Salute sana leo hili somo limenipa nguvu sana maana wengi watanzania hatuelewi hivi vitu hususa mtu umpate ambaye anauwezo wa kukuelewesha kama hivi na pia ushauri wangu kwa wengine wawe wanafatilia sana video zako ili waelewe au wapate elimu kwa ukaribu zaidi.ungeanzisha ata shule huku Tanzania ya TH-cam content creator 😊
Nimekuelewa vizuri sana kaka. Na vipi kama channel yangu ni ya muda mrefu na ina sub wa kutosha lakini masaa bado na ni miaka mitatu sasa. Vipi inaweza kuingia ktk malipo ikifikisha masaa?
Samahani naomba niulize,, channel yangu ya TH-cam inamiaka miwili na sijafikia monitazation je inafaa kuendelea nayo au nifungue nyingine? Maana naona vigezo ni miezi 12 tuu
Unafanya kazi kubwa mno kuliko unavyofikiri, Mungu akubariki
Ukinijibu utanisaidia sana kaka. Me nakufuatilia sana
Nimekuelewa vizuri sana
Asante sana kwa shauri yako kaka 😂😂🎉🎉🎉❤
Asante brother imepata funzo
I like the way you talk, very confident, very convincing, with the smart mentality ur more than a professor.
Kazi nzuri kaka
Okay no way always there are not any thing which is easy let do no matter what 🎉🎉
Upo na nondo za uhakika mwamba , nakubali sana kaz yako,
Salute sana leo hili somo limenipa nguvu sana maana wengi watanzania hatuelewi hivi vitu hususa mtu umpate ambaye anauwezo wa kukuelewesha kama hivi na pia ushauri wangu kwa wengine wawe wanafatilia sana video zako ili waelewe au wapate elimu kwa ukaribu zaidi.ungeanzisha ata shule huku Tanzania ya TH-cam content creator 😊
Elimu kubwa sana kka
Nimepata ELIMU nying kuhusu TH-cam Ila hii imekaa kisomi na inaeleweka Asante Sana kakaa
Asante sana.You have really explained well.Umerahisisha sana kuelewa.
Naomba Namba yako
Shukran Brother EBM
Asante kwa elimu yako kubwa kaka
Nakubaliana na wewe sana Mkuu
Sawa
Umesaidia wengi ndugu yangu
Mungu akujaalie zaidi ahsante kwa elimu
Oooh uncle Asante kwa elimu nzuri
Muha anagoma hatariii hahahaha
Safi👏👏👏
naomba no zako bro
EBM you are doing great. The way you just explaining
Nataka kujaribu kweli
Asante kaka
Shuklan saaana kaka
Akili kubwa sana hii
Nimekuelewa vizuri sana kaka. Na vipi kama channel yangu ni ya muda mrefu na ina sub wa kutosha lakini masaa bado na ni miaka mitatu sasa. Vipi inaweza kuingia ktk malipo ikifikisha masaa?
Ahsante sana Kwa ufafanuzi mzuri
Ila blazaa ndo ufokee😂
Very nice explanations
Shukran kwa elimu✊❤️💯
Tu supportiane. Mimi niliamzisha youtube nikasimama last year sawasa hivi nataka kuiendelesha tena sijafikisha watching time jee niendeleze au?
Shukrani Kwa maelezo haya.Nitafadhali nisaidie jinsi yakupata subscribers
Kila laheri katika Malengo yako mm ni mdau wako sana na ninakufatilia sana kwa video zako zenye mafundisho
Nice information, God bless more brother
God Bless You 🙏
Nakupata sana Mimi nimeweka video yangu kaka view 3.k kwenye masaa Nina 45 nisaidie hapo maelenzo sielewi
Asante kwa ufafanuzi mzuri
Okay hapo nimekuelewa
Very powerful information 👏
Thanks alot sir for the information.
Thanks again dear brother
Thanks
Tupo pamoja
Nashuru sana kaka lakini Mimi naona ma saa yangu yanashuka yanakatwa Kila siku tatizo sijajua Nini.
Bro,Naomba unifindishe zaidi TH-cam channel yangu ni SHUBBAAN TV,shukran kwa maelezo mazuri.
Yaani unalipwa ukifikisha viewers wa ngapi
Pamoja kaka
Ahsnte 🙏
What about musicians. .kama Mimi ni mkenya uwimbaji mara nyingi ni kiswahili
Nakupata kaka
Naaam kwakweli umenifunza vitu vingi
Helpful info.
Sasa ndio uangalie na video zangu ndugu ili niongeze cpm
Samahani naomba niulize,, channel yangu ya TH-cam inamiaka miwili na sijafikia monitazation je inafaa kuendelea nayo au nifungue nyingine? Maana naona vigezo ni miezi 12 tuu
Safi
Nicee
Thank you 🙏
Unatengenezaje youtube chanel?
th-cam.com/video/Blm4TKXQaZg/w-d-xo.html TAZAMA NAMNA YA KUTENGENEZA CHANNEL TH-cam
Na hizi. Bonus unapata kivipi na ngapi?
Asante kwa mafasirio ya youtube, 🙏🙏🙏🙏 Nisaidie n'a Number yako
Asa hyo fomu unaipataje
good
kuna faida yoyote kuhusiana na like na dislike regarding na issue ya malipo? If yes or no then naomba kuuliza zinamnufaisha vipi mlegwa?
Subscribe
Babu vp kilipu ukitupa zinalipa
Bro mimi naangalia sana video zako. Na pia nacha adverts zote
Ndio upate rizki
Helpful💪
Asante sana bro sasa niulize kidogo yani kama huna advertisements kwa channel yako hulipwi?
Ndio jibu
Thank you for your good teaching
Nime subscribe kaka
Kaka naweza kupata namba yako nikipigie
Mmm n ngum youtube
una mfukea nani
Namba yako ya WhatsApp kaka