimu
@jumakhamis5053 yes tupo pamoja sana ndugu. Asante kwa kutusadia kusaeneza elimu