STUDIO YA MAAJABU SOUTH AFRICA/HAWALIPISHI HELA KUREKODI NYIMBO/UTARATIBU WAO WA KAZI HUU HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Mahojiano haya na mtayarishaji wa muziki, Kise P yamefanyika katika studio za Lock down music inc zilizopo nchini Afrika Kusini kwenye jiji la Johannesburg.
    Kise P ni mtayarishaji wa muziki wa aina mbalimbali ambaye kwa kushirikiana na uongozi wa studio hizo unawakaribisha wanamuziki wa aina mbalimbali na kutoka nchi tofauti kufanya nao kazi kwani utendaji wao hauna mipaka.
    Lock down music inc wanapatikana kupitia mitandao ya kijamii kwa jina la @lock_down_music_inc.

ความคิดเห็น • 6