Samahani nilikuwa naomba namba zanu ndo nimeanza kufuga sa nilikuwa nahitaji darasa la ufugaji na kilimo nataka niwe vzr katika kilimo na ufugaji maana ndo nataka iwe ajila yangu sa sitaki kufuga kimazoe nataka kufuga kitaalamu nimeona nye mko vzr nisaidie nipo mkoa wa Tabora
Naomba kuhuliza kuhusu hzi tiba asilia ratiba yake imekaaje yaani unaweza kuwapa kwa mpangilio upi maana huku mnafundisha tiba nyingi kama tangawizi alovera vitunguu swaumu na nyingine tu mlizofundisha sababu mi nilikuwa nawapa kila cku leo nikimpa alovera kesho tangawizi keshokutwa naweza chemsha majani ya muembe sa nimeona nihulize nisije nikawa kuna sehemu nakosea
Naomba na tiba ya kku kuacha kunya kinyeshi cha rangi ya ugolo na dawa ya minyoo nimewapatia na kuna dawa niliambuwa ninunue inaitwa Thailodoxin nimewapa cku tano ila naona bado kiyeshi hakijaa sawa
@@AGALUSTV sawa asnte ila kuhusu je naweza kutumia dawa zenu mlizoelekeza za asili maana nimefatilia jioni nimeona kumbe wengine wanakunya kama rangi ya ugolo wengine meupe kama chokaa wengine ya kijani kwa mbali
punguza maelezo unaharibu.somo
Sawa ndugu 🙏🏿 ✍️
Samahani nilikuwa naomba namba zanu ndo nimeanza kufuga sa nilikuwa nahitaji darasa la ufugaji na kilimo nataka niwe vzr katika kilimo na ufugaji maana ndo nataka iwe ajila yangu sa sitaki kufuga kimazoe nataka kufuga kitaalamu nimeona nye mko vzr nisaidie nipo mkoa wa Tabora
Hongera na karibu ktk kilimo na Ufugaji. Endelea kufuatilia video zetu ktk channel hii
Naomba kuhuliza kuhusu hzi tiba asilia ratiba yake imekaaje yaani unaweza kuwapa kwa mpangilio upi maana huku mnafundisha tiba nyingi kama tangawizi alovera vitunguu swaumu na nyingine tu mlizofundisha sababu mi nilikuwa nawapa kila cku leo nikimpa alovera kesho tangawizi keshokutwa naweza chemsha majani ya muembe sa nimeona nihulize nisije nikawa kuna sehemu nakosea
Naomba na tiba ya kku kuacha kunya kinyeshi cha rangi ya ugolo na dawa ya minyoo nimewapatia na kuna dawa niliambuwa ninunue inaitwa Thailodoxin nimewapa cku tano ila naona bado kiyeshi hakijaa sawa
Kwa wiki angalau Mara mbili MPE kimoja wapo. Pia si lazima kila wiki uumpe kama umefululiza Sana unaweza acha Ata wiki mbili zikapita
Dawa Yake inaitwa AMPLOLIUM
@@AGALUSTV sawa asnte ila kuhusu je naweza kutumia dawa zenu mlizoelekeza za asili maana nimefatilia jioni nimeona kumbe wengine wanakunya kama rangi ya ugolo wengine meupe kama chokaa wengine ya kijani kwa mbali
Nimeomba namba yako ili tuongee kuhusu kufundishwa na masuala ya malipo nafanyaje
Kila kitu ni bure ktk channel hii ndugu 🙏🏿 tufuatilie tu
nahitaji namba za simu nina kuku wa kubwa nahiji jajo
OK tutakutumia
Naomba kuuliza kuwa kuku niliwapa chanjo ila kuku bado walikufa ,shida nn?
Magonjwa yapo mengi ndugu Kuna yenye chanjo
Kiasi cha joto kiweje wakati wa kutoa vhanjo?
Hii siyo shida ndugu. Ila kwa maeneo yenye joto Kali tumia chanjo ya matone na ya barid tumia kidonge.
Kuku wangu anatoka manyoya yote yamgongoni naomba nisaidie
Ni kawaida ila wape vyakula vya protein wingi kipindi hiki