Hujui kitu alafu unasema una akili nyingi hebu niambie hapo una akili gani? Au hujui maana ya genius, kuleza penyewe hujui acha kujisifia vitu vya kutafuta mtandao wewe unasema genius uliota hayo magari kumi bora ya marais bila kusoma kwenye mitandao huna u genius wowote.
Sijapenda unavyosema vitu vingine ni Siri ya kambi huwezi kushare, Sasa Ina haja gani kutuambia ingali sisi tunatarajia utuambie kila kitu? Haina haja ya kusema hivyo kama huna mpango wa kutuambia. BY THE WAY, THE SHOW IS DOPE🔥
@@seamlesshunt3869 sawa kazifate huko,kwani nimesema hayo magari nimeyabunini mimi, au internet nimeitengeneza mimi, we nenda tu hukoo,kama vip we siunavijua na unajuwa pakuvipat, kanzishe kipindi chako, very simple
Ueleweki pili una mbwembwe sana tatu si kama una akili sana but hivyo vitu vyote vipo mtandaoni nawewe unacopy na kupaste kwa kusoma so ni uvivu wetu tu wakusoma kwakua hua tunapenda sana kusikia kuliko kusoma so unaposimulia dili na jambo lieleweke unaruka ruka sana
Very weak research. Umeongelea mada karibu 3 tofauti. 1. Huwezi kutaja magari 10 bora ya maraisi Africa, ukaacha kutaja gari ya raisi watanzania. Ambayo ni 200 seris landcruser ya kampuni ya Carat 2. Review ya kampuni ya CARAT, ipo youtube toka 2020 na tulisha iona, so usifanye hio review kama wewe ndio umeigundua 3. Umechambua msafara wa Raisi wa Marecani, ambapo uchambuzi huo upo youtube. Tumia muda wakutosha kufanya research yako kabla huja fanya video brother. USIDANJANYE UMA.
ni vizuri kama unafanya video ya vitu unavyovipenda lakini hii kidogo umeteleza. Unacover misafara ya ma raisi wa nchii za africa ambacho ni kichwa cha habari alafu unaingia deep zaidi kwenye details za misafara ya raisi wa marekani. Mwisho unahamia kwenye wanajeshi na kutaka kuvaa sare. Je Umechukua muda gani kufikiria,kupanga na kutengeneza hii video?
tatizo hausikilizi kuelewa ,nmesema nachambua misafara ya maraisi in general, iwe raisi wa africa au ulaya,picha zimetumika za misafara wa africa ,ulaya na marekani...
Nakubali sana uchambuzi wako kaka endelea Kuchana a GA 💥🔥🔥🔥🔥
Mimi ni Myarwanda umenijuza mengi ambayo nilikua sifaham hongera sana kaka
❤ djsma sikujua Kama huwa unachambua mambo haya
Hadi raha Yani
Man We ni creativity Hatukatai But Unaruka ruka sana story haieleweki Embu try kuzipanga Vizuri we here for you Man
Upo vzr lkn jitahidi uwe unatuelewesha vzr usiruke ruke na kuhisi tumeelewa dont assume
Nilikuwa natamani mtu kuongelea hii v8 ya raisi ipo tofauti na nyengine, safi sana kaka
Hapo kwenyo nguo zaki jeshi hapa tz wame bana sana
Nice revelation
Hujui kitu alafu unasema una akili nyingi hebu niambie hapo una akili gani? Au hujui maana ya genius, kuleza penyewe hujui acha kujisifia vitu vya kutafuta mtandao wewe unasema genius uliota hayo magari kumi bora ya marais bila kusoma kwenye mitandao huna u genius wowote.
Diamond aitel nipe bezi
Ulianza vizuri lakini umemalizia kuuelezea msafara wa Joe Biden
Woooow nice
The show was amazing
🙏
Jamaa anajua sanaa
Pamoja sana kaka
Mbona mastar marekani wanaendesha gari za bei kubwa kuliko izo bajaji zamarais waafrika
💪💪💪🙌🙌🙌
Mbna ujatuambia ya rais wetu tz
Hatari baba unatisha
Multi talented genius heeey
Upo Vizuri kaka
Mimi nakukubale sanaa timu urus mwezangu
Sijapenda unavyosema vitu vingine ni Siri ya kambi huwezi kushare, Sasa Ina haja gani kutuambia ingali sisi tunatarajia utuambie kila kitu? Haina haja ya kusema hivyo kama huna mpango wa kutuambia. BY THE WAY, THE SHOW IS DOPE🔥
Mim sijaona kosa hapo naona tu anatuelimisha tu vitu ambavyo hatujui
Wacha ufala wewe hizo gari tunasiona kila siku ila hatujua model sasa tumeambiwa
Ongera Sana kaka sns is growing every day.congrats bro... USA tuko turned ....mkenya hapa
Utamuingiza kwenye matatizo kwanzia yeye Binafsi hadi Channel yenyewe. Siyo vitu vyote vya kiusalama vinakuwa wazi vi vizuri viendelee kuwa Dhana
wow wow
Dj uko vizuri bt uwe unastick kwenye Main Topic zaidi
Apo kwa Raisi wa Rwanda umetudangany cs alishabalisha gari
Nimependa ❤
🙏
Wanaoelewa wanaelewa wasiolewa shit
Proud to be a kenyan
Sasa ivi amebadili wa rwanda anatembelea kadilac
will chek that out
Umezingua
Tatizo umeweka mbele kujisifia kuliko kutuelezea fanya kazi acha kujisifia bro
Ndo tatizo la watanzania
information zote ulitoa zinapatikana online boy, acha kujisifia sana fanya kazi usichukulie watazamaji wote ni maree
Acha wivu kwani unachokisoma shule sikinapatikana kwenyekitabu tatizo sio online tatizo kuzichukua na kuzichambua mpaka watu wote wakaelewa
@@pujimontanapachino4958 sijakataa asichambue mambo, ila atumie hizo dakika zote kwenye main point na co kijisifia
sasa kama zipo hukohapa umekujamkufata nini!
@@djsma255 baadhi nazijua na nyingine najua namna ya kuzipata, so asijikute genius kwa vitu rahisi tu
@@seamlesshunt3869 sawa kazifate huko,kwani nimesema hayo magari nimeyabunini mimi, au internet nimeitengeneza mimi, we nenda tu hukoo,kama vip we siunavijua na unajuwa pakuvipat, kanzishe kipindi chako, very simple
Presenter wetu Molinyoo sana
Ongeza ufanis kupata watazamaj zaid dola wengne atujui kuzi cheng kuja Tsh ko utusaidii chochote
Umeishia la ngapi ndugu
Elezea simu ya xiomi 12s ultra
tutaifanyia kazi
Nimeelewa sana
Nimekukumbuka ulikuwa na ule sancha
🙌🙌🙌🇹🇿
Ueleweki pili una mbwembwe sana tatu si kama una akili sana but hivyo vitu vyote vipo mtandaoni nawewe unacopy na kupaste kwa kusoma so ni uvivu wetu tu wakusoma kwakua hua tunapenda sana kusikia kuliko kusoma so unaposimulia dili na jambo lieleweke unaruka ruka sana
Kenya 🇰🇪 mbona amjataja bei?
labda. kifo bado lkn ikifika mbona unakufa kirahisiiiiiiiii
🇹🇿♥️
Vitu kama hivi havifai kusemwa jamani
Acha ujinga weee usione watu wote weupe
Lazy reporting. You picked an article, never did fact checking or use multiple sources.
Kwaiyo Tanzania Rais wetu ni gari gani!?
Toyota ist mwaka 1999 mafuta lita moja unasafiri Tanzania mpka Kenya
land cruiser 200 series
Toyota
Very weak research. Umeongelea mada karibu 3 tofauti. 1. Huwezi kutaja magari 10 bora ya maraisi Africa, ukaacha kutaja gari ya raisi watanzania. Ambayo ni 200 seris landcruser ya kampuni ya Carat
2. Review ya kampuni ya CARAT, ipo youtube toka 2020 na tulisha iona, so usifanye hio review kama wewe ndio umeigundua
3. Umechambua msafara wa Raisi wa Marecani, ambapo uchambuzi huo upo youtube. Tumia muda wakutosha kufanya research yako kabla huja fanya video brother. USIDANJANYE UMA.
Dunia tunapita
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️.
ni vizuri kama unafanya video ya vitu unavyovipenda lakini hii kidogo umeteleza. Unacover misafara ya ma raisi wa nchii za africa ambacho ni kichwa cha habari alafu unaingia deep zaidi kwenye details za misafara ya raisi wa marekani. Mwisho unahamia kwenye wanajeshi na kutaka kuvaa sare. Je Umechukua muda gani kufikiria,kupanga na kutengeneza hii video?
tatizo hausikilizi kuelewa ,nmesema nachambua misafara ya maraisi in general, iwe raisi wa africa au ulaya,picha zimetumika za misafara wa africa ,ulaya na marekani...
🔥🔥🔥🔥 uliona na hii 👇
th-cam.com/video/VzZFSs4qqi4/w-d-xo.html