jinsi ya kutengeneza home studio kwa kuzingatia haya mambo 7
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
- jinsi ya ku tengeneza home studio kwa kuzingatia haya mambo 7 ambayo nimeshare na wewe hapa ili kukifanya chumba chako cha home studio kiwezekuwa useable kwa matumizi ya recording na mixing
kwenye video hii ninaangazia acoustic treatment na home studio room dimensions
namna ya ku tengeneza mazingira rafiki kwa home studio kwa sehemu nzuri ya kutengenezea kazi zako za ubunifu
*11:52* Feet 5 na sio mita 5 guyz (kwenye point inayohusiana na speaker placement)..... sorry ulimi hauna mfupaunaweza tazama
th-cam.com/video/NO0RCqXNVO4/w-d-xo.html
unaweza tama video hii pia kupata kujua zaidi kuhusiana na series hii
Umetisha kaka
Kaka Tunahitaji video hizi kaka 🔥🔥🔥
Pamoja saana
Respect broo
❤❤❤
kaka kwa ubora wako
kaka unasaidia pakubwa
Hapo kwenye Umbali wa Mita 5 wa spika kwa spika, Kodi ya chumba Mkuu 😂
Bro Unapatikana Wapi
Napatikana Dar es salaam