Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki kwa wenye barget ndogo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.พ. 2024
  • Unapoanza kujishughurisha na sanaa ya muziki na uchakataji wa sauti.... Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki huwa inakuwa changamoto hasa kama una badget ambayo haiwezi kukidhi uhitaji wote kwa mara moja hivyo kujikuta ukinunua vifaaa kimoja baada ya kingine. kwenye video hii nimekusaidia namna rahisi ya kufanya maamuzi ya kipi unaweza nunua kwanza kabla ya kingine ili uweze kuanza safari yako ya sanaa ya muziuiki wa namna hiliyo nzuri... ungana nami kuitazama video hii
  • เพลง

ความคิดเห็น • 38

  • @sirinenerenatho-qn3vx
    @sirinenerenatho-qn3vx 6 วันที่ผ่านมา

    Habari , kaka naomba mawasiliano yako. Kuna vitu nahitaji kuvifahamu

  • @mosessolo7387
    @mosessolo7387 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte nimekuelewa Sana kiongozi

  • @MaburaNehemia-mp1jw
    @MaburaNehemia-mp1jw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana mkuu

  • @mwalimusalanga
    @mwalimusalanga 3 หลายเดือนก่อน

    Maelekezo mazuri uko vizuri hongera sana

  • @DrMbonea
    @DrMbonea 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unajua kujieleza ukaeleweka Bro big up

  • @tweakingtricks1087
    @tweakingtricks1087  4 หลายเดือนก่อน

    Mahadhi mbali mbali isipokuwa... singeli na taarabu

  • @christopherernest2316
    @christopherernest2316 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera kaka kwa maelezo mazuri yanayoeleweka kabisa 💯/, mimi nina swali kidogo je ili upate vifaa vya kuanzia unatakiwa uwe na kiasi gani cha fedha ambayo utaweza kupata vifaa ambavyo vinahitajika hatua ya mwanzo ya vifaa,,?

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  4 หลายเดือนก่อน

      kwa vitu ambavyo ni vipya kabisa ukitaka kuwa na vyote nilivyovitaja hapo KWENYE VIDEO kasoro chumba tu .... walau uanzie na 4M..... KWA STANDARD STUDIO KIT..... UNAWEZA PATA CHINI YA HAPO KAMA UNATAKA KUNUNUA VITU USED (2.5 - 3M)

  • @feimaker08
    @feimaker08 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bro napenda san mambo ya Production
    Unaweza ukanifunza mimi nikawa mwanafunzi wako
    Napenda sana kuwa Producer

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@feimaker08 karibu kijana.....unapatikana wap

  • @imuworld
    @imuworld 5 หลายเดือนก่อน

    Nice Video.

  • @gvanmiku9311
    @gvanmiku9311 5 หลายเดือนก่อน

    Umetufunza sana kakaaa

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  5 หลายเดือนก่อน

      Nafurahi kusikia hivyo.... tuendelee kujifunza

  • @christianflorence9461
    @christianflorence9461 4 หลายเดือนก่อน

    Muzik gani una produce bro

  • @mr.michaelHb3491
    @mr.michaelHb3491 2 หลายเดือนก่อน

    Lam iwe ngap mkuu

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  2 หลายเดือนก่อน

      UNAWEZA TAZAMA HII HAPA NIMEZUNGUMZIA KIUNDANI ZAIDI th-cam.com/video/d92rpdbDgPI/w-d-xo.html

  • @danielelias6704
    @danielelias6704 3 หลายเดือนก่อน

    vipi naweza kupata piano midi?

  • @user-uk5jr1lr1h
    @user-uk5jr1lr1h 4 หลายเดือนก่อน

    Weka mawasiliano

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  4 หลายเดือนก่อน

      Kuna email address kwenye description box hapo lakini kuanzia video inayofwata ntakuwa na number kwenye video kabisa....Karibu👍

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 2 หลายเดือนก่อน +2

    Me nimejifunza kupiga beat saiv nataka nikimaliza chuo nifungue studio ya kurecord. Kwangu imekua rahis sana kujifunza na kufanya hii kitu. Napiga beat balaa kwa fl pamoja na kwamba pc imekatika screen but nimekua adicted wa kupiga beat. Napenda afro beat na hip hop…. Kama za metro booming 🔥🔥🔥

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  2 หลายเดือนก่อน

      Habari njema hii... keep your focus....na zaidi ya hapo ni historia kuandikwa tu 👍👍

    • @kazibertfaustine3492
      @kazibertfaustine3492 หลายเดือนก่อน

      Gkdt😮 to get bbbbbbbnnj​@@tweakingtricks1087

    • @giftnoelimahenge7158
      @giftnoelimahenge7158 6 วันที่ผ่านมา +1

      Mimi nimsanii natafta natafta mgonga beat niwe natumia baazi ya biti zake then tunaweka kama mkataba kwamba kazi zikianza kulipa tunaangalia tunalipana vp tunakuwa tunasaidiana you tube natumia jina la DINEO TZ

    • @feimaker08
      @feimaker08 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Oyah niaje ofxa
      Daah mwanangu me napenda San kuwa Producer. Tunaweza tuka click nikapata maujuzi kidg kutoka kwak

  • @Djbambitz
    @Djbambitz 4 หลายเดือนก่อน

    Iv sound card Q23 ikoje naitaka hiyo

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  4 หลายเดือนก่อน

      q 24 in soundcard ina option kadha ambazo watu wanazipenda .. eg inakuwezesha kuconnect speaker zinazotumia av cables kitu ambacho sound card nyingi zinasupport only jack connector (kubwa) lakini pia bei yake imepoa pia pia e.t.c ..... personaly sound Quality ya sound yake sijawaaahi isikia lakini naona watu wanaiwinda kweli

  • @MRWORDBNB
    @MRWORDBNB หลายเดือนก่อน +1

    Unafundisha music production pia?

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  หลายเดือนก่อน +1

      Yeah... Unapatikana mkoa gani ?

    • @MRWORDBNB
      @MRWORDBNB หลายเดือนก่อน

      @@tweakingtricks1087 nipo Dar brother

    • @monstyleog6308
      @monstyleog6308 หลายเดือนก่อน

      ​@@tweakingtricks1087 mim nipo Dsm

    • @MRWORDBNB
      @MRWORDBNB หลายเดือนก่อน

      @@tweakingtricks1087 napatikana Dar kaka

  • @fullloughtv9413
    @fullloughtv9413 4 หลายเดือนก่อน

    Kwan soundcard zna bei gan??

    • @prime_215beatz
      @prime_215beatz 4 หลายเดือนก่อน

      Zipo za aina nyingi.. ukitaka nzuri kabsa andaa kiasi cha chini kuanzia 350k

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  4 หลายเดือนก่อน

      inategemeana na brand pia number of channels badget ya kuanzia mia 500k unweza pata card nzuri kwa kuanzia

  • @danielelias6704
    @danielelias6704 3 หลายเดือนก่อน

    vipi naweza kupata piano midi?

    • @tweakingtricks1087
      @tweakingtricks1087  3 หลายเดือนก่อน +1

      personal siuzi vyombo ya mziki lakini nina used berhinger mid naiuza..... other wise unaweza pata toka dukani au kutoka kwa wadau wengine

    • @danielelias6704
      @danielelias6704 3 หลายเดือนก่อน

      @@tweakingtricks1087 unaiuza shilingi ngapi?