TAZAMA! MSAFARA wa RAIS SAMIA KATAVI WAWAACHA HOI MASHUHUDA UZINDUZI WA JENGO LA POLISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiingia katika eneo la ufunguzi wa Jengo la Kamanda wa Polisi mkoa Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 14 Julai, 2024.
    🛑 Sasa Tumekufikia
    🛑Tutahakikisha kila siku unapata habari za ukweli na uhakika.
    🛑Ahadi yetu kwenu kuwa watumishi wa kihabari kwenu
    🛑 Kama una tukio la Kihabari tupigie +225 767 580 313

ความคิดเห็น • 4

  • @KarimuYusuph
    @KarimuYusuph หลายเดือนก่อน +1

    Jitaidi ununue camera yeny HD video quality icho kidogo tupilia mbali

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 26 วันที่ผ่านมา

    Hiyo barabara yenye msagfara ingetiwa lami kwanza kabla ya masafara

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c หลายเดือนก่อน

    Mashuda wanashangaa nn sasa kod zetu izo zinatumika isivo

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya kijinga sana na yaliyopitwa na wakati kuhusu misafara ya viongozi wa Tanzania