FAHAMU NGUVU YA KUFUNGA NA KUOMBA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 12/01/2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 54

  • @ElikaMwafongo
    @ElikaMwafongo 5 วันที่ผ่านมา +9

    Baba Mungu aendelee kukupaka mafuta kama samweli alivyo mpka Daudi ambao tupo south Africa tuendelee kumfwatilia mtumishi

  • @HendricaAjiambo
    @HendricaAjiambo 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe neema ya bwana iwe pamoja nawe kwa jina la yesu krito mkombozi wetu Emen emen 🙏 I hope you're

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 วันที่ผ่านมา

    Baba najiunganisha na ibada ya leo ......ni piganie Mungu na unlinde na maadui zangi maana ni wengi.....amen

  • @engaisigodfrey2372
    @engaisigodfrey2372 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba Mungu najiunganisha na Ibada hii na madhabahu haya🙏

  • @violethnyangasa9495
    @violethnyangasa9495 4 วันที่ผ่านมา +3

    Najingamanisha namadhabahu na jiuganisha namaombi ya siku ishirini na Moja maombi yangu ( 1) NHITAJI SANA KUTEMEA NDANI YA MAPENZI YA MUNU(2) NIJAZWE ROHO MTAKATIFU maisha yangu yaongozwe na Mungu

  • @irmarasoanandrasana3624
    @irmarasoanandrasana3624 วันที่ผ่านมา

    Asante Mchungaji kunifundisha, Mungu andelea kukubariki !

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu akuongeze neno ufunguwe kinywa. Mungu ajisemeye.

  • @Patience763
    @Patience763 5 วันที่ผ่านมา +4

    Asante MUNGU kwa neema iliyoko kwa Mchungaji pastor george mukabwa nabarikiwa kila nafuatilia mafundisho through this channel

  • @lucyurasa5805
    @lucyurasa5805 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akulinde na akutunze Mtumishi wa Mungu....Kaka wa Praise Mungu akuinue uko vizuri sana...hadi umefanana na Pastor George ❤

  • @darlingqueendee3822
    @darlingqueendee3822 4 วันที่ผ่านมา +1

    Amen. God bless you. Eeh mungu nikutanishe na uwepo wako. Katika mfungo huu wa 21 , jidhihirishe nakuhitaji Katika maisha yangu. Asante kwa mafundisho ya leo

  • @Rachel-lq8sz
    @Rachel-lq8sz 4 วันที่ผ่านมา

    BABA MUNGU najiunganisha na ibada hii,na madhabahu haya in GOD'S name

  • @mayambeyu7501
    @mayambeyu7501 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa huu mfungu maisha yangu yabadilike yasiwe maisha ya kawaida

  • @RosemaryOwori
    @RosemaryOwori 4 วันที่ผ่านมา

    Ameeeen🙏🙏🙏Nashukuru Kwa Mafundisho Haya nimepata sehemu yangu

  • @Judith-p5m8i
    @Judith-p5m8i 5 วันที่ผ่านมา +1

    Amen mungu skuzidishie zaidi muchunguji

  • @esthermutsoli9995
    @esthermutsoli9995 4 วันที่ผ่านมา

    Asante Mchungaji kwa neno hili.Mfungo hours uwe wa matokeo.Barikiwa.

  • @lydiaomolo6624
    @lydiaomolo6624 วันที่ผ่านมา

    Amen in Jesus name 🙏

  • @StellaMkhodya
    @StellaMkhodya 4 วันที่ผ่านมา

    Amen pastor unatufunza zaidi mungu wangu naomba katika mfungo huu ukanatsue Kila chochote au kilichonikwamia katika maisha yangu kupitia madhabahu hay a

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 4 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @Eliwanzita
    @Eliwanzita 4 วันที่ผ่านมา

    Shalom napataje kitabu Niko Dsm mt

  • @JacquelineCharles-c3x
    @JacquelineCharles-c3x 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @byaduniafuraha
    @byaduniafuraha 3 วันที่ผ่านมา

    Shalom muchungaji,nikiwa burundi natamani kupata hicho kitabu cha maombi

  • @yvettembavu9306
    @yvettembavu9306 5 วันที่ผ่านมา

    Asante ivi sauti inatoka vizuri

  • @THEODORATHEONEST
    @THEODORATHEONEST 5 วันที่ผ่านมา

    Amina nimebarikiwa baba,

  • @StellaMutinda-h2j
    @StellaMutinda-h2j 4 วันที่ผ่านมา

    Nikumbuke katika maombi pastor na pia kijana wangu alieingia form 4 mkumbuke

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso 4 วันที่ผ่านมา

    Amen amen amen 🙏

  • @joharikahite6329
    @joharikahite6329 4 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen 🙏🙏

  • @HendricaAjiambo
    @HendricaAjiambo 3 วันที่ผ่านมา

    Emen emen 🙏🙏🙏

  • @NannyNanny-fo9yh
    @NannyNanny-fo9yh 4 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙌🙏

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 5 วันที่ผ่านมา

    Ameni 🙏🙏

  • @MaryShayo-h4k
    @MaryShayo-h4k 4 วันที่ผ่านมา

    Namm naomba neema eneo langu nalouza lipate kibali

  • @joycegatege1840
    @joycegatege1840 3 วันที่ผ่านมา

    Je nawezaje kupata kitabu cha maombi ninaishi Dar es salaam

  • @CandidTalksWithSusanSolomon
    @CandidTalksWithSusanSolomon 3 วันที่ผ่านมา

    An online copy would be good for us who do not live in TZ. It can be such that you pay a fee before access can be given to download the prayer book. Think about it Pstr George. Thanks

  • @StellaMutinda-h2j
    @StellaMutinda-h2j 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @yvettembavu9306
    @yvettembavu9306 5 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu asifiwe. Sauti ayitoke

  • @EVERLINENAFULA-b8i
    @EVERLINENAFULA-b8i 5 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏🙏

  • @محمدمم-م8ي
    @محمدمم-م8ي 5 วันที่ผ่านมา

    Sauti hamna

  • @lucyngui1731
    @lucyngui1731 4 วันที่ผ่านมา

    Najiweka wakfu na ibada

  • @judithmwaimu7415
    @judithmwaimu7415 4 วันที่ผ่านมา

    Niko Dar es salaam nahitaji Kitabu Pst.

  • @estherjohn3454
    @estherjohn3454 4 วันที่ผ่านมา

    Naomba utaratibu wa kukipata kitabu hiki cha maombi nipo Dar

  • @AgnessMaseka
    @AgnessMaseka 4 วันที่ผ่านมา

    Baba nahitaji kitabu niko mkoa wa ruvuma manispaa ya songe

    • @AgnessMaseka
      @AgnessMaseka 4 วันที่ผ่านมา

      Manispaa ya songea

  • @محمدمم-م8ي
    @محمدمم-م8ي 5 วันที่ผ่านมา

    Jamani angalieni baadhi ya ushuhuda

  • @favouredlady-n3f
    @favouredlady-n3f 4 วันที่ผ่านมา

    Asubuhi ya saa ngapi tuset alarm ⏰

  • @SuzyMarroch
    @SuzyMarroch 5 วันที่ผ่านมา +1

    jamani aliyepata namba ya whaap anisaindie ile nipate ratiba

  • @emmambena1418
    @emmambena1418 5 วันที่ผ่านมา

    Nahitaji kitabu. Namba ya kutuma please

  • @byaduniafuraha
    @byaduniafuraha 3 วันที่ผ่านมา

    Nipe namba ya kutuma pesa ya kitabu cha maombi na mufungo wa 2025

  • @bernadethashiduki6936
    @bernadethashiduki6936 5 วันที่ผ่านมา

    Usifunge kwa majivuno na nia mbaya isaya58 usifunge kushindana

  • @GeorginaGabriel-i7t
    @GeorginaGabriel-i7t 5 วันที่ผ่านมา +2

    Nimebarikiwa na neno,ila hii number Haina wats up jamani
    Nataka kitabu nawasiliana aje. Asante

  • @MaryMshai-n1g
    @MaryMshai-n1g 2 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu asifiwe, kuna No ya WhatsApp

  • @bernadethashiduki6936
    @bernadethashiduki6936 5 วันที่ผ่านมา

    Mfungo ni njia ya toba
    Kwa nini nifunge
    Mfungo ni maandalizi yako ya kiroho

  • @rosieem.k.3474
    @rosieem.k.3474 4 วันที่ผ่านมา

    Please put the prayer group's WhatsApp number here... Tume choka kuitisha kwa live 😢

  • @JacklineKalinga-y4j
    @JacklineKalinga-y4j 4 วันที่ผ่านมา

    Ameeen