Tidbit
Tidbit
  • 29
  • 13 352
Jinsi ya kufanya mixing kwa kutumia Trackspacer(wave factory)
jinsi ya kufanya mixing kwa kutumia plugin hii ambayo inakusaidia kutengeneza nafasi kwenye mixing ns kufanya sauti na music au beat vishikane kwenye mixing jinsi ya kufanya mixing na plugin hii ni rahisi sana kwani haina knob na buttons nyingi ..... karibu tuitazame video hii nzuri usisahau ku subscribe na kushare na ndigiu na jamaaa iliuna waso waweze kupata elimu hii
มุมมอง: 98

วีดีโอ

Jinsi ya kutumia Metric AB unapofanya Mixing
มุมมอง 1083 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kutumia Metric AB unapofanya Mixing ili kupata matokeo mazuri metric AB inakurahiusishia kulinganisha nyimbo unazopzipenda na nyimbo yako kwa wepesi zaidi jinsi ya kuitumiua ni rahisi sana hakikisha unapofanya mixing unakuwa umechagua track unayotaka kuitumia na kuiimoit kwenye metric ab kisha fata maelkekeszo yaliyoko kwenye video hii
Jinsi ya kutumia waves CLA-2A
มุมมอง 2093 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kutumia waves CLA-2A compressor wakati wa kufanya mix ni muhimu inakupasaujue ni nini kitu unafanya na jinsigani unafikia malengo kwakujua nikitugani cha kugusa ili usihalibu msikiko wa vocal zako au sauti unazozifanyia mixing. Waves cla-2a ni pluhin ambayo ni rahisi sana kutumia na inakupa uhakika wa kukupa matokeo chanya kila wakati jambo la msingi ni kuzingatia namna unavyo fanyaset...
Siri za mafanikio katika uchumi kwa wasanii na producers
มุมมอง 1544 หลายเดือนก่อน
Siri za mafanikio katika uchumi kwa wasanii na producers.. swala la mafanikio kwa wasanii ni jambo la msingi sana ukizingatia kwa wasani NA PRODUCERS kwenye inchi zetu za kiafrika wamekuwa wakifanya kazi kubwa bila mafanikio ya kiuchumi yenye mashiko ....kuna mengi yanayopelekea hali hii ... na katika video hii nimeanzania siri hizi za uchumi amazo zinaweza kuwasaidia wasanii na producers kufik...
Jinsi ya kumix kwa kutumia waves mv2 plugin
มุมมอง 4204 หลายเดือนก่อน
jinsi ya kumix vocal kwa kutumia waves mv2 ambayo ni compressor inayotumia compressor mbili ili kukupa matokeo mazuri low level compression na upper level compression .unaweza itumia kumix vocal , kumix bass guitar au kumix kitu chochote chenye waves ambazo zina tofauti kubwa kati yake kutumia waves mv2 na jinsi ya kumix ni rahisi kwani plugin inatumia slides tatu tu ungana nami kuitazama mv2 k...
jinsi ya kutengeneza home studio kwa kuzingatia haya mambo 7
มุมมอง 7044 หลายเดือนก่อน
jinsi ya ku tengeneza home studio kwa kuzingatia haya mambo 7 ambayo nimeshare na wewe hapa ili kukifanya chumba chako cha home studio kiwezekuwa useable kwa matumizi ya recording na mixing kwenye video hii ninaangazia acoustic treatment na home studio room dimensions namna ya ku tengeneza mazingira rafiki kwa home studio kwa sehemu nzuri ya kutengenezea kazi zako za ubunifu
Namna ya kuchagua :MIDI KEYBOARDS for 2024
มุมมอง 3235 หลายเดือนก่อน
MIDI KEYBOARDS for 2024 ni video itakayo kusaidia kujua ni vitu gani vya msingi kuzingatia unaponunua MIDI keyboard utakayokuwa ukiitumia kufanya compositions unapofanya uzalishaji wako wa muziki
Microphone nzuri kwa matumizi ya studio ya muziki
มุมมอง 1K6 หลายเดือนก่อน
microphone nzuri kwa matumizi ya studio ya muziki... inaweza kuwa ni kitu ambacho umekuwa ukifaanyia uchuguzi kabla hujafanya manunuzi ya microphone yako ya kwanza kwaajili ya kurecord vocal na guitar au hata ngoma na kadhalika .. kwenye video hii ninajadili mambo ya msingi kuzingatia unapofanya maamuzi ya kununu mcicrophone....KARIBU
Vinyago Tunaendelea _performed at Goethe institut (Audio Engineering Highlights)
มุมมอง 416 หลายเดือนก่อน
Vinyago Tunaendelea _performed at Goethe institut (Audio Engineering Highlights)
Sifa ya spika nzuri za studiobest :budget studio monitors 2024
มุมมอง 9347 หลายเดือนก่อน
sifa ya spika nzuri za studio ni mumuhimu kuzifahamu na kuzizingatia unapofanya manunuzi yako ya vyombo vya studio yako nivema kufanya machaguzi ambayo yataendana na uhitaji wa budget yako na ukubwa wa production unazotaka kufanya , brand na k.n katika vidieo hii nimeainisha mambo ya msingi kuyazingatia unapo nunua monitor speaker au headphone kwa ajiri ya matumizi ya mixing na mastering na hat...
Namna ya kununua best audio interface 2024
มุมมอง 1.1K7 หลายเดือนก่อน
video hii itakusaidia na kukuelekeza namna ya kununua best audio interface 2024 ili kuepuka matatizo ya noise flow wakati wa kurekodi sauti au guitars Email Address: v2jtinga @user-wz3gw1pt3i Instagram: jailos_ms
Zingatia haya unaponunua COMPUTER ya Music/sound Production: Must-have Music Studio Gear
มุมมอง 8568 หลายเดือนก่อน
Zingatia haya unaponunua COMPUTER ya Music/sound Production: Must-have Music Studio Gear
Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki kwa wenye barget ndogo
มุมมอง 6K8 หลายเดือนก่อน
Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki kwa wenye barget ndogo
mambo ya muhimu wakati unamix sauti
มุมมอง 82ปีที่แล้ว
mambo ya muhimu wakati unamix sauti
Mastering The De Esser Effect: Jifunze namna ya kuitumia De esser kwa usahihi
มุมมอง 1094 ปีที่แล้ว
Mastering The De Esser Effect: Jifunze namna ya kuitumia De esser kwa usahihi
MAMBO MUHIMU KUHUSU DYNAMIC EQ
มุมมอง 684 ปีที่แล้ว
MAMBO MUHIMU KUHUSU DYNAMIC EQ
STUDIO ONE: Mambo muhimu kuhusu multiband
มุมมอง 665 ปีที่แล้ว
STUDIO ONE: Mambo muhimu kuhusu multiband
FREQUENCY ANALYSIS : Yajue Matumizi Sahihi ya Frequency Spectrum Analyzer‎
มุมมอง 545 ปีที่แล้ว
FREQUENCY ANALYSIS : Yajue Matumizi Sahihi ya Frequency Spectrum Analyzer‎
MIXING: Mambo muhimu kuhusu limiter
มุมมอง 545 ปีที่แล้ว
MIXING: Mambo muhimu kuhusu limiter
STUDIO ONE:Jinsi ya kufanya static mixing
มุมมอง 2755 ปีที่แล้ว
STUDIO ONE:Jinsi ya kufanya static mixing
STUDIO ONE: Jinsi ya kuimport tracks
มุมมอง 545 ปีที่แล้ว
STUDIO ONE: Jinsi ya kuimport tracks
MAMBO YA MUHIMU KUHUSU DELAY
มุมมอง 635 ปีที่แล้ว
MAMBO YA MUHIMU KUHUSU DELAY
MAMBO MUHIMMU KUHUSU REVERB
มุมมอง 1885 ปีที่แล้ว
MAMBO MUHIMMU KUHUSU REVERB
MAMBO MUHIMU KUHUSU EQ// Unlock The Secrets Of The Equalizer: Your Ultimate Guide
มุมมอง 935 ปีที่แล้ว
MAMBO MUHIMU KUHUSU EQ// Unlock The Secrets Of The Equalizer: Your Ultimate Guide
MAMBO MUHIMU KUHUSU COMPRESOR
มุมมอง 1105 ปีที่แล้ว
MAMBO MUHIMU KUHUSU COMPRESOR

ความคิดเห็น

  • @Herson-yw6cn
    @Herson-yw6cn 26 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba yako ya simu

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 26 วันที่ผ่านมา

      0652656509 on WhatsApp

  • @BoazKapyela-w6v
    @BoazKapyela-w6v 28 วันที่ผ่านมา

    Nimependa hiyo strumming...

  • @harounmalaki7030
    @harounmalaki7030 29 วันที่ผ่านมา

    Mkuu asante kwa kwa ushauri . Mm nina mic ya tarkstar natumani ningekutumia pic ili unawez gundua namna ya kutumia

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 29 วันที่ผ่านมา

      @@harounmalaki7030 ntumie kwenye WhatsApp 0652656509

  • @Herson-yw6cn
    @Herson-yw6cn หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako ya simu

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 หลายเดือนก่อน

      @@Herson-yw6cn 0755181887

  • @Herson-yw6cn
    @Herson-yw6cn หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako Mkuu.

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 หลายเดือนก่อน

      Check mwanzoni mwanzoni mwa hii video th-cam.com/video/vmUH04tN7-M/w-d-xo.html

  • @RayMwidete
    @RayMwidete หลายเดือนก่อน

    Nina PC ambayo Haina tundu la kuchomeka phone je nitafanyaje ili niweze kutumia kurecod

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 หลายเดือนก่อน

      @@RayMwidete kama huna badget ya kupata soundcard .... Unaweza kununua usb card (converter) ambayo inakupa port ya mic na headphone kwa matumizi ya kawaida...... Professional unahitaji kuwa na soundcard

  • @maduhumanyangu1544
    @maduhumanyangu1544 หลายเดือนก่อน

    Ni masomo mazuri sana..Mwalimu wa Muziki, mie nina bajet ya kununua HEADPHONE kwajili ya kufanyia Mixing na Mastering. Je, ninunue Headphone yenye Sifa gani Kionvozi? Maanake sina Monitor Speakers

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 หลายเดือนก่อน

      kuna headphone nyingi nzuri kulingana na mfuko wako .................. ukipata M Audio, AKG, KRK ,senhanser ni brand nzuri kuna AKG kuanzia range ya 200k na kuendelea depending na model ... naweza kukutumia baadhi ya model kwa whatsapp

    • @kadala06
      @kadala06 หลายเดือนก่อน

      @@tidbit-v12Nampango wa kufungua Local studio Vijijini Ila Mm sio producer nipo interested sana Na Muziki Naomba Unisaidia Nichukue vifaa Gani Specifically Ili nivinunue kabisa Producer ntatafuta Nikikamirisha vifaa...

  • @anaseiTV
    @anaseiTV 2 หลายเดือนก่อน

    Umetisha kaka

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 2 หลายเดือนก่อน

    Safiiiiii,unatumia studio one

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 2 หลายเดือนก่อน

      Yeah studio one user

  • @MTEZO.
    @MTEZO. 2 หลายเดือนก่อน

    ivi unaweza kuunganisha sounds card na Subwoofer

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 2 หลายเดือนก่อน

      Yeah unaweza kuluunga ukiwa na pin za conversation jack to AV

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 2 หลายเดือนก่อน

      Lakini kwanini unataka kuyumia subwoofer kwenye setup yako

    • @MTEZO.
      @MTEZO. 2 หลายเดือนก่อน

      @@tidbit-v12 kunabaazi ya vifaa vangu va Studio vimeibiwa Sasa nanza kujipanga upya Sasa naitaji kuunga subwoofer Kwenye sounds card Lakini sikuwai kuunga subwoofer Kwenye sounds card

    • @MTEZO.
      @MTEZO. 2 หลายเดือนก่อน

      @@tidbit-v12 Kuna bahazi ya vifaa vangu vimeibiwa Sasa naanza upya ndonataka nitumie subwoofer Kwenye sounds card Lakini sikuwai kuunganisha

  • @Toyaliver
    @Toyaliver 2 หลายเดือนก่อน

    Professional

  • @ManMediaTz
    @ManMediaTz 2 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri sana, tunasubiria somo jipya Mwalimu, ni muda mrefu hautotupa somo jipya

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 2 หลายเดือนก่อน

      Sahani jaman soon ntarejea... Nina project ya kizunguka mikoa takribani 8 ... So inaniwia vigumu kushoot na kuedit but niko mwishoni na ntarejea..... Thank you for your concern brother

  • @joshuazabron9777
    @joshuazabron9777 2 หลายเดือนก่อน

    kwani bro pre-mixer haifai?

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 2 หลายเดือนก่อน

      Unaposema pre mixer una maanisha mixer au digital field Recorder

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 2 หลายเดือนก่อน

      Li dadavue vizuri swali lako... Be blessed kiongozi

  • @jamesmuseku2972
    @jamesmuseku2972 2 หลายเดือนก่อน

    Asante..Tafadhali nielezee type nzuri ya computer.

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 2 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/d92rpdbDgPI/w-d-xo.html check hii video na uniambie kama bado utakuwa unahitaji msaada

  • @ManMediaTz
    @ManMediaTz 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka, je kwa sisi tunaotengeza podcast na matangazo je ni plugins gani za waves ambazo ni the best...? Naomba ukipata muda tufikirie na sisi. Ubarikiwe sana

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 2 หลายเดือนก่อน

      Sawa ntatrngeneza video itakayo elezea audio kwa podcast ki upekee

  • @chrissdozee6122
    @chrissdozee6122 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka asantee sana unatusaidia mno.... Naomba usichoke kufanya maana wengi tunapata maarifa na kukua kwenye hii industry

  • @JoshuaEsrom
    @JoshuaEsrom 3 หลายเดือนก่อน

    Mkuu hongera saana na nimesubscribe channel Yako Nakuomba na wewe ufanye hivyo kwangu maana na mimi ni mwimbaji pia pro mafunzoni

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 3 หลายเดือนก่อน

      Bila shaka kaka

  • @JoshuaEsrom
    @JoshuaEsrom 3 หลายเดือนก่อน

    Pamoja broo

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 3 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana

  • @JoshuaEsrom
    @JoshuaEsrom 3 หลายเดือนก่อน

    Ufike mbali broo

  • @JoshuaEsrom
    @JoshuaEsrom 3 หลายเดือนก่อน

    Pamoja saana

  • @japhetjaphet5996
    @japhetjaphet5996 3 หลายเดือนก่อน

    Campun Gani ni Bora kwenye production

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 3 หลายเดือนก่อน

      @@japhetjaphet5996 unaweza tumia kampuni yoyote kwa windows product line au mac kinacho matter zaidi ni specific requirements kama RAM CPU etc Na mfuko wako unavyosoma

  • @feimaker08
    @feimaker08 3 หลายเดือนก่อน

    Bro napenda san mambo ya Production Unaweza ukanifunza mimi nikawa mwanafunzi wako Napenda sana kuwa Producer

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 3 หลายเดือนก่อน

      @@feimaker08 karibu kijana.....unapatikana wap

    • @feimaker08
      @feimaker08 3 หลายเดือนก่อน

      @@tidbit-v12 me ni mkazi wa Dar es salaam, Gongo la mboto

    • @feimaker08
      @feimaker08 3 หลายเดือนก่อน

      @@tidbit-v12 sijui wew bro upo pande Gani Naitaji San bro kuwa Producer mkali San na nina Nia san

    • @feimaker08
      @feimaker08 3 หลายเดือนก่อน

      @@tidbit-v12 kaka mamb vip

  • @epitomeapex
    @epitomeapex 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @sirinenerenatho-qn3vx
    @sirinenerenatho-qn3vx 3 หลายเดือนก่อน

    Habari , kaka naomba mawasiliano yako. Kuna vitu nahitaji kuvifahamu

  • @andehbeat9357
    @andehbeat9357 3 หลายเดือนก่อน

    Akubali kaka

  • @andehbeat9357
    @andehbeat9357 3 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana kaka

  • @noblerhymes
    @noblerhymes 4 หลายเดือนก่อน

    Thank you sir🙏🏾 pls keep educate us

  • @Elyhoa
    @Elyhoa 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka nahitaji mawasiliano yako ya Whatsapp

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

      Nicheck kwa call ya kawaida unayoiona hapo kwa video then i will send you a private number

  • @enockntottea
    @enockntottea 4 หลายเดือนก่อน

    kaka umetisha hongera sana kwa kazi nzuri soon nakuja kaka usinichoke

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kijana

  • @Ngumimbilingumimbili
    @Ngumimbilingumimbili 4 หลายเดือนก่อน

    Mick yang B 800 ina noise tatzo nin broo

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

      Self noise flow ya b 800 iko juu sasa ikikutana na soundcard pia haiko vizuri ndo matokeo yake yanakuwa hayo unapata noise sana

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

      Unatumia soundcard gani

  • @Ngumimbilingumimbili
    @Ngumimbilingumimbili 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi natumia B 800 zile gold mbona kwangu zina noise nyingi tatz nin

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

      Unatumia soundcard ip

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

      Lakini kwa ninachokijua B 800 self noise level yake iko juu plus ikikutana na soundcard kama haiko poa inadouble

  • @godfreymartin4065
    @godfreymartin4065 4 หลายเดือนก่อน

    Dah, uko vizuri sana brother

  • @tidbit-v12
    @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

    *11:52* Feet 5 na sio mita 5 guyz (kwenye point inayohusiana na speaker placement)..... sorry ulimi hauna mfupaunaweza tazama th-cam.com/video/NO0RCqXNVO4/w-d-xo.html unaweza tama video hii pia kupata kujua zaidi kuhusiana na series hii

  • @philipjoseph5931
    @philipjoseph5931 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye Umbali wa Mita 5 wa spika kwa spika, Kodi ya chumba Mkuu 😂

  • @Bmtstudiostz
    @Bmtstudiostz 4 หลายเดือนก่อน

    Nilipokufatilia nikajifunza zaidi kwamba mziki haukamiliki kila siku unajifunza hata kama una uzoefu mrefu kiasi gani

  • @ProducerPeacelove
    @ProducerPeacelove 4 หลายเดือนก่อน

    Asant kaka hiv una group whatssap

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

      litaanza siku si nyingi tuma number yako kwa simu inayoonekana hapo kwenye video

  • @zerohdigitals001
    @zerohdigitals001 4 หลายเดือนก่อน

    kaka unasaidia pakubwa

  • @nhjbeatzz
    @nhjbeatzz 4 หลายเดือนก่อน

    Bro Unapatikana Wapi

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

      Napatikana Dar es salaam

  • @nhjbeatzz
    @nhjbeatzz 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka Tunahitaji video hizi kaka 🔥🔥🔥

  • @kyflavour
    @kyflavour 4 หลายเดือนก่อน

    Respect broo

  • @enockntottea
    @enockntottea 4 หลายเดือนก่อน

    kaka kwa ubora wako

  • @THEEaglz
    @THEEaglz 5 หลายเดือนก่อน

    Yoo watsp maniga 🎉

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 5 หลายเดือนก่อน

      Yeah niaje man

  • @MRWORDBNB
    @MRWORDBNB 5 หลายเดือนก่อน

    Unafundisha music production pia?

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 4 หลายเดือนก่อน

      Yeah... Unapatikana mkoa gani ?

    • @MRWORDBNB
      @MRWORDBNB 4 หลายเดือนก่อน

      @@tidbit-v12 nipo Dar brother

    • @monstyleog6308
      @monstyleog6308 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@tidbit-v12 mim nipo Dsm

    • @MRWORDBNB
      @MRWORDBNB 4 หลายเดือนก่อน

      @@tidbit-v12 napatikana Dar kaka

  • @ahadijoel07
    @ahadijoel07 5 หลายเดือนก่อน

    Kwan bro una duka la vifaa vya studio

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa sasa hapana ila naweza kukurefer kwawauzaji ninaowafahamu

  • @joshuafredrick1
    @joshuafredrick1 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi yako ni njema mkuuu

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 5 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @lovedotmusicproduction4727
    @lovedotmusicproduction4727 5 หลายเดือนก่อน

    Mzee baba

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 5 หลายเดือนก่อน

      we kijana..... naona umefikiwa au umetafuta 😂

  • @TheAfricanBeats-jh9ii
    @TheAfricanBeats-jh9ii 5 หลายเดือนก่อน

    bro nahitaji hiyo wave complete yako

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 5 หลายเดือนก่อน

      unapatikana wapi kijana

  • @mr.michaelHb3491
    @mr.michaelHb3491 5 หลายเดือนก่อน

    Lam iwe ngap mkuu

    • @tidbit-v12
      @tidbit-v12 5 หลายเดือนก่อน

      UNAWEZA TAZAMA HII HAPA NIMEZUNGUMZIA KIUNDANI ZAIDI th-cam.com/video/d92rpdbDgPI/w-d-xo.html

  • @mosessolo7387
    @mosessolo7387 5 หลายเดือนก่อน

    Bro samahani naomba unielekeze jinsi ya kuunganisha compressor na sound card.nmechemka