WABABE wa VIFAA BORA vya MUZIKI BONGO, CITY MUSIC SOUND, MKURUGENZI AFUNGUKA....
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024
- WABABE wa VIFAA BORA vya MUZIKI BONGO, CITY MUSIC SOUND, MKURUGENZI AFUNGUKA....
City Music sounds,
ni wasambazaji na wauzaji wa vifaa Bora na vya kisasa vya Muziki,vinavyokwenda na wakati.
1. CITY MUSIC SOUNDS - ni wakala pekee hapa Tanzania wa Brand kubwa zinazotengeneza Vyombo vya Muziki (Music Instruments) Duniani, kama vile
FIDEK
TAMA
KORG
SOUND SOFT
2. Ukinunua Bidhaa zetu,kama huna ufahamu nazo,utapewa Ushauri na maelekezo ya namna utaweza kuzitumia na kuzitunza.
3. Tunasafirisha Mzigo wako hadi mikoani.
4. Vifaa tunavyouza ni vipya tu,
navyo ni pamoja na
PA sound, kwa ajili ya mikutano ya nje na ndani.
Microphones aina zote,
Wireless, za wire, Lapel mic, Dynamic na Condenser.
Taa za urembo, kwenye Pub, Clubs, Disco, Kwenye event nk.
Vifaa vya Studio, kama vile
Monitor speakers aina mbali mbali, Guiters, Mid keyboard, Soundcard, Mixer, connection cables nk.
Tuna vifaa kwa ajili ya live Band kama vile,
Drums, Stand za mic, Set ya magitaa na stand zake, Combo speakers za Bass na Solo, Saxophone, Trumpet nk.
Tuna vifaa vya vyumba vya mikutano kama vile,
Podiums, table microphones, nk.
Tuna vifaa kwa ajili ya Radio stations na Tv station
Usihangaike tena kupata vifaa bora vya Muziki,
Chagua City Music sound, ndio Wauzaji wenye vitu vinavyikwenda na Teknolojia ya Sounds,
CITY MUSIC SOUND LTD,
Tupo Kariakoo Mtaa wa Uhuru na Livingstone,
Jengo la Keys Hotel,
Jirani na KCB BANK.
WALISIANA NASI
KWA
Instagram @Citymusicsound_tz
Call. 0659 943 059
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
City Music wapo vizuri
Boss chocha
Mimi natamani Sana niweze kukutana na hao wakuu wahusika Ili niweze kujua bei za vifaa hivyo
Keyboard PSR 600 Inapatikana kwa bei gan na GUITOR SOLLOR NA BEI ZAKE
Nashukuru kuwaona ila pia mm sina elayakuti miza kununua vyombo je mnakopesha
Vipi mnakopeshaa mtujibu wadau wenu
Opla ipo bess
Naomba namba tenure nataka drams
Maiki Bei gani
Nata mziki wa laki tano
Duka langu la uhakika la vifaa toka 2017
Duka hili liko wapi
Duka liko wappi
Mnakopesha